BIKRA YANGU (9)

0
Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA TISA
ILIPOISHIA...
Enock alitoa leseni ya kuendeshea gari na kadi gari akiwa kabizi nayeye kuondoka zake mpaka hospitali, alipaki gari na kushuka haraka haraka, moja kwa moja aliiingia mpaka mapokezi.
SASA ENDELEA...
Moja kwa moja alipelekwa kwa mama yake ambaye alikua maututi sana.
“mwanangu una taka nife sija muona mjukuu wangu”?
Hilo ndilo lilikua swali la kwanza kutoka kinywani mwa mama yake na Enock

Mganga kalumanzila alizidi kuji burudisha kingono karibia kila siku na Heather akisingizia kua dawa bado haija ingia vizuri, na kupewa siku saba ili akutane na Enock na wafanye mapenzi na dawa ile iweze kumuingia kwenye damu, aliamini akifanya ivyo ataweza kumnsa Enock na amsikilize sana , huo ndiyo ushauri pekee aliopewa kutoka kwa rafiki yake zahara,

“No Mr, David enough(inatosha) naomba nipeleke kwa Betty ana piga simu muda mrefu tutaendelea siku nyingine, alafu niliskia kama kuna mtu alikua nje hapo getini, tufanye siku nyingine mimi nataka niondoke sasa hivi,”
“basi maalizia kinywaji chako Beatrice!”
“hapana siwezi nipo sawa siku nyingine”

Catherine alisimama na kuiweka nguo yake vizuri na kuanza kuuendea mlango aliishudia gari likitoka nje kwa kasi sana na kutokomea nje,
“humu ndani mnaishi wa ngapi”?
“nipo na kijana Fulani hivi”
“aahaaa ndo maana nikaona katoa gari hapa sasa hivi”!

hakujua kuwa aliye toa gari ni Enock, waliingia ndani ya gari la Mr, Mwasha na safari kuanza, huku bado mzee huyo aitwae mwasha kuzidi kusisitiza juu ya ombi lake la kua nae kimapenzi akimuahidi vitu vingi vya kifahari,ila jibu la Catherine bado liliendelea kuwa HAPANA, hakuwa tayari kushusha sketi yake kwa mzee aliye mfananisha tena na babu yake pengine, ukizingatia bado alikua bikra, Elvis alifanya awa chukie sana wana ume bado alikua hawaa mini wanaume hata kidogo,

“please Betty ongea na Catherine, nampenda sana, nipo radhi kufanya kitu chochote kile najua wewe ni rafiki yake, mimi nampenda kweli nataka nitengeneze nae familia”
“Enock lakini si una mchumba tayari , unajua kesho au kesho kutwa mimi nitaonekana mba-ya sana endapo uta mtesa rafiki yangu”
“ana mwana ume kwani”?
“kwa sasa hivi hana mwanaume na wala hataki kuwasikia, ninyi ni waongo sana, mna maneno matamu, lakini ni waongo waongo tu”
“basi nisikilize hatokuja kujuta kuwa namimi, DO IT FOR ME, I LOVE THAT GIRL TO BE SINCERE, from my heart I admit it, infront of you, My almighty God is my witness. only God knows how much I do love Catherine please do something I know you can.(nifanyie kwa ajili yangu, nampenda sana ki ukweli, kutoka moyoni mwangu nakiri,mbele yako, Mungu muweza ni shahidi, Mungu pekee ndo anaye jua jinsi ninavyo mpenda Catherine tafadhali fanya kitu, najua una weza).”
Maneno hayo yali mtoka Enock akiwa na Betty ndani ya gari yake siku hiyo baada ya Catherine kugoma na kukataa kata kata kutoka hostel kuonana na Enock, kupitia macho ya Enock yalionesha dhahiri kabisa ni jinsi gani aliumia wakati mwingine aliiongea kwa hisia kali sana na kufanya machozi yamlenge,
“mimi nita mwambia, naamini ata kubali ni rafiki yangu, ila naomba uni haidi kitu kimoja, hauto muumiiza kama ulivyo sema kuhusu huyo mchumba wako, sijui uta muacha mimi sitaki kujua, lakini naomba usimuumize rafiki yangu”
“nakuhaidi”
“sawa”

Betty alishuka ndani ya gari na kumuacha Enock akiondoka, moja kwa moja hakusita kwenda kumueleza rafiki yake kile alicho tumwa , alimsihi sana aweze kuwa na Enock kima penzi japo kwa mara ya kwanza alionesha kukataa ila baadae alikubali , sababu ki upande mwingine hakutaka kumkasirisha rafiki yake aliamini kuwa ushauri wa rafiki yake ndiyo bora,
“ila Betty, nime mkubali Enock sababu yako, kitu chochote kikitokea nita kuchukia sana”
“niamini Catherine”
“sawa sina neno”

Enock kupewa taarifa za kukubaliwa na Catherine alikua kama amechanganyikiwa aliamka asubuhi ya saa kumi. Ili kua tarehe ishirini na nne mwezi wa nne siku iyo aliandika kwenye daftari lake la kumbu kumbu siku ambayo alikubaliwa na Catherine siku iyo aliita LUCKY DAY alienda madukani akichagua nguo za gharama sana, alinunua nusu duka la nguo kwa ajili tu ya Catherine,

Aliwasha gari akiwa ame kenua meno yake, na moja kwa moja kuweka gari hostel CBE. Catherine alipomuona lifurahi sana, baada ya kupewa zawadi zile za nguo,..kadri siku zilivyo zidi kwenda ndipo mapenzi yaliizidi kupamba moto sana , kila mtu alionesha hisia za kimapenzi kwa mwenzake, Catherine sasa alianza kumpenda kweli Enock alijua ndiye mwana ume wa maisha yake na ndo ndiye ata kuja kumfungua bikra yake,

Swala la kumvulia nguo sasa hivi lili kua rahisi sana alimuamini sana Enock sasa! ila bado alimsihi aachane na Heather,wakiwa ndani ya hotel chumbani, Catherine akiwa amekubali kumvulia nguo yake ya ndani Enock, sababu alimpenda sana na kujua ndiye atakae kuja kua mumewe wa ndoa na baadae watengeneze maisha na hayo ndiyo yalikua mahesabu ya Enock,walianza kupigana mabusu ya midomoni huku wakivuana nguo zao juu ya kitanda hiko kilicho kua kikubwa sana, na baadae Enock kufanikiwa kuvua nguo zote za Catherine japokua binti huyo alikua na aibu ila ili mbidi ajikaze tu siku hiyo hakua na jinsi yoyote ile,japo kua marafiki zake humwambia kua uta umia sana, Enock alianza kumuaanda hakua na papara alimnyonya shingo na maziwa yake huku Catherine akizidi kusikia raha sana,

Enock alichukua Mashine yake na kuanza kuiingiza ndani ya ikulu ya Catherine ila cha ajabu aliona haipiti vizuri,
“Enock una niumiza”!
“are you virgin(wewe ni bikira)?”
“yes”
“oh my God”.
Kwa Enock alijua kweli hapo ana kibarua kingine alijaribu kuingiza akitumia ngvu ila Catherine alimsukumiza kwa nguvu sana sababu alihsi maumivu ya ajabu sana, na kumfanya Enock adondoke chini na kubamiza sehemu ya utosi pembeni ya mbao na kutulia kimnya, huku povu likianza kumtoka mdomoni na kiini cha macho yake kupotea kabisa…..

Hakuelewa nini afanye zaidi ya kitu kama mkanda wa filamu kupita ndani ya kichwa chake na kumuona hakimu akigonga nyundo mezani nayeye kutupwa gerezani alijua nini maana ya mtu kutoa povu mdomoni tena kiini cha macho kupotea,mwili wake wote alihisi una ganzi kabisa, taratibu alianza kumsogelea Enock ambae kwa wakati huo alikua anatingisha miguu na kutulia ,
“Eno….ck”!

Alizidi kuita huku akimsogelea karibu ki ukweli alikua na hofu, haraka haraka alitembea mpaka kwenye simu ya mezani iliyokua juu ya meza huku akizivaa nguo zake zilizokua chini, alizungumza na upande wa pili wa simu ambapo ili sikika sauti ya mwana mke kutokea mapokezi , baada ya sekunde chache tayari walifika baadhi ya wahudumu wa hoteli ile na kuanza kumuhoji maswali.

Lakini kwa wakati huo Catherine hakuweza kujibu swali lolote lile zaidi ya kulia kwa kwi kwi, haraka haraka walimbeba Enock na kumvalisha nguo zake na safari ya kwenda hospitali kuanza.

Baadae kidogo tayari waliegesha gari hiyo na wauguzi kufika na kitanda chenye magurudumu huku wakimuweka Enock juu yake, kitanda kile kilianza kusukumizwa na manesi hao waliovalia sare nyeupe na kuingia nacho ICU, chumba cha wagonjwa mahututi
“Mungu wangu Enock, eeeeh Mungu, nini nime kukosea. “

Aliwaza Catherine huku akitembea huku na kule, alitembea haraka haraka kwa daktari aliye muona akitoka nje, huku akitoa kitambaa kilichokua kime mziba mdomo wake.
“docta vipi hali yake”?
“njoo ofisini kwangu”

Dokta Yule alitangulia mbele huku Catherine akiwa nyuma yake, baada ya kufika ndani ya ofisi ya dokta Yule alikaa pembeni ya kiti kilicho kua pembezoni kidogo,

Hakuweza kuzuia machozi yake, kupitia macho ya dokta aliye kua akimtazama mbele alijua kabisa kuna jambo ambalo sio la kawaida kabisa,
“wewe ni nani yake”?
“ni ni ni ni mpenzi wake”
“nasiki tika kukwambia kuwa mpenzi wako amefariki Dunia, alifia njiani, pole sana dada angu”

Maneno yale kutoka kwa daktari yalizidi kuupasua moyo wa Catherine , alihisi kuishiwa nguvu hakuelewa ataenda kumuelezea nini mama yake mzazi ambaye leo hii ana jua yupo chuoni ana soma na kupelekewa kesi kuwa alikua hotelini tena na mwanaume, taarifa zile kumfikia mama yake ili maanisha kifo yeye kupigwa mpaka kupoteza maisha,

Kilicho kua kina cheza ndani ya ubongo wake kwa wakati huo ni kukimbia tu na si vinginevyo, akili ya kukimbia mbali kabisa na kutokomea pasipo julikana vilianza kujijenga ndani ya akili yake ila hakujua akimbilie wapi pale,,aliji futa machozi yake yaliyokua yakimtoka mfululizo na kuanza kutoka nje huku akikimbia, alijua kivyovyote vile ni lazima angeishia mikononi mwa polisi ili kujibu mashtaka,

Alishuka ngazi za hospitali hiyo haraka haraka ila baada ya kutoka nje alimuona meneja na muhudumu wa hotel aliye kua na Enock mara ya mwisho akiwa na polisi ,
“wewe dada, wewe dada simama”

Kauli ile kutoka kwa meneja Yule ili mfanya aanze kuchanganya miguu yake na kukimbia, ila kabla hajafika mbali tayari mmoja wa mapolisi alimshika mkono na kumfunga pingu kwa nyuma..

“CATHERINE, CATHERINE, tumefika shuka mpenzi wangu, naona umelala kweli”!
Sauti ya Enock ili mshtua kutoka kwenye usingizi mzito uliokua na njonzi ya kutisha sana akiwa ndani ya gari ili mfanya ashtuke na kubaki akimtizama Enock kana kwamba ameona mzimu mbele yake, macho yake a lizidi kuyatoa na ndoto ile aliyokua akiiota kujijenga ndani ya ubongo wake upya,

Kitendo cha kufika Kilimanjaro hotel ili waweze kufanya mapenzi aliona ndiyo kama ile ndoto itaenda kutimia,
“baby what is wrong with yah,?( Mpenzi nini tatizo”)
“Enock please tufanye siku nyingine not today”
“una tatizo gani”?
“hapana Enock nielewe”
“acha masihala, nisha lipia Room, any way sikia hatutofanya mapenzi tuta ongea tu peke yake and all that, tufurahi tucheze pillow fight, just like that,”
“nihaidi hatu tofanya mapenzi”
“shuka cate, twende tafadhali”

Catherine alijjikuta akilegea na taratibu kushuka ndani ya gari na kuanza kuongozana. Kwa kua Enock alikua tayari kesha lipia chumba .alipewa funguo za chumba chake na kuingia ndani ya lift baada ya kubonyeza ilianza kupanda juu na mwishowe kusimama gorofa namba kumi na mbili, ilivyo funguka wote walitoka nje na kuingia ndani cumba hiko,

Uzuri wa chumba hiko hakika kiili kua hakuna mfano japokua kili kua ni chumba lakini ndani yake kulikua kuna jiko kitanda kikubwa na sebule nzuri pia, ilikua ni kama nyumba nzima, bado Catherine alizidi kushangazwa na chumba hiko kilivyo kua kikubwa, pale pale Enock alimvuta kiuno na kuanza kumpa denda , Catherine alipokea ulimi na wote kuanza kubadilishana mate,

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)