UTAMU WA VANILA (34)

0
Mwandishi: David Kagawa

SEHEMU YA THELATHINI NA NNE
ILIPOISHIA...
"ndio nakupenda aziza
"mh davie kama unanipenda usingeweza tembea na wasichanA wawili au nilikuwa sikutoshelezi hapo nilikaa kimya maana maneno yake yalinigusa sana moyoni mwangu na nilishindwa hata kumpa jibu
SASA ENDELEA...
"mimi nakupenda na maana nimekimbia nyumban kwetu kwa ajili ya kuokoa maisha yako ,kwetu tunauwezo na kila kitu nilichokuwa naitaji nilipata na kama wanaume niliwaona wengi tena warabu kama mimi lakin moyo wangu uliangukia kwako lakin kwann davie unionyeshi mapenz ya kweli ona sasa nina mimba yako na sijui kama mwanangu atapata mapenzi ya dhati ya baba kutokana na tabia yako

Alinyanyuka miguuni mwangu na kusimama huku akilia machoz yaliyopelekea moyo wangu kuwa na hali ya unyonge nilisimama na kumfuta mpaka alipo na kusimama kwa nyuma na mikono yake kuizungusha kiunon mwake na kumkumbattia

"aziza ni kweli sijalipa hata nusu ya uliyonitendea lakini naomba sana unisamehe najua nimefaNYa mengi ila na ahidi sitakutenda tena mpenzi wangu aligeuka nyuma na kuniangalia ile niliona kama nafasi nilikamata sura yake na kuanza kuyalamaba machozi yangu kutumia ulimi wangu na huku mikono yangu ikichezea kiuno chake nilimuona naye akichukua vidole vyake na kuvipitisha masikioni mwangu mwili wangu ulisisimka sana na kunifanya nihisi nipo sayari nyingine

Nilishusha ulimi wangu na kuanza kumng'ata taratibu shingon mwake na huku mikono yangu ikibinya wezele lakeaaaaaaaaaash ..................mmmmmmmmmmmmmh .......davie .........nakupenda alilalamika kwa kuwa tulikuwa tupo kichakan alichukua kanga yake na kuitaNDIKA chini na kulala nilikuja kwa juu yake huku ndimi zetu zikibadilishana mate kwa pole pole niliunyanyua mguu wake mmoja juu

Nilivua zipu yangu ya suruali ya shule na kulitoa rungu taratibu na kulipitisha mtoto alitoa sauti ya mahaba uuuuuuuuups ........................alivuta pumzi na huku akizungusha kiuno chake tuliucheza mchezo kabla ya kushitushwa na kiza kuanza kuingia tulivaa nguo zetu upesi upesi na safari ikaanza ya kutafuta kijiji chochote kwa ajili ya kulala usiku huo bado nilikuwa kwenye nguo zangu za shule tulitembea kwa umbali mrefu kidogo kabla ya kuona kijiji kimoja

Giza lilishaingia tulipita na kukuta nyumba nyingi zipo kimya ,tukiwa bado tunashangaa shangaa tulimuona mzee mmoja akiwa nje ya nyumba yake na aziza alishaanza kuchoka na huku akitetemeka kwa baridi maana hakuzoea kutembea urefu kama ule nilisogea mpaka kwa yule mzeee na kumsalimia
"shikamoo mzee
"marahaba hamjambo
"hatujambo
"niwasaidie nn nilisogea karibu na kumuelezea yule mzeee nilimdanganya kwamba tulikuwa tumepotea na safari yetu tunaelekea dar na tulitaka kulala kwake kwa siku moja

"sawa msijari wanangu karibun sana alitukaribisha ndan na aziza naye aliingia ilikuwa nyumbA ya watoto saba na wote walikuwa wasichana'mama mzungu katoka wapi mtoto mdogo wa mzee mwenye nyumba alikuwa anamuliza mama yake huku akizichezea nywele za aziza

"ebu mwache mgeni huko nilikuwa na kula na nilipotupa macho nilimuona binti mmoja wa yule mzee akinitazama kwa jicho la mahaba

Nilikwepesha macho yangu na kutazama pemben na kuendelea kula lakini nilipoinua macho bado aliendelea kunitazama alikuwa binti mzuri ila kutokana na maisha ndipo kulimfanya uzuri wake usionekane nami nikaamua kumkazia macho na kuanza kumkagua taratibu macho yake yalikuwa yaduara na tulipogongana macho alitazama chini ,vichuchu vilikuwa vimesimama nilishuka mpaka kwenye kiuno alikuwa kajaza

Nilipotupa macho pembeni aziza alikuwa ananitazama nikazuga ,muda wa kulala ulifika na aziza akenda kulala na wale wasichana maana mzee nilimwambia ndugu yangu mtoto wa mdogo ambaye alizaa na mwarabu nilingia kwenye chumba na kukuta kukiwa na kitanda cha miti kuotkana nab uchovu nilijitupa na kupitiwa na usingiz usiku nilishitushwa na mikono laini ikipita kwenye mbavu zangu na huku mkono mmoja ukiwa kwenye rungu ...........

Mikono ile bado iliendelea kutalii kwenye mwili wangu mapigo ya moyo yakaniongezeka kwan alipitisha mikono yake kila kona ya mwili wangu na kufanya chuma changu kisimame na kuwaka moto hatari alikitoa chuma kile na kukibusu huku akitabasamu na kisha kukitemea mate kidogo na kukipitisha juu ya mdomo wake kama analamba koni vile

Hapo alinifanya nipagawe na kuanza kulalamika kama mtoto mdogo kwa jinsi nilivyokuwa napata raha zile mtoto alikuwa fundi na sijawai kumuona demu kama yule alikuwa ananukia kwa manukato mazuri sana aliendelea kulamba kwa fujo na huku kucha zake zikinipapasa taratibu kwenye mwili wangu lakini ghafla nikashaangaa akibadilika na kuwa kama simba vile kucha zake zilikuwa ndefu ajabu na alichomoa kisu na kutaka kukata rungu

"mama we nakufa mie niachie nilijikuta napiga kelele kumbe nilikuwa naota ndoto nilishituka kitandan huku jasho likinitoka kwa nguvu ghafla aliingia baba yule mwenye nyumba akiwa na Aziza
"vipi kijana mbona kelele umevamiwa na wezi
"hapana nilikuwa naota tu

"oh sawa punguza mawazo kwan hapa upo sehemu salama aliniambi mzee yule na kutoka nje kurudi kwenye chumba chake lakin aziza alikuja na kukaa karibu yangu na kuegemeza kichwa chake kwenye bega langu nilishanga macho yake yakionyesha kwamba alikuwa hajalala
"ulikuwa hujalala muda wote nilimuuliza aziza
"yaah sina usingizi
"kwanini na hii ni usiku sana nilimwambia huku nikiangalia saa yangu mkonon ilikuwa saa 9 usiku
"davie sijazoea mie kulala mazingira kama haya alafu nafikiria juu ya maisha yangu alilala juu ya mapaja yangu taratibu nilizichezea nywele zake akajikuta akipitiwa na usingizi

Asubuhi na mapema nilishituka usingizi nakumkuta tayari aziza ameshaamka akiwa amekaa kona ya kitanda huku akiwa na mawazo sana lengo letu lilikuwa kwenda dar ilikukumbia mkono wa baba yake aziza ambaye alikuwa ananitafuta kwa kitendo cha kumpa mimba binti yake mara aliingia binti yake yule mzee ambaye alitupokea
"chai tayari

Tulitoka nje na kunawa uso lakini nilipotupa macho yangu kumtaza aziza alishindwa kunywa chai tokana na mazingira ya pale yalikuwa machafu sana tulimaliza kunywa chai lakini aziza hakunywa kitu kabisa baadaya kunywa chai tulitoka na kwenda kukaa kwenye kimti kidogo kilichokuwa jirani na nyumba ile

"aziza lengo letu nikuenda dar lakini mm hapa sina hata shilingi moja huko dar tutafikaje nilimuuliza aziza lakin aziza alinikadhia macho na kisha kutabasamu na kunionyesha vidimpoz vyake mashavuni

"usijari davie aliingiza mkono wake ndani ya juba lake kwa ndani alikuwa amevaa suruali na kutoa kitita cha pesa macho yalinitoka maana sikutegemea kama angekuwa na pesa vile hapo iman ya kufika jijin dar ikaongezeka na pia alitoa kadi za benki kama mbili na kunionyesha furaha iliongezeka maradufu

"usiwe na shaka davie dar tutafika na tutaishi vizuri maana nilitoroka nyumban lakini nikaingia chumban kwa baba na kuiba pesa hizi na pia hizi kadi zina pesa ya kutosha nilimkumbatia kwa nguvu na kumpiga mabusu mfululizo na hatukuwa na muda wa kupoteza tulienda kumuaga yule mzee na aziza alitoa kias cha sh elfu kumi na kumkabidhi mzee alifurahi sana na kutupa baraka kibao

Tulitoka pale na kuelekea stend na tulipitia sokon na kuchukua shati moja na kubadili lile shati la shule tulifika stend na hatukupenda kupanda mabasi makubwa maana madereva wa mabasi hayo lazima wangekuwa na taarifa juu ya kukimbia kwa mtoto wa mmiliki wa mabasi makubwa ya abood tulikaa kama masaa mawili na mabasi makubwa yalikuwa yanatupita mara likatokea costa moja tulisimamisha na kupanda tulikaa kwenye siti moja na aziza alinilalia kwenye miguu yangu wazee kwenye basi walikuwa wanatutazama sana mpaka nikaona aibu lakini aziza hakujali

"davie nimekukukabidhi moyo wangu na sitopenda kuona ukiumiza moyo nakupenda sana nasitaki kukupoteza

"usijari mpenzi alinipiga busu mdomon lakin ghafla tukiwa tunakaribia na chalize tuliona gari yetu ikipigwa mkono nilipotupa macho mbele niliona defender kama mbili za polisi hapo mapigo ya moyo yakaongezeka na kujua mwisho wangu tayari aziza naye akaanza kutetemeka gari ilisimama na askari mmoja akapanda akiwa na bunduki mkonon..........

Gari yetu ilisimama pemben mapigo yangu ya moyo yaliiongezeka na kuwa na hofu ya kukamatwa nilimcheki aziza mikono yake ilikuwa inatetemeka alipanda polisi moja kwenye gari letu huku akiwa na bunduki yake mkonon alianza kugagua siti za mbele taratibu mara kidogo nyuma yetub kuna mtu aliruka dirishan na kukimbia yule afande alivyoona vile alipiga kelele

"ana kimbia ana kimbia ilibidi wale wenzake waanze kumkimbiza na yeye mwenye akashuka na kumkimbiza ,dereva wetu alivyoona vile aliwasha gari ns kuondoka sikuamini macho yangu kama tuliponyeka nilimkumbatia aziza kwa nguvu na kumpa mabusu

Nilipotupa macho yangu nyuma niliwaona polisi walimkamata yule jamaa lakin wakamwachia hapo nikajua yule jamaa woga wake ndio umemponza na wala hakuwa anatafutwa yeye tuliingia ubungo giza lilikuwa limeshaanza kuingia tulishuka kwenye basi na hatukujua tunaelekea wapi

"mh tunaelekea wapi sasa davie aliniuliza aziza

"mimi mwenyewe sifahamu

Ilibidi twende tukachukue chumba kwenye gesti moja iliyoko maeneo ya manzese tulilala mpaka asubuhi asubuhi na mapemab sana tuliamka na kwenda kuoga na tukicheza michezo mingi ya mahaba wakati aziza anavaa hapo ndipo nilipomuona uzuri wake alikuwa ni mwanamke wa kipekee kabisa

Tuliamua kwenda kutafuta chumba cha kukaa kwan kama tungeishi kila siku gesti pesa ingeweza kuisha upesi TULIPATA chumba maeneo ya kigogo maana tulitaka kuishi uswahili kwan isingekuwa rahis kukamatwa

Tuliamia kwenye nyumba hiyo iliyokuwa na wapangaji kama kumi tulihamia na kitanda na godoro ambalo alinunua aziza maisha mapya yalianza huko uswahili na ilikuwa ngumu sana kwa aziza kuzoea lakini ilibidi wapangaji wengi walikuwa wanatushangaa

Katika nyumba hiyo kulikuwa na mabinti wengi sana NA nilipata mitihan sana kwan wengi walikuwa wanamchukia aziza tokana na uzuri wake na kila siku nilikuwa napata mitego toka kwao siku moja aziza akiwa ameenda sokoni nikiwa nimejifungia ndani nilishangaa mlango ukigongwa

"ngo ngo ngo

"karibu'asante samahani kaka nilikuwa naazima ndoo ya kuogeea

"sawa chukua alichukua ndoo na kwenda kuoga na kuniacha mm nikiwa mule chumban alikuwa anaitwa shakira chumba chake kilikuwa jirani na chetu shakira ni msichana mrembo sana kwan alikuwa ameenda hewan na ngoz ya ngozi ya maji ya kunde na nyuma alikuwa kajaza sana ila sikujari sana kwan nilikuwa na aziza wangu alirudi akiwa na ndoo huku mwili wake ukiwa umelowa maji na kuacha kila kitu kwenye mwili wake wazi

"kaka nimerudisha ndoo'sawa iweke hapo aliingia ndani kabisa na kuiweka na wowowo lake akilitingisha nilijifanya kama sijamuona vile aligeuka na kuniangalia kwa jicho la mahaba na kunikonyeza niliangalia chini kwa aibu kama vile sijui kitu vile
"mama panya panya

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)