UTAMU WA VANILA (33)

0
Mwandishi: David Kagawa

SEHEMU YA THELATHINI NA TATU
ILIPOISHIA...
Mgongoni mwake kwenye uti wa mgongo wake nilimtekenya kwa kucha zangu na huku midomo yetu ikibadilisha mate lakin wapi mzee bado alikuwa amelala na stelal alijaribu kupeleka mkono wake ili amguse lakin nilimzuia
SASA ENDELEA...
Nilishuka na mikono mpaka kwenye wowowo lake na kuyabinya binya hapo mtoto alipiga kelele za ajabu

"mmmmmmmh ............aaaaaaaaaash ................davie .................wangu taratibu si kumpa pumzi hata kidogo nilipeleka ulimi wangu kwenye kitovu chake na kuanza kucheza nacho kwa ulimi wangu niliushusha ulimi mpaka kwenye v yake hapo nilicheza na k yake ya juu akuchelewa kumwaga maji ya dafu

"aaaaaaaaaaaaaah.......ooooooooooooooooooooosh alilamika na hukua akikandamiza kichwa changu

Miguu yake ilitetemeka na mimi kujua tayari nimemaliza kazi lakin wap mtoto alitaka tena nilichukua rungu langu japo lilikuwa halijasimama vizuri nikanyanyua mguu wake mmoja huku mikono ikishika rungu nikapiga piga pale kwa kutumia kichwa cha rungu hapo mtoto alisisimka na akijizungusha kiuno chake kwa mtindo wa taratibu na hakuchelewa tena alivunja maji ya dafu mfululizo
"sante davie
"usijari

Alishasahau kama rungu langu lilkuwa halifanyi kazi tulienda kulala na mm siku hiyo sikupenda kurudi nyumban huku nikiwa na mawazo kibao kichwan mwangu asubuhi na mapema niliamka lakin kichwa changu kilikuwa hakipo sawa mawazo yote yalikuwa kuhusu tatizo langu
"stella nilimwita yy akiwa bado amelala
"naam:amka mm nataka kuondoka
"mbona mapema
"nawai home
"sawa ila nataka kitu cha asubuhi

Hapo nikajua msala mwingine nikamzuga kwamba narudi baadaye japo alikubali kwa shingo upande niliondoka na kurudi home na kukuta bado wakina dada vero wamelala sikutaka kuwamsha niliingia na kuoga na kujiandaa sikutaka kwenda shule 

Maana tatizo langu nilifunga safari moja kwa moja mpaka kwa mumewe amina ili nikaombe msamaha nilifika mpaka nyumban kwa kina amina mapigo ya moyo yakaongezeka sikujua nitaingiaje mule ndani na nitamuazaje nilikaa pale nje kwa muda kama wa dakika kama 10 nikamuona mumewe akitoka kuelekea kazin mwake nilimfuta kwa nyuma ghafla akageuka tukakutana uso kwa uso
"vp kijana aliniuliza
"safi
"mbona wanifuta nyuma nyuma nilishikwa na kigugumizi na kushindwa hata niazaje maana nilikataa kuwa nina uhusiano na mkewe
"vp kijana mbona kimya
"aaah unajua bro
"najua nn tena
"mimi ......mimi ....hapa .......kweli .....nilishindwa kuongea na kukaa kimya kidogo maana alikuwa jambo rahisi kumkubalia kwamba natembea na mkewe

Nilikuwa natetemeka kwa hofu maana haikuwa rahisi kukubali mbele yake kwamba natembea na mke wake niliangalia chini kwa aibu huku nikitetemeka kwa hofu

"kijana ebu sema upesi unanichelewesha kazin aliniambia huku akinikazia macho nilikwepesha macho yangu kwa kuangalia pembeni n

"samahani sana kaka ni kweli .....mimi ...........nilitembea na ......................nilikaa kimya kidogo na kushindwa kumalizia aliniangalia uson huku akiwa amekasirika
"ebu sema kijana wazidi kunichelewesha

"ni kweli nimetembea na mkeo niliona sura yake ikibadilika na kuonyesha makunjo ya hasira nilisogea nyuma kwa hofu maana nilizani angeweza kunipiga

"nisamehe sana na sitorudia tena kwan nimejua kosa langu alikaa kimya kwa muda kama anafikiria jambo na kisha kuniangalia huku akiwa amekunja sura yake
"kwa hiyo nikusaidie nn

"naomba unisamehe kwan toka ulivyoniambia yale maaneneno yale jogoo wangu amekuwa afanyi kazi naomba unisamehe sitarudia tena  alikaa kimya tena na kisha kunisogelea nA kuuweka mkono wake begani mwangu

"sawa kijana nimekusamehe na nilitka kukuonyesha kwamba mke wa mtu ni sumu na sitopenda kukuona ukitembea tena na mke wangu unaweza kuondoka aliongea maneno hayo na kisha kusimamisha pikipiki na kuondoka zake na kuniacha mm nikiwa na mawazo kibao sikujua kama amenisamehe kweli nilitoka pale na kuondoka zangu nyumban na mawazo kibao kabla ya kufika nyumban niliiamua kurudi tena kwa kina stela kupima kama mzee alikuwa Anafanya kazi kweli

Nilifika mlangon na kugonga hodi sikuwa na hofu maana nilijua wazazi wake stella walikuwa hawapo alikuja stella na kufungua mlango ule na kunikaribisha kuingia ndan ,niliingia ndan na kwenda kukaa kwenye kiti stella aliingia chumban kwao na kutoka akiwa na kanga moja tu kifuan mwake alikuja kukaa karibu yangu na mguu wake mmoja kuuweka juu ya magoti yangu mwili wangu ulisisimka ajabu alisogeza sura yake na kuniongersha taratibu

Sikumchelewesha maana nilihisi rungu likaanza kuvabrate nilimshika kanga yake na kuitupa pembeni na kuanza kucheza na vinido vyake mabadiliko chini ya suruali nilianza kuhisi nilipitisha mkono wangu mmoja na kuhakikisha kama kweli mzee anafanya kazi nilikuta kweli furaha ilinijia moyon nilimkamata mtoto stella na kumuonyesha kwamba mm ni kidume kweli na jana ilikuwa bahati mbaya nilimvuta na kumbana kwa nguvu na kuanza kuchezea mwili wake kwa fujo
"jamani davie mbona una haraka hivyo

Sikutaka kumjibu niliiendelea kupitisha ulimi wangu kila sehemu ya mwili wake chuma kilisimama na kushika moto sana nilikipitisha kwenye tanuli la stela taratibuaaaaaaaaaaaaash ..................deavie ....................pole.............pole..............bana alilalamika lakini mie niliendelea kula mzigo kwa mfululizo nilitaka kumuonyesha kwamba niko fit tulicheza mechi na kusababisha mtoto wa watu kumwaga maji ya dafu kama 3 na nilimuacha akiwa hoi kabisa

Nilivaa nguo zangu na kurudi zangu home nilikuta mama mdogo vanesa kaenda mjini niliingia chumbani mwangu na kujipumzisha kutokana na uchovu na huku nikapa sitatembea tena na amin siku ya jumatatu asubuhi sana niliamka na kuwai shule maana sikwenda kama siku mbili nilifika shule na kushangaa kukuta madaktari wakiwa wamekuja shule kwetu nilishangaa sana ikabidi nimuulize mwanafunzi mmoja kuna nini pale shule
"oya leo kulikon mbona nguo nyeupe zimejaaa
"wamekuja kupima wasichana mimba maana jana davina na aziza wametapika sana
"nn nilijiffanya kama sijasikia vizuri
"wamekuja kupima mimba

Hapo mapigo yangu ya moyo yaliongezeka na kuwa na hofu sana na nikajuaa unaweza ukawa masala mwingine nikaanza kutetemeka ghafla kengele ya mstarini ikagongwa .....

Kengele iligongwa na wanafunzi wote kukusanyika mastalini lakini mimi mapigo yangu yaliongezeka kutokana na kuwa na hofu sana ,kichwa nilijiuliza kutapika kwa kina Aziza na Davina inaweza ikawa mimba au lakini nilijipa moyo labda wanaweza wakawa wanasumbuliwa na matumbo ya kawaida wanafunzi wote tulijipanga na mwalimu khamis alisimama mbele na kuanza kuelezea na nilipotupa macho yangu pembeni nilimuona mwalimu Angel akiwa kasimama na kitumbo chake kilishaanza kuonekana

"leo tuna wageni wametoka hospital ya mkoa na wamekuja hapa kwa ajili ya kuwapima mimba wanafunzi wote wakike na zoezi hilo litaanza muda huu kwa hiyo nyie wa kiume mnatakiwa kwenda darasani aliongea mwalimu khamis na ikabidi wanafunzi wakiume twende darasan nilipotupa macho yangu pembeni nilimuona Aziza na davina na nilipoongalia nyuma nilimuona Irine irine alikuwa kwenye hali ya unyonge kama vile alikuwa anaumwa niliganda na kumtaza na kuwa na hofu zaid
"ww vip unasubiri nn hapa

nilishitushwa na sauti ya mwalimu khamis akiniongelesha nilitoka na kwenda darasan niliingia darasani huku nikiwa na mawazo kibao na kufikia kama kati ya mademu zangu ikigundulika mmoja ana mimba ingekuwaje

Huko nje madaktari waliendelea na vipimo vyao na mida ya saa 5 wasichana wote walikuwa tayari wameshapimwa majibu yalifanyika na kugundulika wasichana watatu walikuwa na ujauzito walimu wote walikusanyika ofisin na madaktari wale waliwapa majibu na kati ya wasichana hao walikuwa ni Aziza ,davina pamoja na irine ilibidi waitwe ofisin wote lakin aziza hajatokea walikuwepo davina na irine na mwalimu khamis akaanza kuwaoji
"nyie mmegundulika mna mimba tunaomba mtueleze hizo mimba amewapa nan walikuwa na hofu na kushindwa kuongea ikabid mwalimi khamis achukue fimbo na kuwachapa sana
"mwalimu tusamehe nina mtaja .....aliongea davina
"haya mataje upes
"ni...... nii ...davie aliongea davina huku akitetemeka sana kutokana na kipigo kile
"na wewe je aliulizwa irine
"nami ni davie
"kwa hiyo huyu davie ndio kidume wa shule hii nilikuja kuitwa darasan hapo mapigo ya moyo yaliongezeka na nilitaka hata kukoja mkojo kutokana na hofu hiyo

Nilitoka darasan na mawazo yangu yakijuaa tayari mambo yameshaharibika nilifika ofisni na kumkuta mwalimu Angel akiwa kwenye kona na machoz yakiwa yanamtoka nilingia na kusimamishwa katikati ya davina na irine na mwalimu khamis alinipiga fimbo moja ya mgongon
"ww ndio unatuharibia wanafunzi wetu hapa shulen

"kwan mwalimu nimefanya nn nilijifanya kama vile sijui mwalimu alinipiga kofi la nguvu usoni lilosababisha maumivu makali kwangu

"mwalimu ebu punguza ukali mmoja wa madaktari aliongea kabla mwalimu khamis hajaongea tena aliingia mbio mbio ndan aziza huku akihema kumbe jana yake nyumban kwa alishatapika na wazazi wake wakaenda kumpima 
"davie......kimbia baba anakuja kukuuua

Aliongea aziza huku akilia machoz walimu wote walimshangaa na mimi nikabaki kwenye mshangaoo mkubwa aziza alivuta mkono wangu na kunitoa nje mwalimu khamis alinitaka kunizuia nilimpiga ngumi moja ilisobabisha kuniachia nilitoka nje mbio mbio na nilipotupa macho yangu getini nilimuona baba yake aziza akija wangu wangu tuligeuka ghafla na kupitia mlango wa nyuma mzee akiwa na wapambe wake walitufuta huku ameshika bastora mkonon

Tulitoka mpaka nje ya shule na kukuta kumbe aziza alikuja na gari lile analotumiaga dada yake ilham tulipanda na aziza aliwasha na kuondoka na mwendo wa kasi na kuwaacha tulipita njia ya zamani ya kwenda dar huku aziza akikimbiza gari lile na tukawa tunaenda kuelekea dar ,tukiwa tunaiacha morogoro na bila kuona gari ikitufuata kwa nyuma mara ghafla gari yetu ilipasuka tairi ya nyuma na kuanza kuyumba na kuacha barabara na kuelekea mabonden.......

Gari iliendelea kuyumba bila mweleko na Aziza alijatahidi kuicontol lakin ilimshinda ilienda kugonga mti na kusimama bahati yetu tulikuwa tumefunga mikanda hatukuwa na jinsi ilibidi tutoke kwenye gari na kuamua kutembea kwa miguu muda wote 

Aziza alikuwa kimya moyo wangu ulikuwa na hofu kumuanza kwa kitendo cha kuwapa wanafunzi wa2 pale shulen nilihisi kilikuwa kinamuuma gari ile tuliiacha pale pale tulipita kwenye vichaka kwan kupita barabaran tulihisi tungeweza kukamatwa ,tulifika sehemu hapo ndipo nikaisikia sauti ya aziza
"davie nimechoka
"pole tupumzike basi niliongea huku nikikaaa chini lakini nilimshanga aziza akiwa bado amesimama akiniangalia
"kulikon mbona hutaki kukaa chini hakujibu kitu alikuja na kukaa chini na kichwa chake kukiigesha kwenye mapaja yangu nilichukua mikono yangu na kuanza kuzichezea nywele zake taratibu alikuwa mtoto wa kiharabu mwenye mvuto na umbo la kuvutia na muda wote nikiwa na namchezea nywele zake yeye alikuwa kimya na kuyafumba macho yake
"davie hivi unanipenda kweli
"ndio nakupenda aziza
"mh davie kama unanipenda usingeweza tembea na wasichanA wawili au nilikuwa sikutoshelezi hapo nilikaa kimya maana maneno yake yalinigusa sana moyoni mwangu na nilishindwa hata kumpa jibu

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)