SEHEMU YA KUMI NA NANE
ILIPOISHIA...
Pengine kuliko wote ulimwenguni , alishaya sahau mambo yote aliyo tendewa kipindi cha nyuma, ili mpasa tu asonge mbele, na maisha yazidi kuendelea.,SASA ENDELEA...
Waliendelea kulambana midomo huku Catherine akitoa mihemo puani iliyo hashiria kua yupo katika hali ya utofauti, taratibu Darlington shebby alivua nguo za mrembo huyo ambaye mpaka dakika hiyo hakuamini kama ana enda kumla, hakuamini kuwa bahati ile inge mdondokea alijiona bingwa pengine kuliko vidume wote ,
Aliingiza mkono wake taratibu chini ndani ya sketi ya Catherine na kuanza kucheza na ikulu ya mrembo huyo ambae sasa alikua kesha legea kabisa, taratibu alianza kuishusha sketi yake huku ulimi wake akiutumbukiza ndani ya masikio ya Catherine ,
baada ya sketi ile kutolewa alipanda juu ya blauzi na kuanza kuitoa na kuanza kumnyonya maziwa, ambapo aliya bananisha yote mawili akitumia mkono mmoja kisha kuanza kuyanyonya kila moja kwa wakati wake akitumia ulimi wake alioutoa nje kama kinyonga anaye taka kunasa nzi,
Baada ya muda mfupi wote walikua kama walivyo zaliwa, bado waliendelea kushikana mpaka pale Catherine alivyoloana kwenye ikulu yake, kilicho fuata hapo kili kua ni kuvunja amri ya sita na kumaliza chaga, alipanda juu yake
kisha KUCHUKUA SWITCH socket yake na kuitumbukiza ndani ya mgodi wa Catherine ambao bado ulikua una tundu dogo kutokana na kutokuchimbwa kwa kipindi kirefu au mara moja tu,ili mpa sana shida Darlington shebby kuingiza MKONGE wake ndani ya mgodi wa mrembo huyo aliye kua mweupe kama theruji ya mlima kilimanjaro, alivyo ingiza MKONGE wake tayari ulibanwa vizuri kabisa na kuhisi kuna joto kali sana na ndo hapo shughuli na miguno kutoka kwa Catherine kusikika.
Akiwa ana osha vyombo asubuhi ya siku iyo jikoni asubuhi alihisi kishindo cha geti kufunguliwa, akiwa na tumbo lake kubwa la mimba ambapo ili baki miezi kadhaa ajifungue mtoto, alijizoa zoa ki uvivu uvivu na kuchungulia dirishani ili
kujua kishindo hiko kilitokana na nini, hakuamini alichokiona alimuona mlinzi wa getini akipigwa na kitako cha bunduki na kudondoka chini kisha kuwa ona watu tisa wana ingia ndani,alihisi tumbo lina muuma sana, alihisi mkojo una mtoka, kway alikua teyari yupo kazini ametoka asubuhi ndani kwake alimuacha mke wake julia na mwanae Natu na mlinzi wa getini peke yao, tayari watu wa Mwasha walisha fika ndani mule na kupiga mlango teke kisha kuingia ndani na kuanza kupekua.
“Natu, usipige kelele kuna majambazi mwanangu, usiogope nampigia simu baba yako sasa hivi atakuya kutu okoa, usilie Natu sawa, usipige kelele, Eeh Baba wa mbinguni utu saidie watu hawa wasitudhuru , Mungu baba ,Mungu baba, onyesha miujiza yako”!
Walikua ndani ya kabati wame jificha na mwanae Natu waliamini kuji ficha ndipo wange okoa maisha yao, alimuomba Mungu baba Wa majeshi atende miujiza sana, huku akitoa simu na kumta futa mume wake Kway hewani ila alivyopiga haikupokelewa alijaribu mara nyingi hali ili kua ile ile, kwa mbali alihisi
watu wakija chumbani kwao walipo jificha na kuingia chumbani na kuanza kupekua pekua, moyo wa Julia ulienda mbio huku kiganja chake kikiwa mdomoni mwa mwanae Natu, akimzuia asipige kelele yoyote ile ndani ya kabati la nguo.
“una uhakika wata kua humu ndani”?
“acha kelele, cheki uvunguni humo,”
“hakuna kitu”
“sasa tuta mueleza nini bosi tukiwa kosa”
“sidhani kama wapo humu, tusepeni, tuta kuja usiku.”
Ili ongea mijitu iyo baada ya kukubaliana kuondoka na kuwakosa, ila mmoja kati ya wale alichezwa na machale na kusita kidogo, baada ya kuliona kabati kubwa la nguo , aliliendea na kulifungua,
“hawa huku, walikua wame jificha kwenye kabati”
Liliongea jitu hilo na wenzake wote kurudi..
NUSU SAA KABLA.
“simu yako ina ita Kway”
“nani ana piga”?
“WIFE”
“achana nayo, niko bize hapa Hussein Molito, achana na hiyo simu, huyo mwana mke ata nisumbua tu, mimi namfahamu”
“uwezi jua ana shida gani Kway, achana na mambo ya kutype”
“Molito eeeh!, embu tumalize kutengeneza hiki kitabu hapa cha stori , tuki hakiki fasta fasta . tukitoe wiki ijayo, nita ongea nae baadae huyo mwanamke,alafu isitoshe bado mkono wangu hauja pona vizuri hapa”
“kuna kitu nahisi mbona ana piga mfululizo”
“ndo alivyo kaka!”
“sawa hakuna tabu, ngoja basi nimalizie ile stori ya MCHORO WA AJABU ni post facebook, alafu nije nikuelekeze baadhi ya vitu hapo, naona kuna makosa kidogo hapo nahitaji kukurekebisha,”
“poa haina noma”
Laiti kama Kway ange jua simu ile ili kua ya maana kwake wala asinge iacha alimzoea mkewe ni mtu mwenye maudhi au msumbufu sana kwake kila asubuhi,alijua kua wenda ata kua katika hali ya usumbufu, lakini haikuwa ivyo alikua katika shida kubwa sana, wenda angewahi kupokea simu ile mkewe asingekamatwa na majambazi, uwezo wa kumuokoa alikua nao kabisa.
“TUNA MTOTO WAKO NA MKEO, NJOO NDANI YA MASAA MAWILI UJISALIMISHE LA SIVYO TUNA WAUWA WOTE, USIWA SHIRIKISHE POLISI KAMA UNA MTAKA MKEO AWE SALAMA,! UKIWA TAYARI UTA TUAMBIA. KUMBUKA MKEO NI MJAMZITO, FANYA MAAMUZI YA HARAKA!”
Ulikua ni ujumbe wa kutisha sana na wenye uzito kupita kiasi, moyo wa Kway ulilipuka kama bomu la kombola na kufanya mapigo yake ya moyo yamwende mbio, pengine hata kutaka kutoka nje ya kifua, aliusoma ujumbe ule mara mbili mbili huku akiyatoa macho yake,
Haraka haraka aliweka mkono wake juu ya simu na kutafuta jina la mkewe kisha kupiga namba zile na kuweka simu sikioni,, ila cha kushanganza haikupokelewa, aliipiga tena na kupokelewa na kusikia sauti ya mtoto mdogo wa kike, hakukuwa na haja ya kuuliza ni nani alijua dhahiri ni mtoto wake Natu.
“Mama yako yuko wapi Natu”?
“Dad, naogopa , wana mpiga mama Tumboni. Hatujui tunapo enda Dad”!
“una semaje,? kwani , kwani kwani kwa.. mpo wapi”?
Kway aliongea kwa kiwewe
“Dad Mama ana…,.. halloo bwana kway!”
Ilisikika sauti nzito upande wa pili wa simu sasa.
“naomba, nawaomba sana, muiachie familia yangu, nitawapa pesa mnazotaka”
“hatuna haja ya pesa zako tuna kutaka wewe hapo na mwanamke anayeitwa Sabrina, ndani ya maasaa mawili mje jangwani pale uwanjani uta kuta hiace nyeusi, . hapo uta mpata mke wako na familia yako, maisha yao yapo mikononi mwako, kutokuja kwako ndani ya masaa mawili itamanisha kifo”
“naomba niongee na mke wangu”
“usitujaribu njoo jangwani, ndani ya masaa mawili na Sabrina.”
Simu ile ili katwa na kumfanya Kway ainamishe kichwa chake chini, hakuelewa nini hasa watu wale wana taka kama pesa walikataa, bado alikua katika wakati mgumu sana, hakuelewa amwambie nini Sabrina ili akubali waende.
Enock akiwa baa jioni ya siku hiyo ana kunywa pombe hakuamini watu aliowaona mbele yake walikua ni Darlington shebby na Catherine , walifika na kuketi kisha kuagiza vinywaji, hakutaka kuendelea kukaa pale, alisimama na kuwa fata kwenye meza yao kisha kuvuta kiti bila ya hata kuambiwa akae.
“Wapendanao”!
Aliongea mwenyewe kwa nyodo na wote kunyamaza kimnya . alivyoona vile alimwangalia Darlington shebby na kushika vizuri glass ya bia aliyo fika nayo hapo kisha kuanza kuimimina kichwani mwa Darlington Shebby huku akicheka kicheko cha kebehi, alichukua tena nyingine na kum-miminia tena kichwani,
Kitendo cha kumwagiwa pombe yeye aliki tafsiri kama dharau tena mbele ya kadamnasi, hakuweza kuvumilia , hakutaka swala lile kulilazia damu,hasira zili mpanda na kuinuka kama umeme na kumvaa Enock akitumia bega lake na kumuweka ukutani , alivyoangalia upande wa pili aliona chupa ya wisky na kumpiga nayo kichwani,na kumfanya Enock damu zianze kumvuja nyingi usawa wa uso…
Kway alizidi kuchanganyikiwa aliona dunia sasa ipo juu chini chini juu, mambo yaliyo kua yana mtokea aliona dunia ime mpiga tik taka, aliwaza sana, swala la kumpeleka Sabrina mikononi mwa Watu wabaya bado lili muumiza kichwa chake, lakini licha ya hayo yote alimuwazia sana mke wake Julia ambaye kwa wakati huo alikua mjamzito na mwanae Natu, alizidi kuchanganyikiwa, kuitoa familia yake ilikua ni lazima amchukue Sabrina na kumpeleka kwa watu walio mpigia simu japo kua hakujua wana nia gani nayeye,
Aliangalia saa yake ya mkononi na sasa alikua amebakiza lisaa limoja ilikua ni lazima acha kachue akili yake na atoe maamuzi ya haraka sana.
“LAZIMA niwa shirikishe polisi, siwezi kufanya hili jambo mwenyewe lazima niikomboe familia yangu”
Aliwaza Kway na kutoa simu yake mfukoni kisha kumtafuta RPC Mkumbo, na kumuelezea kila kitu kilicho kua kina endelea haku mficha chochote aliamini kuwa ndiye ata kua msaada wake pekee.
“Kway, kwanza pole sana. Kwa sasa hivi hapa ninavyo ongea nawewe nipo uwanja wa ndege nasafiri leo hii, ila
nitawaachia vijana wangu maagizo yote, ondoa shaka Mdogo wangu, nenda kituoni pale mtafute koplo MWITA “
“ahsante sana mzee wangu nashukuru sana!”
“usijali, nikisharudi wiki ijayo mimi mwenyewe nita lifuatilia swala lako”
“hakuna tabu, safari njema”
“asante”
Simu ili katwa na kway kuanza kujiandaa akimuaga rafiki yake kipenzi au Mtunzi mwenzake Hussein Molito kisha kuingia ndani ya gari na mbio mbio kwenda mpaka kituo cha polisi Posta , hakukua na shida yoyote sababu walijua ujio wake, ivyo kila kitu kili pangwa, nayeye kumtafuta Sabrina kwa njia ya simu.
Alifika mpaka Bunju na kuweka gari nje, mbio mbio aliingia mpaka ndani na kumueleza Sabrina kila kitu mpaka familia yake ilivyo kamatwa.
“kway mimi naogopa”!.
“kila kitu kipo sawa, sote tutarudi”
“hapana siwezi kwenda Kway”
“una maana gani”?
“nina maana siwezi kwenda, kwani wewe ume nielewaje”?
Kway alizidi kuchanganyikiwa na kuzidi kuchachawa kabisa, aliwaza jinsi alivyo msaidia nayeye kupigwa risasi kwa ajili yake,
“huyu huyu sabrina nili muhangaikia mume wake, na kupigania maisha ya mume wake Ramsey leo hii ana sema hawezi kunisaidia, leo hii namwambia mke wangu ametekwa ana nijibu nyodo, lazima nitumie nguvu, lazima nifanye jambo ili familia yangu niikomboe”
Kway alizidi kuunga unga matukio huku akimkazia macho yake Sabrina, alitoa bastola yake na kumuwekea Sabrina
kichwani hakua na chaguo lingine zaidi ya kufanya ivyo, hakua na chaguo jingine zaidi ya kuchukua uamuzi mgumu.
“inuka sasa hivi kabla sija fumua ubongo wako, siku taka kufika huku, simama Sabrina”
“Kway, kwa kwa kwa kway, tafadhali usifanye ivyo, tuongee tu kawaida, tafadhali shusha bastola yako chini tuweze kuongea”
“sina muda wa kuongea nina nusu saa tu, ongoza mbele”
Macho yake sasa yalisha m-badilika rangi hakuweka tena sura ya mzaha, Sabrina akiwa mbele yeye akiwa nyuma yake waliingia ndani ya gari na kutoka mbio huku Sabrina akiwa ana tetemeka.
“Kway nime kubali, naomba usiniue, najua una hasira..haina haja ya kutumia nguvu na kutoleana bastola, sisi ni kama ndugu tume toka mbali,ulikua rafiki mkubwa wa marehemu Ramsey!”
“ndo una jua sasa hivi”?
“sio ivyo”
“kaa kimnya”
Gari lilizidi kuchanja mbunga huku akifanya mawasiliano na koplo Mwita na kumwambia kuwa tayari maaskari wameshatanda karibu na uwanja wa jangwani ivyo walikua wana msubiri yeye, aweze kuwaambia cha kufanya,
Ndani ya Dakika arobaini tayari alifika uwanja wa jangwani na kuongea na maaskari wale.
“nyie kaeni hapa,mimi ndo naenda na huyu mwana mke, simu yangu ita kua hewani mtakua mnasikiliza nina choongea, nikisha ipata familia yangu mtakuja”
“vijana kaeni mkao wa kula , wewe Mahugu na wenzako mtakaa hapa mimi nitaenda upande wa kule”
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA