UZOEFU (17) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Alhamisi, 8 Aprili 2021

UZOEFU (17)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
📖 KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
😂 VIDEO za KUCHEKESHA
📑 MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa

JINA: UZOEFU
Mwandishi: Elisha Msafiri

SEHEMU YA KUMI NA SABA
ILIPOISHIA...
" nipe baby nipe utaamu!" Na mimi nilianza kujibu mashambuzi rasmi na tuliendelea na mchezo huo mchafu hadi Malha alipopiga ukelele nadhani alikuwa akifika kileleni baada ya hapo tuliagana na kukata simu.

SASA ENDELEA...
Kwa mara ya kwanza toka nizaliwe, mtoto wa kitanga akawa amenichezesha mchezo unaoitwa sexy phone, Ingawa awali sikutambua lakini hadi mwisho wa mchezo nikawa nimeelewa nini kimefanyika.
Sijui kwa upande wa Malha lakini kwa upande wangu usingizi ulinipaa kabisa, 

Nyege zilinipanda (hamu ya kufanya ngono) kwa kiasi kikubwa. Japo hakuwa na uzuri wa kuvutia lakini Malha mambo yake yalishaniteka akili, nikajikuta namtamani kwa kiasi kikubwa, muda huo sikukumbuka hata chunusi zake, nilikuwa nikikiwazia kitumbua chake tu.Nikawaza jinsi akinipa ntakavyo kitafuna baraabara,mawazo yangu hayakuwa na tofauti na mtu aliyeonjeshwa asali akataka kuchonga mzinga!.

Nikajibembeleza nilale huku nikitamani asubuhi ifike mapema nimuombe mchezo Malha ili yale mambo ya kwenye simu tuyafanye live.

Hauchwi hauchwi huchwa, Hatimaye pakakuchwa na kitu cha kwanza kufanya nikumtumia ujumbe mfupi Malha hata kabla sijajua kuwa nimeeamka salaama au la!' gud mon my dia!''Morning hw ar u!' Baada ya muda mfupi Malha akawa amenijibu, nikiwa namuandikia ujumbe mwingine nilisikia tena mlio wa ujumbe mfupi, nikasitisha nilichokuwa naandika ili niusome kwanza ujumbe huo nao uliandikwa hivi.

'Samahani sana Tom kwa nilichokufanyia jana bt haikuwa dhumuni langu, sisi ni marafiki naomba tuendelee kuheshiamiana kama mwanzo.tufanye kama hakijatokea kitu nakuahidi ctorudia tena! M sory!'.

Je ujumbe huo toka kwa Malha utaua nia ya Tom???

'Vipi kwani ulikuwa na hamu saana enh!?'
'We acha tu Tom ni story ndefu, ntakuhadithia badae saivi najiandaa kwenda shule' Malha alilipotezea swali langu kwa namna hiyo na mimi sikutaka kumbembeleza, nikaamka kujiandaa na mimi niende shule.
" Utanasa tu we subiri !" Niliongea mwenyewe nilipokuwa naweka dawa ya meno kwenye mswaki.

Nikiwa shuleni majira ya saa tano kasoro asubuhi, Malha alinipigia na ijapokuwa ilikuwa ni muda wa break ( mapumziko) sikutaka kuipokea simu yake, kwa kufanya hivyo niliamini kutamuongezea hamu na shauku ya kunitafuta zaidi.

Nikakaa kimya hadi majira ya jioni tulipotoka shule ndipo nikaamua nimtafute.Kabla ya kumpigia simu niliangalia salio la kifurushi changu kwanza, naam! Zilikuwa zimesalia dakika chache sana ambazo niliamini kwa ile hadithi yake ndefu aliyonitonya asubuhi zisingetosha, Nikaamua ninunue kifurushi kikubwa ambacho kingetosha huku nikiamini ndani ya hicho kifurushi hakuna kile atakachobakiza.

"Ahsanteni kampuni za simu kwa kuturahisishia maisha!" Nilijisemea mwenyewe nilipokuwa nasubiri Malha apokee simu yangu!
"Nambie mrembo wangu!" Nilimsabahi Malha kichangamfu baada ya kupokea simu.
" Sitaki huko ! Kwanza nimekununia hapa!" Malha alinilaumu kwa sauti ya deko.
" Yeethuuuu na mariah nimefanya nini tena aithee" Nilimtania Malha kwa lafudhi ya kichaga.
" Ha ha ha!...toka huko!" Aliangua cheko laini sanjari na vineno vya kizushi, Nashukuru aliweza kucheka kwa hiyo trick (janja) yangu niliyoitumia maana huenda alinuna kweli.
"Uko poa lakini?" Niliirudia salaam yangu baada ya kumuona yupo sawa.
" siko poa hujui ulichonifanyia enh!?"
" Najua tu kwakuwa sikupokea simu yako but mda huo nilikuwa class ma dia yaani nimetoka tu kitu cha kwanza nimetafuta vocha nikupigie!"
" Haya bhana wee nidanganye tu!" Aliongea kwa upole Malha akionekana kukolewa na maneno yangu.
" uko wapi saivi!?" Nilihoji.
"Nimeshafika nyumbani tayari!"
"Duh hadi nakuonea utamu!!....enhee nambie!"
" hapo ulipo upo comfortable ( vizuri ) tuongee!?"
" i think so" ( nafikiri hivyo)
" ok Tom but am sorry kwa haya ntakayokwambia!"
"Usijali we sema tu!" Nilimuondoa shaka Malha kisha akaendelea.
" Unajua jana bhana ....nilikuwa na miadi na my boy ( mpenzi wangu) aje tusexy. Baasi nikawa nimejiandaa mwenyewe kimwili na kiakili, subiri!
..subiri na wewe, eti badae too late (amechelewa sana) ndio ananitumia limeseji ( ujumbe mfupi) ' baby am sorry nna dharura sitakuja' ( Malha aliongea huku akiwa kabana pua kana kwamba anaiga sauti ya mpenzi wake) Yaani nilikereka wewe Tom!?"

" Sasa ukamwambiaje!?"
"Nimwambie nini sasa?....Limeseji lake sikujibu na nimemnunia hadi leo!" Aliongea kwa kujitapa Malha.
" Ah jamani sio vizuri ivyo mwenzako itakuwa alipata dharura kweli!" Nilimshauri kinafki huku moyoni nikimpongeza kwa alichofanya, yap yap mkazie hivyo hivyo nilijisemea kimoyo moyo.
" wee Tom hujui tu nilivyokereka yani hadi muda huo nakupigia wewe simu unisaidie nilishajipiga vidole hadi basi!"
" Uliridhika lakini!"
" Yeah!...kiasi flani!"
" Si ungevumilia tu aje mfanye leo!?" Nilitoa ushauri mwingine huku nikitamañi mimi ndio ningekuwa mwenye miadi hiyo.
" Tom na wewe unataka kuniuzi eenh!?"
" Haya basi basi naogopa kununiwa mwenzako!" Niliongea kimzaha na kabla Malha hajajibu kitu nikaunga maneno.
" Dala dala limeshakuja my dia sasa tuendelee kuchati basi kwa meseji!" Ukweli ni kuwa dala dala haikuwa imefika lakini nilikosa pozi la kuomba kile nnachotaka hewani na hiyo ndio sababu ya kumuhamishia kimwana huyo kwenye njia ya ujumbe mfupi. Ukitaka kuua nyani usimuangalie usoni.
" Malha unajua wee jana uliridhika lakini mi mwenzako haikuwa hivyo kabisa' ujumbe wa kwanza huo wa choko choko nilimchokoa Malha.
' Tom una maana gani?'
'Naomba nije nikutembelee kwako!' Badala ya kujibu swali nikaongeza kizungumkuti.
' unataka uje lini?'
' Alhamis'
' Na shule je'
'Ntakuja nikitoka'
" Sasa si utachelewa?'
' Nikichelewa ntalala huko huko!'
" Tom bhana acha masikhara'
' kweli ctanii'
' Aya muda ukifika tutapanga basi'

Katika chating hiyo iliyodumu dakika kadhaa hatimaye nikawa nimeondoka na ushindi wa matuta (mbinde)

Toka siku hiyo tuongee juu ya miadi hiyo nilihakikisha kila siku usiku naigusia katika mazungumzo yetu huku nikimchombeza mtoto huyo wa kitanga kwa mikogo ya kimahaba, Hatimaye ilifika Jumatano usiku, siku moja kabla ya Alhamisi ya ahadi kufika

Nikiwa chimbani kwangu najaribu kupitia pitia tuliyosoma shule siku hiyo , simu yangu ilitetema (ilivibrate) kuashiria kuna simu inaingia, Naam!, Nilipoangalia kioo alikuwa ni Malha.

" Hello Tom mambo!?" Malha alinisalimia kwa sauti ya kichovu lakini iliyokuwa na ladha ya mahaba.
" Pouwah!...mzima weyee!" Nilimjibu huku nikifunga madaftari yangu na kujitupia kitandani, niliamini mazungumzo hayo yangedumu kwa muda mrefu.
" Leo ulikuwa na mpango wa kulala bila kuongea na mimi...bisha!?"
" Ah jamani mbona saivi bado mapema saana!" Nilijitetea bila kujua muda huo ni saa ngapi.
" Tom saivi sio mapema inakaribia saa sita kasoro!...wee kubali tu yaishe!" Malha aliendelea kunibebesha mzigo wa lawama.
" Hamna bhana mbona mapema tu!" Niliendelea kubisha huku naitoa simu yangu sikioni ili kuona ni saa ngapi.
" Tom au ulikuwa busy na wifi yangu nini!?" Malha alihoji swali lililotangaza wivu ndani yake.
" Hamna kitu ka hiyo, nilikuwa busy tu kuandaa scheme ya wanafunzi wangu kesho, si unajua tena vitoto vyenyewe hivyo vinasumbuaa!" Ili kuipotezea mada hiyo niliingiza utani wa kazi niliyozani ameifanya Malha kabla ya kunipigia simu.
" Ha ha ha!...afuu we mtundu wewe!" Kicheko hicho cha Malha kilitosha kumsahaulisha lawama zake juu yangu.
" Nambie unafanyaje saivi?" Nilimuhoji swali la kizushi baada ya kumuona yuko sawa.
" Tom kuna kitu nataka kukwambia!" Malha badala ya kujibu swali langu akachomeka mada yake.
" Kitu gani we niambie tu!" Nilijibu huku nikiacha kutikisa mguu wangu ambao nilikuwa nautikisa tikisa toka mwanzo wa mazungumzo ili kuvuta umakini.
" Ni kuhusu lile ombi lako Tom!"
" La kuja kesho au!?" Nilijaribu kubashiri kwa kuwa sikuwa na uhakika ni ombi gani lingine nilimuomba Malha.
"Si hilo bhana ina maana umeshasau ama!?"
" oooh nimekumbukaa,..nimekumbukaa!....enhee nambie!" Nilijibu haraka haraka kana kwamba nilikuwa nimekumbuka kweli lakini kiukweli sikufahamu kabisa binti huyu anataka kunieleza nini!.
" Vipi kama ntakataa! Utafanyaje?" Malha aliniuliza swali la kimitego na hatimaye sasa nilianza kumuelewa anaongea juu ya nini.

" Malha kiukweli kama utanikataa ntachukua kamba ya udenda kisha ntajinyonga kwenye mti wa mnyanya!" Siku zote nilipokuwa naongea na Malha maneno mazuri ya kimapenzi na sana sana nilivyomuomba game(penzi) bila shaka alijua nimempenda na nnataka kuwa naye, na siku ile alivyoniambia atanifikiria mi nilijua ni juu ya ombi langu la kwenda kumtembelea kumbe mwenzangu alifkiria mbali zaidi.

Ukweli ni kuwa Sikuwa namtaka Malha ila nilikuwa nataka vitu vyake alivyonionjesha kwenye simu na ndio maana hata aliponiuliza kuwa iwapo atanitosa nitafanyaje. Nilimjibu kisiasa kuwa ntajinyonga kwenye mnyanya, hiyo ni lugha ya kisiasa iliyokuwa inamaanisha kuwa nisingetetereka kwa lolote!...ama ni mtu gani anaweza kujinyonga kwenye mnyanya tena kwa kutumia kamba ya udenda?.
" Baasi Tom kwanzia leo nimekukabidhi moyo wangu rasmi!, naomba uupende, uujali na kuuthamini!"
"Nakupenda sana Malha!" Nilitamka kwa furaha si kwakuwa nampenda Malha ila ni kwasababu ya kunirahisishia kazi yangu ya kesho!
" Nakupenda zaidi my Tom!" Malha alijibu kwa sauti ya huba.
" But vipi kuhusu boyfriend wako!?"
" Huyo mbona nishammwaga kitambo tu!" Alijibu Malha kiunyonge kuonyesha kuwa hataki kuongelea habari za mtu huyo.
" Honey!" Nilimuita Malha kutest zali.
" Yes my baby!" Naye akajibu mashambulizi kuonyesha kweli penzi liko active ( hai ).

Ni siku ya Alhamisi tena nikiwa mzigoni ( kazini ).

" Yap!... yap!..... Ladies and Gentlemen kama ilivyo desturiii yaaani kama kawaa walee wazeee wa kukinukisha kwenye industry ya burudani nakuacha nafsi yako imepoa imetakatata, baasi leo hii tumedondoka pande hizi za bwalo la magereza kuhakikisha kuwa wewe mkazi wa pande hii leo unaondoka na furaha ya kutumia mwaka mzima. Show hii basi ikiwa inaletwa kwenu moja kwa moja na wale wababe wa burudani nchinii 

Tanzaniaaa, Numerator'sintertainment. Leo tutakuwa na burudani kadha wa kadha za kulipua na kifaru maana zile za kukata nashoka tumeshawaachiaga watoto, Basi bi mwanadashosti Senorita atafunguka kuhusu safu nzima ya mashambulizi, kuhusu nani na nani watafanya nini leo Stay attention everybody....Senorita?.. wasanukie!" 

Tofauti na siku nyingine za kazi leo hii nilikuwa mchangamfu kupita kiasi hata mc mwenzangu Senorita alidiriki kuniuliza kama nimeshtua kidogo ( nimelewa ) lakini sikuwa nimeshtua kitu chochote zaidi ya kushtuliwa moyo na Malha, Furaha ya siku hiyo ilikuja yenyewe (automatical) sababu mwili ulijua kuwa siku hiyo ungeenda kupata burudani maridhwa kutoka Tanga.

Baada ya onyesho la siku hiyo kuisha, majira ya saa mbili za usiku ndipo nilikuwa free ( huru ) kwenda Kigambonino ( kigamboni ) ambapo kwa muda huo mimi nilipaita kisiwa cha burudani.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni