Notifications
  • THE NIGHTMARE (3)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TATUILIPOISHIA...Akiwa hewani akikata mawingu kurudi Tanzania, kichwa chake kilikua na mawazo mengi sana juu ya mume wake. Aliikumbuka siku waliyofunga ndoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Pia alijua kwanini mume wake alipendelea kufanya kazi uingereza na yeye kumfungulia ofisi huku huku Tanzania. Hakujua kuwa kazi anayoifanya mumewe ni ile ya kutembea na tajiri mkubwa…
  • THE NIGHTMARE (2)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA PILIILIPOISHIA...Khalidi alishangaa kuitwa na mtu asiyemfahamu. Alitoka na kwenda kumuangalia huyo mtu maana kiukweli hakua na ndugu aishie hapa Dar hata mmoja anayemfahamu..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Alipigwa na butwaa baada ya kumuona Sabra pale.“ahsante mungu.” Aliongea Khalidi baada ya kumuona tu yule binti pale.“pole sasa kaka yangu, nisamahe mie.” Aliongea Sabra kwa…
  • THE NIGHTMARE (1)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA KWANZANi kipindi cha mvua za masika. Upepo mkali, na mvua kubwa iliendelea kunyesha kwa kasi kila kona ya nchi ya Tanzania.Ipo mikoa iliyofurahia mvua hizo kwa kuwa walikua wanaisubiria kwa hamu kwa ajili ya kilimo. Lakini ipo mikoa iliyokua inapata shida kwa uharabifu wa mazingira na mengineyo mengi.Moja ya miko hiyo ni Dar-es-salaam. Watu wanaoishi katika mkoa huo walichukia mvua mfululizo kutokana na sababu mbalimbali. Biashara nyingi…
  • MY DIARY (50)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA HAMSINITULIPOISHIA...Nilimnongo’oneza kuwa atumie kinga ili nisimwambukize ukimwi akanijibu kwa sauti ya mahaba nisiwe na hofu yeye yupo tayari kufa kwa ajili ya penzi langu hivyo hawezi kutumia kinga kwa mke wake aliyemoa tena siku muhimu kama hiyo.Sikutaka kumbishia yeye ndo muaamuzi wa mwisho kuhusu afya yake hivyo nilimuacha aendelee kufanya yake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kumbe na…
  • MY DIARY (49)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya maneno ya kusilimu ambayo waliambiwa wayatamke kiongozi huyo alisema neno ya mwisho kabla hajashuka.” Kila alie na akili timamu, mwenye busara naa anaetaka haki, na kusimama pamoja na haki, basi akiangalia dunia ilivyo na jinsi inavyokwenda basi lazima kutakuwa na nguvu kuuu nayo ni mwenyezi mungu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuna vitu vingi sana…
  • MY DIARY (48)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA NANETULIPOISHIA...Familia yangu haikukubali kabisa mimi kuolewa na rangi nyeusi hivyo walinitenga na kusema hawanitambui kuwa mimi ni ndugu yao.Lakini kutokana na mapenzi mazito niliyokuwa nayo kwa baba yake na Leah nilijikuta nipo tayari kwa lolote hivyo nikahama na kwenda kuishi Tanzania.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Katika miaka hiyo tuliyokaa nilibahatika kupata mtoto huyu…
  • MY DIARY (47)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA SABATULIPOISHIA...Lakini ilifikia mahali ndoto hiyo inanijia hata mchana nikiwa nimekaa mahali tulivu.Ilikuwa inanipa taswira nzuri ya sehemu ambayo madini yalikuwepo.Basi nilianza mikakati ya kulitafuta eneo hilo na hiyo ni mara baada ya ushauri wa mpenzi wangu Candy hapo akimaaanisha yule dada aliyekuwa naye pale jukwaaani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Candy alinisihii sana…
  • MY DIARY (46)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA SITATULIPOISHIA...Nilikuwa kama niliyepigwa butwaa nisiamini nilichokuwa nakiona mbele yangu. Oooooh my God hold me on yalikuwa ni maneno yaliyonitoka kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu mara baada ya kumuona James kwa uzuri zaidi na kuamini kuwa yule kweli alikuwa ni kaka yangu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilishindwa kuelewa nini kimetokea mpaka yeye kurudi katika hali yake ya…
  • MY DIARY (45)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA TANOTULIPOISHIA...Ndio niliona hipo haja ya kuokoka na kuishi maisha ya utakatifu kwa maana nishaishi maisha yote ya kuwa mbali na mungu. Nakumbuka nilipokuwa mdogo kipindi hicho naujua mlango wa kanisani tuisahawahi kufundishwa kuwa mtetezi wa kweli wa maisha ya mwanadamu ni Mungu.Na siku zote alaaniwe mtu yule amtegemeaye mwanadamu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Sio kazi ya…
  • MY DIARY (44)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA NNETULIPOISHIA...Yani alianza kutaka uhusiano na mimi tena uhusinao wa mapenzi.Mda wote alikuwa akiniganda kama luba.Na mimi nilikuwa mjanja sana maana nilijifanya sinywi pombe wala kuvuta sigara.Pia baada ya kugundua kuwa wahusika wengine walikuwa wanajiachia niliamua kujifanya mshauri wa mapenzi na mahusiano.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilikuwa nawasshauri sana mshiriki wa…

PENZI PENZINI (2)

Mwandishi: Eliado Tarimo

SEHEMU YA PILI
ILIPOISHIA...
Gaston kabla ya Jesca alikuwa na mpenzi wake aliyeitwa Beatrice msichana wa kwanza kuwa nae na msichana aliyempenda sana ambaye kwa sasa yupo masomoni nchini Uganda. Gaston alijisemea ingawa niliweza kurudiana na Beatrice kipindi kile aliponisaliti nikamsamehe tukaanza upya lakini safari hii itakuwa ngumu kwani nampenda sana Jesca.

SASA ENDELEA...
Kwa hiyo ni kwamba Gaston alishawahi kusalitiwa na Beatrice mpenzi wake wa kwanza kabla ya kusamehana na kurudiana lakini baadaye walipotezana na Gastona akatafuta mshichana mwingine yaani Jesca.

Wakati Gaston akiendelea kumuwaza Beatrice simu yake iliita tena kuangalia ilikuwa ni Jesca akaamua kuipokea. Alishtushwa na jinsi mpenzi wake alivyokuwa akihema huku akishindwa kuongea, akauliza maswali kama mawili yote hayakujibiwa akaamua kukata ili ampigie tena, ile kujaribu kumpigia anakutana na ile sauti “sahani huna salio la kutosha kupiga simu hii” Wakati akiendendelea kufikiria nini cha kufanya mara anasikia makelele nje ya dirisha, kusikiliza kwa makini ni kelele kama za pumanizi.

Kelele zilezilimshutua Gaston ikabidi atoke nje, alipouliza ni nini alijibiwa kuwa eti kuna mwanafunzi wa chuo amefumaniwa na mume wa mtu. Ikabidi na yeye aunge msafara kutoka sehemu anayokaa(madukani) mpaka sehemu yenye pumanizi wanapaita njia panda. Hakutaka kupitwa na gazeti hilo hivyo alitaka kujua ni naniii. Hakuamini macho yake alipokuta watu wamezingira chumba cha msichana wanayesoma nae ambaye siku zote alikuwa akimmezea mate.

Alijiuliza maswali mengi sana bila majibu, akajisemeha sasa huyu nae ni mjinga kweli kwa nini akubali kulimenya tunda karibu na maeneo anayokaa. Ata kama ni room yake na anakaa mwenyewe kwani achukue mwanaume wa mtu? Akajiuliza tena na nani amemchomeshea hiyo ramani. Vurumati lilikuwa kubwa mke wa huyo mwanaume anayesemekana yupo ndani ya chumba cha msichana huyo alikuwa amekuja na kikosi cha maana ambacho kilikuwa tayari kwa lolote. 

Gaston ilibidi aingilie kati kumnusuru huyo dada maana watu walizidi kujaa wakimsubiri atoke huko chumbani walipojifungia na huyo mwanaume. Alimwandikia meseji kuwa endapo akitoka watu watachukua picha hivyo atoke kwa akili ikiwezekana afunike kichwa chake.

Basi binti alitoka kwa kujiamini, akijua kuwa lazima watu wataingia ndani na kumtoa huyo mwanaume na yeye kupata nafasi ya kuondoka. Kwa kuwa yule mwanamke aliyekwenda kumfumania mumewe hakuwa na uhakika na hiyo ramani aliyopewa kwani mumewe alimwaga kuwa anaenda Mwanza kikazi ilibidi aingie ndani kuhakikisha,basi hapo yule binti alimkonyesha Gaston kuwa watoroke.

Gaston kwa ujanja ujanja walifanikiwa kuondoka hapo kwa kupitia nyuma ya uwa wa nyumaba hiyo wakiacha mume wa mtu akipewa kipigo. Walipita njia za vichochoroni na kufanikiwa kufika kwa Gaston, waliingia ndani wakajifungia. Wakiwa chumbani baada ya kimya kirefu yule binti aliamua kuvunja ukimya. “Gaston najua kwa sasa nipo sehemu salama, ila nisamehe sana kwa tukio lililotokea najua siku zote ulikuwa ukinifuatilia bila mafanikio lakini kiukweli huyu mume wa mtu ndo alikuwa akikuzibia riziki.”

“Sio kwamba nampenda kihivyo bali napenda huduma zake, hivi unafikiri mimi ningeishije hapo chuoni ili hali sina boom?” Aliendelea kusema binti huyo kwa jina Mwajabu. “Amekuwa akinisaidia sana, ameninulia hii simu na ile lap top ninayotumia. Mimi naona lawama zote hizi serikali wanahusika inakuwaje sisi watoto wa masikini tunanyimwa mikopo ili hali hatujiwezi?” Alijitetea Mwajabu na kujaribu kuitupia lawama serikali. Kwa maneno hayo ya uchungu binti wa watu alikuwa akimwaga machozi katika kiti alichokalia. Gaston ingawa hakufurahishwa na lile tukio lakini alimwonea huruma sana akamfuata akamfuata machozi akamwambia “usijali panda kitandani ulale wacha mimi niangalie movie zangu”.

Gaston aliwaza sana akajisemea “ingawa watoto wakike wanadanganyika na pesa za waume za watu lakini, kiukweli kama mtu hauna mkopo na wazazi hawajiwezi kwa mazingira ya chuoni ni shida sana”. Aliwasha lap top yake na kuanza kuangalia movie, lakini kwa kuwa alikuwa amechoka sana siku hiyo akajikuta anasinzia na kupitiwa na usingizi kila baada ya dakika kazaa. Kitendo kile kilimnyima amani yule binti aliyefumaniwa akajikuta anamwamsha na kumwomba apande kitandani alale. Ingawa Gaston alikataa lakini bintihuyo alimbembeleza sana mpaka akakubali. Wakapanda kitandani wakalala.

Cha ajabu shuka la kujifunika lilikuwa moja na si mnajua tena hali ya hewa ya Moshi ni baridii. Gaston alimwambia binti “wewe jifunikke tu hilo maana mengine nimeyafua na hayajakauka”. Binti akamwambia “ngoja tuchangie ili usiogope na kuanzia sasa nitaachana na wanaume wa watu na kama utakuwa tayari kuwa na mimi tusaidiane kimaisha ntashukuru” Binti alikuwa akiyasema maneno yale kwa maana sana kwani Gaston kiuchumi alikuwa yupo vizuri japo sio mambosafi sana. Gaston hakujibu kitu ingawa kiukweli alishawahi kumtaka kimapenzi binti huyo bila mafanikio. Binti alipitiwa na usingizi lakini Gaston aliendelea kuwa macho huku akiendelea kutafakari kama ataweza kulala nae mpaka asubuhi bila kufanya kitu.

Wakati akiendelea kuwaza yule binti alikuwa akimpandishia miguu yaani madokta wanasemaga malalavi. Kitendo kile kilimfanya Gaston aamke na kwenda kukaa kwenye sofa lake la seti moja.Baada ya mda binti alishtuka kutoka usingizini akamwona Gaston amejikunyata huku baridi ikimpiga, alimwonea huruma sana akajisemea moyoni mwake “ huu sio uungwana, kwa nini ateseke na baridi hili hali na mimi nipo”. “Najua ananipenda na yupo tayari kwa lolote ingawa lile tukio limemshtua sana”.

Akawaza mara mbili tatu akasema sio mbaya nikimuonjesha asali, kama niliweza kumpa mume wa mtu sembuse yeye na uhandsome wake huo. Akashuka ghafla kutoka kitandani akalitupa lile blaketi na kuanza kuchojoa nguo zake, nia ni kumwonesha Gastoni jinsi alivyo mzuri no matter what.

 Akalichukua lile blaketi akajifunika akamfuata Gaston alivyofika alilizungusha blanketi juu ya mwili wa HB huyo kisha wote wakawa ndani ya blaketi.. Gaston alishtuka sana akaanza kuhema kwa nguvu na hii ni baada ya kuugusa mwili wa binti huyo. Mapigo ya moyo yaliongezeka alipozidi kukumbatiwa. Mara binti akajitoa kwa ghafla na kubaki kama alivyozaliwa , alimpa mkono Gaston ishara kuwa waamie kitandani. Gaston hakusita alikubali, wakaamia kitandani.

Uchu wa huba ulimpanda ghafla Gaston na kujikuta amemfakamia kama paka aliyeona panya.Alianza kumnyonya ndimi kwa nguvu huku mikono yake ikiperuzi na kudadisi kwenye mwili huo wa Mwajabu.Unyororo wa mwili wa Mwajabu ulimfanya Gaston awe na papara ya kupitisha mikono kunako ikulu na kujaribu kupima ujazo wa kiwango cha mafuta kwenye ikulu hiyo.Alitumia vidole vyake kupima kima cha maji kwenye kisima cha Mwajbu na alikaribishwa na uteu ute ambao ulikuwa umeshuka sehemu hizo za binti huyo.

Kuvutika vutika kwa ute ute huo ulimfanya atoe mkono kwa nguvu na kuamia sehemu za juu za ikulu....Asssssssssssssssssssshhhhhhhhhhh sssssssssssssssss ilikuwa ni sauti yabinti huyo aiyetoka kwenye fumanizi mda si mrefu.Wakajitoa fahamu na kusahau yote yaliyotokea wakaanza kuparamiana huku wakibiringitana biringitana hapo kitandani.Mwajabu aliamua kumtesa Gaston kwa kubana miguu ili mtarimbo usiingie kwenye kinu.Gaston akawa anajitahidi maana alihisi anaweza kufunga bao la kwanza kwenye mapaja mazuri ya binti huyo.

Wakiwa wameanza kuzidiwa na mawimbi ya bahari ya mapenzi ghafla simu ya Gaston iliita na kwa kuwa ilikuwa karibu yake aliiangalia na kuona kuwa aliyekuwa akipiga alikuwa ni Beatrice msichana wake wa kwanza ambaye waliachana kwa kupoteza mawasilianao kabla ya kumpata Jesca. Hakutaka kuipokea ile simu badala yake alitumia nafasi hiyo kuvaa soksi(kondom) tayari kwa kumshughulikia Mwajabu ambaye alikuwa amejilaza kitandani akiwa mweupeee peee kama alivyozaliwa.Ile simu ikaita kwa mara ya pili.

Mwajabu naye hakutaka Gastoni apokee simu na ilivyoiita mara ya pili aliiichukua na kuizima kabisa. Gaston ikabidi amuulize nani anapiga, Mwajabu akajibu ni Beatrice na ngoja niizime utaongea nae tukimaliza maaana kwa usiku huu tu lazima atakuwa ni mpenzi wako alisema Mwajabu.Gaston hakufanya makosa akaupanda mchuma na kuanza shughuli ya kutwanga na kupepeta. “Kweli kwenye mapenzi hakunaga makombo” aliwaza Gastoni mara baada ya kufurahishwa na joto alilolikuta kwenye chungu cha Mwajabu.

Kwa mawazo yake alijua kuwa kwa kuwa Mwajabu alitoka kufumaniwa basi sehemu hizo zitakuwa na unyevynyevu wa mvua iliyonyeshewa na kufanya kuwe na ubaridi ambao ungefanya nyoka wake hashindwe kukaa na kufurahia ikulu hiyo.Hapa naweza kusema masomo aliyosoma Gastoni akiwa sekondari yalimwezesha kuwaza ujinga kwani alisoma EGM hivyo alitumia jeografia yake vizuri kulinganisha tukio la fumanizi na viungo vya ndani vya Mwajabu.

Aliendelea kutwanga kwa spidi kubwa mara baada ya kuona kuwa kinu hicho kilikuwa kinabana vizuri mtwangio wake kinyume kabisa na matarajio yake.Mwajabu naye hakutaka kutumia vibaya nafasi hiyo alijishughulisha vya kutosha.Binti huyo alikuwa akimkatikia mauono kama feni mbovu ilyopelekwa kwa fundi. Aliona hiyo ndo nafasi yake ya pekee ya kumfurahisha shujaa huyo ambaye alimwokoa kutoka kwenye fumanisi ambalo kwa namna moja au nyingine lingemtia kwenye aibu kubwa saana maishani mwake.Walienda raundi mbili na baada ya hapo kila mtu alikuwa hoi bin taaabani.

Mwajabu mara baada ya kuona amemmaliza Gaston alichukua ile simu ya Gastoni na kuiwasha na alikaribishwa na meseji nyingi za lawama kutoka kwa wasichana wawili yaani Beatrice na Jesca. Na baaada ya kuzisoma alimrushia Gastoni simu yake na kumwambia “Chukua simu yako nisije nikafaa kwa presha bure”.Kabla Gaston hajajibu kitu, Mwajabu aliongeza kwa kusema siku hizi hakuna mtakatifu, wote ni wale wale matajiri na masikini, wasichana na wavulana na watoto kwa wazee.Hapa alimaanisha kila mtu siku hizi ni msaliti tu.

Baada ya Gastoni kuziona zile meseji aliaamua kuwapigia simu na alianza na wa muhimu zaidi yaani Jesca.Simu iliita mara ya kwanza na haikupokelewa na alipopiga tena ilipokelewa. “Baby mbona unaninyanyasa na penzi lako,simu unazima na sms hujibu” alisema Jesca mara baada ya kupokea simu.Gastoni hakuwa na majibu ya kumrizisha Jesca zaidi tu ya kuomba msamaha na kujitetea kuwa sazile kuna tukio la fumanizi lilitokea mtaa wa pili.

Gastoni ikabidi amuulize mbona ulinipigia simu ukawa unahema sana na huongei? Jesca kwa sauti ya upole, mlegezo na kudeka alijibu “ndoto babee wangu”, yaani leo naota ndoto mbaya sana juu yako. Gastoni akamuuliza “kwani umeota nini babeee?”“Nimeota unanisaliti na nimekufumania mimi mwenyewe” alisema Jesca. 

“Na baada ya hapo ikawaje?” aliuliza Gastoni. “Wewe acha tu ulikimbia ukiwa mtupu na watu wakawa wanakuitia mwizi”. “Acha masihara yako mpenzi, mimi nakupenda sana na kamwe siwezi kukusaliti” alidanganya Gastoni.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

23 Penzi Penzini Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni