UZOEFU (16) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatano, 7 Aprili 2021

UZOEFU (16)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa

JINA: UZOEFU
Mwandishi: Elisha Msafiri

SEHEMU YA KUMI NA SITA
ILIPOISHIA...
Lisa alijibu huku akijiuma uma sikuweza kuvumilia kuendelea kumsikiliza nikakata simu huku akiwa bado hajamaliza kuongea sikutaka kujua kuwa alikuwa anatania au anamaanisha anachokisema. Baada ya kukata simu hiyo nilianza kutetemeka kwa hasira hasa baada ya kujizuia nisibamize chini simu yangu.
SASA ENDELEA...
Lisa alikuwa ni mzuri ndio hata mimi ni handsome boy jumlisha na wasichana wanaonitongoza kila mara basi sikuona sababu yeyote ya kuendelea kubembelezana na Lisa. Laiti kama angeshika simu yangu na kuingia inbox siku moja na kuona wasichana wenzake wanavyosumbuka kunipata hakika asingenidengulia hata kwenye njozi akilala. Tatizo ni kwamba nilikuwa nampenda sana labda ndomana anajiona yeye ndo yeye.

Usiku huo huo mara tu baada ya kuachana na Lisa nikataka nimkubalie moja kati ya wasichana anayesumbuka sana kulipata penzi langu. Lakini nikaona hizo zote ni hasira na ntajikomoa mwenyewe hivyo nikaamua kuwa mpole tu kuisubiri hatma yangu ya mapenzi.

Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi, tangu nimeachana na Lisa nashangaa nikawa mwepesi sana katika mambo yangu na hapo ndipo nikaamini bora pengo kuliko jino bovu. Sasa sikuwaza tena juu ya nafsi mbili, 

Sikuwaza simu za usiku wala lawama za kutokujibu msg, kila kitu kina faida na hasara zake.Hasara ni kumpoteza Lisa na faida ni kuishi kwa raha bila kuwaza mbona Lisa leo yupo kimya, mara kanipiga kibomu, ghasia zote hizo zilinipitia kando.

Baada ya hayo yote kutokea wiki hiyo Siku ya Jumamosi majira ya mchana niliamua kwenda beach (ufukweni ) kutuliza kichwa, Mara nyingi kichwa changu kisipokuwa sawa huwa napenda kwenda kutazama mbingu inapoungana na bahari, kwa kufanya hivyo huwa naipumzisha akili. 

Kama kawaida yangu nilielekea moja kwa moja kigamboni na kwa kuwa nilihitaji utulivu siku hiyo sikwenda kwenye beach maarufu zinazotembelewa na watu wengi na badala yake nilitafuta sehemu iliyokuwa na watu wachache sana na nikaamua kutulia hapo.

Nilijaribu kutofikiria swala la mapenzi lakini haikuwezekana, bado nilikuwa nikiwaza juu ya Lisa. Sababu kuu ya kuachana hakuna lakini ndio hivyo tushaachana. 

Nikiwa bado nayawaza hayo huku nikitupa mawe baharini kwa mbali kidogo nilimuona msichana mmoja, tangu nilipofika ufukweni hapo alikuwa peke yake, nikadhani labda kuna mtu ana miadi naye ndiye anayemsubiri lakini haikuwa hivyo. Muda uliendelea kuyoyoma pasipo mtu yeyote kuja kuungana naye. Nikaamua kwenda kumsabahi.
"Dada mambo!?" Nilimsalimu baada ya kumfikia naye akanitizama kana kwamba anajiuliza aitikie salam yangu ama aache ila baada ya mda akajibu kifupi "poa" . Sikufa moyo na mapokezi yake mabaya nikamuuliza tena.
" samahani sijui naweza kuketi hapa !" Huku nikiionyeshea kidole changu pembeni yake.
"Yeah unaweza!" Aliitikia huku akitikisa kichwa.
"Ahsantee!" Nilishukuru nilipokuwa nakaa pembeni yake.
" Mie naitwa Tom!...sijui wee mwenzanguu!?"
"Ooh! Me naitwa Malha!" Alinijibu kwa mtindo ule ule wa (nijibu nisijibu)
"Malha una jina zuri!" Nilimsifia naye akatabasam.
"Wow ahsante Tom!" Aliongea sauti laini saana.
"Malha mtoto mzuri mbona uko peke yako?"
"Mbona wewe uko peke yako?" Badala ya kunijibu swali langu naye akaniuliza kisha wote tukacheka.
"Mie sipo peke yangu nipo na wewe!" Nilimjibu kupotezea hiyo mada
"Na mie sipo peke yangu nipo na wewe!" Naye akalirudia jibu langu kisha wote tukacheka tena.

Malha ambaye alikuwa na uzuri wa kawaida uliotiwa dosari na chunusi kadhaa kwa uso wake huku akiwa na nyodo kiasi niliweza kukaa naye na kupiga naye hadithi za maisha na nyingi zikiwa za mapenzi.

Hatimaye muda wangu wa kukaa beach hiyo uliisha na Malha alinisindikiza hadi kwenye kituo cha dala dala.

"Malha sijui naweza kupata namba yako please!" Nilimwambia Malha daladala ilipokuja naye kwa mtindo ule ule alifikiri mara mbili kabla ya kuchukua simu yangu na kuziandika. Nikapanda kwenye gari nakuondoka.

'Ndo napanda kivuko apaa' nilimtumia Malha ujumbe huo sikumjumlisha kuwa ndio napanda kivuko ila nilitaka aipate namba yangu.
"Poa wangu uwe na safari njema!" Malha naye alinijibu kwa ujumbe mfupi kuonyesha kuwa amemuelewa nani kamtumua ujumbe huo.

Majira ya saa tatu usiku nilipokea ujumbe mwingine toka kwa Malha ' mmmh jamani hata kusema kama umefika'
' ooh m sorry Malhaa nilifika salama '
'Poa usiku mwema!'
'Usiku mwema pia bt am sorry?'
'Sorry for!?'
'Baadae naweza kukupigia simu!'
'Kwenye saa ngapi?'
'Sasa nne nne hivi!'
'Yap unaweza' kwa mtindo ule ule Malha alifikiri sana kabla ya kuujibu ujumbe wangu.

Katika story zangu chache za mchana nikiwa beach na Malha niliweza kujua mambo makuu matatu kutoka kwake.

kwanza alikuwa ni mwalimu wa chekechea katika moja ya shule zilizopo Kigamboni.

Pili alikuwa ni binti wa Kitanga na Tatu alikuwa akisumbuliwa na mpenzi wake.

Ingawa Malha alikuwa akionyesha nyodo za mara kwa mara mbele yangu lakini bado niliendelea kumbembeleza hakujua sikumbembeleza bure ila kuna kitu nilikihitaji toka kwake!

Jambo la msingi nililohitaji toka kwa binti huyo ni urafiki ule wa kushibana (best friend). Niliamini kwa kufanya hivyo ningeweza kujua mambo mengi yanayowahusu wasichana bila kupitia kwa Lisa. Ndio nilikuwa nimeachana na 

Lisa lakini bado nilikuwa na shauku ya kutaka kujua kwanini tumeachana.Je watoto wakike hawapendi nini? Je wanapenda nini?, maswali yote hayo niliamini yangejibiwa vizuri na Malha hasa ukizingatia kazi yake ni mwalimu pia ni binti kutoka mapenzi yalipoanzia ( Tanga) kwaiyo nikaamini ni lazima atakuwa anajua mengi kuhusu mahaba.

Saa nne urobo juu ya alama kama ahadi yangu ilivyosema nilimvutia waya Malha (nilimpigia simu)

" Ah jamani ulishalala kumbe!?" Nilimchombeza Malha mara baada ya kupokea simu kwa sauti ya kichovu.

"Hata sijalala nipo kwa tv hapa nasinzia tu!" Alinijibu Malha kwa sauti ya mapenzi. Kukataa kwake kuwa hajalala kulimaanisha anataka mazungumzo na mimi, na mie nikalianzisha.

"Ivi Malha kwanini unahisi boy wako anakusumbua hali mpo pamoja?" Lilikuwa ni swali langu la kwanza kwa Malha, mchana alinipa muhstasari na jioni hiyo nilitaka habari kamili.

" Yaani Tom nashindwa hata nianzie wapi!?" Kama kawaida yake Malha alinijibu mara baada ya kufikiri sana.

" I am sorry kama ni swali baya ila kama haupo huru kulijibu achana nalo!" Nilimwambia Lisa baada ya kuona anakuwa mzito kunijibu, na sikumwambia hivyo nikiwa na maana asijibu la hasha, nilijifunza saikolojia moja ya watoto wa kike muda mwingine ukimbembeza sana anaweza asikupe unachotaka, lakini ukionyesha sio lazima ni rahisi kwake kukupatia. 

Niliituma janja hiyo na nikafanikiwa kwani Malha aliweza kunieleza kila kitu kuhusu yeye na mpenzi wake na hadi mwisho wa mazungumzo yetu nilikuwa nimejua vitu vitano Malha anavyovikosa toka kwa mpenzi wake.

Cha kwanza kabisa ni Muda, Mpenzi wake hana muda kabisa wa kukaa naye muda mrefu na kujadili mambo kadha wa kadha kuhusu mapenzi yao.

Pili,Mpenzi wake hajali mambo madogo madogo, Malha anaweza kumwambia anaumwa yeye akamwambia tu anywe dawa bila kutaka kujua nini kimemsababishia kuumwa.

Tatu, Pindi Malha anapomuhitaji kuongea naye kwenye simu yeye hutumia nafasi hiyo vizuri kumringia kwa kumwambia yupo bize ili nayeye aonekane mtu muhimu.

Nne, wanapokuwa pamoja hupenda kuongea yeye peke yake na hamsikilizi mpenzi wake.

Na tano. Hupenda kumkosoa mpenzi wake karibu kwa kila jambo ili yeye aonekane yupo sawa kila wakati.

Shutuma hizo nilizozisikia toka kwa Malha dhidi ya mpenzi wake zilinifanya na mimi nijisikie mtuhumiwa kwa kiasi fulani toka kwa Lisa. Japo sio zote lakini na mimi kama mbili hivi zilinihusu. Na mimi nilikuwa mpuuziaji mzuri wa mambo madogo madogo, kama Lisa akinieleza tatizo basi moja kwa moja niliekea kwenye utatuzi badala ya kuchimbua chanzo cha tatizo na wakati mwingine nilidiriki hata kusema 'achana na mambo madogo hayo' sikujua kuwa mambo madogo yanazingatiwa kiasi hicho na wanawake.

Kitu kingine kilichonigusa hata mimi nilipokuwa bize na mambo mengine sikutaka habari za mapenzi sikujua kuwa mwanamke ukiwa bize ndipo na yeye anakuhitaji muda huo huo ili kupima umuhimu wake, lakini kama uking'ang'ana na ubize wako basi yeye hujiona mtu asiye na thamani kwako.

Siku hiyo ikapita tukiwa tumeongea mengi na Malha na huo ndio ukawa mwanzo wetu wa kupiga story kila siku usiku.

"Hello Tom mambo!" Japo ilikuwa kila siku mimi ndiye nampigia simu Malha lakini leo hii alinipigia yeye.
"Safi Malha nambie!"
" Tom wajua wewe ni rafiki yangu sana!"
"Ndio najua hata sisi ni marafiki sana!"
"Uko wapi saivi?"
"Nipo hom dia"
"Najua upo hom but wapi chumbani au sebuleni"
"Nipo chumbani hapa ndo najiandaa kulala!"
",ok Tom usinichukulie vibaya lakini!"
" kwanini Malha?...wee sema tu me nakusikiliza!"
"Mmmmmh hapo ulipo umevaa nini!?" Malha aliguna kimahaba kisha akaniuliiza kwa sauti ya uvunguni.
"Mimi huwa nalala na boxer tu kiukweli!" Nilimjibu Malha bila wasi wasi kwani tayari tulikuwa tumeshazoeana kwa kiasi kikubwa sana.
"Tom naomba uivue tafadhali!" Ingawa sikuivua boxer yangu lakini nikamjibu kuwa tayari nimeshafanya ivyo. Sikutaka kumkatiza Malha nilitaka kujua kuwa ana nia na madhumuni gani.
"Na mimi nilikuwa na kikanga kimoja nishakitupa pembeni!!! Aliongea tena Malha kwa sauti ile ile ya huba naingawa yeye ndiye mwenye tabia ya kufikiri muda mrefu kabla ya kuongea leo hii nilimrithi.
"Wow!" Nilizuga baada ya kukosa cha kujibu.
"Tooooom!" Malha aliniita kwa sauti ambayo sijawahi kuitwa hata na ex wangu Lisa.
"Yes Malha!"
"Naomba niilambe koni yako!"
"Lamba dia!" Nilijibu hata bila kufikiria, ukweli ni kuwa binti huyu wa kitanga alishazipandisha hivyo akili ya kawaida ikatawaliwa na nyege.
"Mmmmh psss...ah..ah Tom unayo Tam aah Tom yako tam!!" Malha alianza kutoa miguno ya kimahaba huku akihema kwa tabu, huwezi amini kufumba na kufumbua koni yangu ikavimba karibu kupasuka.
"Aaaash mmmh oh oh....uh uh Tom tamu!" Malha aliendelea kulalama kwenye simu na mimi uvumilivu ukanishinda nikaitoa koni yangu kwani muda huo ilitishia kuchana boxer!
"ooh Tom chomeka!!... kitumbua changu kimelowa saana aaash!!...ingiza yote Tom!" Malha alifanikiwa kuniteka na kisauti chake cha kimahaba na muda huo mi nilikuwa najaribu kumtuliza askari wangu ( uume) munkari kwa kuminya minya.
" chukua Tom....oh ooops ....yote yako!! Mmmh taam...ooh!"
" nipe baby nipe utaamu!" Na mimi nilianza kujibu mashambuzi rasmi na tuliendelea na mchezo huo mchafu hadi Malha alipopiga ukelele nadhani alikuwa akifika kileleni baada ya hapo tuliagana na kukata simu.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni