MASHINE YA NANI? (8) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumamosi, 17 Aprili 2021

MASHINE YA NANI? (8)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Eliado Tarimo

SEHEMU YA NANE
ILIPOISHIA...
Mara ukaja ule wimbo wa Nitakupwelepweta bure mimi sio saizi yako.Hapo mawazo yakawa yanahama na kumwona madamu Stella akiwa uchi wa mnayama huku matiti yake yaliyoiva na kuvutia kama maembe dodo.
SASA ENDELEA...
Nikaendelea kumwaza na madamu mrefuu kabla ya kuamishia mawazo kwa dada wa kazi dada Aisha. “Lakini hawa wote ni wakubwa nahisi watanipelepweta nilijikua nikijisemea rohoni mwangu.Alafu kale katoto ka Halima ninachosoma nacho kananipenda sana ebu ngoja nikatafutie namna nikaingize laini ili nijaribishe na mimi kwani nimechoka kusimulia kuwa eti mapenzi matamu kama asali..

Niliendelea kuwaza na kuwazua mapaka nikashtukia tumeshafika nyumbani..Kimbembe ikawa kwenye kushuka kwenye gari maana yale mawazo nilikuwa nawaza yalifanya Naniliu yangu iwe imesimama mda wote. “Wewe mbona hushuki?” ilikuwa ni swali la shangazi mara baada ya yeye kushuka kwenye gari nakuona mimi nimeendelea kubaki huko.

Tayari dada Magert na dada Aisha walishakuja kupokea vitu maana shangazi siku hiyo aliwaambia anakwenda kufanya shoping ya maakuli. Ilibidi dada Aisha afungue mlango na kuniangalia kwa nini nilikuwa sitaki kushuka.Eeeeh akaweka mkono wake mdomoni kwa mshangao wa kuona suruali yangu imetuna.Haikuwa mara yake ya kwanza kuniona nikiwa kwenye hali hiyo lakini sijui kwa nini siku hiyo alishangaa sana.

Lakini nahisi alihisi vibaya maana kama kwenye gari tulikuwa mimi na shangazi sasa ni nini kimenifanya nidindishe nazani hayo ndo yalikuwa mawazo yake japo sijui alikuwa akiwaza nini kichwani mwake.Wakati dada Aisha ananishangaa na kunifanya na mimi nibaki pale kama zuzu dada Magreth alikuwa akifungua buti na kuanza kutoa vitu.Alishangaa kuona mwenziye ameganda kama nguzo ya umeme.

Dada Mage akaoa huo ni ujinga akaja na yeye kujionea nini kilikuwa kinaendelea.Dada Mage ndo akaropoka kabisa “yaani wewe Jimmy mdogo wangu kila saa unawaza ujinga tu na ndio maana hiyo Naniliu yako haitulii kwenye alah yake”. “Aaaaah usinichekeshe mie eti kwenye alah kwani kimekuwa kisu hicho?” Alihojia dada Aisha.

Basi nikatumia nafsi hiyo kuingiza mkono mfukoni kisha nikaupindisha mtarimbo wangu na kuuweka upande upande utazani ni mkanda wa suruali.Nikajikaza kiume nikashuka huku nikijfanya kama vile hakuna kitu chochote kilichotokea.Nikawaacha hapo wakiangua kicheko yaani kwikwiwiiiiiiiiiiiiiiiiiikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii aaaaaaaaaaaaaaaaaah alooooo aloooooooooo alooo ya tamu yao.

Tamu yao ndo nini nilijiuliza huku nikifungua buti na kuanza kutoa mizigo ambayo vitu vilikuwa ni vitu vya kula.Nilivishusha haraka haraka kabla ya dada Aisha kuja pembeni yangu na kuanza kuvichukua na kuviingiza ndani.Dada Mage akabaki amesimama tu akitungalia. “Sasa si utusaidie na wewe mbona umesimaa tu” alisema Aisha mara baada ya kwenda na kurudi ndani na kukuta bado kuna mizigo ikimsubiria.

Hapo mimi nilijifinya mkononi na mara baada ya maumivu mtarimbo ulikuwa umelala doro hivyo ikawa ni nafsi yangu nzuri ya kuingia ndani.

Nilienda moja kwa moja mpaka chumbani nikajibwaga kitandani na kuvuta pumzi ndefu sana.Yaani kama mambo yenyewe ni haya bora nirudi zangu tu kijijini ili kuepukana na aibu hii.Alafu ngoja leo nitamuuliza shangzi taratibu za mirathi ili niweze kujua ile bustani yenye mti wa mboribo ni nani atairithi.Wakati nikiendelea kuwaza bustani na mti wa mboribo mara nilisikia kama mtu akiingia kwenye chumba changu.Usiogope Tamu yangu alisema dada Aisha huku …..

“Usiogope Tamu yangu” alisema dada Aisha huku akinitupia kitabu cha utamu utamu kilichoandikwa na mtunzi maarufu kwa jina la Eliado. “Yaani leo Jimmy wangu nataka usome hichi kitabu maana leo lazima nikuonje sitokubali hata kama ni kimoja tu cha hamu” alisema dada Aisha huku akipiga hatua zake na kutoka. “Haya wewe niambie ulifuata nini huko kwenye chumba cha watoto kiume?” liikuwa ni swali liloulizwa na shangazi ambaye na yeye sijui alikuwa akienda wapi maana alikuwa kwenye korido yetu.Shangazi aliingia ndani akanipa simu niongee na baba yangu mzazi.

Baba alinisalimia na pia aliulizia maendeleao yangu ya kiafya na kimwili.Nilimweleza ukweli kuwa hali ya ukuaji wa Naniliu yangu imepungua ingawa nahisi ishapitiliza ukubwa unaotakiwa. “Hamna bwana huwezi pitiliza ukubwa unaotakiwa hiyo ndo nzuri wewe vumilia mpaka matokeo yakitoka ya kwenda form one ndo uridi huku tujue tuakusaidiaje” alifafanua baba yangu.

Basi nilikubaliana na ushauri wake akampa simu mama yangu mzazi naye nikaongea naye.Yeye hatukuongea habari za Naniliu yangu, la hasha yeye tuliongea habari zingine kabisa za huko nyumbani.

Basi baada ya hapo nikakifunua kile kitabu cha mautamu alichoniletea dada Aisha.Nilikuwa na shauku kubwa ya kujua kwa nini aliniletea hicho kitabu na kilikuwa na nini huko ndani. Eeeh ukurasa wa kwanza tu ulizungumzia mambo ya kumfikisha mwanamke kileleni.

Nikasema ebu ngoja nisome hata mistari miwili nijue maana yake. Kwa mujibu wa kitabu Kufika kileleni kwa mwanamke hutokea pale mwanamke anaposikia raha ya ajabu sana huku akihisi umajimaji umezidi ukeni na kutotaka kuendelea kwa mda(too relaxed) huku misuli ya uke ukimenyua menyua(kubana a kuachia).

Utamu huo hauwezi kuelezewa wala kufananishwa labda kama mwanamke ana uzoefu na alishawahi kufikishwa kileleni.

Pengine kwa wale waliowahi kuchezewa au kujichezea wenyewe sehemu za kisimi na kupata raha basi utamu wa kufika kileleni huwa mara tatu zaidi ya huo wa kisimini.

“Eeeeeh makubwa” nilijisemea moyoni mara baada ya kusoma mistari michache tu ya mada hiyo na tayari Naniliu yangu ilishaanza kusimama na kuumuka kama amira.Nikasema ngoja nijikaze niendelee kusoma mistari michache huenda dada Aisha anataka nijfunze kitu kupitia hichi kitabu cha Eliado kabla hajanionjesha mautamu yake.

Basi kwa mujibu wa Eliado mtaalamu wa mapenzi na uhusiano katika utafiti wake juu ya mwanamke kufika kileleni katika tendo la ndoa anasema hivi “Kufika kileleni ni ule mda ambao kushikamana kwa misuli na akili huzuka ghafla mpaka kufikia ambapo haiwezekani kwa mwili kuvumilia.

Kwa hiyo mwanaume akiona hali hiyo anatakiwa aendelee kusukuma kwa nguvu ili hali ya raha ya mwanamke iongezeke na hapo mwanamke anatakiwa kuongeza spidi ya kuzungusha nyonga na kukata kiuno.Ikifikia hali hiyo mwanamke ujikaza kupita kiasi, mpaka pale ambapo uona haiwezekani kuendelea maana mwili mzima uwa umechoka kwa furaha aliyokutana nayo.

Kwa mujibu wa Eliado dalili za mwanamke kufika kileleni uonekana usoni, mikononi, miguuni, katika kiwiliwili na ndani kabisa ya nyayo za miguu.Dalili zingine ni kwamba anaweza kutamka kitu asichokijua, kurudisha kichwa nyuma na sehemu za chini kuinuka juu katika juhudi za yeye kutaka kuingizwa zaidi..

Kwa mujibu wa kitabu hicho cha utamu muda wa kufika kileleni kwa mwanamke hutofautiana kwa kuwa wanawake wanatofautiana hivyo inategemeaa na jinsi mlivyojiandaa, wengine hutumia dakika 1, 2 au 3.Ila pia kwenye dalili sio kwamba wanawake wote hulia na kupiga kelele wengine hali hiyo ujitokeza bila hata wao kujijua kuwa wamefika kileleni. Wengine huwa kimya kabisa na wanaweza kumbana mwanaume kwa nguvu na rangi ya ngozi yao huwa inabadilika.

Wengine huwa wanakunja sura, wengine huongea lugha zisizoeleweka na wengine uelemewa na raha kiasi cha kujikuta wanabubujikwa na machozi pasipo kutoa sauti.Lakini pia dalili kama kutokwa na jasho jembamba, kuhema kwa nguvu,uke kujibinua ili ubane uume, matiti na chuchu kuvimba ni baadhi ya dalili ambazo Eliado anazieleza kwenye hicho kitabu cha mautamu.

Pia mwanamke akifikishwa kileleni huisi sehemu zake za kinembe huwa laini sana na hataki ziguswe na kitu chochote.Hapa nilazima kujifunza kuwa mwanamke akifika kileleni huwa na raha lakini hawezi kuendelea maana viungo huwa vimelegea sana sasa ukiona anataka kuendelea ujue alikuwa anakudanganya hajafika kileleni. 

Sasa huyu Eiado naye ameseme tu maana,dalili na ishara za mwanamke kufika kileleni mbona hajasema jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni nilijiuza mara baada ya kuona topic ya kwanza imeisha.Nikafungua ukurasa mwingine ambao nikakuta mada inaendelea.Hapo nikajifinya kidogo ili uume wangu utulie niweze kupata maujanja ambayo dada Aisha alikuwa akitaka niyajue kabla ya kunionjesha utamu wa vanilla.

Basi kwa mujibu wa Eliado anasema kitu cha muhimu kabisa kabla ya kufanya mapenzi ni romance.Anasema maandalizi ya mapenzi ndio kitu pekee kitachosaidia mwanamke afike kileleni mapema.Anasema kuna sehemu nyeti za kumchezea mwanamke ili alainike na kulegea tayari kwa kungonoka. Ili msichana anyegeke vizuri ni lazima uhakikshe unachezea sehemu zenye msahwasha wa mapenzi.

Hapa anasisitiza kuwa kila msichana anasehemu yake ambao akishikwa tu basi mambo huwa shigidi shigidi shida za kimahabati.Sehemu hizo ni kama chuchu, masikio, unyayo, makalio na mapaja. Kwa mfano unaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwa kumbusu shingo katika mtindo wa kuuma kwa mbaaali huku mikono yako ikiwa 

Inaperuzi na kudadisi katika mwili wake hasa sehemu za mbele za tontolilo yake.Pia anasema unaweza busu au papasa juu ya Kinena (sehemu inayoota mavuzi) au niseme kiunoni kwa mbele hivi kama unaelekea chini ila usifike kwenye tontolilo yake.

Pia unaweza kulamba katika mtindo wa kunyonya Chuchu, hakikisha unazinyonya kwa kupokezana, usibaki kwenye chuchu moja kwa muda mrefu kwani utampoteza "msisimko".Masikio pia ni sehemu nzuri ya kumsisimua mwanamke. Inaweza kuwa ni sehemu ya chini, kwa nyuma au kwa ndani kama sio sikio lote. 

Tumia midomo yako kulamba, busu, hemea na nong'oneza maneno matamu kumfanya mchumba wako asikie raha na kuelewa hisia zako kwake.Busu katika mtindo wa kulamba sehemu ya ndani ya mapaja yake, pia busu sehemu ya nyuma ya kiuno(juu kidogo ya makalio yake).

Hapo sasa mtarimbo ulizidi kutuna na kuumuka kama amira nikajikuta uzalendo unanishinda na kuamua niende kwanza bafuni kuoga ili nipunguze ugwadu uliopanda kisha nirudi zangu kuendelea kusoma kitabu hicho cha mautamua.

Nikachukua taulo langu nikajifunga vizuri nikatoka kwenye korido tayari kwa kwenda bafuni.Wakati natoka chumbani kwangu kuelekea bafuni nilikutana na dada Aisha kwenye korido akitokea bafunini kuoga.Mungu wangu Naniliu yangu ilipanda juu na kushuka chini kama mara mbili hivi mara baada ya kuona mautamu utamu ya dada huyo ambaye alikuwa ndani ya khanga moja huku ameshika kufuli lake mkononi ishara kuwa alitoka kulifua. 

Dada Aisha alikuwa ni kama mtu aliyechanganyikiwa kwa sababu alijikuta akiangusha lile kufuli lake alilokuwa amelishika mkononi.Ajakaa sawa si na ile khanga moja aliyojifunga kutoka kwenye matiti mpaka chini kidogo ya mapaja ikafunguka.Nilibaki nimesimama wima kama mtu aliyepigwa na shoti ya umeme.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni