BIKRA YANGU (5)

0
Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA...
Juma moja lili pita bila ya kwenda shule kutokana na mama yake kuma kataza mpaka hali yake itakapokua sawa kama hapo awali, kweli hali yake ilizidi kuwa nzuri na baadae kurudi shule ili kujuimika na wana funzi wenzake ambao walionekana kumchangamkia sana alipo fika shuleni,
“cate ulikua na tatizo gani mbona shule ulikua huji”?
“nilikua naumwa Rose, “.
“nini tatizo”?
“malaria tu”
“pole sana umepona lakini”?
“nime pona tayari, vipi mmefikia wapi Geography, utaniazima madaftari yako nianadike notes za nyuma”
“sawa, ila Adam bado anakuomba uwe girlfriend wake”
“lakini si nilisha kwambia Rose mimi siwezi kua nae”
“nakuomba muonee huruma binamu yangu”
“hapana siwezi”
“kwani Catherine, una boy au”?
“wala sina”
“Sasa kwanini una mkatalia binamu yangu, ana kupenda kweli”
“muda wangu bado”
“bado kivipi sasa?, kwani huja wahi kusex na mwana ume mpaka useme bado”?
“sijawahi,”
“mmmh mimi nabisha”
“kama una bisha basi, ila ukweli ndo huo”

SASA ENDELEA...
Jambo lile lili mshangaza sana Rose kwa msichana mzuri kama catherine kuwa bikra hakika lilikua ni jambo la ajabu kwake,

Waliamua kupanga mikakati na Adam ili waweze kumnasa Catherine hakutaka binamu yake amkose Catherine hata kidogo alimuhakikishia kila kitu kitaenda sawa
“wewe si una geto”?
“geto geto geto, nita muomba jamaa angu mmoja hivi”
“liandae kesho kutwa sasa, mimi nitakuletea mtoto Yule geto pale kwa MOSES, sasa ushindwe wewe”
“au sio nakuaminia Rose”
“poa poa, ngoja nika mset”

Kwa upande wa Rose yeye alijulikana shule nzima kwa ukuwadi hakuwahi kushindwa kazi iyo, kama una mtaka msichana yoyote Yule shuleni hapo uki mfuata Rose uta mpata mara moja wenzake wali mpachika jina na kumuita

KIPIKIPIKI POSTA jina hilo lilivuma kwa kasi sana kama upepo juu ya kazi iyo aliyo kua akiifanya kama analipwa vile,

Kesho yake alimfuata Catherine darasani kwake na kumuomba waingie kwenye school bus lingine ili waweze kwenda wote nyumbani kwao akimuhaidi kua ata mpatia notes zote,

hakukuwa na haja ya Catherine kukaataa sababu alikua akiihitaji notes za darasani za vipindi vya nyuma vilivyo pita kuliko kitu chohote kile,bila kujua kichwani mwa Rose kuna nini hakuelewa kuwa kuna njama nyingine zilipangwa, aliingia ndani ya basi la shule jingine na kuondoka na Rose, baada ya kushuka na Rose maeneo ya kijitonyama walinza kutembea kwa mguu, hatua chache tayari waliingia ndani ya chumba kidogo kilichokua na kitanda peke yake na t,v wote walikaa juu ya kitanda,
“nipe basi izo notes niondoke”
“subiri kidogo, mbona una haraka, notes zipo ila ina kubidi uni subiri hapa mimi nika zichukue nyumbani”
“mimi naogopa, kwani hapa kwa nani”?
“wewe nisubiri”
Rose alivyo toka alimpungia Adam mkono na kumuoneshea kidole kuwa kila kitu kipo sawa, haraka haraka Adam aliingia kama mkuki na kuufunga mlango kwa ndani
“Adam”
“naam Catherine”
“Rose yuko wapi”?
“ana kuja sasa hivi”
Adam aliwasha t,v na kumkaribisha Catherine juici, hakua na wsi wasi hata kidogo sababu alimuamini ‘sana Rose bila kujua tayari kasha uzwa alianza kunywa juici ile.
“yuko wapi Rose mimi nataka kuondoka Mama sija muaga”
Alizungumza Cate huku akiwa mwenye wasi wasi sana.
“ata kuja sasa hivi”

Tv ili washwa na Adam kuweka sinema ya NGONO ambapo baadae kidogo Cate aligandisha macho yake juu ya kioo cha tv huku hisia kali zikianza kumteka akili yake, damu ili mwenda mbio na kuanza kutetemeka na kudondosha glass ya juice, Adamu alijua fika nini maana ya Catherine kudondosha glass alimfuata pale pale na kumuendea mdomoni na kuanza kumnyonya mdomo na kumfanya Catherine aanze kuhisi raha hasa baada ya Adamu kuanza kushika maziwa yake…..

Mambo yalikua sio mazuri ndani ya ofisi ya NISSAN , mambo yalikua tofauti kuliko siku zote wafanyakazi wa ofisi hiyo waligongana vikumbo kupishana mlangoni, siku hiyo kwao ilisogea mwendo wa kinyonga hakika mambo hayakwenda sawa kabisa, hisia za kufukuzwa kazi zili jijenga ndani ya mioyo yao wasi wasi ulizidi kuwa tanda sana na hofu kutawala , walizidi kupishana huku na kule kuingia na wengine kutoka ndani ya ofisi kubwa iliyo jengwa na vioo ya mkurugeniz wao ENOCK DAVID MWASHA , siku iyo alionekana mwenye hasira sana, baada ya kugundua kuwa kuna upotevu wa pesa nyingi sana ambazo ziliibiwa na kutoelewa nini zili fanyiwa,

“Milinga stop playing with me, I need more details of these items on my desk with deep explaination, am not stupid(Milinga usicheze namimi,nataka maelezo ya kutosha juu ya bidhaa izi juu ya meza yangu, na maelezo ya kina, mimi sio mjinga), na sasa hivi na hitaji , material transfer, nataka delivery note na invoce zote”

Miilinga aliye kua mbele yake alianza kutetemeka kwa hofu kubwa huku jasho jingi liiki mtoka japo kulikua kuna kiyoyozi kiki puliza.

hakuwahi kumuona bosi wake akiwa katika hali hiyo tangu aanze kumjua, haraka haraka alitoka na baadae kurudi na makaratasi pamoja na vitabu vyote vilivyo hitajika na kuanza kuvifunua huku akimuonesha bosi wake.
“nani alitia sahihi hii delivery note”?
“Anitha, ni Anitha bosi”!.
“mwite”
Secretary aliye itwa Anitha aliitwa mara moja na kuingia kwa bosi huku pia nayeye akionekana akiwa na hofu nyingi sana kupita maelezo, alijua mambo hayaja enda vizuri upande kwa wake ,
“wewe ndiyo uliye sahini hapa”?
“ndi ndi ndio bosi”
“300pcs za NISSAN ENGINES , mbona zipo tisini peke yake”?
“abeee”
“huja nisikia.? Nakuuuliza ivi hapa uli saini kuwa ulipo kea pisi mia tatu za injini za Nissan, ?”
“nime kusikia bosi. ”
“zingine ziko wapi”?
Swali hilo lili mfanya Anitha aanze kuangalia chini kweli ki upande Fulani alianza kubabaika sana, alielewa fika kuwa walikula njama na Milinga juu kwa juu na kula pesa nyingi sana, kwa kuuza injini izo waki shiriaka na watu tofauti.!

“hivi mna nifanya mimi fala sana. Mna jifanya wajanja wajanja sana, sasa sikilizeni njama zenu zote najua kila kitu najua izi ingine mlimuuzia KENNY mmiliki wa magari ya MERIDIAN sasa basi both of you hamna kazi,, “

Aliongea kwa hasira sana na kuinua mkonga wa simu iliyokua mezani na kubonyeza bonyeza namba za simu huku akiwatazama wafanyakzi waliokua mbele yake , ambao kwa wakati huo walikua wakioomba msamaha na kumsihi asiwa fukuze kazi,

“Dora, ndio naomba chapisha barua , hawa watu nimewa fukuza kazi sitaki kuwaona hapa ofisini mwambie na askari huyu Anitha na Milinga, one more thing (kitu kingine) leo saa kumi jioni wata ngazie wafanya kazi wote kuwa , kuna meeting”

Kweli aliyoongea alikua anamaa nisha baadae barua zili cha pishwa na waliohusika kweye wizi wa mali wote wali fukuzwa kazi sababu walianza kutajana baada ya Enock kuanza kufanya uchunguzi wa kina.

Akiwa ofisini kwake bado sura ya Catherine ili mjia kichwani mara nyingi, hakika alikiri kua hakuwahi kumuona msichana mzuri kama Yule, japokua haku pata nafasi yakuongea nae ila aliaapa ata tumia pesa zozote zile kumtafuta jijini Dar es salamaa saababu alirudi hospitali kumuulizia ila aliambiwa tayari kesharuhusiwa, taratibu za kuanza kumtafuta Catherine ziilianza japo kua hakua ana jua angeanzia wapi kumpata sababu hakua hata na picha yake .

Adam alizidi kunyonya mdomo wa Catherine huku akiwa juu yake na kuingiza mkono ndani ya sidiria aliyovaa na sasa hivi kufanikiwa kushika chuchu zake ambapo alianza kuzishika kwa juu, kwa raha alizosikia alianza kufumba macho yake, hakuwahi kusikia vitu kama vile ndani ya mwili wake kiasi kwamba mapigo yake ya moyo yalianza kumwenda mbio kupitiliza,hakuelewa hali hiyo ili tokana na nini,Adam aliendelea na zoezi lile na kumvua shati lake la shule, huku akiendelea kumlamba sehemu mbali mbali za mwili wake, alishusha mkono wake chini ya ikulu ya Catherine ila ulizuiwa baada ya Catherine kukamata mkono wake ili asiweze kuupitisha ndani ya sketi yake,bado Adam alizidi kutumia nguvu ila jitihada zote zili gonga mwamba na kuanza tena kibarua cha kumnyonya maziwa Catherine ili alegee lakini jambo lina kua lile lile hakuweza kuingiza mkono wake ndani ya sketi ya Catherine.
“sasa mbona una kataa”?
“mmh mhhh sitaki”
“kwanini sasa”?
“sitaki”

Ili bidi Adam atumie nguvu zake kutaka kushusha sketi ile kinguvu, purukushani ilizidi kuendelea huku Catherine safari hii akiwa amekasirika sana na kumsukumiza Adamu pembebi hakuelewa nguvu zile kazitolea wapi.

Hali ya chuki ina zidi kumuingia na kuanza kumchukia Adam kwa kitendo cha kutaka kumuingilia kimwili akitumia nguvu, alichukua nguo zake haraka haraka na kuzivaa huku akimtukana Adam aliapia hatoongea nae tena ,

Siku zilizidi kwenda na majuma kukatika Catherine akiwa shuleni hakua na mazungumzo na Rose tena hata kwa Adam hakutaka kumuona tena mbele yake aliwa chukia sana watu hao wawili kuliko mtu yoyote Yule, hakutaka rafiki mwingine yoyote aliamini kuwa marafiki ni wabaya sana, shuleni hapo alikua akikaa kivyake bila rafiki yoyote Yule,

“Anti yangu wana ume ni wabaya sana. Wana ume ni waongo, kama ushaanza mambo ya wana ume acha kabisa, wata kudanganya ili wapate wana cho kitaka wakuache, WANA UME NI WAONGO”
Yalikua ni maneno kutoka kwa Loydah shangazi yake siku iyo wakiwa sebleni pembeni alikaa Sabrina , aliweza kumwambia mambo mengi juu ya wana ume walivyo kua waongo na mbinu mbali mbali za kuwa danganya wasichana, hakika walizidi kumtia maneno yenye sumu na kuzidi kuwa chukia wana ume,

“bora umwambie shangazi yake, hata marehemu baba yake ali shawahi kuniambia nikwambie, mwananngu wana ume sio watu wazuri ni mashetani”
“sawa mama nime kuelewa”

Catherine aliitikia kiunyonge hakiika maneno yale yali muingia akilini na kuanza kuwa chukia wana ume, mwana mme yyoyote aliye mtamkia nakupenda alimwona ni muongo tena alimchukia vibaya sana, hakika aliwa chukia mpaka ana maliza kidato cha nne st marrys hakuna hata mwana ume mmoj aliye bahatika kuvunja bikira yake.

Miezi ilisogea kidogo na majibu kutoka lakini hakufanya vizuri katika mitihani yake jambo hilo lili mchukiza sana mama yake mzazi lakini hakuwa na jinsi zaidi ya kumuanzia chuo cha CBE ili aendelee na elimu, huko ndo neno nakupenda lili kua kero katika masikio yake, katika hali ambayo alishindwa kuielewa aliji kuta ana nasa katika mtego wa kijana aliyeitwa Elvis, alikua ni mtana shati sana, ila jambo moja lili lokua liki msumbua akili ni kumvulia nguo yake ya ndani, hakika swala hilo lilikua gumu kwake, kadri siku zilivyo zidi kwenda ndipo hisia kali za mapenzi juu ya Elvis zili zidi kupamba moto na kuamua siku iyo kwa hiari yake amvulie nguo ya ndani, sababu hakua na jinsi yoyote aliamini asipo fanya wenda ange mkosa Elvis,
“lazima leo niende kulala na Elvisi leo nampenda sana”.

Aliwaza Catherine akiji podoa na kutoa simu yake ya mkononi ili aweze kumjulisha Elvis ila alisita kupiga simu na kutaka kumfanyia surprise siku hiyo, aliji pamba vizuri kuliko kawaida, kweli siku iyo alipendeza sana kuliko siku zote pia uzuri wake ulichangia…..

Msichana mrembo ambaye wengi walimtabiria kuwa wenda miaka ya baadae anaweza akaja kuwa misi Dunia bado anazidi kutingisha na kutishia kwa uzuri wa kipekee ambao dhahiri kabisa alionekana kutokua na kasoro yoyote ile, licha ya uzuri wake lakini bado hakuwai kumvulia mwanamme yoyote Yule nguo yake ya ndani. , wana ume wengi vile vile na mapedeshee wa mjini kila siku iendayo kwa Mungu walipishana na magari yao wakipoteza pesa zao ili wampate Catherine, ila wote waligonga mwamba. Bahati hiyo inamdondokea mwana funzi mwezake aliye itwa Elvis ambaye wanaanza mahusiano lakini aliishia kumbusu na kumtomasa tu, licha ya kumpenda kwa dhati lakini moyo wake bado una sita kumvulia kijana Elivis nguo yake ya ndani japo kua Elvis alimsisitiza kila siku iendayo kwa Mungu, lakini jibu la Catherine lilikua ni “bado muda wake”.

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)