PENZI PENZINI (6)

Jpt
0
Mwandishi: Eliado Tarimo

SEHEMU YA SITA
ILIPOISHIA...
Hapa ni kwamba vipindi vilikuwa vimefuatana hivyo wakati wale wanafunzi waliokuwa nje wakimbembeleza mwalimu aliyekuwa akitoka wale wanafunzi waliokuwa ndani wao waliamia darasa lingine na tayari mwalimu mwingine alishaingia.Gaston akaona kuliko kukosa vyote bora akimbilie huko darasani tu na kuwaacha wenzake wakiendelea kumbembeleza mkuda.

SASA ENDELEA...
Gaston alipoingia tu wanafunzi wote walichelka jambo ambalolilimshangza yeye na mwalimu aliyekuwa akiwafundisha.Ikabidi mwalimua awaulize wanacheka nini.Hapo kila mwanafunzi alikaa kimya.Ikabidi mwalimi amsimamishe Gaston na kumuuliza “kwa nini wanafunzi walikuwa wakicheka”.

Gaston na yeye hakuwa na jibu la kumpa kwani na yeye alikuwa dilema hasijue wenzake walikuwa wakicheka nini?Hapo mwalimu akakasirika akachukua laptop yake na kuondoka zake.Jambo hilo lliwashangaza wanafunzi wote kwa sababu haikuwa kawaida ya mwalimu huyo kukasirishwa na jambo dogo kama hilo.

Ikabidi kiongozi wa darasa amfuate ofisini na kumuomba msamaha.Mwalimu alikasirika kwa sababu aliwauliza kwa upendo kilichokuwa kikiwachekesha wakashndwa kumjibu kwa maana hiyo walikuwa wakimcheka yeye.Kumbe wanafunzi hao walishapata habari za Mwajabu kufumaniwa kutoka kwa wanafunzi wa darasa lingine.

Na vyanzo hiyo vilisema eti mtu aliyemuokoa Mwajabu na kumpa hifadhi ni Gaston na kwa mantiki hiyo ni kwamba Gaston alilala na Mwajabu na ndio maana amechelewa darasani.Zuweana rafiki yake na Mwajabu alimfuta Gaston na kumuambia kuwa anashida naye yaani wazungumze kidogo. Gaston kwa sababu alikuwa bado yupo njia panda na wanafunzi wengine waikuwa wakiendelea kumcheka na wapo waliomfuata na kumpa pole ilibidi amwambie Zuwena “ wewe endelea tu kuongea mimi na kusikiliza”

Zuwena kwa ustaarabu akamawambia anamuomba amasindikize Cafuteria wakanywe chai alafu wataongea huko.Gaston akaondoka na Zuwena na kuingia cafeteria ya chuo na kupata chai ya nguvu.Zuwena akamueleza kuwa wanafunzi walikuwa wakicheka kutokana na taarifa kuwa Mwajabu alifumaniwa na Gaston ando amemuooka na kumpa hifadhi. 

“Kwa hiyo wanafunzi walikuwa wakicheka nini kwani kumsaidia mwenzangu ni vibaya?” Aliuliza Gaston kwa mshangao.Ndo hivyo Gaston watu wanajua wewe umelala na Mwajabu maana sio kawaida yako kuchelewa darasani.Gastoon alimuangali kwa jicho kali na kumuuliza “wewe si ni rafiki yao kwani amekuambiwa yupo wapi?”. “Simu yake haipataikani hivyo hata mimi siju alienda wapi mara baada ya kutokea lile fumanizi”. Alijibu Zuwena.

Gaston hakuwa na amani sana maana alishahisi kuwa huenda Mwajabu amaemwambia rafiki yake kuwa yupo kwake. Ikabidi amtumie meseji Mwajabu na kumuuliza kama alimwambia mtu kuwa yupo kwake.Mwajabu alikataa katu katu kwa njia ya meseji.

Basi Gastoni akamwambia Zuweka asiwaze sana hayo ya Mwajabu kwani yeye alimuokoa tu na baada ya hapo alimpeleka kwa rafiki yake wa mwaka wa kwanza.Baada ya hapo walirudii darasani na kuendelea na ratiba za vipindi kama kawaida.Na baadaye vipindi viliisha akawa anarudi zake gheeto huku akiwaza itakuwaje kama atamkuta Mwajabu bado yupo ndani.

Wakati anajirudisha mdogo mdogo simu yake iliita na alipoangalia ilikuwa ni shemeji yake Alice.Akaamua kuipokea na baada ya salamu Alice alimuuliza yupo wapi?Gaston akajibu kwa kujiamini kuwa ndo ametoka chuo anaelekea gheto.Alice akamwambia basi amsubiri waende wote akapafahamu na pia kuna maswali ya darasani anataka asaidiwe.,

Hapo Gaston akapandwa na kigugumizi akakosa jibu la kumpa akajikuta na yeye akimuuliza “kwani wewe upo wapi?”.Alice akamwambia kuwa yeye yupo hostel.Ikabidi Gaston atoe udhuru kuwa kuna mahali anaenda hivyo amtumie tu hilo swali kwa njia ya sms atajaribu kumsaidia. Bado Alice alimwambia kuwa ni hesabu hivyo hatoweza kumtumia kwa njia ya sms.Gastoon akamwambiabasi nitakuelekeza kesho asubuhi.Alice akazidi kukomaa kuwa Professa amewaambia linatakiwa likusanywe kesho hiyo hiyo.

Gaston akachoka zaidi akamwambia “ebu njoo hpa Nyerere Hall nikuelekeze mara moja”.Gaston ambaye alishakuwaamefika kwenye geti la chuo ilibidi arudi na kumsubiri shemeji yake huyo.Gaston ingawa alikuwa amechoka kimwili na kiakili lakini alishindwa kumkatalia kwa sababu yeye ndo masaada mkubwa kwa shemeji yake huyo na pia kumsaidia ilikuwa ni kujiongezea credit kwa mpenzi wake Jesca ambaye ndo aliwaaunganisha.

Gaston alikaa kama dakika kumi lakini Alice hakutokea kitu ambacho kilimkera Gaston na akawa anamuwaza binti huyo na kujisemea “tatizo watoto wa kike hawajuiwagi haraka alafu huyu nishamzoesha vibya mana kila swali sasa anataka nimfanyie”.Gaston akamuandika sms kuwa afanye haraka au kama hawezi wafanye kesho maana alichoka kumsubiri.

Dakika mbili baadaye Alice alifika huku akiwa anahema kama mtu aliyekimbia. “Shemeji samahani kwa kuchelewa alijitetea Alice”.Yaani leo na haraka sana ndo maana alisema Gstonon. Tukae wapi aliuliza Gaston? “Mmmmmh kwa nini tusiende pale kwa siku ile” alipenndekeza Alice.
Wakajikuta wanaenda kukaa kwenye Kimbweta ambao walikaa siku ile na kujikuta wakishuhudia mechi ya wenzao waliochizika ingawa hawakujulikan kama ni wanachuo au la.

Hapo Alice akashindwa kuvumilia akajikuta akimuuliza swali “hapa sehemu si ndo tulishuhudia watu wakicakachuna laivu bila kificho”. “Yaani wewe kwa kukumbuka mambo ya vituko haujambo” alisema Gasrton mara baada ya kukumbushwa tukio hilo.Walikaa hapo na Gaston akaanza kusolve hayo maswali aliyoletewa.Baadaye aliongezeka rafiki yake na Alice kwa jina Stella na kumlazimu Gaston arudie kusolve yale maswali kuanzia mwanzo.Ilimbidi kufanya hivyo ili wote waweze kuelewa.

Uzuri Gaston alikuwa amejaliwa sana kipaji ha kumuuelekeza mtu kwa njia rahisi ambayo itamfanya aelewe.Hapo Stella akajikuta ameelewa sana hivyo ikabidi ampe sifa zake “kaka upo vizuri sana yaani natamani kila siku wewe ndo uwe unatufundisha” alisema Stella. Usijai mkiwa free muwe mnanitafuta nawatemea madini alisema Gaston.Wakamaliza wakaagana na kila mtu akaendelea na ratiba zake.

Gastona alikuwa amechoka sana na mda ulikuwa umeenda sana akafika gheto kwake akakuta bado mlangoo umefungwa akahisi huenda bado Mwajabu alikuwa ndani.Akafungua na kuingia ndani na alikaribishwa na harufu nzuri ya chakula alichopika Mwajabu.

Ilimbidi ashangae kuwa binti huyo atakuwa amepika saa ngapi na amepata wapi hiyo nyama inaonukia hivyo.Mwajabu alipomuona Gaston ameingia akajiinua kizembe zembe toka pale kitandani alipokuwa anaangalia movie ya kikorea na kwenda kumkumbatia Gaston.Nasema kizembe zembe kwa maana alikuwa amejifunga tu khanga moja na kuacha sehemu kubwa ya maungio yake ya mwili yakiwa wazi yakipunga upepo.

Alijiachia utazani yupo kwake vile.Wakati amemkumbatia kwa nguvu kwa bahati mbaya ile khanga aliyokuwa amejifunga ikadondoka na kufanya abaki na kufuli tu alilokuwa amevaa.Sehemu za juu za mwili wake zilikuwa tupu.Mshawasha wa matiti yaliyochongoka na kusimama kama ncha ya mkuki yalimfanya Gaston amgande kama luba.

Akajaribu kupepesa macho yake nyuma ya mgongo wa Mwajabu na akajikuta kivutiwa sana na mfreji ulioanzia mgongoni mpka kwenye makalio yaliyokuwa yamejibinu vizuri huku yakibanwabanwa na kufuli zuri lilowekea nakshi nakshi za maua na vikopakopa kuashiria malovee.

Wanasemaga macho hayana pazia Gaston akaendelea kukagua mwili wa marembo huyo ambao leo aliufaidi tofauti na jana ambapo alikuwa akikagua kwa viungo vyake maana taa ilikuwa imezimwa. Gaston alibaki amesimama akikagua yaliyomo kwenye mwili wa Mwajabu na akishangaa uumbaji wa Mungu. Mwajabu naye kwa kujitoa ufahamu badala ya kujifunga khanga yeye alienda kufunga mlango.

Hapo Gaston na yeye akageuka ili kukagua uzuri wa makalio ya binti huyo ambayo yalijazia na kutingishika kama mawimbi ya bahari “mmmmmmmh ana kijungu mchongoko” alijisemea Gaston huku mtarimbo wake ukianza kunyanyuanyanyua suruali.Gaston alizidi kuchanganyikiwa akajikuta mate yanamtoka kwa uchu wa kutaka kuupanda mlima huo wa Kitonga.Alilambalamba lips za chini za midomo yake kama mtu aliyesikia harufu nzuri ya chakula..

Gaston akalinganisha yale makalio ya Mwajabu na ile filamu ya komedi ya Inye gwedegwede.Baada ya Mwajabu kufunga mlango aligeuka na kumkumbatia Gaston, kumbatio zito la huba huku akijaribu kujichezesha chezesha mwili wake.Mwajabu akamuuliza Gaston “yaani pamoja na kukuonesha vitu vyangu hujasema neno lolote” Gaston akajibu kwa kifupi kuwa “yaliyomo yamo” neno ambalo lilimfurahisha sana Mwajabu.Gaston alihisi kama Mwajabu amechanganyikiwa au ana jini mahaba maana alikuwa akifanya vitu vingi sana kummaliza Gaston.Baada ya kumbatio hilo la mda mrefu Mwajabu alimuachia na kuchukua khanga yake na kujifunga kisha kurudi kitandani na kuendelea kungalia moviee.

Gaston akajifunga taulo lake akaingia bafuni na kuoga.Aliamua kufanya hivyo kwa sababu alikuwa amechoka sana.Akiwa bafuni bado alikuwa akimfikiria binti huyo asimpatie majibu ya kutosha.Ina maana huyu binti ndo kashaamia au? 

Aliwaza nini hatima yake je amfukuze usiku huo au amuache na kumfaidi tena usiku kucha? Pia alijuliza kwa nini bint huyo ametokea kujiamini na kujiachia ghafla tu.Akakumbuka jinsi binti huyo alivyokuwa akimsumbua na kumringia pindi alipokuwa akimtokea.

Hapo Gaston akawa anaingia na hofu na kujisemea usikute Mwajabu ni muathirika na anataka kummaliza.Akatoka bafuni huku akiwa bado yupo njia panda hasijue nini cha kufanya.Alivyotoka tu bafuni akakuta tayari ameshapakuliwa msosi ambao harufu yake tu ulitosha kabisa kumtia uchu mtu yeyote.

Alikuta amewekewa rosti ya nyama bakuli nzima, viazi vya kurosti kachumbari na maanjumati mengine.Kwa kuwa Gaston alikuwa na njaa sana kwani alikuwa hajala tangia wanywe chai na Zuwena kule chuoni akajikuta anauliza hivi vyote ni vyangu.“Yeaha baby kula jiachie mkeo nimekutengenezea vitu vizuri” alijitpa Mwajabu. 

Gastonn kwa kuwa alikuwa na njaa sana alifakamia ule msosi huku moyoni mwake akijisemea kwa jinsi chakula kilivyokuwa kitamu sio bure unaweza kukuta umewekewa limbwata.Wakati anaendelea kusikilizi utamu wa chakula hicho na jinsi gani kilipikwa Mwajabu alizima laptop yake akajongea mezani ili na yeye apate maakuli.

Akachukua mfuko wa matunda na kutengeneza sahani ya matunda.Gaston alizidi kushangaa maana yeye hakuacha matunda hapo ndani. Mwajabu akapakua msosi saizi yake na kuanza kula.Aliendelea kula huku akimlisha Gaston ambaye alikuwa kwenye ngwe ya mwisho ya kumalizia chakula alichopakuliwa.

Walikula wakamaliza kisha wakahamia kwenye matunda lakini Gaston alishangaa matunda ambayo alikuwa akiyapenda sana yaani matikiti maji yalikuwa yamewekwa pembeni .Gaston uzalendo ukamshinda ikabidi aulize “mbona hayo matunda mengine umeyaweka pembeni?”.Mwajabu akachekasana na kumwambia “hayo ni kwa ajili ya kazi maalumu.”

Mwajabu akasema “tena ngoja nikutengenezee dawa ambayo itakayokufanya usiku huu unipende ghafla na kufurahia uwepo wangu”.Jana usiku niligundua uwezo wako wa kuhimili mikikimiki kwenye mapenzi ni mdogo sana akiendelea kusisitiza Mwajabu. Mwajabu akachukua yale matikiti maji akayatengenezea juisi kisha akawasha jiko na kuibandika hiyo juisi huku akiendelea kukamulia machngwa.

Baadaye aliipua akaacha ipoe kisha akasaga maparachichi kwa blenda na kuchanganya.Akaweka kwenye friji huku akijitapa kuwa “hii sasaa ndo viagra asili lazima uweze kunisugua vizuri usiku huu wa leo”.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)