SEHEMU YA NANE
ILIPOISHIA...
Alitoa mihemo na miguno Enock huku akishika shika nywele za HEATHER, mambo yalikua ndo kwanza yaananza sababu Enock alimbinua tena nakuanza mashambulizi , alimuweka mbuzi kagoma na kuanza tena shughuli pevu pale pale, kelele na miguno vilisikika kila kona ya ukuta huku raha ziki zidi kabisa!SASA ENDELEA...
Baada ya muda mfupi wote walikua wame jifunika na shuka wa kisifiana kile kilichotokea muda mfupi uliopita.
“BABY una jua nini”?
“mmmmh”!
“una jua ku fuc****”
“ila nawewe una ya jua sana Heather”!
“hapana kidogo tu, nataka uwasahau hao wazungu wote, ambao uliowahi kutembea nao huko marekani!”
“kwa staili hiyo lazima niwasahau Catherine”
“umeniitaje”?
“oooh so sorry”!
“ alafu huyo Catherine ni nani”?
“tuachane na hayo”!
Mawazo juu ya Catherine haya kuweza kumtoka ndani ya akili yake bado alikua akimuwaza na kufuatilia wapi anapoishi japo kua taratibu za ndoa yake zili kua karibu lakini bado hakuona Heather kua ni chaguo lake kabisa,
Chini kwa chini alianza kufanya uchunguzi na utafiti wa kina ili ajue ni wapi Catherine ana patikana, alirudi kawe club siku iyo na kujaribu kufanya uchunguzi , ambapo baadae anaelekezwa na dereva wa bajaji ambayo iliwaleleta wakina Catherine na mwenzake siku ya sherehe hiyo hapo kawe club,
“si Yule demu alivaa kigauni chekundu”?
“ndio huyo huyo”!
“alikuja na mwenzake”?
“mimi sijui sina uhakika”
“sasa alikuja na mwenzake , mimi nili watoa CBE kule posta”
“CBE”?
“ndio huko huko, na nisha wahi kumuona kama mara mbili tatu, ana soma pale CBE”
“poa poa bratha, shika hii”
Yalikua ni mazungumzo kati ya dereva wa bajaji na Enock alitoa shilingi elfu kumi na kumkabidhi dereva huyo, na hapo hapo kuingia ndani ya gari na safari ya kwendap osta kuanza, kweli alitokea kumpenda sana Catherine, kutokana uzuri wa kipekee aliiokua nao , aliendesha gari akiwa na mawazo sana!.
Muda mchache baadae tayari alipaki gari lake nje ya chuo cha CBE na kushuka , na pale pale kuanza kumuulizia kwa wana funzi aliowaona wakipita,
“Catherine yupi, kuna Catherine wengi mjomba, sasa yupi una emtaka wewe”?
“well, sijui jina lake full, ila ni mrefu wa wastani mnene kidogo, ana macho Fulani hivi kama ya kusinzia, bado hujamjua tu”?
“okay nisha mfahamu huyo ana itwa Catherine Ramsey”
“nafikiri, yah I think she is the one (ndiye yeye bila shaka)!”
“naweza nika mpata wapi”?
“nenda kwenyehostel za wasichana kule uta mpata kule juu, pandisha izo ngazi mpaka floo ya tatu alafu ulizia pale maana ki ukweli sikijui chumba ana choishi”
“okay, thank you”
Enock alipiga hatua za haraka haraka na kuanza kupanda ngazi, ndani ya moyo wake kweli alikiri kumpata catherine alimpenda sana, aliapa endapo ange mpata Catherine na ndo siku hiyo wataachana na Heather hakujali lolote lile aliusikiliza moyo wake una taka nini wakati huo, alifika floo ya tatu na kuulizia kwa kua Catherine alikua maarufu sana hapo haikumpa shida kujua chumba anacholala
Alipanda ngazi zile mpaka alipoelekezwa chumba cha catherine na hapo hapo kuanza kugonga mlango huo ambapo baadae alifunguliwa na msichana mwingine ,
“namuulizia catherine”!
“ahaa catherine yupo!, subiri nikuitie kaka”
Baada ya dakika chache hakuamini mtu aliye muona mbele yake alikua ni Catherine tena akiwa yupo na kanga moja tu, damu ilianza kumwenda mbio huku zikisukuma mapigo yake ya moyo kwa kasi sana, hakika alikiri kuwa mrembo aliye kua mbele yake ame kamilika kila kitu, kuanzia umbo lake hadi kuongea kwake, alihisi mdomo wake umewekewa gundi, kama sio uji wa magimbi, hakika alijikuta maneno ambayo aliya panga kuongea yote yaliyeyuka pale pale,
“wewe wewe! ndo Catherine”?
Alijikuta akiuliza swali hilo ilhali alijua kabisa aliye simama mbele yake ni cathirine.,
“AM ENOCK”!
“nakufahamu kama sija kosea,!”
“uliniona wapi?”
“subiri nivae nguo, nisubiri”
.
Kweli Enock alionesha hali ya kuchanganyikiwa sana hasa Catherine alivyogeuka nyuma na kumpa mgongo, kalio lake lillivyo binuliwa na kiuno na kutengeneza mlima kitonga vili mfanya ameze fundo la mate, bado alikua ame pigwa na butwaa, bado akili yake iliizidi kupagawa kabisa!, alichotakiwa hapo yeye ni kumwambia hisia zake mara moja na sio kuchelewesha mambo hata kidogo,
Baadae catherinealitoka na kuongozana mpaka kwenye moja ya canteen zilizo kua chuoni hapo,
“NO I cant eat here. We go some where else, but not here Catherine(siwezi kula hapa , twende mahali pengine , lakini sio hapa)
Alizungumza Enock baada ya kuona fujo fujo za wana funzi wa chuoni hapo, kwa upande wake hakutaka sehemu yenye fujo alimuomba Catherine aweze kuondoka nae popote pale, ila hakutaka kwenda popote bila rafiki yake kipenzi Betty aliamni akiwa nae kila kitu kitaenda sawa kabisa, hakukua na sababu ya Enock kumkatalia baadae waliingia ndani ya gari na safari ya kwenda SEA CLIFF kuanza mara moja
, huko walikula na kunywa waki furahi sana, na kuwarudisha hostel kwao, bila kujua na baba yake pia jioni huwa ana kuja na kumchukua pia Catherine, walikua wakipishana, hawa kujua hata siku moja kuwa yeye na baba yake wana mchombeza mwana mke mmoja ivyo ndivyo ilivyo kua ,
Ilikua kila siku iendayo kwa Mungu Enock hakuweza kukaa bila kumuona Catherine hata kwa binti huyo pia ilikua vivyo ivyo.
“lakini Enock wewe ni mchumba mtu sasa”
“naelewa sana,, yote nilikwambia, nili kutafuta sana bila mafanikio, kila kitu nime kwambia”
“mi naogopa, sasa ita kuaje mwanamke wako akijua , uta niweka katika matatizo makubwa una jua”
“kila kitu niachie mimi, nita jua cha kufanya”
“lakini moyo wangu bado una sita”
“nakupenda Catherine, what should I say haa?, nakupenda kweli, naomba uwe mke wangu”
“lakini si unajua bado nasoma”?
“nita subiri umalize masomo yako”
“hapana sio sasa hivi nikimaliza masomo lakini”
Hayo ndiyo yalikua mazungumzo kati ya Enock na Catherine kila siku ipitayo kwa Mungu,kweli nguvu zake zote aliziwekea kwa Catherine na kumsahau kabisa Heather, moyo wake ulitua kabisa kwa Catherine.
*****
“sasa zahara kama nilivyo kwambia Enock siku izi simuelewi elewi”
“bado humuuelewi?”
“ndio zahara, kasha nivuruga akili mimi naona ndoa hapa hakuna,”
“kwanini unasema ivyo?”
“siku izi amebadilika sana, nahisi ana mwana mke mwingine”
“shoga fanya upesi uchukue hatua, shauri yako zali lile ohooo, hala hala, uta kuta mwana sio wako, unajua hata baba Johnson nayeye alikua kama huyo Enock , ila sasa hivi katulia tuli nime muweka kiganjani hapa, hakohoi”
“ulitumia njia gani”?
“hee wewe hujui kuna mafundi”?!
“mafundi wapi tena”?
“waganga wa kienyeji”
“ume fika mbali zahara yani niende kwa waganga wa kienyeji”?
“shauri yako ndo nakwambia sasa,”
“hapana siwezi”
Kwa mara ya kwanza Heather alionekana kukataa katakata habari za kwenda kwa mganga wa kienyeji ila kadri siku zilivyo zidi kwenda ndipo Enock alizidi kumfanyia vituko hakua na jinsi alimueleza rafiki yake huyo Zahara na wote siku
iyo kufunga safari ya kwenda Bagamoyo kwa mganga ambae Zahara alimuamini sana,
Kweli walifika siku iyo na kupaki gari yao na kuanza safari ya kutembea kwa miguu, walivuka mabonde na milima na kuzidi kusonga mbele , na baadae kufika ndani ya kichaka ambacho kati kati yake kulikua kuna kijumba kidogo sana kilicho tengenezwa na miti huku juu yake kikiwa na kitambaa chekundu,
“hapa ndo kwa fundi ana itwa kalumanzila”
“mi naogopa”
“twende”
Waliingia ndani kwa masharti ya kuingia kinyume nyume, na hatimae kukutana na mganga huyo aliye jichora chora usoni na kuanza kupiga chafya,
“dada una matatizo sana, bruuuuchaaa, bruuuuchaaaaa.. ha ha ha ha ha ha ha ha h haha ha ha. Hapa ndio kwa karumanzila, una teswa sana na mapenzi”?
“ndio kweli”
“sasa hapa ume pona dawa ipo”
“una shida gani”?
“nataka anisikilize mimi tu, nikisema anijengee nyumba afanye ivyo, yaani asikatae chochote nitakacho mwambia”
Mganga yule alianza kupiga manyanga yake na kumuomba Heather aje kesho yake jioni akiwa mwenyewe sababu dawa yake itakua tayari ime kamilika,.
Walianza safari ya kurudi .njia nzima alikua mwenye amani sana, aliamini mganga Yule ata msaidia sana kuliko maelezo sababu hakua na la kufanya, kesho yake aliwasha gari na kwenda mpaka bagamnoyo nia yake ilikua kitu kimoja tu Enock amsikilize katika kila jambo, ila baada ya kufika kule ana aambiwa mambo ambayo alishindwa kuyaelewa, mganga alikua akitaka kufanya nae mapenzi,
“ndio, nitapaka hii dawa kwenye uume wangu, niki uweka huko dawa ikiingia nawewe ukifanya nae mapenzi basi dawa hiyo itamuingia, na kufanya kazi!”
“hakuna njia nyingine”?
“hakuna”
Heather hakua na jinsi yoyote zaidi ya kuvua nguo zake na kuanua miguu, kama mganga alivyo mtaka afanye, mganaga Yule alitoa MASHINE yake na taratibu kuanza kuipaka dawa ambayo ilikua kama unga unga, na kuiingiza ndani ya ikulu ya Heather, taratibu alianza kucheza mechi ile ambayo hakiundaliwa ambayo haikuwa hata na refarii japokua Heather aliyasikia maumivu lakini hakua na jinsi yoyote ile,
“HAPA NDO NYUMBANI KWANGU BEATRICE, nime taka tu niku pitishe mara moja, ili upaone ili baadae turudi tumpitie rafiki yako Betty pale samaki samaki”
“pazuri sana”!,unaishi mwenyewe”?
“aaaah yaah naishi mwenyewe, ”
“kwani wewe huna mke David”?
“Alisha kufa , alifariki kitambo”
“pole sana”
Catherine tayari alikua ndani ya nyumba kubwa ya Mzee Mwasha ambapo baadae aliletewa wyne nakuanza kunywa, kwa mbali taratibu alianza kusikia kizungu znugu, na kuanza kurembua na kufanya uzuri wake uzidi maradufu,mzee mwasha aliona ile ndo nafasi pekee pale pale juu ya kochi alianza kumtomasa Catherine huku akianza kuyashika maziwa yake na sehemu mbali mbali za mwili.,
“YES YES, HANG UP THE PHONE naingia home yeah awi check you later, bye”
Alikua ni Enock akiingiza gari ndani ya nyumba yao hiyo kubwa alivyo angalia kushoto a liliona gari la baba yake na kushindwa kuelewa mchana huo amerudi kufanya nini, alipandisha ngazi zilizokua hapo mbele nakuona viatu vya kike, alivi tambua sana vile viatu vilikua vya Catherine tena alimnunulia yeye mwenyewe moyo ulizidi kumwenda mbio sana na kunyonga kitasa cha mlango…
“GRII GGRIIII”
Simu iliyo kua mfukoni ndani ya jins yake ili mshtua na kukiacha kitasa alivyotoa aliiangalia namba ile na kuiweka simu sikioni baada ya kujua ni nani aliye kua akipiga simu ile,
“Enock mama yako ana hali mbaya sana, sasa tupo njiani tuna mpeleka Hospitali, anadai na hitaji kukuona haraka sana”!
“whaaaat?, sasa mna enda hospitali gani,”?
“njoo Muhimbili”
“okay on my way now(sawa nipo njiani sasa)”
Kitendo cha kurudisha simu mfukoni aliruka ngazi na kutua chini alikimbilia gari lake na kuingia kama mkuki alitoa gari mbio na kufanya agonge ukuta na taa ya mbele kupasuka bila kujali aligeuza ivyo ivyo na kutoa mbio, alimpenda sana mama yake mzazi., simu ile ilikua ni ya umuhimu sana kuliko kitu chochote kile chini ya jua. Bila kujua ndani mule alimuacha catherine akiwa na baba yake, mawazo sasa hivi yalikua kwa mama yake mzazi, ambaye alimpenda sana. Alizidi kuendesha gari kwa kasi ya ajabu huku akiwa ana piga honi mfululizo,
Mwendo ule uliwafanya maaskari wa usalama barabarani wamu mpungie mkono kuashiria kuwa asimame ila hakuwajali na kufanya askari wale wazidi kuingiwa na mashaka, na kuanza kumkimbiza na mapiki piki yao meupe hakufika mbali tayari walizuia gari hilo bada ya kuweka piki piki zao mbele ya gari lake,
“we kijana nini kina kukimbiza”?
“naomba nionge nanyi baadae sasa hivi nina haraka sana”!
“una semaje wewe?. Una vunja sheria alafu una tuambia huo utumbo”?
“this is my driving permit na hii kadi ya gari chukueni tutakuja kuongea vizuri kituoni, au mmoja wenu aingie ndani ya gari twende sote, please I have an emergence(tafadhali nina dharura”)
Enock alitoa leseni ya kuendeshea gari na kadi gari akiwa kabizi nayeye kuondoka zake mpaka hospitali, alipaki gari na kushuka haraka haraka, moja kwa moja aliiingia mpaka mapokezi.
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA