SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Taratibu Enock aliji kuta ana legea kama mwana kondoo aliye taka kuchinjwa na kugeuka huku akitoa ulimi wake kabisa, kilicho fuata hapo yalikua ni madenda tu na kulamabana midomo kama njiwa, ndani ya bafu hilo huku Heather akizidi kuupapapasa mwili wa Enock vilivyo, mambo sasa yalienda mpwito mpwito,!.SASA ENDELEA...
Dakika mbili Enock alianza kuonesha ushirikiano, alimuinua Heather juu nakum-bana vizuri pembeni ya ukuta huku akianza kumnyonya maziwa na kupima oil, alivyo hakikisha kila kitu kipo sawa alianza kuset
mitambo na kuuweka mguu mmoja wa Hearher juu huku yeye akiingiza Tarumbeta na sasa nyimbo mbali mbali kuanza kuimbwa na kucheza,
Mawazo ya Heather haya kua hapo hata kidogo,yeye mawazo yake yalikua kwa mganga aliye mpa dawa ya WAKYOKYO kwa njia ya kufanya mapenzi na mganga Kalumanzila! Akiamini kuwa dawa hiyo ikimuingia Enock ata weza kuokoa vizuri penzi lake ambalo lilianza kupotea , alitabasamu sana na kujiona mshindi,
“sasa hapa haniambii kitu huyu mwana ume naanza na ile nyumba anayo jenga ,MBEZI lazima iwe yangu, kisha vingine vita fuata”
Aliwaza Heather huku akiendelea kuka tika.
Kwa upande wa Enock yeye hakua na mawazo mengine zaidi ya kumridhisha mpenzi wake huyo ambapo hata yeye pia hakua na mapenzi nae, mawazo yake yote yalikua kwa mwanamke Catherine, akiwa ana fanya mapezi na Heather aliweza kuivuta picha ya catherine kichwani na kuifanya kama filamu ndani ya ubongo wake, hata wakati mwingine aliji sahau na kuli taja jina lake kabisa! kwa Heather haku shtuka sababu kwa wakati huo alicho waza yeye ni dawa yake kuingia vizuri kama mganga alivyo taka,
Ila pia alitaka kumjua Catherine na kumfanya kitu kibaya kwa gharama yoyote ile.
Mihemo mbali mbali na miguno ndivyo vilivyo sheheni ndani ya bafu hilo huku ziki ambatana na milio ya kinanda kabisa,
Enock alimuinua vizuri Heather na kumkunja vizuri huku wakizidi kuvunja amri hiyo ya sita wakifanya mchezo huo wa kikubwa, baada ya mechi hiyo kuisha, hapo ndipo wali pokumbuka kuoga, kila mtu alioga na kumuogesha mwenzake vilivyo!,
Maumivu ya ndani kwa ndani bado aliyasikia kitendo cha kuvunjwa bikra yake, halikua jambo la kawaida, alijikaza sana akitembea kwa shida wakati mwingine,. Enock sasa ndiye alikua mwanaume wa maisha yake ivyo ndivyo alivyojiwekea ndani ya moyo wake,.!
Ndani ya mtima wake alimpenda sana Enock pengine kupita hata Elvis mwana ume wake aliye hisi kuwa hatopenda tena, ila mambo sasa yame kua kinyume aliji kuta penzi lote lina hamia kwa Enock kabisa!, alikua hasami wala
haongei neno Enock lilikua halikauki mdomoni mwake, haikupiita siku hata moja bila kuongea na Enock pengine hata masaa mawaili, aki muulizia kama keshakula au kama ni mzima wa afya .
hakika mwenyewe alikirii kumpenda kabisa,sababu kila alilo hitaji kwa Enock alitimiziwa dakika hiyo hiyo, kweli alibadilika na kuwa matawi ya juu sasa,
Magari tofauti ya Enock yalizidi kumpa bichwa sana na kufanya aogopeke hata na wana funzi wa kiume hapo chuoni alipo kua akisoma,hata ivyo uzuri wake uli changia na ukijumlisha na huduma za Enock basi ulizidi mara elfu nane, kulikua hakuna wa kumfananisha chuoni hapo hilo alilijua hata yeye vile vile.
Japo wasichana wengine wenye chuki waliji tenga nae wakihiisi anaringa sana lakini yeye hakujali ili mradi yupo na Enock wake basi ina tosha, hakumuacha rafiki yake kipenzi Betty walikua wote bega kwa bega kwa kila jambo,
Ila kadri siku zilivyo zidi kwenda alishangaa mawasiliano na Enock yanazidi kupungua hakuelewa kwanini ,kila alipojaribu kumpigia simu alipewa jibu moja tu kuwa yupo bize, roho ili muuma lakini alivumilia , lakini siku zilivyo zidi kwenda Enock hakupokea tena simu zake, moyo ulizidi kumuuma sana alielewa hapo lazima kuta kua kuna kitu ambacho hakikuwa cha kawaida,
“Betty lazima niende hata kazini kwa Enock mimi simuelewi kwa kweli, tangu juzi hapokei simu zangu, akipokea anasema yupo bize,”
“aaah ita kua yupo bize kweli Catherine, wala usiwe na wasi wasi, haina haja ya kwenda kazini kwake, isitoshe huja wahi hata kufika una pasikia tu”
“si ana fanya kazi NISSAN hapo mbele tu, hata kwa mguu nitaenda, kama una shindwa kuni sindikiza niambie”!
“kwani una taka uende sasa hivi”?
“ndio sasa hivi, ndo namalizia kuvaa hapa nimfuate”
“lakini si umwambie kama una enda”?
“nawewe niambie, una nisindikiza au LA!? ”
“aya tuta enda ngoja nikaoge basi”
Catherine alimalizia kuvaa nguo zake kisha NAYEYE Bettty alikuja na wote kuvaa nguo zao na safari kuanza . kwa kuwa kampuni hiyo ya NISSAN ilikua ipo karibu na hapo walitumia miguu kutembea.
Lakini hawa kujua kuwa wakifika wata mpata vipi ila kichwani kwa Catherine aliwaza kitu kimoja tu kumuulizia Enock endapo ata mkuta mtu yoyote ndani ya ofisi hiyo,
Mwendo wa mita chache walikua tayari nje ya mlango wa kioo na kuusukumiza na wote kuzama ndani.uzuri wa ofisi hiyo ulinakshiwa na sofa za gharama kila mahali na mapambo mazuri, mbele yao walimuona dada mweupe ambaye pembeni yake kulikua kuna komputa, na kumsogelea karibu.!
“niwasaidie nini”?
“aaaah , tuna muulizia Enock. Tume mkuta?”!
“okay, subirini kidogo kaeni pale”
Dada Yule wa mapokezi alitoa ishara ya kidole kisha yeye akachukua mkonge wa simu na kubonyeza namba Fulani baada ya hapo ali watazama,
“subiri kidogo, kuna mtu ana kuja kuwaona naimani ata wasaidia”
Majibu yale yalimfanya Catherine ashushe pumzi ndefu huku akiendelea kuikagua ofisi ile, akipepesa macho yake , mbele yake alikuja mwana mke wa maji ya kunde mrefu kiasi ambaye alivalia tofauti na wafanya kazi wa hapo alijua kivyovyote vile alikua na cheo kikubwa ndani ya ofisi hiyo,
“niwa saidie nini”?
“namuulizia Enock”!
“Enock una muulizia kikazi au binafsi”?
“Binafsi”
“una itwa nani?”
“Catherine”!
Macho ya Heather pale pale yalianza kubadilika rangi kusikia jina lile kumbu kumbu zake pale pale zili mpeleka kwa Enock alijua kivyovyote Yule mwana mke aliye kua amekaa mbele yake, ndiye aliye kua ana mahusiano na Enock, alijua hilo sababu hata yeye alikiri kuwa Catherin ni mzuri. Hasira zili mpanda sana na roho ya wivu kumuingia dakika hiyo hiyo.
“Zainabu, una kumbuka zile dhahabu nilizo ibiwa juzi ndani ya gari”?
“ndio bosi nakumbuka”
“sasa huyu mwana mke ndiye aliye niibia, piga simu polisi sasa hivi waje kumchukua”
Maneno hayo alizungumza Heather na kumfanya secretary wake atoe simu mfukoni na kupiga simu polisi.
BAADA ya dakika mbili tayari watu waliovalia sare za polisi walikua wamesha fika ndani ya ofisi ile, mambo yaliyokua yakitokea mbele yake hakika hakuelewa hata kidogo, amemfuata Enock lakini anaambiwa aliiba dhahabu ukizingatia ndiyo hiyo siku ya kwanza kufika ndani ya ofisi hiyo, lakini vile vile sura ya mwanamke Yule alishaanza kuikumbuka , wala alikua haja kosea kitu, alikumbuka siku Enock alivyo mfika pete ya uchumba mbele za watu,
“jamani mimi sio mwizi, naomba nionane na Enock”
“uta eleza kituoni, sisi tume tumwa kuja kukuchukua twende ukaeleze kituoni, alafu mrembo kama wewe hufananii kabisa na tabia yako,”
Betty rafiki yake kipenzi hakuelewa hata yeye nini kina endelea walizidi kuwa sihi kuwa hawa kuhusika kwa lolote lile ila Heather alizidi kuwahamuru polisi wale waweze kumchukua,
Enock akiwa ndani ya ofisi yake kelele zile alizisikia vizuri sana na kupenya ndani ya ngoma za masikio yake sauti iliyo kua iki lalamika haikuwa ngeni kabisa, alijua kabisa ni Catherine alicho fanya alisukuma kiti nyuma kisha akatoka nje ya ofisi ili ajue ni kipi kili chokua kinaendelea.
Aliona polisi walikua wakimshikilia Catherine .
“kuna nini tena”?
“Love niachie mimi”!
“nimeuliza kuna nini hapa, mbona kelele ofisini kwangu, hawa polisi wame fuata nini hapa, catherine nini tatizo”?
“Enock, wana sema nime iba mimi sielewi nime kuja kukuona wewe lakini naambiwa nimeiba ,”
“wana sema ume iba nini”?
“baby kaiba dhahabu zangu zile, siku ile ndani ya gari, ndo nika waita hawa polisi”
“una uhakika Heather”?
“asilimia mia”
Muda wote Catherine alikua akilia machozi huku akitegemea Enock ndiye ata kua tegemeo lakewakati huo,
“okay askari, mpelekeni polisi, mpaka atakapo taja izo dhahabu zilipo”
Kauli ile kutoka kwa Enock ili mshtua sana Catherine hakuelewa kuwa dawa ya WAKYOKYO ndiyo ilikua iki fanya kazi katika ubongo wake, hakuwa na mapenzi tena na Catherine akili yake ili badilika kabisa baada ya dawa ile kumuingia mwilini na kupenya ndani ya akili yake, hakuona mwana mke mwingine zaidi ya Heather, alimsilikiliza kwa kila kitu ata kacho amua,
“Enock kweli una nifanyia ivi!, niacheni Enock mpenzi wangu , siku tegemea kuwa wewe ulikua muongo, ume pata ulicho kitaka sasa una niona sifai, Enock!, Enock!, Enock!,”
Aliita Catherin huku akibubujikwa na machozi mengi sana, alijiona hana thamani tena kumvulia nguo yake ya ndani Enock alafu leo hii ana badilikwa tena mbele za watu, , alihisi mkuki wa moto ume tua ndani ya mtima wake na kuuchoma kabisa,!
Aliingizwa ndani ya gari la polisi huku safari ya kuelekea msimbazi polisi kituoni kuanza, Betty mwenyewe alionesha hali ya kuchanganyikiwa sana , lawama zote alibeba yeye alimuamini sana Enock nayeye hakutegemea kuwa maneno yale yalimtoka ,
“NATAKA MABUYU”!
“sasa huo ubuyu mimi natoa wapi usiku huu lakini”?
“mimi siyuwe, ila nataka mabuyu”
“sawa basi subiri”
“sitake, nataka mabuyu saa hii saa hiii”.
“punguza kelele sasa watu wamelala Cherie(mpenzi). humu ndani ya ndege huo ubuyu natoa wapi MAMA NATTU, acha makusudi basi, iyo mimba isi kufanye uni sumbue kiasi hiko, tangu juzi sijalala una ni sumbua tu, naomba nilale. Uta fanya mpaka Nattu aamke sasa!”
“shiii usinizoweee, mutoto yako ana sumbua tumboni, kama ukishindwa mimi namtosha, sipendi bya bile mimi.”
“anco samahani kuna tatizo”?
Ili bidi muudumu wa ndege hiyo ya shirika la QATAR airways aulize kutokana na kelele zilizo sababishwa na Julia mke wake na Kway ndani ya ndege hiyo, kelele zile hakika zili fanya mpaka kero kwa abiria waliokua wamelala kwa uchovu wa safari!, mwana mke huyo alikua na sifa ya uongeaji sana hasa alivyokua akishika mimba, japokua iyo ilikua mimba ya pili lakini usumbufu ulizidi, Kway alilijua hilo lakini alimvumiilia sana sababu alimpenda sana Mama wa familia yake, tangu wana toka DOHA kelele hazikuisha, na sasa wali bakisha kituo kimoja tu waka milishe safari yao walio kua wakienda nchini Tanzania jijini Dar es salaam, miaka mingi sana ili pita tangu atoke nchini humo.
“hakuna kitu dada yangu, usiwe na wasi wasi”
Alijibu kway huku akimuangalia mke wake aliye kua pembeni anatoa macho yake makubwa,
Walisha tembea zaidi ya masaa matano sasa angani safari hiyo ili onekana kumchosha sana Kway ukichangia na usumbufu alio-onesha mke wake huyo alizidi kuchoka na kichwa kumuuma kabisa,
“ndugu abiria tuna karibia kutua nchni Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa mwalimu Nyerere ivyo tuna waomba mfunge mikanda yenu,asante kwa kuchagua QATAR AIRWAYS karibuni tena”
Ilikua ni sauti ya kike, iliyotokea katika kipaza sauti iki tangaza kwa lugha nyingi tofauti ili kiila mtu aweze kuelewa, tayari ilikua ni saa nne za asubuhi ,
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA