BIKRA YANGU (7)

0
Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA SABA
ILIPOISHIA...
Baadae kidogo mambo yali badilika haya kuwa mahesabu walikua wakipeana mabusu ya mdomoni yaani denda, hakuna mtu aliyeelewa jambo lile lili tokeaje, hakika Heather alijiona mshindi sana siku iyo,
“Heather stop”
“NO”!
Heather alimfuata tena mdomoni bosi wake na kuanza kulana tena denda, hisia kali sana zili mtawala Enock huku akiwa bado yupo mdomoni mwa Heather,

SASA ENDELEA...
Zoezi la kupiga hesabu liliiisha na kilichofuata hapo ni Enock kumpeleka Heather nyumbani kwao mwana nyamala, baada ya kumsusha usiku huo aligeuza gari nakurejea nyumbani kupumzika,

Siku zilivyo zidi kwenda ndipo hisia kali zilizidi kupenya kama upepo wa kimbunga uendao kasi, Enock alijikuta akinasa kwa secretary wake jambo hilo hakutaka kulikuweka kuwa siri tena ofisini hapo, kila mtu alijua juu ya mapenzi yao hatimae Heather akapandishwa cheo nakuwa kama muhasibu mkuu, hakika alijiona mshindi sana kupita mwanamke yoyote yule, alihakikisha kuwa ata fanya hima hima ili ndoa ifungwe hayo ndiyo yalikua mahesabu pekee ndani ya akili yake na wala sio kitu kingine. Ila kabla ya hapo Enock anaamua kuwaalika ndugu jamaa na rafiki katika tafrija ya kumvalisha pete Heather ya uchumba hakutaka kuchelewesha mambo, alitaka mambo yaende chap chap.

Kila siku Catherine alikua ni mtu wa kulia hata kula kwake ilikua shida sana.! mawazo yalikula mwili wake kabisa na kumfanya apungue uzito hii ni kutokana na kuushuhudia fumanizi tena kwa macho yake. , alimpenda sana Elvis hilo alikiri kinywani mwake.! leo hii analia kama mwenda wazimu, hakika alianza kuamini kuwa wanaumwe wote ni waongo, aliye kua akimfariji siku zote alikua ni rafiki yake kipenzi
Betty .

Licha ya kumfariji lakini chakula kwake kilikua hakifai alikua kama mgonjwa hakuweza kuimudu hali aliyokua nayo, licha ya Elvis kufanya jitihada za kumuomba msamaha kila siku lakini hakuwa tayari kabisa, na wakati mwingine alimtukana matusi ya nguoni, alijiona sio wa thamani tena ila alichoshukuru kwamba hakumvulia Elvis nguo yake ya ndani na hakuwahi kuuona hata uke wake una fafanaje.
“nilikuamini sana Elvis, siwezi tena TOKA SITAKI KUKUONA,”
“NO Catherine, ni shet,,,,,”
Catherine alibamiza mlango wa hostel na kumuacha Elvis akiwa nje, ivyo ndivyo ilivyo kua kila siku iendayo kwa Mungu wake,
“Cate Inakubidi tu usahau yasha tokea”,
“siwezi kusahau!”

ILIKUA ni kama ametoneshwa tena donda moyoni mwake alianza tena kulia Catherine huku machozi yaki mtoka kwa mfuliulizo kama chemchem ya maji,

Betty alimchukua na kumkombatia na kumfariji rafiki yake, alimuonea sana huruma kuliko kawaida,lakini cha kumshukuru Mungu ni kuumba kitu muda au wakati sababu kadri siku zilipo zidi kukatika ndipo mawazo ya Elvis yalizidi kumwisha na kuanza kumsahau alichukulia hiyo ni kama sehemu ya historia iliyo tokea katika maisha yake, ivyo ili mbidi aweze kusahau na kufanya mambo mengine,, ili maisha yaende.
“wewe bado mzuri Catherine, hakuna kama wewe chuoni, uta mpata mwingine”
“siwezi kupenda tena”

Hayo ndiyo yalikua maongezi yake baina yake na Betty rafiki yake kipenzi, mara nyingi walikua wote, wakila na kufanya mambo yao wote chuoni hapo, miezi kadhaa ilivyopita Elvisi hakua tena ndani ya kichwa chake kabisa, alimfuta na kumsahau mazima.

“kuna rafiki yangu mmoja hivi sasa dada yake, ana sherehe leo jioni”
“sherehe gani”?
“ana valishwa pete ya uchumba, nimepewa kadi”
“mmmh we nawe, nenda lakini”
“siwezi kwenda bila wewe Catherine, twende wote, siwezi kukuacha mwenyewe”
“ni lini”?
“leo jioni , nataka niupare leo, unaambiwa ni bonge la pati hakunaga”
“wacha we”
“ndio ivyo, fanya ujiandae shosti yangu, ili tuwahi , si unajua mimi mambo ya misosi tu, nisije nikakosa chakula”
“ita fanyika wapi,”?
“KAWE CLUB,”
“poa. Poa, basi ngoja niangalie nguo za kuvaa”

Haraka haraka walianza kujiaaanda na kujipaka mafuta vizuri, kila kitu kilivyoenda sawa, wali tafuta bajaji na moja kwa moja safari ya kuelekea KAWE CLUB kuanza , sehemu inayo sifika kwa samaki wazuri na watamu ambao ukila lazima kesho yake urudi tena,

Baada ya dakika chache tayari walifika kawe club na kushuka walimpa dereva huyo wa bajaji pesa yake na wao kuanza kuingia. Hakika ili onekana kuwa ni sherehe ya kishua, magari yalikua ni mengi tena ya kifahari kama RANGE, VOLKSWAGEN, BMW X5,MARCEDEZ BENZ,n.k ilionesha dhahiri kuwa hapakua pa mchezo ilikua ni sherehe ya kitajiri,! taratibu walianza kuingia ndani huku Catherine akiwa mwenye wasi wasi mwingi mno,

Kelele zilianza kupigwa hasa mshehereshaji(M.c) KAPILIMA baada ya kushika kipaza sauti kile, na kuwaakaribisha wageni, hata Kapilima nae alikua kapendeza huyu alikua ni maarufu sana siku hiyo hiyo alikodishwa kutokea Zanzibar kwa pesa nyingi hakuwahi kuharibu shughuli yoyote ile,
“karibuni wageni waalikwa, pita pale pata mtori na mshkaki, hapa mtakula na kuacha, karibuni sana, huku niki msubiri Mr, Mr, Enock aje kuongea machache kabla ya kumvisha bibie pete ya gharama , pete ya RUBBY aliyoiagiza kutoka Carlfonia, jiji la OBAMA, huyu jamaa sio wa mchezo hata kidogo,angekua kule kwetu Zenji, yaani.. any way ngoja nimpe kipaza sauti,”

Kapilima aliiongea maneno mengi sana, na kumkabidhi kipaza sauti Enock ambae kwa mara ya kwanza alionekana akiwa tofauti akiwa ndani ya suti na suruali ya modo iliyo mkaa vizuri sana, hakika alipendeza sana, makofi yalipigwa na kufanya kelele haswa alipochukua kipaza sauti,

“Attension please,I just wanna say thanks, for those who participated, heavy thanks to my friend Carlos scoltfil he came straight from America,(utulivu tafadhali, napenda kuwashukuru kwa wale walioudhuria, shukrani kubwa kwa rafiki yangu Carlos Scotfil, ametokea moja kwa moja marekani)…,.leo hii naenda kumvika my wife to be Heather pete ya uchumba, ninyi muwe kama mashaidi , na hapo baadae kidogo nita enda kufunga nae pingu za maisha, najua mlikua na maswali mengi sana juu ya mimi kuchelewa kuoa, au kuwa na familia, jibu ni kwamba nilikua namtafuta mwanamke sahihi
Wa maisha yangu, la la la la la la lakini ivi…!..”

Aliongea ila alianza kusua sua hasa macho yake yalivyo gongana na Catherine machoni, hakika sura ile haikuwahi kumtoka kichwani mwake, alihisi moyo una mwenda kasi sana,
“ooh my God Catherine”(Mungu wangu Catherine).!

Alijikuta ana ropoka bila kusahau kuwa alikua na kipaza sauti mdomoni na sauti ile kusikika kabisa na kila mtu……

Mwanaume au kijana Enock ana zidi kumtafuta mwanamke mrembo ambaye alimuona Hospitali ya Muhimbili, ana aapia kuwa ata mtafuta na aweze kuwa nae kimapenzi, ila harakati za kumtafuta zina gonga mwamba baada ya kuzunguka jiji zima bila mafanikio yoyote yale, MAMA yake akiwa gerezani ana zidi kusihi ili aweze kumuona mjukuu wake kabla hajaonja umauti, hakua na jinsi sababu alimpenda sana mama yake ana jikuta ana ingia ndani ya mahusiano ya kimapenzi na secretary wake aliye itwa Heather, mapenzi yana zidi kuwa na kupamba moto , kwa mapenzi ya dhati aliamua kufanya sherehe kubwa, katika ndani ya sherehe hiyo ana muona mwana mke ambaye aliye kua akimtafuta siku nyingi sana..

KITENDO CHA kutamka jina lile bila kusahau kuwa alikua na kipaza sauti kili washangaza sana wageni waalikwa,

“oooh Mrembo simama sasa, DJ weka mziki hapo, tumsindikize BINTI mrembo”
Alisikika kapilima huku akimuinua Heather kwenye kiti alichokuwa amekalia mbele pale,
“jamani mna muona mrembo huyu , mtoto mashallah, mtoto mbi-chi kabisa!”

M.C Kapilima alizidi kutoa maneno yale bila kujua Enock akili yake haikuwa pale tena, mziki ulipigwa huku taratibu Heather akizidi kusogea akicheza cheza kwa madaha sana, hakika ilikua ni siku ya furaha sana kwake,

“Enock Mrembo huyo hapo, waoneshe watu sasa kuwa wewe sio bachelor, na unayakataa maisha ya kibachela,”

“Heather, napenda kukwambia kwamba leo hiii, na siku kama ya leo hautoisahau katika maisha yako, kabla sija kuvisha pete, namuomba Kelvin hapa mbele”!

Kijana mmoja alisimama na kusogea mbele huku mkononi akiwa na kiboxi kidogo, hakuna hata mmoja aliye jua kulikua kuna nini ndani yake, na kutaka kushuhudia nini kilikua ndani ya kiboxi kile kilichorembwa sana.

Baada ya kiboxi kile kufunguliwa Enock alitoa funguo za gari,
“mbele yenu muwe kama mashahidi napenda kumpa mke wangu mtarajiwa gari, ambalo niili agiza jana na ninavyoongea sasa hivi lipo nje, ni gari la kawaida X TRAIL la kuendea sokoni sitopenda kumuona mchumba wangu ana teseka kabisa,”!

Heather muda wote alikua mwenye furaha sana, hata yeye mwenyewe hakutegemea kama siku hiyo angepewa zawadi kama hiyo ya gari, aliona maisha sasa yana kua mazuri kwake, umaskini aliokua nao sasa aliona ita kua historia kwake, bila aibu Enock alimvuta Heather na kuanza kumpiga mabusu ya mdomoni mbele za watu bila aibu yoyote, makofi yalipigwa pale pale, licha ya kufanya vile ila akili yake bado ilikua kwa Catherine ilikua kivyovyote vile amalize na aliloianza ili baadae amuendee Catherine.

Baadae alivaliishwa pete ya uchumaba na taratibu zingine kuendelea,Watu walianza kunywa na kula huku wakiwa wenye furaha sana, wakati huo Enock alikua na kazi ya kumtafuta Catherine kila kona .
“shikamoo”!
“hujambo?, anyway niite David, una ishi wapi niku peleke”?
“hapana tuna subiri bajaji”
“usijali nitawa peleka”
“tuna ishi posta”
Alidakia Betty huku akimkanyaga Cathreinie miguuni, wakubali lifti kutoka kwa mzee Yule wa makamo.

“ingieni ndani ya gari niwapeleke”
Catherine alijikuta anaingia ndani ya gari la mzee mwasha, uzuri wa Catherine pia uli mpagawisha hata mzee Mwasha vile vile nayeye kuhapia kivyovyote vile atafanya juu chini ili awe nae ikiwezekana hata amuoe au amfanye nyumba ndogo sababu ya kukaa bila mke kwa muda mrefu sana,
“una itwa nani”?
“naitwa Beatrice”!

Catherine alidanganya jina , mzee Mwasha alizidi kumuongelesha na baadae kuba dilishana namba za simu ili aweze kumnasa Catherin bila kujua na mtoto wake Enock alikua akimuwinda mrembo huyo siku nyingi sana, japo umri wake ulienda sana, lakini hakujali hilo,
“aaaah mmmmh aaaash Enoooo,,,ck”

Kukuru kakara zilizidi kuendelea huku Enock akizidi kuka tika juu ya kiuno cha Heather, alitoa Mashine yake na safari hii akianza kudeki bahari ya Heather akitumia ulimi wake ambao aliujaza mate mengi sana na kumfanya Heather azidi kuvuta vuta mashuka , pata shika zilizidi kuendelea huku Enock aki tumia ufundi wa hali ya juu sana,

Heather nayeye hakutaka kukubali kushindwa alichukua MUWA wa Enock na kuanza kuuchuwa na kuuweka mdomoni sasa safari hii Heather akiwa juu ya Enock huku akiwa upande wa miguu ana nyoonya muwa huku Enock nayeye akiwa na kibarua cha kudeki bahari wakati huo huo, kila mtu alipata raha za ajabu sana,!

Kila amtu alihisi ana paa angani tena bila mabawa, hakika kila mtu alikuwa fundi siku iyo, walibadilisha mikao huku sasa hivi Heather akiwa kifuani mwa Enock akinyonya chuchu zake kifuani na kumkwaruza na kucha zake shingoni taratibu sana,
“aaaaaaaah ssssssssh”.

Alitoa mihemo na miguno Enock huku akishika shika nywele za HEATHER, mambo yalikua ndo kwanza yaananza sababu Enock alimbinua tena nakuanza mashambulizi , alimuweka mbuzi kagoma na kuanza tena shughuli pevu pale pale, kelele na miguno vilisikika kila kona ya ukuta huku raha ziki zidi kabisa!

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)