SHEMEJI MCHOKOZI (3) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumapili, 28 Machi 2021

SHEMEJI MCHOKOZI (3)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Bikora Saidy

SEHEMU YA TATU
ILIPOISHIA...
Mose alilia Sana kwa maumuvu alikaa hospital kwa muda wa siku mbili bila mafanikio na dam ziliebdelea kutoka baada ya kuona tatizo limekuwa kubwa Recho alianza kuwapigia simu ndugu zake alianza na baba yake ambapo alimwambia wafanye mpango wa kumsafirisha kwenda kijijini recho alikata Sim na kumpigia mme wake
SASA ENDELEA...
Lakin Ivan hakuweza kuonesha ushirikiano wowote kwa tatizo like alisema Recho unampenda sana moses kuliko Mimi hadi umefika hatua ya kupeana uroda sasa nasema hivi I we mwanzo na mwisho wa kunipigia sim na kunipa taarifa za ajabu mi siweza kumsaifia adui yangu.

Recho alikata Sim na kumtanza maoses jinsi anavyo hangaika na alianza Julia na kukosa msaada kwa moses duuuu recho bora nifeee tu kwa maumivu ninayoyapata sijawahi maishani mwangu.

Wakati Moses anaongea hayo Sim ya Recho iliita kuangalia alikuwa ni Ivan na alisema hivi.....

simu ya recho iliita na kuangalia alikuwa ni Ivan na alisema kuwa mkutano umeisha hivyo anajiandaa kurudi nyumbani siku si nyingi.Recho aliweza kuitikia kwa sauti ya upole sana na Sim ilikatwa.

Huku Moses akiwa anaugulia maumivu ya kutokwa na dam kwenye Rungu lake Recho alimuonea huruma sana na alikosa jinsi ya kumsaidia. Kesho yake ilifik na ivan alijiandaa kutoka nchini Kenya na kuja jijin mwanza maana mkutano ulikuwa umeisha na alipanda bus lakin mawazo yake yote yalikuw kwa recho na Moses ambao walikuwa nyumban wakifanya mambo ya ajabu.

Usiku sana Ivan aliwasili nyumbani kwake aliweza kuingia moja kwa moja hadi chumbani alimkuta Recho amesinzia alistuka kutoka usingizin na kusema karibu mme wangu!

Asante!! Lakin ukome kuniita mm mmeo sawa mme wako ni Moses na kuanzia saa hii jiandae uende kwenu Malaya mkubwa we sitaki kulala na wew aliongea Ivan

Jamani Ivan nisamehe nilipitiwa haikuwa kusudio langu!! Weeeeee ishia hapohapo haikuwa kusudio lako kivip wakati ulikuwa unamtongea na kusifia kuwa anafanya kazi nzuri alafu unasema sio kusudio lako mi sikupendi jiandae uondoko alisema Ivan

Ivan aliinuka pale na kumfuata mdogo wake hakuweza kusubiria alifika tu na kuanza kumpa yake Moses

Wew sio mdogo wangu tena maana huwezi kulala na mke wangu ukategemea kuwa mimi nitakupenda na hio hali utakufa nayo mbwa wew unategemea nini na ulifikilia msemo wa mke wa mtu sumu udhan ni sumu ya kunywa madhara yake ndio hayo sasa mm nilitega ili kuweza kuwapata wapuuzi na wajinga wasio heshimu ndoa za watu kama wew 

Kumbuka mke anauma kuliko unavyofikilia ulilalanae ukitegemea kupata nini sasa nakwambia hivi kuanzia sasa naomba uweze kukusanya vyako asubuhi sikuhitaji hapa kwangu uondoke kwenu ili ukafundushwe jinsi ya kuishi na watu.

Moses alijitahidi kuomba msamaha alijitetea sana alilia lakin kaka yake hakutaka kumsikiliza alirudi kulala asubuhi ilivyofika alikulimkurupusha Recho na kumuonesha matukio yote yaliyokuwa yakifanyika nyumbani kwake kumbe nyumba ya Ivan ilikuwa na CCTV camera hivyo matukio ambayo walikwa wakifanya aliyashuhudia yote alipandwa na hasira sana alitaka kumpiga Recho lakin aliwaza atamuumiza sana kulingana na hasira alizokua nazo.

Kweli unathubutu kulala na ndogo wangu tena wa mwisho unamuonesha uchi wako kumbe hata hujui dhamani ya uchi wako na utawezaje kuheshim ndoa yako Malaya wew sikupendi naomba uondoke tu nyumbani kwenu na huyu Mose wako sitojali ugonjwa wake ataondoka maana mim ameniona mjinga kumleta mjini na amelijua jiji kunizidi tutaona nani mkubwa!

Ivan aliondoka alipanda gari na kutokomea kusiko julikana kumbe alienda bar kunywa pombe maana alikuwa na hasira pamoja na mawazo mengi maana uchungu wa kusalitiwa anaujua msalitiwa alikunywa pombe nyingi sana kila aliyekuwa akimuona alimuonea huruma sana Ivan alitembea kwa miguu kutoka bar hadi nyumbani kwake alisahau gari lake kwa ajili ya pombe alizokunywa alifika nyumbani na alimkuta Recho amesinzia alianza kumuwashia moto wa matusi

We Malaya bado umelala kwangu tu hujaondoka kwenu mi sikupendi na huyo Moses wko toka na nenda kalale na mumeo Mimi sio mmeo toka mbwa wew.Recho alianza kulia sana na alitamani kujiua alichukua kisu na kutaka kujichoma

Ahahahahahaha!! Jichome Malaya wew tuone nan atakayeenda jela Ivan alitoka chumbani na kumfuata mdog wake chumbani kwake.

We mbwa bado umelala kwangu hujaondoka tu nakwambia hivi sikutaki hapa maana we umekuja kunihalibia ndoa yangu hivi ndivyo tulivyofundishwa na mzazi wetu kuwa tulale na wake wa ndugu zetu? Kweli moses mtoto wa juzi huoni aibu kulala na mke wangu unachovya ninapochovya Mimi hasira zilimpanda ivan alimziba kibao cha shavuni Moses hakuangalia hali yake na alisema utakufa hivyohivyo mbwa wew na wala Wew sio mdogo wangu tena.

Ivan alienda sebuleni usiku huo na kukaa kwenye sofa lakin Recho aliamka na kumfuata Ivan nisamehe nilipitiwa tu mme wangu! Weeeeeee koma ishia hapohapo Mimi sio mmeo nakuomba kwa usalama zaidi rudi ulikokuwa umelala kabla sijakusambua ubongo we Malaya.

Recho alikimbia na kujificha jikoni hakika usiku huo ulikuwa wa vita nyumbani kwa Ivan maana hakuna aliyesinzia siku hio

Moses alijivuta kutoka chumbani kwake alienda hadi alipokaa kaka yake Ivan na kusema kaka Ivan najua nimekukosea sana pia unaweza kuniadhibu utakavyo maana Mimi ni mkosaji mbele zako naomba uweze kutusamehe tumekosea .

Ivan alimuangalia mdogo wake alipandwa na hasira Kali sana alitamani kumrukia na kumpiga tena lakini alisema Moses nilikuleta mjini uweze kusimamia baadhi ya vitu vyangu cha ajabu umevuka mipaka na kufanya mapenz na mke wangu Recho hivi unajua dhamani ya mke wew'; unajua mke anavyouma Moses. 

Nampenda recho Sema umevuruga upendo wangu kwake sikupendi wew Moses na nasema Mimi sikutegui nataka ujifunzi kuheshimu ndoa za watu hasira zilizidi aliamua kumuita recho aje sebulen rechooooooo malayaaaaaaaaa mkubwaaaaaaaa njooooo hapa 

Recho alikimbia kwenda sebuleni alimkuta Moses, Ivan aliendelea kuelezea uchungu wake na kuwatukana sana kulingana na hasira alizokuwa nazo aliwaza kuwauwa wote wawili na alitoa bastola na kumnyoshea mke wake wakati anataka kufyatua risasi kwa Recho , Moses aliruka.........

Wakati Ivan anataka kufyatua risasi Moses aliruka na kukwapua bastola ya kaka yake iliangukia pembeni kabisa.

Moses na Recho walikili kosa pale mbele ya Ivan walilia kwa uchungu na kuapa kutorudia tena tukio Kama lile

Moses alisema kaka zilikuwa nitamaa za mwili wangu ndio ulonifanya kusababisha haya yote Niko tayari kuacha tabia hii maana umechukia sana kaka yangu!

Recho aliingia ndan na kuanza kukusanya nguo zake ili aondoke alikusanya kila kitu na alianza safari ya kutoka nje na kuondoka Ivan alikuwa na hasira sana hakutaka kumsamehe mke wake alimuacha akaondoka

Moses aliingia na yey chumbani kwake na kuanza kukusanya nguo zake na kutaka kuondoka alitoka chumbani na begi lake na kumpita Ivan akiwa amekaa sebuleni Moses alitoka wakati hajafungua mlango na kuondoka Ivan aliingiwa na huruma na kumuita Moses

Moses alikuja na Ivan alisema mdogo wangu Moses maisha ni safari ndefu sana ulichokifanya kwangu kimeniumiza sana na sitoweza kukisahau usishangae na wew yakaja kukutokea haya naamini umejifunza kuwa mke anauma kuliko unavyofikilia acha kucheza na wake za watu 

Leo umenifanyia mim ndugu yako kesho utamfanyia jirani yako yey hatoweza kukusamehe atakua embu kuwa makini na maisha yako jenga heshima yako ili mkeo atakayekuja kwako afurahie ndoa na sio kujuta nakupenda sana mdogo wangu embu rudi ndani na rudisha nguo zako utaendelea kukaa hapa na kuishi na Mimi nataka nikufundishe maisha jinsi yalivyo! Aliongea sana ivan ili kumuonya mdogo wake asirudie

Moses alijutia sana kosa na kusema kaka nashukuru kwa kujali dhamani yangu hapo nimejua dhamani ya undugu iko wap nakuhakikishia kuwa sitoweza kurudia tena hata iwe kwa mtutu wa bunduki hakika najutia kukusababishia maumivu makali sana na kutaka kupoteza uhai wetu Mimi na recho naapa mbele zako sitorudia tena.aliongea Moses

Sawa mdogo wangu nadhani tumeelewana na maisha yataendelea .Moses alikaa kwenye sofa na kuanza kulia kwa kile alichokifanya lakin Ivan akamwbia mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana hudanganywa na kitu kidogo na husahau fadhila alizofanyiwa na mme wake au mchumba wake nakuomba sana 

Moses kuwa makini katika chaguzi zako nilimpenda sana recho na nilimuamin sana mke wangu na sikutegemea Kama ataweza kunifanyia vituko hivi ndani ya nyumba yangu kweli! kweli ! kweli! Ivan alipiga kifua na kuanza kulia maana alimpenda sana Recho na maumivu aliyomsababishia hakika hatoweza kuyasahau .

Kwa muda huo hakutaka kumtegua mdogo wake alimuacha kwanza kusikilizia maumivu ili ajifunze japo alikuwa ameshamrudisha nyumbani na kukaa wote pale nyumbani.

Moses aliindelea kusota na ugonjwa ule na alianza kuhisi rungu kumzidi uzito hapo alishindwa kutembea na kufanya shuguli zake pale nyumbani siku moja usiku Moses alisema anaomba kuondolewa adhabu ile ameshajifunza hatoweza kurudia tena

Ivan alisema sawa nimekuelewa sana tu kuhusu kukutolea adhabu hio nitakutolea na nilikuwa nimesubiria uniombe nikutolee kwa kuwa umehitaji hivo anayestahili kukutolea adhabu hii ni mwanamke uliyetembea nae Siku ya mwisho na sio mim hivyo 

Mimi recho nimeshamuacha na wew ugonjwa huu umeupata ukiwa unazini na recho hivyo recho ameshaondoka na yakupasa kumtafuta alikoelekea uweze kulala nae akutolee adhabu hio hivyo kazi unayo sijui utampata wapi Mimi sielewi!

Huo ndio ulikuwa mwanzo wa adhabu nyingine kwa Moses alianza kulia sana maana hakujua atampatia wapi recho maana kwao hapafaham na Ivan alimwambia amtafute hadi ampate duuuuuuu aliwaza sana sehem ya kumpatia lakin alijipa moyo baada ya kugundua kwenye Sim yake Ana anamba zake aliingia chumbani na alichukua 

Sim na kumpigia recho ikawa haipatikani duuuuuuu alilia sana maana rungu lilikuwa limevimba ndani ya shuka lake na alilala siku hio akiwa anawaza jinsi gani ya kumpata recho aliwaza kuingia mtaani na kumtafuta Recho alihisi huenda bado yuko jijin mwanza.

Moses alisinzia na asubuhi ilifika na aliamka akajiandaa kuanza safari ya kumtafuta Recho alikoelekea alitengeza suruali pana na shati kubwa na kuvivaa ili kuzuia kuonekana kwa rungu lake kubwa lililovimba alianza kutoka nje na kufungua geti.

Moses alifungua gate na kutoka nje huku akuwa anevaa suruali kubwa na shati kubwa kiasi kwamba alionekana Kama mzee wa zamani lakin yaye hakujali hali ile lengo lake ilikuwa ni kutafuta Recho ili awaze kusaidia kumtoa hali ile alianza kuzunguka mitaani na kujisemea huenda angemuona amekaa na rafiki zake au anafanya kazi mitaa ya karibu asubuhi ile alitembelea mitaa kadha na ukizingatia jiji la 

Mwanza lilivyokubwa vile alitembea sana hadi jua likawa kubwa sana aliamua kukaa chini ya mti kwa ajili ya kupumzika wakati amekaa pale aliwaza sana atampata wapi recho maana hakujua alikoelekea na aliwaza mwenyew pale chini ya mti baada ya muda 

Kupita bila mafanikio aliamua kurudi nyumbani na kuingia ndani katika safari zake za kumtafuta Recho alienda bila simu na alivyorudi alikuta missed calls kumi za recho alifurahi sana na kuamua kumpigia Sim lakini ikawa haipatikani Moses aliishiwa nguvu na kuanguka chini.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni