UZOEFU (11) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatatu, 5 Aprili 2021

UZOEFU (11)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa

JINA: UZOEFU
Mwandishi: Elisha Msafiri

SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA...
"Pita ndani tu pako wazi!" Nilimuitikia mtu huyo aliyekuwa akibisha hodi huku nikiamini kuwa ni dada wa mgahawani maana ndiye akikaa mda mfupi bila kuniona hapati raha.Lakini kinyume na matarajio yangu nilishangaa kuona Dora ndiye anayeingia.
SASA ENDELEA...
"Ahn!...karibu Dora!" Nilimkarisha huku sura yangu ikitawaliwa na tabasam la mshangao.

"Ahsantee!" Alijibu Dora na kuketi juu ya sofa lililokuwa mbele yangu,alikaa mkao ambao gauni lake fupi la bluu lilipanda juu na kuruhusu mapaja yake kuwa wazi lakini yeye hakuonekana kujali hali yakuwa akiniacha mimi na kibarua cha kutomuangalia.

"Simu yangu ilizima chaji bwana...vipi ulinitafuta eenh!?" Dora aliniuliza swali ambalo majibu yake yalisababisha niseme uongo.Lakini ukweli ni kwamba sikuwa na mpango wa kumpigia hata mtondogoo.

"Sorry! Sijui mnaweza kuwa na charger ya anroid!" Dora aliuliza swali lingine na kabla nalifikiria hilo aliiona mwenyewe na kisha akaamka kwenda kuichomeka simu yake.

Ingawa niliweza kujizuia nisimtazame Dora pale kwenye sofa alipokaa lakini safari hii aliinama mbele yangu kwani tv ilipo ndipo 'switch' ilipokuwa.

Kitendo hicho kikatumia muda mrefu kidogo hivyo nikapata muda mrefu wa kumtathimini jinsi alivyoumbika.Moja kati ya vitu binadam asivyoviweza kabisa ni kutofikiria kitu asichokitaka.Yani umetaka hujataka lazima ufikirie ubongo unachotaka.Vivyo hivyo na mimi mawazo yangu yalienda mbali kidogo lakini ubongo ukajitahidi kuuzibiti mwili.

"Sijui utakunywa nini nikuletee!?" Nilimuuliza Dora alipomaliza kuchomeka simu yake kwenye chaji!"

"Hata usihangaike unazani nakaa basi!" alijibu Dora huku sura yake ikionyesha hana dalili ya kuondoka mapema.

"Sio vizuri hivyo!"
"Ok fine naomba maji basi!"
Nilimletea Dora maji na story zikaanza zile zile za mapenzi kama kawaida yake.

"Hivi Tom unaweza kuzitambua dalili za mwanaume ambaye ni shoga!" Dora aliweka mada hiyo mezani na mimi nikajibu sijui lakini cha ajabu 

Dora alianza kuichambua mada hiyo mwenyewe huku mifano yote akinitolea mimi.Japo aliongea kwa mafumbo niliweza kumuelewa vizuri anachomaanisha.Mwanaume gani mwingine alimkalia uchi na asisimke kama si mimi na ni nani mwingine alimtamkia anawashwa na asimkune kama sio mimi?.Ingawa nilijiahidi kukubali jina mpumbavu mbele za 

Dora lakini haikuwa jina lake hilo jipya alilokuja nalo.Je ni mwanaume gani anayeweza kuvumilia kufananishwa na shoga hata kwa utani tu? Tena na msichana! Ghafla nikajikuta naivunja misingi niliyojiwekea na kujikuta natengeneza hoja ambazo zingenisaidia kumpa 

Dora anachokitaka.Na hoja yangu hiyo iliundwa na msingi mkuu kuwa binam ni nyama ya hamu kisha ikapewa nguvu navigezo kama Lisa hatapata habari yeyote kuwa nimemsaliti kwani hata ningeshinda ndani kutwa nzima na Dora kila mtu anajua ni binamu yangu hivyo pasingekuwa na shaka yeyote.

"Vipi kiuno kilishapona!?" Nilimuuliza Dora huku nikiwa nimeamua liwalo na liwe.

"Tom baana!!...hata nikikwambia bado utanisaidia nini!?" Dora alijibu akiwa kanibania pua na sauti hiyo ikaanza kunifanya nizisikie vurugu kati kati ya suruali yangu

"Kwanini nisikusaidie sasa!?" Nilimuhoji naye akainama chini bila shaka aliona haya.

"Ndio bado kinauma!" Alinijibu kwa sauti ya chini akiwa kakwepesha macho.

"Ok lala vizuri basi nikufanyie massage!" Nilimuamuru Dora naye akafanya hivyo.

Taratibu nikasogea kwenye sofa alimojilaza, nikaanza kumminya minya kwa vidole kwenye kiuno chake na eneo lote la mgongo.Kazi hiyo niliifanya kwa ufanisi mkubwa kama vile nilikuwa nalipwa mamilioni ya shilingi na muda wote Dora alikuwa akiitikia mapigo kwa kutoa miguno ya ajabu.

"Sory Tom!....sijui unaeweza kunisugua kwa mafuta kabisa!?" Hatimaye Dora alitoa ombi lake kwa sauti iliyotoka kwa tabu nami nikakubaliana na ombi hilo kwa kufuata mafuta chumbani na niliporudi nilimkuta Dora kafungua zipu ya gauni lake nakukivua kipande cha juu kisha kalala kifudi fudi kwenye sofa ili kuyaficha maziwa yake.

Sikushangaa kumkuta Dora kwenye hali hiyo hata kidogo kwani nilitegemea hali kama hiyo kutokea.

Nilipofika mimi niliendelea na shughuli yangu,nilimmwagia mafuta mgongo mzima kisha nikaendelea kumminya kisawa sawa na muda wote alikuwa akijinyemvua nyemvua kuonyesha dozi inamkolea.Sikuishia tu kwenye kiuno na mgongo ila sasa nilitelezesha mikono yangu hadi ndani ya chupi yake na kuminya minya makalio yake yaliyokuwa laini sana.

Hakusema lolote hivyo zoezi hilo likawa endelevu nikawa naanzia juu mabegani nashuka taratibu na mgongo wote nikifika eneo la kiuno naweka kituo kidogo kisha nazama hadi kwenye makalio.

"Ooh mmmnh ash uh..uh...mmh" hiyo ndo lugha Dora aliyokuwa akiizungumza wakati huo.

Kadri muda ulivyoenda ndivyo na eneo la massage lilivyozidi kuongezeka.Sasa niliiruhusu mikono yangu kuzama hadi kwa chini na kuchezea maziwa yake.Kitendo hicho hakikumchanganya Dora pekee hadi mimi tayari kichwa kilishaanza kuwa kizito.

"Geuka basi nikufanyie na kwenye mbavu!" Nilimuamuru Dora naye akalala chali huku akiwa kayafumba macho yake huku akiziacha chuchu zake mbili kunikodolea macho.Ukweli ni kuwa sikutaka kumshughulikia mbavu wala nini ila nilitaka niyafaidi maziwa yake laini yaliyojazika vizuri.

Nilizuga (nilijifanya) kushughulika na massage ya mbavu kidogo kisha nikafikia pale nilipopahitaji ( kwenye maziwa) Niliyachezea maziwa yake kwa viganja vyangu huku nikiziminya minya chuchu zake kwa vidole hadi hali yake ikawa taabani kabisa.

"Tom...kafunge mlango!" Dora aliniamuru baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya inaonekana alihit aji huduma ya kwanza kwa haraka.

"Usijali Dora ndio namalizia hata hivyo bamdogo atarudi sasa hivi!" Niliamua kumkata stimu Dora ili nimpime imani.

"Ah!..Tom usitake kunidanganya unazani mi sijui kama uncle kasafiri na kumuachia mama jukumu la kumuangalia mgonjwa!" Dora aliongea kana kwamba ananishushua na sasa aliweza kufumbua macho yake japo nusu mlingoti na yalikuwa yamemuiva sana.

"Sasa!?"Dora aliniuliza huku akinitizama kimahaba.

"Nini!" Nami nikamuuliza kana kwamba sielewi chochote.

"Kafunge basi!" Akarudia alichosema awali nami nikajizoa zoa kuinuka nikihofia Dora kukiona kiungo kilichofanya niitwe mwanamume kilivyokuwa kimevimba kwa hasira na kusababisha suruali kuwa ndogo.Hata hivyo nikatumia janja ya kuweka mikono mfukoni kisha nikaelekea kufunga mlango.

Niliporudi kwa mara nyingine nilikuta Dora kamalizia kuvua gauni lote na kubaki na chupi pekee.Uume wangu uliokuwa umeanza kunywea niliusikia ukijinyoshosha kwa kasi ya ajabu mithili ya mtu aliyeshtuka toka usingizini.Maungo ya Dora yanatamanisha hata kama amevaa kitenge sasa vipi akikuvulia nguo kabisa.Nilimtazama 

Dora kwa jicho la uchu kama simba mwenye njaa amtazamavyo swala huku nikipiga mahesabu kuwa nianze kumtafuna wapi.Halikuwepo swala la kujivuta vuta tena kati yetu kwani kila mmoja wakati huo alikuwa akimuhitaji mwenzake kwa udi na uvumba.Tulianza kutomasana huku 

Dora akiwa ameingiza mkono wake kwenye boxer yangu na kushika nyama ngumu iliyovimba kwa hasira halikadhalika na mimi niliingiza mkono wangu wa kuume na kushikashika kitumbua chake kilichokuwa kimelowa sana tayari kwa kuliwa,hapakuwa na muda wa kupoteza tena,mimi na 

Dora tulielekea chumbani kukata mzizi wa fitina,huko alitoa kila aina ya kilio nilipokuwa namthibitishia kuwa mimi si mpumbavu kama anavyofikiria wala mimi si shoga kama anavyozani na baada ya mizunguko miwili ya mvurugano mkali kuisha.Alinyosha mikono juu kuashiria kuwa anaomba vita hivyo viishe.

Na baada ya zoezi hilo kwisha niliinamisha kichwa na kumuomba kimoyo moyo mpenzi wangu Lisa anisamehe kwa usaliti huku nikila kiapo kingine kuwa haitatokea tena mimi na Dora kushiriki tendo hilo.Kwani tayari alishajua kuwa shughuli naiweza kisawa sawa,tatizo maamuzi tu.

Baada ya Dora kuondoka na mimi nikiwa nimejipumzusha simu yangu iliita kuashiria kuwa kuna (msg) ujumbe mfupi ulikuwa umeingia.

Niliinyanyua kuitazama na ujumbe huo ulisomeka hivi 'asante sana Dr. wangu kwa tiba nzuri saivi najisikia mwepesii' ujumbe huo ulitumwa na namba ile ile ya Dora.Nilifikiria nijibu nini na nikaamua kumjibu 'ahsante kwa kushukuru'.

Jua liliendelea kuzama na kuchomoza,yakaendekea kutokea machweo na mawio,Hivyo ndivyo siku zilivyokatika na kumaliza muda muda wangu wa kuishi mkoani Tabora,kwani sasa matokeo yalishatoka na nilitakiwa kurudi Dar kuendelea na masomo.

Niliondoka mkoani Tabora na ushindi mkubwa mno kwani nilifanikiwa kukipata kwa asilimia mia kile nilichokifuata.Huku nyuma nilimuacha bamdogo akiwa na majonzi hasa baada ya kushindwa kumshawishi kaka yake ambaye mimi ni baba yangu,Niendelee kubaki Tabora,yeye atanisomesha.Ingawa bamdogo alikuwa na majonzi lakini hakumfikia Dora,ndugu yangu kipenzi tuliyevuka mipaka na kujuana kiundani zaidi.

Hadi naondoka Tabora tulikuwa tukiitana honey.Nilipata kujifunza kitu kimoja toka kwa ndugu yangu huyu.Nilijifunza kuwa nikishinda naye anaweza kunishinda lakini nikienendana naye ni rahisi mimi kumshinda.

Kwani hata maji ukiyatengenezea mkondo unaweza kuyapeleka unapotaka lakini ukiyajengea ukuta ipo siku yataupiga chini tu.Hivyo nilipoitwa honey namie nilijibu yes honey.Nilipoambiwa naomba tuonane nikajibu leo sina muda darling labda kesho.Nani alishawahi kuiona kesho ikifika?,kila leo ina kesho.

Baada ya kufika nyumbani Dar hata wazazi walinisifu kuwa afya yangu ilikuwa imeimarika vilivyo na uso wangu kung'ara baraabara.Walihoji nilikuwa nakula nini Tabora. Hawakujua kuwa mapenzi yanaweza kuunawirisha mwili zaidi ya chakula na Lisa kwangu alikuwa ni zaidi ya mlo kamili.

Siku chache baadae nikawa nimeanza rasmi masomo ya (Advanced level) kwenye shule iliyopo ndani ya jiji hili hili la Dar es salaam, na sasa hata shule mambo yalienda sawa bin sawia huku nikiamini kuwa mahali flani kapo kabinti kanakojua nakapenda sana na mimi najua kananipenda sana na kabinti hako kanaitwa Lisa.

Ingawa shule niliyokuwa nasoma palikuwa pamesheini warembo wa kila namna wenye sifa na vigezo vyote vya ulimbwende lakini sikuwahi kuona hata mmojawao anayefanana hata kidogo na uzuri niliokuwa nikiuona kwa Lisa hata nilipotembea barabarani sikuona kabisa wa kufanana na kipenzi cha roho yangu.Kitu hicho kilinifanya nimuone Lisa kuwa ni binti special ( maalum) aliyeumbwa kwaajili yangu.

Tangu nilipomtamkia Lisa kuwa nampenda na yeye akanijibu ananipenda pia, Hapana siku niliyolala bila kumuomba Mungu amsaidie naye alale salama na kila nilipoamka nilimuomba ampatie siku njema,

Tangu nimeingia kwenye ulimwengu wa mapenzi sikumbuki ni mpenzi wangu gani niliyewahi kumuombea zaidi ya Lisa na labda ndio maana hata nilipotembea huku na kule sikuwahi kumuona wa kufanana na yeye.Ama kweli Lisa kwa maisha yangu alikuwa kama sukari kwa chai.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni