TUPEANE (1)

0

JINA: TUPEANE
Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA KWANZA
Yapata takribani miaka 17 sasa tokea niondoke katika kijiji hiki cha kilwa kiwawa vitu vingi vimebadirika sayansi imetanuka kwa kiasi chake nikawa nashangaa shangaa tu hasa ule mnazi uliokuwa na pacha tatu najuwa utashangaa mnazi kuwa na matawi kama muembe lakini ndio hali harisi katika kijiji chetu hiko njiani nilimtwanga maswali mengi sana mama "hivi mama wale watoto wa kipindi kile nikiwa mdogo tukawa tukicheza kule miembeni wapo au?" mama akaguna mmh! na kuniuliza swali "kwa nini wasiwepo?" unajuwa nini mama, ehee nijuwe nini?" ni hivi maisha ya huku vijijini ni yashida sana vijana wengi wanazeeka haraka kutokana na kazi ngumu wanazo zifanya kingine wanakosa virutubisho muhimu, "hamna lolote vijana wa huku wanakuwa mashababi mbavu mbavu wanamiguvu ajabu sio nyie huko mjini kula chipsi yai kila mnacho kula makemiko tupu..whaoo mwanangu huyoo nikatupa macho na kumuona aliye jifunga kaniki akija mbio japo kwa kuchechemea na mkongoja wake mama nae akamfata mbio kwenda kumkumbatia kwa furaha "whaoo mwanangu mpendwa umekuja?"
ndio mama nimekuja tena safari hii nimekuja na mumeo, "khaa huyu ndio Hafidhi?" ndio yeye huyo,' aiii jamani hata siamini amekuwa zinga la baba duhuu bibi akaja kunishika kwenye paji la uso tukaongozana hadi kwenye kijumba flani hivi cha udongo juu kimeezekwa nyasi bibi akazama ndani na kutoka na jamvi akatandika tukakaa opsiiii nimechoka leo mama wee acha tu, pore sana mwanangu ndio ukubwa huo vipi mume wangu hujapaona mbali huku kwa mkeo?"
Nikamjibu dahaa nimeona kawaida tu si unajuwa mi mjeshi, "ndio mme wangu wee mjeshi ila karibu sana hiki ndio kijiji alicho zaliwa mama yako kipenzi akakulia hapa mpaka akaolewa na baba yako, "uskonde bibi nishakaribia sana tu na nitakaa hapa mpaka nizeeke, "haa! haa! bibi akacheka kicheko cha kizee na kuniuliza unakumbuka kipindi kile ukiwa mdogo na kidudu chako kidogoo?" ndio bibi nakumbuka sema yule mdudu kwa sasa amekuwa zinga la dudu hiloo,' "embu mtoe tumuone, "aii mama ndio mazungumzo gani tena hayo unaongea na mjukuu wako?" embu na wewe chukuwa mizigo ingiza ndani tuache watu wazima tuongee hapa wee tokea akiwa mdogo hukutaka kumleta mume wangu japo nimuone hata kidogo kila nikikwambia niletee mume wangu mara ohoo baba yake ataki mara sijui yupo shule sasa leo kaja niache nijinafasi nae, "mama embu nipatie ilo begi jeusi, nikatoa vitenge vya wakx doti kama tano kanga doti saba na madera 4 ikiwa na mitandio yake nikampa bibi kwa kumwambia "sasa mke wangu usiongee sana zawadi zako hizi hapa, "whaoo mume wangu huyo jamani hasante kwa kukutunuku leo mme mwenzako akirudi atalala chini, tukacheeka sana mpaka nikashika mbavu yani bibi anavituko huyu dahaa "sasa bibi na mama mi natoka kidogo kwenda kuzunguka zunguka kijiji kwanza, "mmh si upumzike kwanza mme wangu kesho hasubuhi kunapo majaaliwa mjomba wako atakutembeza, "ahaa bibi siendi mbali nazunguka tu hapa hapa," Hafidhi mwanangu jiangalie,' sawa mama, nikatoka na kuingia vinjia vya kijijini si unavipata basi nikapiga hatua kazaa huku nikishangaa ndege wazuri aina ya tetere chiriku kasuku na tongwa yani kijiji kilipendeza huku miti ya matunda ikiwa imestawi miembe michungwa mifenesi n.k nikawa nakatiza kijiji tu nikitokea nyuma hii na ile na kuwakuta watu wamekaa wengine wanatwanga mtama au ufuta mpunga wengine wanasaga kwenye mawe nikashangaa sana sababu town mashine huku wanasaga kwa kuzungusha mawe dahaa nikawa napiga picha kila tukio ngeni machoni kwangu mpaka nikatokea kinjia kimoja hivi sikuamini macho yangu baada kuwaona warembo kama watano hivi kichwani wamebeba ndoo za maji kumbuka mi na mabinti ni damu damu yani kama ndizi na wali kwa mwendo kama twiga wamejipanga wenyewe wakipiga michapo ya hapa na pale nikawapa hi "mambo zenu warembo?" poa tu afu wee kaka kama mgeni katika kijiji hiki?" yap! mi mgeni ndio, hawakuendelea kusema chochote wakaondoka, dahaa hivyo vijungu nyuma sasa vimezidiana kuna cha masogange cha welu sengo sio mchina vitu original "mmh kwa mapigo haya town sirudi ng'oo mpaka nidinye wote wale dadeki nikawa narudi kinyume nyume kitendo cha kugeuka tu mimaji mwahaa mwilini mwangu jamani ndoo ikaenda chini binti akayumba kutaka kudondoka nikamdaka na kumvutia kwangu akanikumbatia kanga yake imeroa tepe tepe mpaka chuchu zake zimetokeza kwa kunona kitu mchongoko dahaa jamaniii

Jamanii zile chuchu zake mchongoko zikawa zikinchoma daha "ahaaa,,,yalaaa..nini tena binti?" siafu kaning'ata, wapi kakung'ata? huku, si akafunua kanga na kunionyesha paja lake nono dahaa mtihani huu tantarira huku anaangaika kuchana hata boxer nikamcheki sehemu aliyong'atwa na kumpa pore kwa kawaida siafu akikungata awezi kubaki hapo hapo nikatamani kumwambia binti twenzetu basi kichakani tukadinye nikaishia kuuliza tu "hivi kwani kisima kiko mbali na hapa?" hapana kiko kulee bondeni, oky twenzetu basi nikusindikize ukajaze maji yako, akaibeba ile ndoo ikiwa tupu na kutangulia mbele nikawa nikihesabu singida dodoma mpaka kisimani "hivi mrembo unaitwa nani?" mmh! katika warembo wakiambiwa watoke nami ntatoka, kwa nini usitoke wewe ni zaidi ya malkia binti, "ahahahaha usinichekeshe babu wewe warembo wapo huko dar es salaam, "nani amekwambia dar es salaam kuna warembo kule kuna mazombie na mavampire tu,' "muongo wewe sisi juzi kati hapa kuna mdada katoka mjini kapendeza huyoo mpaka tukaona wivu, huyo binti yupo au kaondoka?" yupo ajaondoka ndio tunamwita mrembo wa kijiji, hahahaha nikacheka na kumwambia "kumbuka nimekuuliza jina lako hujantajia bado, "naitwa Khadija, dahaa unajina zuri kama ulivyo wee mwenyewe mrembo, "afu wee mkaka usiniite mrembo bwana, "aya basi na mimi usiniite mkaka niite Hafidhi j ikram, handsome wa dunia, "mmh majanga handsome wa dunia utakuwa wewe afu ilo jina la Hafidhi j ikram kama nalipata hivi,! "unalipata vipi?" oky nimekumbuka kuna kitabu ninacho kinaelezea maisha ya mtu huyo kinaitwa mtaa wa tatu lakini huyo Hafidhi j ikram amekufa kwa ukimwi history hiyo tokea sijazaliwa alikuwa shujaa kwa kusaidia wanyonge, yule binti baada kunigusia story ile ikanifanya nimkumbuke brother angu aliye kufa angali nikiwa tumboni na nikapewa jina hili niwe kama kumbu kumbu yake hapa duniani,wee Hafidhi,! nikastuka kutoka kwenye msongo wa mawazo na kumuuliza unasemaje?" chukuwa maji haya ukaoge, "nikaoge kwani huku kuna choo sehemu, "afu nawe kila kitu mjini mjini tu nenda kaoge kule kichakani,' "poa twenzetu basi tukaoge wote, baada kumwambia vile akaanza kujing'atang'ta kucha, huku dudu langu lina tatalika mbaya nikiombea akubali tu, si akatamka "haya twende sikuamini masikio yangu nikauliza unasema Khadija?" bwana ee kwani umesikiaje si umeomba tukaoge wote ndio nimekujibu twende,' kidume nikanyanyuwa ndoo faster faster twende lakini gafla nikasikia sauti kwa mbaali zikija uelekeo wa huku kisimani nikaweka ndoo chini nisikize kiumakini hatua zikawa zinazidi kujongea tu tukasikia sauti "oyaa Ntonere kaka cheki hapa, "khaa! si maji haya?" ndio maji kaka, "basi bila shaka Dada atakuwa amepatwa na tatizo embu tuwai kisimani kucheki vishindo vikasikika nikajampu juu ya bonde na kujificha kwenye kichaka chenye mti mkubwa hivi huku Khadija akiwa anajitwisha ndoo, nikashuhudia njemba kama nne hivi zikiwa mikononi zimebeba mapanga na mikuki dahaa moyo wangu unadundaje, "vipi Dada mbona umekawia kurudi wakati wenzako wamerudi kitambo tu?" ahaa kaka bwana mi nilikuwa wa mwisho kujaza ndoo yangu nikawaambia kina Mwajuma waningojee wakakataa ndio nikajaza kufika pale kilimani nikatereza ndoo ikadondoka, "dahaa pore sana Dada yangu hujaumia lakini?" ndio sijaumia, jamaa mmoja akasema "oyaa Ntonere ule mti si ule pale ngoja nikaukate, mama yangu nakufa leo
"wee Abasi kama mlikuwa mnaitaka miti ile si mngeniambia kule kwa mzee rupombe ipo mingi sana, "Khadija unasema kweli?" ndio ipo niwadanganye kwa faida gani niipatayo hasa, oyaa twenzetuni, wakasepa kijasho chembamba kikanitoka nikavuta pumzi nzito na kuishusha "ooopsi...siamini dahaa..

Nikajipangusa pangusa vumbi kwanza nikamshukuru Mwenyezi mungu kwa kunusulika dahaa nikashika njia kurudi nyumbani kwa bibi "whaoo baba huyo haya niambie umekionaje kijiji?"
kusema kweli kijiji kiko bomba kupita maelezo nimekipenda mpaka nikajiuliza kwa nini sikuja mapema, mmh kwahiyo mjini hutorudi tena?"
yeah sirudi kwanza niende kufanya nini?" Hafidhi mwanangu kumbuka umekuja huku likizo ya mwezi mmoja tu shule zikifunguliwa urudi kuingia dalasani mwanangu, "lakini mama kwani huku hakuna shule ya seco?" shule ipo kwani vipi mpaka unauliza hivyo?"
mi nataka unifanyie uhamisho nisome huku huku kijijini, "hivi unazani baba yako atakubali ujinga huo mi hata kidogo sitosubutu kumwambia upuuzi huo afu kingine sasa naomba nikwambie kitu mwanangu,' "kitu gani tena mama?" ni hivi hiki kijiji kinalindwa
"nani anakilinda huyo, "kwanza kabisa kuna mnyama si mnyama binaadamu si binaadamu sijui yukoje anatisha vibaya sana anaitwa nipe nikupe huyo kazi yake kuubwa kulinda hiki kijiji na kumuangamiza yeyote atakaye vunja mira na destur za kijiji hiki, "khaa sasa mama huyo nipe nikupe ndio kaweka hizo mira au?" bibi yako huyoo anarudi ndio muulize atakwambia kila kitu, nikageuka kumcheki bibi na mzigo wa kuni akautua "uwiiii nimechoka mpaka kiuno kinaniuma, "pore sana mama watoto, "hasante mume wangu akajipweteka kwenye jamvi akatoa ugoro wake na kubwia kidogo akanikazia macho kwa kunitazama macho mekunduu mpaka nikahofia akaniuliza "vipi mjukuu wangu mpendwa ulienda hadi wapi?" ahaa katika tembea tembea yangu nikatokea kisimani, "ohoo kumbe umefika hadi kule bondeni? "ndio nimefika, "basi ongera sana mida hii ndio babu yako na mjomba wako ndio wanarudi kutoka huko mashambani kwenye mitego yao ya kutega nyati pamoja na sungura, "whaoo kumbe bibi huku kuna sungura?" ndio wapo, "hivi bibi nipe nikupe ndio nani katika kijiji hiki? baada kumtajia jina lile bibi akastuka na kutaka kunyanyuka nikamshika asiende popote, akapumua kwanza na kujishika sehemu ya moyo huku akisema "Ni swali zuri sana mjukuu wangu kwa kuuliza kwanza kabisa huyo nipe nikupe ni shujaa wa kijiji hiki enzi za uhai wake alikuwa ni kama mfalme wa himaya hii yote katika uongozi wake akatunga sheria yani mira na desturi na atakaye vunja mira hizo lazima afe watu wengi sana wakawa wakiuwawa kwa kuvunja sheria hizo lakini baada ya kifo chake wazee kwa vijana wakasema tuko huru kumbe walijidanganya ikawa yeyote akivunja mira tu anakufa gafla kumbe mzimu wake umetumwa kuendelea kuifanya hiyo kazi"

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU


TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)