TUPEANE (28)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE
Akalishika na kulinyonya basi mwili mzima ukanisisimka nikaitaji kucheza na akili yake yani asiweze kumwambia mtu yeyote kama
Mimi ni Shemale basi akanisindikiza nyumbani ile tunatoka tu
kuna kina Mama wakaangua vicheko vya kishambenga
“ohoo...hahahaha hallo..hallo wasage wasage tu!"
Grace akawatizama kisha akasonya na kuwaambia
SASA ENDELEA...
“Iyone kwanza sura zao mbayaa kama vile mmeramba ndimu kazi kukalia umbea tu!"
Kuna Mama mmoja akadakia
“hahahaha kama limekuuma chomoa ujambe bibiyee tushakupasha ukweli hatutaki Shari sie!"
Ghafla kibao hata kilipotoka yule Mama hakukitegemea kumbe alikuwa
Mumewe huku akimtusi.
Mwanamke m***nge sana yani narudi kazini nina njaa sikuti chakula mezani naenda jikoni kutupu jiko limenuna Malaya wewe!"
akamshika nywele na kumvuta yule Mama akawa analia tu
“hii nisamehe Mume mkaa ulikuwa umeisha!"
“pumbavu zako ule kwenye gunia ni mavi yako au embu twende huko akampiga zinga la teke yule Mama akayumba na kwenda chini ajabu hakuna hata mtu mmoja aliye ingilia kuamulia. Wakati najiandaa kwenda kumsaidia nafsi ikaniambia utamsaidiaje mtu anaye jitakia mwenyewe matatizo.
Kumcheki vizuri yule Mama kumbe ndie aliyekuja kuwanga chumbani kwa Grace dahaa
basi akanyanyuka na kutoka mbio huku Mumewe akimkimbiza
Grace akawageukia wale wamama wengine na kuwaambia
“haya na nyie vikwapa kunuka mjiandae tena maana mkiona mwenzenu ananyolewa nawe jiandae kutia maji kichwani pumbavu zenu nyie!"
Hakuna aliyejibu zaidi ya kusonya tu
na kubetua midomo yao amini usiamini maisha ya uswazi kuna mambo mengi ya Ajabu.
Utakuta unapita sehemu ukakuta Wanawake wamekaa basi watakupiga jicho wee mpaka upotee
Tena utasikia lione hata hajapendeza mitege ile utazani banio la ugari. Yani uswazi kuna visa balaa tupu. Nikarudi. Nyumbani hakuna aliyeweza kuniuliza nilikuwa wapi. Richa ya kukuta Baba na Mama washarudi kutoka makazini
Hatimae usiku ukaingia sikutaka iwe ndoto tena
Nikaitaji kufanya mambo kiuharisia zaidi .
Nikatoka usiku yapata kama saa 7 hivi break ya kwanza nyumbani kwa kina Grace japo ilikuwa saa 7 kuna watu bado wapo kwenye biashara tu ogopa sana biashara za usiku.
Usipende kabisa sijui kula mishikaki au miguu vichwa utumbo wa kuku.
Unaemzania ni. Samaki kumbe sie samaki usiku kuna mengi yanatokea ukiitaji kumuona mchawi live kuna mbinu nitawapa ila uwe na moyo wa kuizibiti hofu yako Wachawi wanatisha vibaya mno na siku zote mchawi akigundua ya kwamba umemjuwa lazima afanye kitu.
Nikiwa nnje ya nyumba ya kina Grace yenye pilikapilika za hapa na pale yani humo wanauza pombe kali sijui wanaita gongo bila kusahau bange na unga pia Mama yake
Grace ndio msimamizi mkuu wa biashara nikiwa nimejivika magic sionekani na mtu yeyote nikapiga
Hatua hadi uwani
na kukuta watu. Wamelewa chakali
huku vibinti vikiwa vinashikwa
shikwa kwenye maungo nyeti dahaa
Kweli pesa mwanaharamu vibinti
vidogo tu vinajiuza.
sikutaka kupoteza muda nikazama chumbani kwa Grace mmh!
Nikamkuta kalala huku akiwa amezungukwa na wachawi kama wanne hivi wanamchezea chezea mara wamsotee tumboni.
Kuna Mama mmoja kati ya wale wachawi kuna kiungo kama uume hivi akauvaa na kuwaambia wenzie mpanueni akaanza kumuingilia
Grace akazidi kuweweseka tu na kutapatapa ilikuwa kama ndoto kwake
Ndugu mpenzi msomaji siku zote Mchawi sio wa kumuonea huruma hata kidogo pindi anapokamatwa anatia huruma kumbe ni hatari kuliko umuonavyo ukimkamata kata kichwa tu kama uaesoma story hii ni Mchawi please nakuomba Acha tabia hiyo.
Kwanza unapata faida gani kuwatoa watoto ndugu jamaa zako kafara.
Mwisho wa story hii nitataja mbinu ya kuwaona Wachawi live kabisa
Nikazidi kushuhudia jinsi Grace anavyo tendewa unyama ule kwa kuingiliwa tena kwa zamu
Nia yao ni kukifunga kizazi asiweze kushika mimba kamwe katika maisha yake yote mpaka anaingia kaburini.
Kidume nikafanya yangu faster tu nikaziba njia zote hakuna mtu kutoka ndani nikamshika Grace usoni ili atakapo amka aweze kuwaona hakuna siri tena nikasepa zangu. Nikiwaacha wakiendelea kumsugua tu mtoto wawatu.
Nikaenda hadi buguruni nikapiga
doria na kuweza kugundua mambo mengi ya ajabu yanaendelea
mmh!
Usiku wote huu eti daladala zinasanya dahaa
Kumbe za kichawi tu. Nikaenda hadi ubungo nikatoka mpaka viwanja vya fisi huko ndipo nilipojionea mengi na kukili kweri jina la
Viwanja vya fisi ni sahihi kabisa
Nikajitoa kwenye taswira ya kutokuonekana
kila mtu sasa anaweza kuniona nikajichanganya kwenye kikundi cha Machangudoa
Lengo langu kupata kidume ambaye nitaweza kumla mpododo
ghafla nikashikwa kwa nyuma na Kaka akaniuliza
“unafanya nini pande hizi?"
Nikamjibu napunga upepo tu!"
“dogo acha uwongo wako embu twende tanga haraka sana tukamalize kazi
Nipe nikupe inavyosemekana yupo huko!"
Kama upepo vile tukapotea tukakata mawingu kwa mawimbi hatimae tupo ndani ya jiji la Tanga
tukaanza kumsaka Nipe nikupe kama bahati kwenye viwanja vya Mkwakwani tukakuta kuna kikao
kizito kikiongozwa na Nipe nikupe
Nikaanza kutuma kombora wote waliokuwepo
kwenye kikao wakastuka
Zile cheche zikawastua wale viumbe wakaanza kukimbizana huku na kule.
Jeshi la mtu mbili tukashuka kutoka angani na kutua chini kwa kishindo
yani mpaka Aridhi yenyewe ikatingishika. Vile viumbe
Misiri ya mbwa mwitu
wakajipanga kujibu mashambulizi.
Kusema kweli tulijiandaa kila nyanja na kuhakikisha
Nipe nikupe achomoki jino moja leo.
Vile viumbe vikawa vinakuja kwa kasi huku wamekenua
Mimeno yao. Kaka akanishika
na kuitaji tuzunguke
nikafanya kama alivyosema tukazunguka kwa kasi na kutengeneza kitu kama kimbunga hivi kisha tukachumpa na kwenda kumvaa Nipe nikupe na kuvipita vile viumbe vikizungushwa na upepo tulio utengeneza
Nipe nikupe akarushwa hewani tukamfata hukohuko na kumpa fataki za maana akatua chini.
Akajitahidi kujibu mapigo lakini wapi tumekuja kumaliza mchezo baada kupita miaka mingi ya utawala wake
Japo alikuwa mbishi kukubali kushindwa ila
tukaweza kumzibiti baada kumbana
kisawa sawa
gafla kile kiumbe
hadi siku ile kikamsaidia Nipe nikupe kikaja yani kwa kifupi tu ni bonge la kiumbe sisi anatuona kama sisimizi tu
tukaanza kushambuliana nae gafla
Kaka nae akaumuka na kuwa kiumbe mkuubwa kama kile kiumbe mapambano yakanoga zaidi piga nikupige.
Nikaona kwakuwa Kaka anapambana na kile kiumbe wacha mie nimshughulikie Nipenikupe uwanja wa mkwakwani ukageuka uwanja wa vita Kali makombora yakatupwa huku na kule.
Nipe nikupe akaonekana kuja kivingine
baada kuonekana anataka kunizibiti
ila kidume nikakaza tu mpaka kieleweke ukelele mzito wa maumivu
ukasikika kutoka kwa kile kiumbe huku akipepesuka akaenda chini akaanza kuongea maneno mazito sana kwa kusema
“ongereni vijana kwa kuweza kushinda vita hii
ila kumbukeni hamjashinda kuniuwa Mimi sio suruhisho la kuwaokoa wanaadamu. Siku zote watazidi kuwa vipofu hawatokumbuka kumuabudu Mungu.
Kaeni mkijua atakuja mwanajeshi mwingine mwenye nguvu kushinda kiumbe chochote kile katika dunia hii
mtajuta na kujuta katika maisha yenu yote.
Wakati tunasikiliza maneno ya
yule kiumbe kumbe
Nipe nikupe anamvizia Kaka
basi akaruka na kwenda kumpitia Kaka sehemu ya tumboni dahaa Kaka akaenda chini huku tumbo lote likiwa wazi yani mabandama utumbo
vyote nnje niliga ukelele
“Kakaa!!!
Nikaruka nikacheza na kichwa cha Nipe nikupe ikawa kichwa kule kiwiliwili huku nikamuwai Kaka pale chini na kuanza kutaka kumnyanyua
nikiitaji kumuwahisha hospital. Akaniambia
“hapana mdogo wangu usifanye hivyo!"
Machozi yakanitoka kwa kuona hali ya
Kaka.
“Hafidhi mdogo wangu huna haja ya kulia huu ni wakati wa kufurahia ushindi tu.
Japo Mimi nakufa sitokuwepo tena kuzimu na sijui wapi nakwenda!".
“hapana Kaka usiseme hivyo huwezi kufa nikawa najitahidi kuliziba tumbo lake kwa kuvirudisha ndani viungo vyake nikakumbuka kitu cha umuhimu sana. Kama ningezubaa ikatokea Kaka akafa nitaishi hivi daima. Kitu chenyewe kuhusu Mimi kuwa Shemale
“Kaka utakufaje uniache Mimi katika umbile hili?"
Huku damu zikimtoka hazikuwa damu za kawaida za kwake ni nyeusi utazani oil chafu. Akanishika kichwani na
kusema
“kumbuka kuanzia sasa nguvu zote unazo wewe japokuwa mchezo umeisha unaweza kuishi vyovyote utakavyo katika umbile lolote
lile au lakiumbe chochote kile hapa duniani.
Akaninong'oneza kitu
mwishoe akawa kimya nikajitahidi kumwita huku nikimtikisa wapi kumbe tayari roho ishaacha mwili wingu zito likatanda vua kubwa ikashuka vilio vya kutisha vikasikika kutoka kuzimu
Hakika shujaa ametutoka
Nililia sana mpaka kufikia hatua ya kutaka kukufuru heti kwa kusema Mungu afadhali ungenichukua Mimi kuliko shujaa kama huyu.
Nikageuka kuucheki mwili wa Nipe nikupe japo alikuwa. Ameshakufa tayari nikaona hapana huyu bado mzima nikanyanyuka niufate
ghafla upepo mzito ukavuma radi na umeta vikapiga vikiambatana na vua ya mawe vikashuka viumbe kutoka kuzimu vyote vikanitolea heshima.
Wakaubeba kila mwili na kuondoka nayo ndani ya uwanja nikabaki peke yangu
Nikatamka lile neno
aliloniambia Kaka kwa kauli yake ya mwisho Ajabu nikaweza kurudisha umbo langu khaa! nikatamka tena nikawa shemale duhuu.
Nikacheka nikaishia kulia
Hakika ya Kaka nitakumiss daima ulijitolea kupambana na kuwa mtetezi wangu tokea nilipovunja sheria kule Kilwa
hakika hakuna shujaa wa kweli katika dunia hii kama wewe ulianza kupambana tokea ukiwa hai katika Mtaa wa tatu. Hatimae ukafa kwa ugonjwa wa ukimwi
baada kutembea na kila Mwanamke
Baada kufa ukatoka kuzimu kuja kuniokoa Mimi.
Ni kweli ulijitolea kwa hali na mali mpaka leo hii kaka umekufa mbele ya macho yangu. Tena kifo cha kishujaa
Kwa kuweza kumuangamiza Shetani mkuu japo anasema sio mwisho.
Wa vita ila Mimi naamini vita vimekwisha shukrani
Kaka Mungu akulaze mahara pema peponi Ameen.
Nikaona kunakaribia kukucha sasa basi sina budi kurudi nyumbani nikarudi nikiwa na majonzi mazito kichwani kwangu nilipoingia ndani
Nikasikia sauti ya kilio kikitokea chumbani kwa Figisu
bila shaka taarifa za kifo cha Baba yake keshazipata hata Mimi sikuwa na furaha tena kesho yake Asubuhi nikaweza kusikia taarifa za wachawi kunasa ndani ya nyumba ya kina Grace. Nikajuwa yote ni kazi yangu hiyo.
Nikatoka nikiwa vilevile Shemale na kwenda kushuhudia hao wachawi.
Nilikuta kuna vurugu balaa wale wachawi wakigombewa utazani mpira wa kona ikawa piga uwaa. Kikundi kingine kikiwatetea
Bila shaka ndugu zao
kelele zikatanda eneo zima
Kuna kijana mmoja sijui alitokea wapi maana alikuja mbiio huku akipiga kelele za pishaaa....
Watu wakapisha gafla damu zikaruka pwahaa
kijana yule akacheza na shingo
ya mmoja kati ya wachawi akatenganisha kichwa na kiwili wili ogopa sana hii watu wenye roho nyepesi mioyo ikawatetemeka
kwa uwoga, watu wakabaki kuduwaa tu kama haitoshi akataka kumchinja mwingine ikabidi watu wamzuie na kuanza kumshushia kipondo ajabu hii nikabaki kuangalia kiwiliwili cha yule Mama aliyechinjwa nikakumbuka tukio zima la jana usiku
Baada kumchinja Nipe nikupe.
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni