MASHINE YA NANI? (3) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Alhamisi, 15 Aprili 2021

MASHINE YA NANI? (3)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Eliado Tarimo

SEHEMU YA TATU
ILIPOISHIA...
Nilishangaa kumuona dada Aisha akinisogelea na kupiga magoti mbele yangu.Akaanza kutumia mikono yake laini kunipapasa papasa kwenye mapaja yangu huku ikinekana ni dhairi shairi alikuwa anataka kuangalia nini kilikuwa kimetuna kwenye suruali yangu.
SASA ENDELEA...
“Nioneshe basi mtoto mzuri” alisema Aisha mara baada ya kuona nimejigeuza kwa ghafla na kumuachia mgongo. “Jamani dada Aisha mimi naogopa mwenzio nilijikuta nikitoa jibu hilo bila kutarajia.”“Unaogopa nini sasa kwani una miaka mingapi?” Aliuliza dada Aisha.Safari hii hakutaka tena kuomba alinivuta kwa nguvu na kunigeuza.Mapigo ya moyo wangu yaliongezeka na pia mtarimbo nao ulizidi kusimama.

Nilitamani nimfanyie kweli dada huyo huku nikikumbuka utamu wa ndoto ile ya jana niliyoota kwa ajli yake.Dada Aisha kwa kuwa alikuwa na nguvu kuliko mimi kweli alifanikiwa kuingiza mkono wake kwenye zipu la suruali yangu na kuutoa mtarimbo wangu.Alikuwa ni kama Dj aliyepewa maiki mbovu hivyo anaangalia nini tatizo.

Alishusha chini suruali yangu na kushika makende yangu. “Una uhakikia hii naniliu ni ya kwako?” aliuliza dada Aisha kwa mshangao. “Naniliu kama sio ya kwangu itakuwa ni ya nani sasa..nilimjibuu kwa kujiamini.” “Hapana bhana wewe mtoto mdogo sana huwezi kuwa na naniliuu kubwa namna hii” alisisitiza Aisha huku safari hii akisimama.

Nilishangaa kumuona akilegeza zipu ya suruali yake kuashiria kuwa alikuwa akitaka kuchojoa nguo tayari kwa kuthibitisha kama kweli ile naniliu ni ya kwangu.Kwa bahati mbaya ile suruali ilikuwa ni ya kubana ikabidi ajitikise tikise huku akinipa ishara kuwa nimsaidie.

Kwani alivaaje mpaka hashindwe kuvua ndo swali nililojiuliza..Alifanikiwa na kwa mara ya kwannza maishani mwangu nilimuona mwanamke live akiwa amebaki na kufuli tu.Tena ni haya ya kisasa mnayoyaita bikini.Uchu na tamaa za kitoto zikanipanda na mimi nikajikuta naivua ile suruali yangu.Ile naanza kumsogelea tu nilisikia kengele ya getini.

“Jaaaaaaaaaaamaaaaaniiiiiiatakauwa ni nani tena?” alisema Aisha kwa jazba huku akiacha ile suruali yake na kukimbilia chumbani kwake.Nilivuta pumzi ndefu na kusema bora tu maana huyu dada ni mkubwa sana na angeweza kunibaka bure.Mtarimbo ukalala doro na na mawazo yangu yakaamia sebuleni ili kutaka kujua ni nani alikuja.

Sikutaka kuendelea kubaki ndani bali nilitoka na kwenda kukaa sebuleni huku nikimuona dada Aisha akitoka na khanga moja na kwenda kufungua geti.Mimi niliogopa kubaki kule chumbani maana siku zote shangazi amekuwa akinisihi nisipende pende kulala ndani.Nilishuduia dada Magret akiingia huku akiwa na rafiki yake mwingne. “Basi niliwa salimia kisha nikwaacha hapo chumbani na kurudi zangu chumbani.

Wakati naelekea chumbani niimsikia yule rafiki yake na dada Mage akimuuliza huyu dogo ndo yupi mbona simfahamu. “Huyu ni binamu yangu mtoto wa mjomba’alijibu dada Magret. “Eeeeeh ni wa kike au wa kiume” aliuliza tena mgeni huyo..“

Wakiume bhana wewe huoni amevaa suruali alijubu tena Mageret.Bali ni bonge la H.B alishindwa kujizuia mgeni huyo ikabidi aseme tu ukweli wa moyoni mwake.Kwa kweli ndugu msomaji sijisifii enzi hizo kila mtu aliyeniona alivutiwa na mimi.Kiu ukweli nilikuwa mzuri hata kushinda dada zangu hao.

Niliendelea kukaa huko chumbani huku nikicheza gemu kwenye simu yangu nilyopewa na shangazi mara baada ya kufika mjini.Yaani nakumbuka ile simu sikuwa na matumizi mengine kama kuwapigia watu na kuchati bali ni kucheza gemu la nyoka na magari.Wakati nikiendelea kucheza gemu nilisikia tena kengele ya getini.Nikajua kabisa huyo atakuwa ni shangazi na kwa kuwa alishaniambia nisipende kukaa chumbani nilitoka haraka haraka na niliamua kwenda kumfungulia.Wakati natoka chumbani kwangu nilikutana na 

Dada Aisha na yeye akitoka chumabni kwake tayari kwa kwenda kumfugulia mtu aliyekuwa nje ya geti.Ile kumuona tu mawazo yangu yaliama na kukumbuka saa zile alivyochojoa nguo na kunionesha mautamu yake. “Unaenda wewe kufungua mlango au niende mimi aliniuliza Aisha mara baabda ya kukutaka kwenye korido.

Sikumjibu nilizidi kumshangaa kutokana na taiti yake iiliyokuwa ikionesha nguo ya ndani aliyovaa.Ghafla nilihisi Naniliuu yangu imesiama kwa haraka na kuanza tena ule mchezo wake wa kupiga piga pushapu.Dada Aisha aliligundua hilo na hakutaka kupoteza mda bali alienda kufungua mlango.Mimi niliendelea kusimama hapo ili nione ni nani alikuwa akiingia ili kama sio shangazi basi mimi nirudi chumbani.

Kweli alikuwa ni shangazi na aliingia huku akiwa kwenye mwendo wa kasi sana.Aionekana kama mtu mwenye tatizo na alivyofika tu sebeuleni aliita jina langu yaani Jimmy. Nikajikuta naitika huku nikipiga hatua na kuelekea sebeuleni.Niliingiza mkono wangu mfukoni na kujaribu kuushika mtarimbo ili usije ukaniabisha tena.”

“Wewe si nilishakwambia usipende kulalalala ndani kama mwali”?alihoji Shangazi wangu huyo.Hata nilikuwa sijalala muulize hata dada Mage tulikuwa naye hapa nilijaribu kujitetea kwa kupitia mgongo wa dada “Ebu toa hiyo mikono mfukoni na usimame vizuri” alisema shangazi mara baada ya kushindwa kulielewa lile pozi langu la kuzuia mtarimbo usionekane.

Nikaona shangazi anataka kuniabisha mbele ya rafiki yake na dada Mage.Nikapiga hatua mbili na kukaa kwenye sofa.Bado watu wote mapozi yangu yaliwachangnya na kila mtu alikuwa akinishangaa jinsi suruali yangu ilivyokuwa ikituna kwa mbele.Hapo dada Mage akashindwa kujizuia akaropoka “hivi mdogo wangu Jimmy unawekaga nini kwenye suruali mpaka panatuna hivyo au nyoka wako ni mkubwa sana”?

“Alafu wewe ukome tena ukome kuongea upuuzi wako kwa mtoto mdogo kama huyu alidakia shangazi huku nay eye macho yake yaikiwa yameganda kwenye sehemu za mbele za surauali yangu.Hapo yule mgeni aliyekuaja na dada Mmage nay eye akashidwa kuvumilia kajikuta anacheka..Sio kucheka tu bali na yeye aliweka neno “Yaani nyumba hii mnavituko sana sasa mtoto mdogo kama huyu jamani mnamshambulia kwa maneno ya kiutu uzima, hiyo naniliiu kubwa ataipata wapi? 

Alihoji huku akizidi kunishangaa.Haaaaaa ataipata wapi ndo uulize sasa histori ayake au unataka kujaribu? Aliseme Mage bila aibu.Hapo kwa hasira nilinyanyuka na kurudi zangu chumbani. “Yani huyu mtoto itabidi niende naye tu kijijni kesho maana nimepata taarifa kuwa baba yu mgonnjwa hoi bin taabani alisema shangazi.. “Hapana mama huyu wewe muache tu ili kuepusha gharama alipendekeza dada mage.

“Hakuna jinsi maana niliongea na baba yake akanambia kuhusu nanaliu ya huyu mtoto hivyo ngoja niendee naye maana naona ishapitiliza kiwango chake hasije akawa na miguu mitatu bure” alisema shangazi wangu huyo na kuwafanya dada Magret na rafiki yake kuangua kicheko cha kufa mtu.Hapo sasa nikaanza kuelewa jinsi mambo yalivyokuwa bayana yaani ni wazi bila kificho.

Nilitamani nirudi sebuleni lakini nilishindwa kwa sababu nilihisi shangazi amemwaga siri zangu kwa watoto wa kike hao.Niliumia sana lakini nilikuwa sinajinsi zaidi ya kujimwaga kitandani.Mawazo mengi sana yalinijia kabla ya kusikia jina langu la Jimmy likiwa linaitwa.Ilikuwa ni sauti ya shangazi ambaye pamoja na tabia yake ya maneno maneno lakini alikuwa akinienda sana.Nilienda sebuleni huku nikiwa na aibu aibu.Safari hii sikuwakuta Mage na rafiki yake walikuwa wameshaondoka.

“Njoo mwanangu tuzungumze kidogo achana na hawa dada zako washadata na maisha hawa”.Alisema shangazi mara baada ya kuona ninasitasita kukaa kwenye sofa.Nilijikaza nikaaa na tukaanza kuongea. “Sasa mwanangu wewe babu yako anaumwa sana hivyo kesho nataka niende Singida kumwona hivyo itabidi tuende wote alafu 

Then tutarudi wote”. “Sawa shangazi” nilijbu kwa kifupi tu.Basi akanambia nijiandae kama kuna nguo za kufua basi nifue na kuweka mambo mengie sawa tayari kwa safari.Nilifanya kama niivyoambiwa na nilipanga vitu vyangu vyote maana sikuwa na uhakika wa kurudi huko.

Basi usiku ulifika na nilivyoingia kualala dada wa kazi Aisha alinandikia meseji iliyosomeka hivi “Nasikia kesho unaondoka handsome boy wangu sasa kwa jinsi nilivyoiona ile naniliu yako kwa kweli siwezi kualala mpka niionje”

“Tukikamatwa je?” nilimjibu kwa mtindo wa swali. “Usiwe na wasiwasi dada yako Magret akipitiwa tu na usingizi mimi nakuja” aliendeea kusisitiza Aisha.Akatuma meseji ingine kuwa usifunge mlango wacha wazi.Kwa kuwa na mimi nilikuwa na hamu ya kuonja tunda kwa mara ya kwanza kwa kweli nilikubaliana naye.Na usingizi ulikuwa hauji kwa jinsi nilivyokuwa nasubiria kupewa tunda hilo na dada wa kazi ambaye kwa kweli alikuwa ni mkubwa kuliko mimi yaani kuanzia umri mapka umbo.

Mida ya saa saba usiku nikiwa tayari nimepitiwa na usingizi nilisikia kama mtu alikuwa akinitingisha tingisha.Kitu cha kwanza nilichokifanya ni kuwasha taa kwa kupitia switch ya ukutanani.Baada ya taa kuwaka nilikaribishwa na tabasamu kali la dada Aisha ambaye alikuwa ndani ya night dress, nguo ya kulalia ambayo ilikuwa ni transparent yenye kuonesha kila kitu kuanzia utumbo mpaka maini vitu vyenye kuongeza mshawasha wa kufanya mapenzi. “

Mmmmh kimejichora vizuri” niliwaza utumbo mara baada ya kukiona kitumbua cha dada huyo ambacho kilikuwana rangi ya kawaia huku kikiwa kimezungukwa na manyoya manyoya laini sana.Wakati naendelea kuwaza ujinga huo na nikishangaa uzuri wa binti huyu mkubwa kiumri na umbo alaishaanza makeke yake.Alianza kunipapasa papasa mwili mzima huku akichojoa kile kinguo chake cha kulalia.

Hapo uvumilivu ulinishinda udenda ulinitoka na kujikuta naachia ile simu ambayo nilikuwa naitumia kuchati na dada huyo.Hapo sasa nikahisi msumari wangu unataka kutoboa boxer nyeupe niliyokuwa nimevaa.Nilishindwa kunyanyuka pale kitandani nikabaki nashangaa makalio na mapaja ya dada Aisha huku sehemu zangu za siri zikizidi kutuna kama kichuguu. 

Nilikihisi pia mchwa ndani ya kichuguu hicho kunitkenye tekenye kutoa uchungu wa uchu wa huba kwa dada wa kazi huyu. “Sare sare maua, hasiyejua kuchagua kabiala lake mzigua” sijui nini na nini nilishangaa dada Aisha akitamka maneno hayo huku akiuvuta uvuta mkia wangu jambao lilonifanya ninyanyue kichwa na kumwangalia”.Akaniachia na kuanza kupiaga piga makofi huku akijitingisha jitingisha kama twiga aliyepata majani mabichi mara baada ya ukame wa mda mrefu.

Hapo sasa ndo nilianza kumfaidi dada Aisha ambaye sasa alikuwa kama chizi akakta mauno kushoto kulia huku akiimba wimbo was are sare maua.Hapo sasa nikaaaanza kumwelewa kuwa alikuwa akimaanisha kuwa yeye alikuwa na kinu kikubwa hivyo anafuraha sana kukutana na mtwangio mkubwa ambao ni saizi yake.

Hapa sasa itabidi tumuulize Eliado eti wanawake warefu na mashine zao zinakuwa kubwa na ndefu au la?.Utumbo wa kimahaba aliokuwa akiufanya dada Aisha ulinifanya nibaki nimemkodolea mimacho utazani mjusi aliyebanwa na malango.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni