UZOEFU (19) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Ijumaa, 9 Aprili 2021

UZOEFU (19)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa

JINA: UZOEFU
Mwandishi: Elisha Msafiri

SEHEMU YA KUMI NA TISA
ILIPOISHIA...
Kazi ya kulima, nilishtuliwa na simu yangu iliyoita kwa nguvu sana, ghafla nikashtuka na kuifwata ilipo, Naam baada ya kuona ni nani anapiga nilitabasam na kuikata kisha nikaizima na kufungua droo la kabati ili niiweke.
SASA ENDELEA...
" wow!" Nilifurahi baada ya kukuta condom kwenye kabati hilo.
" Baby nani uyo alikuwa anapiga!?" Malha aliuliza huku akionekana kukereka zaidi na simu hiyo.
" Aargh! Ni bi mdachi!" Niliongea huku nazima taa kisha nikarukia kitandani.

" Haya tulale mpenzi wangu tutasexy siku nyingine!" Niliongea kimzaha hali nikijua kuwa Malha hataweza vumilia na kweli ilikuwa hivyo kwani aliitafuta na kuikwinda pipe yangu iliyosimama baraabara kama vile anataka kuing'oa

" basi baby...basi baby!! nakupaa" niliongea huku nikitapatapa kitandani.

Aliponiachia nilivaa kinga yangu na kuanza kazi.

Sikuweza kutambua mara moja tulikuwa tunatumia nyenzo daraja la ngapi lakini Mzigo niliuzamisha ndani, jitahada ilikuwa kwa kiuno na egemeo ilikuwa juu ya kifua kizuri cha mtoto Malha, mchezo huo uliendelea kwa dakika kadhaa kabla ya kufikia mshindo, raha ya mechi bao bwana!,Baada ya kupachika bao hilo la kwanza kwa mbwembwe na mitindo ( styles ) mingi sasa tulirudi kwenye maandalizi ya bao la pili, 

Nilikuwa nikitomasa kiuno laini cha mtoto huyu wa kitanga huku nikiminya minya wezere zake za mviringo sanjari na kupikicha mistari kazaa ya shanga zilizozunguka kiuno chake, hakika ilikuwa ni raha ya ajabu, haikuchukua dakika tatu, ule mnara ulioangushwa na shuti kali lililosababisha bao la kwanza sasa ulikuwa umeamka tena kwa fujo kuliko mara ya kwanza.

" mmmh leo kazi ipo" nilijiwazia mwenyewe baada ya kuusukuma mnara huo na ukapingana na mimi na kung'ang'ania kusimama kwa hasira.

Nilimpa Malha paketi ya condom anivalishe na apokuwa akifanya hivyo mnara uliendelea kuleta vurugu kama afanyavyo yule mjusi mwenye kichwa chekundu.(mjusi kabimba)

Baada ya zoezi hilo la kuvaa kinga kukamilika mimi nililala chali na kumuachia Malha chakula chote ajisevie anavyoweza, naye bila hiyana alikuja juu yangu na kufanya mtindo ambao wataalam wa mambo wanauita kuna nazi, Naam! Malha sasa alikuwa akikuna nazi, apeleke kushoto, akune kulia, akalia yote, acheze na kichwa tu yote hayo yalikuwa ni majukumu yake. 

Mchezo wa kwanza niliutawala mimi hata asipate chance ( nafasi) ya kuonyesha ujuzi wake, Sikutaka anione mbinafsi mzunguko huu wa pili nilimuachia yeye.

" mmmh....ooops....oh ....oh....mmmh ssssh" Malha aliendelea kulalama kwa utamu wa mchezo aliokuwa anafanya.

" baby....nakojoaa..amnnnh nakojioaaa....oooh ....mmm..yeah...aaash....ooh...ohh" Malha alilalamika kwa sauti kubwa huku akinifinya na kunishika kwa nguvu, bila shaka alikuwa akifikia mshindo hivyo mimi badala ya kumuachia nilimshika kwa nguvu na kuchanganya kiuno zaidi ili nimfikishe salama mlimbwende huyu, ghafla nikasikia moto mkali 

Ukiichoma nanilii yangu iliyokuwa imezama ndani vilivyo, nilipojaribu kuichomoa ili kujua kulikoni, ni kama vile nilikuwa nimefungulia maji, Malha alinikojolea ( squirting ) waaaah!, japo ilikuwa ni giza lakini niliweza kubashiri mkojo huo ni mwingi sana, kwani ulitoka na kuacha mara tatu.

" Chezea Tom wewe!?" Niliongea kimoyo moyo kwa furaha kwani mambo hayo nilikuwa nikiyaona kwenye video za ngono tu, sikuwa naamini kabisa kwamba mwanamke anaweza kojoa namna hiyo hasa ukizingatia, wale wasichana wangu wawili hawakuwahi kufikia kiwango hicho ( level hizo).

Japo round hiyo ya pili mimi sikufikia kilele cha utamu, sikuwa na shiida juu ya hilo, kitendo cha Malha kusquirt ( kukojoa) kwangu ilikuwa ni kilele cha mafanikio.

" Haya tulale sasa mpenzi wangu!" Nilimwambia Malha aliyekuwa amelala juu yangu huku nikimkumbatia vizuri kukwepa eneo la mkojo.Sijui kesho wataanika godoro?..hiyo ni shauri yao!.

Japo nilijilazimisha kulala lakini usingizi ulinigomea kata kata. Masikini!..sikuwahi kulala na mtoto wa kike hata siku moja, hiyo ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza, sasa mtawezaje kupata usingizi hali mwili wangu umesharabu joto zuri la mtoto wa kike na kusababisha kiungo changu cha kati kudinda. Hakika usingizi usingekuja hata kwa manati, daima kiungo hiki kikisimama usingizi hupaa mbali ila kikilala bila shaka na mimi ntalala salama.

" Honey?....baby....baby!?" Taratibu nilimuita Malha lakini hakunisikia, pamoja na kumtikisa tikisa lakini wapi, Mchezo wa bao mbili ulitosha kabisa kumlaza usingizi wa pono. Malha amelalala ndio lakini kitumbua chake kipo macho, nikaanza kukitomasa tena taratibu huku nikiingiza kidole changu cha kati na kukitoa hadi kilipotota kwa utelezi, Huku akiwa katika usingizi fo fo fo! Nilimlaza mtindo ambao ningejibweda kwa raha zangu. 

Taratibu huku akiwa amelala niliivaa condom iliyosalia kwenye paketi na kuikita nanga yangu taratibu baharini, nanga hiyo ilipiga mbizi kwenye bahari ya utamu yenye maji moto.niliendelea kulila tunda langu taratibu huku nikihofia Malha asiamke ili asije niona mroho nnaye mlia vyake hali amelala. Baada ya kufikia kwenye kilele cha utamu nilienda kuoga maji ya baridi ili ya awali yasijirudie.nilipotoka bafuni niliujaribu usingizi nao ukakubali.

Majira ya saa kumi na moja alfajiri, Malha aliniamsha tuagane huku akiwa anaupapasa muhogo wa jang'ombe kana kwamba alitamani pakuche ili aule tena.Nasikitika kuwa condom ziliisha usiku hivyo mithali iliyotumika muda huo ni kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.taratibu nilianza kukiparaza kichwa cha muhogo wangu uliosimama imara kwenye mashavu ya tunda la Malha.Malha

Aliendelea kulalamika kimahaba huku miguu yake ikielea juu kama tiara na huku akiwa amekaa mkao ambao kama angeongea basi angesema " chukua yote baba!" Kwa raha ambayo aliipata asubuhi hiyo niliamini kuwa usiku nilivyotumia condom nilimnyima uhondo sana ( nilimbania) kwa nilimlalamisha sana asubuhi.

Baada ya kumaliza kuagana tulielekea bafuni kuoga huku tayari nikiwa nimeshapata majibu ya lile swali nililokuwa nikijiuliza siku nyingi kuwa cha asubuhi kina denda?.

" Leo utaweza kufundisha kweli mpenzi!?" Nilimuhoji Malha swali la kichokozi nilipokuwa najaribu kuokota shanga zilizotapakaa kitandani.

" Toka uko!?" Naye alinijibu kimzaha akimaanisha niache utani.

Baada ya kumaliza kuvaa nilimpatia kiasi kidogo cha pesa ambayo mimi niliita ya boda boda ili kudumisha dhana ya mimi ni mwanafunzi, la sivyo ningempa kiasi kikubwa sana hasa ukizingatia mchezo alionipa si wa kitoto. Hatimaye Malha akaondoka huku akiwa ameniacha na mahesabu ya kukimbia msala wa kulowesha godoro.

Majira ya saa nne za asuhi nikiwa ndani ya hoteli fulani nikipata supu ya kongoro kurudisha nguvu iliyopotea mda mchache uliopita,ghafla simu yangu iliita na nilipoiangalia, ni yule yule aliyenipigia usiku nikiwa na Malha ndiye alikuwa akinipigia tena,safari hii sikutaka kumkatili Nikarudisha kongoro langu kwenye bakuli ili niweze kuongea naye.

" Mie mzima hofu kwako!" Nilijibu salaam ya sauti nzuri iliyonisalimu kwenye simu.
" Za kunisusa!?" Sauti hiyo haikujibu swali langu ikaelekea kwenye lawama moja kwa moja.
" Me sio wa kukusa wewe Caro sema jana niliwahi kulala sana!" Nilijitetea naye akanielewa.
" Enhe vipi mambo mengine!?"
" Poa tu Mungu anasaidia!"
" unafanyaje saivi?"
" Nipo nakunywa chai hapa karibu!"
" Ahsantee.....poa basi kama mzima nilikuwa nakusalimia tu!"
" Asee Mungu akubariki sana!"
" Amina!...Haya have a nice day!"
" You too Caroline!"

Ni Alhamisi asubuhi, siku ambayo huwa naiasi shule nakufanya kazi ni ndani ya siku hii asubuhi nilipopanda dala dala ya kwenda zilipo ofisi zetu za Numerator's Entertainment ndipo nilipokutana na binti aliyejitambulisha kwa jina la Caroline.

Kama kawaida ili upate usafiri jijini Dar asubuhi ni lazima uwe na ubavu ( uweze kupigania gari). Dala dala lilipofika tu kituoni nilifanikiwa kucheza na akili za watu na kuingia wa kwanza, Alhamdulilah zilikuwa zimesalia seat mbili tu peke yake, hivyo sikuwania bure, nilipata zawadi ya seat, seat ya kwanza alikuwa kakaa mzee mmoja wa makamo na kubaki na mtu mmoja na nyingine alikaa binti mzuri kigoli naye alikaa peke yake. 

Nazani abiria waliotangulia kupanda waliogofya kukaa naye labda shauri ya ulimbwende wake. Sikujiuliza mara mbili nikae na nani kati ya yule mzee na yule binti, Penye maua ndipo nyuki anapoelekea.

" Hey mamboo!?" Nilisalimu mara baada ya kukaa na mrembo yule.

" poa!..."alijibu kifupi mrembo yule kisha akawa bize anatazama dirishani kana kwamba kuna kitu anaangalia. Sikujali nikakaa kimya.

Abiria wengi waliokuwa wamesimama walinibana na kusababisha nisogee kwake zaidi.Ewaaaa!...sasa pua yangu ilikuwa ikifurahia harufu nzuri ya marashi aliyojipulizia binti huyu huku mwili wangu ukisanifu joto lake.Hali ya hewa ilikuwa ni ya kijiubaridi huku wingu zito likiwa limetanda anga kuashiria mvua kubwa ingeinyeshea nchi wakati wowote. 

Naam! Baada ya gari kutembea mwendo mfupi tu toka kituoni, kile kilichofikiriwa na wengi ndicho kilichotokea muda huo. Mvua kubwa ilianza kunyesha. Binti yule aliyekuwa bize kuangalia nnje akaanza kufukuzwa na matone machache ya mvua yaliyoanza kuingia dirishani.

" Samahani kaka naomba unisaidie ku......" kabla hajamalizia kauli yake nilishamuelewa, alitaka nimsaidie kufunga kioo kwani yeye kilishamshinda na nilimshuhudia akihangaika kukifunga.

" Unajua bhana daladala zetu hapa mjini ni punda afe mzigo wa bwana ufike!" Nilimchombeza kigoli huyo na nilifurahi kuwa sasa nimepata mada ya kujadili naye.

" Alafu kweli eti,.....ivi kwanini hawazitengenezagi daladala zao!" Aliniuliza binti huyo kanakwamba mie ndo kondakta wa daladala hilo na mimi kwa kuwa alishanivutia nilimchanganulia swali lake kana kwamba namiliki dala dala mia hapa mjini.

" Unajua mvua ikishanyesha asubuhi subuhi kama hivi siku inakuwa nzito kweli yani!" Nilimchomekea mada nyingine ghafla baada ya kuchomoa hiyo.

" Kweli!...hata kuamka mtu unakuwa mzito kama nini!" Mlimbwende huyo aliunga mada yangu mkono.

" Uamke uende wapi akati hiki ndio kipindi cha kutengeneza watoto!" Nilitania na binti huyo akacheka sana.

Baada ya muda kondakta alikuja kukusanya nauli.

" Wawili eenh!" Ingawa nilikuwa na hela ndogo ndogo mfukoni lakini nilitoa noti za elfu kumi na kumpa konda moja, Kwanini nilifanya hivyo?.. utaelewa badae!.

" Oh asante mi nilishalipa!" Aliniambia kigoli yule nilipokuwa nampa tiketi moja.

" khaa!... umelipa sa ngapi mbona sijakuona?" Niliuliza huku nikijitia kushangaa sana kama vile sijui kuwa abiria hao waligeuka na gari lakini nia yangu ya kufanya hivyo nilitaka Kigoli huyo aniambie mwenyewe ili nimuulize anaishi wapi.

" Haya konda chukua hii tiketi nimekulipia wewe!!" Nilimwambia konda huku nikimrudishia tiketi yake, abiria waliokuwa karibu na mlimbwende yule niyekaa naye wote wakaangua kicheko, hawakujua kuwa nilikuwa nadai nauli yangu kwa mtindo wa kisasa.

" Chukua ela yako bhana huyo keshalipa!" Alisema kondakta huku bado akiwa anacheka.

" Afu we unaonekana mpole kumbe mtundu hivyo!" Aliniambia binti yule huku akinitizama mara mbili mbili usoni.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni