SHEMEJI MCHOKOZI (4) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumapili, 28 Machi 2021

SHEMEJI MCHOKOZI (4)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Bikora Saidy

SEHEMU YA NNE
ILIPOISHIA...
Kupita bila mafanikio aliamua kurudi nyumbani na kuingia ndani katika safari zake za kumtafuta Recho alienda bila simu na alivyorudi alikuta missed calls kumi za recho alifurahi sana na kuamua kumpigia Sim lakini ikawa haipatikani Moses aliishiwa nguvu na kuanguka chini.
SASA ENDELEA...
Alianza kujisemea hivi nimekosea nin recho nipigie mwenzio ninakutafuta sana wakati bado anawaza kupigiwa Sim gafla simu yake iliita aliifuata kwa furaha akidhania ni Recho alivyoichukua alikuta ni Latifa anampigia aaaaaaaaah huuuu usengee mi nilijua ni recho kumbe ni wew mjinga alijisemea Moses kabla ya kuipokea.

Aliipokea hellow Latifa
Vip moses za huko
Nzuri tu

Mbona umenipa ujauzito na kunitelekeza Moses wakati nakupenda naomba uje basi tulee mtoto wetu atakapo zaliwa! Aliongea Latifa

Moses alimjubu nitakuja tu usijali mpenzi wangu Latifa nakupenda pia, lakin moses aliongea huku akiwaza kumpata recho ili amsaidie kumponesha rungu lake.

Latifa aliitikia nakupenda pia moses na simu ilikatwa na moses alianza kulia huku akilishika rungu lake na kuliangalia lilivyobimba.

Moses alichukua Sim na kumpigia tena Recho lakin simu yake ikawa haipatikani alikata tamaa na kujilaza chini pale sebuleni.

Ivan alifika nyumbani na kumkuta ndogo wake amelala sebuleni alimuonea huruma sana alimuamsha na kumuuliza mbona umelala muda huu?

Kaka nimezunguka sana kumtafuta recho lakin sijampta nisaidie kak kama kweli unania ya kutaka nipone nimeshakoma sitorudia tena Moses aliongea na kumpigia magoti Ivan huku akiwa anamuonesha rungu lake lilivyokuwa limevimba

Ivan alimwambia usijali mdogo wangu kesho itakuwa weekend hivyo sitokuwa na kazi nitajaza mafuta gari langu tutaingia mtaani kumtafuta tutaenda kwa marafiki zake kuulizia maana mimi kwao sipafahamu nilimkuta tu kazini kwake nikamtongoza alivyokubali nikamleta nyumbani kwangu lakin baadhi ya marafik zake nawafaham wanapoishi usijali tutaenda lakini ukome tabia ya kulala na wake za watu.

Moses alimshukuru sana kaka yake akajiona ameshapona kwa muda ule alinza kula chakula alichomletea kaka yake na kutaka asubuhi ifike haraka waingie mitaani kumtafuta Recho!

Asubuhi ilifika Moses alikuwa wa kwanza kuamka na kumuamsha kaka yake Ivan aliamka na kuanza kumcheka ahahahahahaha kumbe umekoma aisee hadi unanikurupusha asubuhi hii ili tuanze kumtafuta daaaaaaaaa!!

Moses alitabasam na kusema nikipona siwezi kufanya ujinga tena.Waliingia kwenye gari na kuanza safari walianza kwa rafiki yake Morein walifika pale na kumuulizia Recho lakin Morin aliwajibu hajawahi kumuona recho kwake anamuda mrefu sana hajaenda kwake baada ya maelezo hayo waligeuza gari na kwenda kwa 

Neeema ambaye alikuwa ni rafiki yake walifika pale na kumuuliza Recho Neema aliwajibu na kusema ameondoka kuelekea ukerewe kwao muda si mrefu na atakuwa aneenda kupanda boti aondoke kwao maana alikaa sana hapa akijua utakuja kumchukua lakin alivyoona hauji akaamua kuondoke

Ivan alimuiliza amepitia wapi alimuelekeza na kuendesha gari kwa kasi kubwa sana kiasi kwamba aliyemuona ivan akiendesha gari lile aliwaza kuna tukio gani?

Walifika maeneo ya buzuruga na Moses alimuona Recho akivuka Barabara upande wa pili alimuonesha kaka yake ivan aliamua kushuka ili kumkimbilia recho lakin hakuweza kumfikia maana gari zilikuwa zikipita hivyo alichelewa kuvuka na Recho aliondoka zake

Duuuuuuu mdogo wangu recho amenipotea ngoja tumuwahi kule anakopandia boti maana atakuwa anelekea kule wakati anaondoka kuelekea kule Ivan alikuwa anaendesha gari kwa kasi kubwa sana alivyokaribia kufika alitokea traffic na kumsimamisha maana alikuwa anakimbiza gari sana kwa muda huo recho alikuwa anakaribia kupanda boti

Ivan alimuomba sana traffic awaruhusu lakin alikataa na kuwapeleka kituo cha police muda ulienda na boti lilikaribia kuondoka ilikuwa imebakia kana dakika tatu boti lianze safari.

Ivan na Moses waliruhusiwa kuondoka na kupewa onyo kwa muda huo walielekea ziwani lakin ile wanafika tu waliona boti likiondoka na kumuona recho kwa mbali akiwa amevaa gauni nzuri lenye rangi ya blue Ivan alijitahid kumuita lakin hakuweza kusikika.

Baada ya Ivan kupiga fujo kumuita Recho ambaye alikuwa ameshaondoka hakuweza kufanikiwa kumrudisha kwa sababu walikuwa wameshafika mbali sana.
Aligeuka nyuma na kumkuta mdogo wake Moses akiwa analia sana maana aliamini kuwa msaada umekosekana

Kaka nakufa hivhivi kwa kitendo nilichokifanya mwenyew ona recho ameondoka na kwao hatupafahamu haya ndio madhara ya kuoana bila kupelekana kwanu na je angekufa ungempeleka wapi?

Moses aliongea mengi sana kiasi kwamba Ivan alijiona mkosefu, mdogo wangu moses nyamanza unavyoniona hadi sasa naumia maana nilitegemea atakamatwa mwingine na sio ndugu yangu Kama wew nakupenda sana recho hawez 

Kusababisha mimi kukutenga wew japo umenikosea turudi nyumbani ili tuangalie njia nyingine ya kutatua tatizo hili utapona mdogo wangu hii yote ni uchokozi wa shemeji yako kukuvalia nguo za ajabu huku wew ni mtu mzima aliongea Ivan na waliingia kwenye gari ili kurudi nyumbani!

Walifika nyumbani usiku kidogo Ivan ili kumfurahisha mdogo wake asahau hali ile alimuandalia chakula kizuri sana walikaa mezani na kuanza kula wakati wanakula Ivan alipata wazo la kwenda kwa mtu aliyemtengeneze ule mtego huenda akawa na njia nyingine ya kutatua tatizo lile kwa mdogo wake!

Asubuhi ilifika alimuaga mdogo wake na hakumwambia anaelekea wapi alianza safari y kuelekea Simiu ambapo ndipo mtu huyo yupo! Safari iliendelea huku akiwa anawaza atamsaidiaje mdogo wake na kujipa moyo akimkuta mtu huyo basi tatizo litaisha!!

Alifika mkoani simiu na kwenda kijiji kimoja cha mbali sana kutoka pale mjini bahati nzuri alifika nyumbani kwa yule mtu na kukuta watu wengi sana kiasi kwamba alianza kuwaza kuna nini hapa?

Alishuka kwenye gari lake na kusalimiana na watu pale alikaa dakika kadhaaa akiangalia hali halis ya mazingira yale mwishowe aliweza kuulizia kulikoni hapa kuna tatizo gani au hawa wote niwagonjwa?.

Hapana alijibu kijana mmoja kuwa Mzee Ngosha amefariki leo asubuhi aliugua kwa muda mrefu kidogo alisumbuliwa na ugonjwa wa homa ya ini na alikosa huduma mapema na hatimae amefariki

Haaaaaaaaaaaaa!!! Alishanga sana Ivan na kusema mdogo wangu nitamsaidiaje maana mtu mwenyew amefariki sasa nitafanyaje aaaaaaaaaaaaa!! alipiga fujo hadi watu waliokuwepo pale wakaanza kumshangaa wakati ule ilibidi 

Ahudhurie mazishi ya mzee ngosha mazishi yalifanyika mida ya saa Saba na baada ya kumaliza Ivan aliingia kwenye gari lake na kuanza safari ya kurudi nyumbani wakati yuko kwenye gari akirudi kwake mzee wake alimpigia Sim na kuulizia hali ya Moses maana alimpigia akawa hapatikani alijibu kuwa yuko salama tu.

Ivan aliwasili nyumbani na kumkuta Moses akiwa anaangalia movie kusema ukweli ivan alijutia kutega mtego ule maana alimuhurumia sana moses .

Baada ya kufika ndani kwake aliingia chumbani moja kwa moja na kufikilia atafanyaje mdogo wake apone alianza kupekua karatasi akitafuta namba za rafiki yake aliyempeleka kwa ngosha alilipata hilo karatasi alivyoliangalia vizuri alikuta kunamaandishi aliyoyaandika kipindi ameenda kwa ngosha kutega mtego huo alikuta baadhi ya maelezo ambayo ni jinsi gani ya kutegua mtego ule endapo mtu atakwama.

kwanza aliyekwama Kama moses lazima alale na mtu aliyefanya nae mapenzi kwa Mara ya mwisho..

Pili akalale na mama yake mzazi hapo atarudi kwenye hali yake sasa Ivan alikuna kichwa na kuwaza kati ya njia hizo mbili ipi rahisi aliwaza sana atafanyaje maana kwa kina recho hapafahamu na Moses kulala na 

Mama yao mzazi itakuwa ngumu sana aliamka pale kitandani na kumfuata moses waliongea nae na kumpa hali halisi ya safari yake na alifikia maamuzi ya kwenda ukerew ili kumtafuta Recho awasaidie na Moses alikubaliana na wazo la Ivan la kwenda ukerewe!!

Baada ya siku kadhaa walijiandaa na kuanza safari walienda kupanda boti kwa ajili ya kwenda kumtafuta Recho baada ya kuanza safari Ivan alijaribu kumpigia recho Sim lakin ikawa haipatikani walifika katikat ya safari gafla lilitokea wimbi kubwa sana!........

Wimbi lilikuwa kubwa kiasi kwamba kila abilia alianza kumuomba mungu wake baadhi ya watu walianza kuchota maji yanayoingia ndani na wengine walianza kudunbukiza mizigi ndani ya maji baada ya muda maji yalutulia na safari ilienselea kuelekea ukelewe kwa ajili ya kumtafuta Recho

Walisonga mbele wati wanakaribia kufika Ivan alichukua Sim yake na kumpigia recho lakin ikawa haipatikani walishuka pale na kutafuta guest house na kuchukua chumba mle ndani.

Walilala humo na asubuhi ilifuka na Ivan alianz kuwaza ataanzia wapi kumtafuta recho maana alikuwa sio mwenyeji wa sehemu ile aliannza kuulizia baadhi ya watu kama wanaweza kumfahamu recho wengine walisem recho yupi au recho nani yaan jin la baba yake lakin 

Ivan aliwaambia tu recho na kuwapa picha nzima jinsi alivyo alitembea sana siku hio lakin hakuweza kufanikisha kumpata maana ukerewe nikubwa aliwaza kuhama eneo jingine tofauti na pale maana walikuwa wamekata tamaa ya kumpata recho Ivan aliamua kurudi guest na kumkuta mosea akiwa analia maana alikuwa hana amani tena na alipoteza tumain la kupona tena.

Walilala tena huku Ivan akiendelea kumpa tumaini kuwa atapatikana tu na atamsaidia apone wakati wamelala mida ya usiku moses alisikia sauti ya recho mle ndani alikiwa anaongea na mwanaume chumba cha pembeni yao aliamua kuamka na kumsikiliza vizuri pale mlangoni mwa chumba kile kilichompa tumaini ni kusikia mwanaume yule akimuita recho na yey akaitika aliamua kuja kumuita Ivan chumbani kwao na kusema kaka 

Recho nimemsikia yuko chumba cha pili kutoka hapa Ivan aliamka na kwenda kusimama mlangoni alianza kusikia sauti za mahaba chumba hicho na kujisemea inamaana kama ni recho atakuwa ameshaanza kujiuza?

aliamua kutok na kusimama mlangoni kwake ili kumsubilia recho atakapoachiwa na yeye amdake aingie chumbani kuweza kulala na mdogo wake ili amsaidia kumtoa ugonjwa wake

Masaa yalienda na Ivan alikuwa amechok sana Siku ule wakati amesimama alianza kuchoka na kuamua kukaa chini hap usingizi ulimpitia akiwa bado hajamuona recho lakin huku chumbani moses hakuweza kusinzia maana alikuwa anawaza sana .

Mara aliweza kusikia mlango ukifunguliwa wa chumba kile alifungua mlango haraka na kuangalia atakayetoka kama ni recho kweli mungu alisaidia alianza kutoka mwanaume yule aliyekuwa nae na baada ya dakia kadhaa recho alitoka chumbani

Haaaaaaaaaaa recho afadhali nimekuona alisema moses ! Kitu ambacho kilimfanya recho kuogopa maana alikuwa hajamfaham ni nani baada ya kusema hivyo Ivan aliweza kusituka kutoka usingizin na kuwakuta wamesimama wote recho na moses Ivan alianza kumuomb msamaha recho kubwa tu amsaidie mdogo wake apone maana yeye ndiye msaada kwao

Recho alimuangalia Ivan.na kusonya huku akisema mwanaume huna huruma na maisha ya binadam hivi ulitegemea kutega mtu tego ndio njia ya kupunguza uzinzi ndani?

Uwe unajiongeza watu wengine akili hamna sasa kilichowaleta kwangu ni kipi mimi nilikuomba msamaha Mara ya kwanza hadi nawaza kujiua lakin hukunielewa sasa leo kiulahisirahis unakuja eti nimsaidie mdogo wako nasema hivi staki na mimi kumsaidia mdogo wako wew ulimwaga mboga na Mimi namwaga ugali.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni