BIKRA YANGU (19)

0
Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA KUMI NA TISA
ILIPOISHIA...
“nyie kaeni hapa,mimi ndo naenda na huyu mwana mke, simu yangu ita kua hewani mtakua mnasikiliza nina choongea, nikisha ipata familia yangu mtakuja”

“vijana kaeni mkao wa kula , wewe Mahugu na wenzako mtakaa hapa mimi nitaenda upande wa kule”

SASA ENDELEA...
Mazungumzo hayo yalitoka kinywani mwa Koplo Mwita wakiwa ndani ya defender kisha maaskari wale kusambaratika sehemu aliyo ambiwa, Kway aliwasha gari na taratibu kuingia uwanjani ambapo kweli kwa mbali aliona HIACE nyeusi ipo kati kati ya uwanja.
“naacha simu hii hewani, kama nilivyo waambia”
“sawa”

Baada ya kuweka simu ile hewani alizidi kusongesha gari mbele, simu yake iliita na kuipokea.
“SIMAMA HAPO HAPO, shuka ndani ya gari fungua milango yote”
Sauti hiyo nzito ilisika upande wa pili wa simu, na Kway kutii amri alifanya kama walivyotaka kisha kusubiri maagizo mengine.

“OYAA JAMAA YUPO NA MAASKARI, ATAWACHOMESHA.”
“KWELI?”
“NIAMINI. MIMI NDIYO NAONGOZA KIKOSI. FANYENI JUU CHINI MSITOE BOKO”

Yalikua ni mazunguzmo kupitia meseji za simu baina na Koplo Mwita na Ngesa mkuu wa kikosi cha watu Wa mwasha, ki upande fulani Koplo Mwita kichini chini huwa ana kulaga njama na majambazi, na kupewa pesa nyingi sana,ukitaka kuvamia bank au kufanya uvamizi ni lazima uongee na Mwita ili atoe michoro, ivyo tangu ana pigiwa simu alijua fika ni vijana wa Ngesa na kuamua kumpa taarifa zile bila askari yoyote kujua.,

Kway akiwa haelewi hili wala lile simu yake ilipigwa kisha kuiweka sikioni haraka haraka.
“kwa upumbavu uliofanya, tuna muua mkeo, tulikwambia usije na askari, wewe ume kiuka. Sasa ngoja tukuoneshe”!

Kilichosikika upande wa pili wa simu ilikua ni sauti ya bastola iki kokiwa na baadae mlio wa bastola huku akimsikia mke wake akilia kisha tena kusikika mlio wa risasi ya pili na ukimnya kutawala, kwa mbali alisikia sauti ya mwanae Natu akimlilia mama yake!.

Bado alikua ni kama ameganda haamini kile alichokisikia upande wa pili wa simu aliona hiace iliyo kua mbele yake ikigeuza na kutoa mwendo wa kasi sana.
“juliiiaaaaaaaaaaaa, NATUUUUUUUUUU”!

Aliita Kway huku akikimbiza gari lile nakulia kama mtoto mdogo kulikua kuna kila dalili ya kuwa mke wake kesha uliwa tayari.maaskari walifika na Deffender zao na kumtuliza lakini haikua kazi rahisi kwa wakati huo,alilia kwa uchungu mpaka kutoa makamasi malaini, laiti unge muona hakika unge muonea huruma, sababu alijitupa chini huku akipiga piga ardhi.huku akilitaja jina la mke wake pamoja na mwanae Natu.

Watu walizidi kukusanyika ili wawaachanishe Enock na Darlington shebby ambao walikua teyari wana pigana, Enock akiwa anavuja damu kichwani tayari, baada ya kupigwa chupa kichwani , nayeye alishika chupa ya Castle light na

kuipasua pembeni na kufanya ibaki na ncha kali juu yake, hasira tayari zili sha mpanda, nia yake ilikua moja tu kumchoma nayo tumboni Shebby lakini kabla ya kufanya ivyo watu wali muwahi na kumshika kwa nguvu zote!.

“oya tulia acha ufala, hapa tume kuja kufanya starehe, mkitaka kupigana nendeni huko nje, achene mambo ya kise***, “

Pande moja la mtu lenye miraba minne lili-mshika Enock lili kua lina ongea ilionekana dhahiri kuwa alikerwa sana.

Kwa hasira Enock aliiingia ndani ya gari na kuondoka zake, lakini bado moyoni alikua na kisasi cha kulipa.

Catherine akiwa mwenye hofu moyoni alimchukua Shebby na kuondoka zake, hakua na sababu ya kuendelea kukaa tena eneo lile.

Heather hakuelewa kabisa tabia ya mume wake alishindwa kumuelewa Alisha badilika kabisa, ili kua ni kutoka asubuhi na kurudi usiku sana, na wakati mwingine kuto rudi nyumbani siku mbili, akiwa tayari na tumbo kubwa ambalo lilishaanza kuonekana machoni mwa watu, akitegemea kuwa ata pata ukaribu sana kutoka kwa mume wake lakini haikuwa ivyo, hali ilivyo zidi kuwa tete alishindwa kuvumilia ili mbidi tu apasue jipu na kutoa yale ya moyoni,

Siku iyo Enock akiwa ana jiandaa alimfuata mpaka sebleni.
“Enock mume wangu, alafu juzi hukuniambia ulifanya nini usoni, mpaka ukaweka hiyo bandeji”
“accident,”!(ajali).
Alijibu Enock kifupi bila kumuangalia usoni huku akiendelea kuvaa soksi
“pole, lakini mbona siku izi siku elewi mume wangu,”?
“hunielewi, How”?.
“ume kua mtu wa kutoka asubuhi na kurudi usiku sana, na hii hali niliyo nayo, sio kama zamani, umenichoka au”?
“ipo siku uta jua ukweli, your days are numbered(siku zako zina hesabika)”!

Enock alizungumza huku akisimama , ki ukweli alitamani kuropoka kila kitu lakini alifuata ushauri kutoka kwa rafiki yake kipenzi Anderson Peter mshenga wake, kuwa asikurupuke sababu hana usha hidi wowote ule, aliamua kuufata ushauri wa rafiki yake huyo.

Heather alimfuata na kumshika shati lake ili asitoke ila alisukumizwa na kupigwa makofi ya shavuni na kudondoka chali juu ya sofa.,bila kujali lolote alitoka nje na kuondoka zake.

Bado mzee Mwasha roho ilimuuma sana kumkosa Catherine alitamani siku moja aje kuwa mke wake, kweli alionesha kila juhudi za kumpenda na kuapa kwa yoyote atakae hisi ana mahusiano nae atakula nae sahani moja ,bado hakusahau matusi aliyo tukanwa na aliye hisi kuwa ni mpenzi wa Catherine, alipanga kumfanyia kitu kibaya sana, ilikua ni kama fedhea kwake.

“Beatrice mbona una kua hunielewi lakini?”

“sikuelewi nini David”!?

“naomba uwe mke wangu”!

“haya tulisha yaongea tayari David, nina mpenzi tayari, na sipo tayari kumuacha, naomba nielewe tuwe tu watu wa kawaida, isitoshe wewe ni kama mzee wangu”!

“uzee wangu, haujanizuia mimi kukupenda wewe!, kitu gani nifanye ili uamini kweli mimi nina nia nawewe”?

Yalikua ni mazungumzo ya Mwasha akiwa na Catherine kwenye moja ya mgawaha wakila chakula cha mchana siku iyo, Mwasha alibaki kumwangalia mrembo huyo na kukiri kweli ni mzuri kupita kiasi, hakuwahi kuona mwanamke mzuri kama huyo, alikua ni kama malaika kwake,

kichwani kwake alipanga ndoa tu, na kwa kua mke wake tayari Alisha kufa hiyo aliioana ni fursa pekee hata akifunga nae ndoa,
“hapana, siwezi Mr, David!”
“basi fikiria”
“hapana siwezi,nielewe please!”.

Mwasha bado alizidi kumsisitiza lakini bado aligonga mwamba, ili bidi tu abadili stori na kuendelea kupiga hadithi za kawaida , baada ya hapo waliagana, lakini bado mzee huyo alikua na kinyongo ndani ya moyo wake, Alisha dhamiria kumfanya kitu kibaya kwa yoyote atakae kua na mahusiano na Catherine.

MASOMO KWAKE yaliendelea kama kawaida akiwa na maisha mapya ya kimapenzi na Darlington shebby alimuonesha kila aina ya mapenzi, na kumuhaidi kuwa akimaliza masomo yake waweze kufunga ndoa,

Catherine alikua ni mtu mwenye furaha sana,siku hiyo wakiwa na Shebby jioni wakila chakula cha usiku kwenye moja ya mgahawa , Catherine alimuaga na kuelekea msalani,

Ila baada ya kutoka msalani alihisi kitu kama kitambaa kime mziba pua zake na baada ya hapo aliishiwa nguvu mwili mzima na kupoteza fahamu zake,

Baadae alivyo fungua macho yake baada ya kurejewa na fahamu alikua ndani ya gari , pembeni yake aliona sura ya Enock.
“Enock”!
“naam Catherine”!
“una shida gani na mimi lakini”?
“nakupenda Catherine, wala sina shida nyingine”
“ndo unaamua kuniteka”?
“sija kuteka nataka twende sehemu tuka zungumze”
“hapana”

Kabla ya kuoongea neno lingine Enock alitoa gari mbio sana na kuchanja mbuga kwa mwendo wa kasi huku Catherine akipiga kelele nyingi za kushuka,

Gari lilizidi kwenda mbio ila cha kushangaza ghafla mbele yao zilitokea gari tatu na kuwaziba wasitembee, kitendo cha sekunde mbili tayari waliingia watu wanne waliojiziba nyuso zao ndani ya gari la Enock na kumtoa huku wakimpiga kisha kuingia nae ndani ya gari lao na kuondoka zao huku waki muacha Catherine ashindwe kuelewa nini kime tokea, alikua ame pigwa na bumbuazi akishuhudia gari zile ziki tokomea kwa kasi..

“Bosi tunae, tumuuwe au”?
“si ana jifanya kidume, mteseni kisha mumuuwe leo leo”
“sawa mkuu”
Simu ili katwa na kilicho tokea hapo ni Enock kupokea kipigo kikali na watu hao ambao hakujua wame tokea wapi….

Kweli katika maisha yake sasa alimuona Darlington Shebby ndiye mwana ume sahihi kuliko wote, alijuta sana kutolewa bikira yake na Enock, alimuonesha kila aina ya mapenzi shebby, alipokua Catherine humkosi Shebby na alipocheza Shebby basi Catherine yupo kushoto kwake hakika yalikua ni mapenzi ya kipekee ya kama Ali na philimoni., walivyo pita mitaani wengi waliwanyooshea vidole kuna wengine walipendezeshwa na mahusiano yao ila wapo walio wachukia pia.lakini yeye hakujali ili mradi moyo wake uliridhia kuwa na shebby., wana ume waliomsumbua wote

waliwekewa kifua mbele na Shebby, Alisha tengeneza bifu na baadhi ya watu mtani pia, walishataka kupigana hata na visu na kijana wa mtaani hapo aliye itwa Urio.,

Mapendeshee walizidi kupishana kila kukicha na magari ya kifahari waki piga misele ila wakati mwingine waliambulia kutukanwa na Shebby.

Sasa hata wakati mwingine Catherine hakulala hostel alikua analala kwa Darling tonshebby wakila maisha.
“kwaio Yule bwege ndo alikua ame kuteka”?
“achana nae chizi Yule”
“ana itwa nani tena”?
“Enock”
“uli mpa nini Yule mwana ume?”
“tuachane nae, sitaki hata kumsikia ili mradi nipo na wewe ina tosha baby”
Yalikua ni maongezi baina ya Shebby na Catherine wakiwa chumbani juu ya kitanda usiku huo, huku Catherine akiwa kwenye kanga moja peke yake ambayo ili mchoresha umbo lake lililo kua nambari nane.

Hapo hapo alianza uchokozi na kuanza kumkwaruza Shebby na kucha zake kifuani na kufanya jogoo wa kijana huyo aanze kufurukuta ,

Catherine alilijua hilo alitabasamu kisha kupitisha mikono yake laini juu ya gunzi la Shebby, alisha mzoea sasa na wala hakua na aibu kama hapo kipindi cha nyuma!,

Alianza kuchua taratibu BUNZI la Shebby na kuanza kuchezesha mikono yake juu ya kifua cha kijana huyo ambaye kwa wakati huo alianza kuji pinda pinda na kurembua macho yake kama aliye kula kungu ,
Hakuishia Hapo alifika mpaka kwenye chuchu za kifua cha shebby na kuanza kuzi gusa gusa kisha kuanza kuzilamba na kuzinyonya hapo ndipo alikua kama amewasha gari,
“aaah aaaah baby leo tulia ivyo ivyo, sitaki ufanye chochote!”

Alizungumza Catherine huku akirembua na kufanya sasa JOGOO wa shebby asimame namba moja, taratibu alimvua boxa yake kisha kuitupia pembeni na kushika AK 47 ile kwa mkono mmoja ambayo aliiweka sawa sawa na kuanza kuichua taratibu sana, taratibu aliinamisha shingo yake na kuiweka mashine mdomoni na kuanza kuilamba kimahaba huku akilamba lamba kichwa kama koni yenye ice crim juu yake,

Alimfuata masikioni na kuanza kumnyonya masikio kisha baadae kumfuata mdomoni kisha kunyonya lips za kijana huyo mpaka ndimi zao zilipokutana na kuanza kucheza ndani ya midomo yao,

Walikua tayari wamezama katika bahari ya raha, kila mtu alikua yupo mbali sana kihisia mambo yalienda taratibu kuliko siku zote zilizo wahi kupita,

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)