Notifications
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…

BAMBUCHA (10)


JINA: BAMBUCHA
Mwandishi: Eliado Tarimo

SEHEMU YA KUMI
ILIPOISHIA...

Yule mzee sikutaka hata kumsikia.Siku zikazidi kuyoyoma na mwezi mmoja ulipita bila mimi kuona siku zangu.Hofu ikaanza kuniingia labda huenda nilikuwa na mimba.Niliamua kumshirikisha jambo hilo rafiki yangu kwa karibu kwa jina Sabra.Yeye alinitoa hofu na kuniambia kuwa nisiwe na wasiwasi sana huenda ni kwa sababu tu ya mabadiliko ya mazingira.

TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE

SASA ENDELEA...
Wakati nikisubiri mwezi mwingine ili nijue kama na mimba au la kuna zoezi la kushtukiza lilitokea shuleni hapo.Yaani siku hiyo hatuna hili wala lile tukaambiwa tunatakiwa kupimwa mimba.Mungu wangu na darasa la kwetu ndo lilikuwa la kwanza.Sikuwa na ujanja nilipima na matokeo yalipotoka kati ya wanafunzi wote hapo shuleni wanafunzi watatu walikutwa na ujauzito na mimi nikiwemo.

Kama kawaida sheria zilikuwa wazi mwanafunzi akikutwa na ujauzito zoezi linalofuata ni kufukuzwa tu shule.Nilipewa barua yangu ambayo nilitakiwa kwenda nayo nyumbani.Roho iliniuma sana na niliopiga hesabu zangu niligundua aliyenipa mimba hiyo ni yule mzee siku ile ambayo aliniingilia bila idhini yangu.

Machozi yalinitoka na kushindwa kuelewa nini itakuwa hatma ya maisha yangu.Niliamua kwenda nyumbani huku nikishindwa kuelewa nini kitatokea kama kweli nitaamua kueleza ukweli wa swala hilo. Nilifika nyumbani na kwa bahati mbaya siku hiyo nilimkuta tu mama na baba alikuwa ametoka.

Mama alishtuka kuniona maana mda wa likizo ulikuwa bado haujafika. Aliponiuliza kulikoni ilibidi nimdanganye tu kuwa nilikuwa mgonjwa hivyo niliomba ruhusa kwa matibabu zaidi.Mama ilibidi aulize mgonjwa sana wakati nimekuja mwenyewe tena kwa mguu kutoka stend.

Ilibidi ni mdanganye kuwa nahitajika kuchukua vipimo vikubwa hivyo nimeelewa ruhusa. “Vipimo gani hivyo mwanangu na mbona wasitupigie simu kabla hujaja?”. “Kwanza Ifakara si ndo kuna hospitali kumbwa kuliko huku Mahange?”. Yalikuwa ni maswali magumu sana kwangu amabyo nilikosa jibu nikabaki najiuma ujama tu.

“Haya barua ya hayo yote unayoeleza ikwapi?, aliuliza tena mama huyo.Hapo nilinyamaza kimywa na mama huyo alinisogelea na kunipokonya begi dogo nililokuwa nimelibeba mgongoni. Akaanza kupekuwa na kwa bahati mbaya au nzuri akakutana na ile barua ya maelezo kwa nini nimefukuzwa shule.

Alisoma mara mbili mbili hasiamini kile alichokiona na kukisoma.Aliniangalia kwa huzuni sana kabla ya kukaa pale kwenye sofa. “Kwa hiyo mimi ndo wa kunidanganya kama mtoto sio?”. “Haya niambie hii mimba ni ya nani?” lilikuwa ni swali lingine lilofuatiwa na kibao.

“Ngoja mama nakwambia usinipige tafadhali”. “Haya sema haraka haraka hii mimba ni ya nani?..Kigugumizi kilinishika na niliamua kusema kuwa ile mimba ni ya….

Kigugumizi kilinishika na niliamua kusema tu kuwa ile mimba ni ya Athumn badala ya baba mwenye nyumba.Niliamua kumuangushia mzigo kwa kuwa hakuwepo hapo.Mama alionekana kuchoka sana juu ya jibu hilo na aliinama na kushika tumbo ishara kuwa alipata maumivu ya tumbo mara baada ya kusikia habari hiyo.

Wakati nikiendelea kushangaa baba naye aliliia huku akiwa na mwanaye.Nilishindwa kuelewa nini kilikuwa kimetokea mpaka na Athuman hasiwepo shuleni kwa mda huo wakati likizo ilikuwa bado haijafika. Nilihsi labda na yeye alikuwa na majanga hivyo nilibaki kimya nikiendelea kushangaa tu.

Mzee na yeye ilibidi haraka haraka ajaribu kumshika mkewe akihisi labda ile pressure yake imeshapanda. Yaani hapa ndani kila mtu alikuwa akiuwa ugonjwa wake baba kisukari mama presha. Baada ya kumnaanu avizuri na kumuweka kwenye sofa ndipo hapo alaipoamua uisoma le barua.

Hata yeye alipigwa na butwaa hakuamini hicho kitu kilichoandkwa kuwa nimefukuzwa shule kwa sababu ya mimba.Athuman nay eye alibaki ameshangaa tu hasielewe nin kinaendelea.

Yaani baba Athuman hawa watoto watatua kabla ya wakati wetu.Ni juzi juzi tu Athuman amaefukuzwa shue kwa kuwa kinara wa mgomo na aleo tena huyu amefukuzwa kwa sababu ya mimba. Roho inaniuma sana alafu mbay azaidi hiyo mimba ni ya Athumani.

Kwa nini mwanangu Athuman unataka kuniua, kwa nini mwanngu hutaki mimi niishi kwa amani mama aliallama. Mama hiyo mimba si yangu na uhakika asilimi zaidi ya mia moja hiyo mmba si yangu.Athuman alihamaki kwa sauti ya juu. Si yako kivipi wakati siku ile tumewafuma mkicheza michezo yenu humu ndani.

Pmoja na haya mama muulizeni vizuri huyu bint hii mimba ni ya nani. Wewe ebu nyamaza kwanza na acah akutufanya isis watot wado aliadakai mzee kwa hasira. Mimi hapo nimetulia tu na kumuonea huruma sana yule mama kwa jinsi alivyokuwa anaumia.

Nilimuonea huruma pia Athuman kwa kumuangusha nyumba mbovu. “Hata mnishawishi vipi hata msememeje hiyo mimba si ya kwangu maana siku ile mimi na huyu tulitumia kondomu”. Mimi nimesoma bailojia na naiju vizuri nisingeweza kufanya mapenzi na huyu binti bila kutumia kinga”.

“Wewe una usomi gani sasa hata hiyo form six umeshindwa kumaliza kwa kuendekeza mambo ya kipuuzi kama haya”. Mama kanigeukia tena na kuniuliza “wewe Vai una uhakika kuwa hii mimba ni ya mwanangu”. “Ndio na uhakaika mama” . “Mbona sasa nasema kuwa siku ile kuwa mlitumia kinga?”.

“Ndio tulitumia mama ila kondomu ilpasuka na mimi nilimwambia kasema tamwagia nje.Yaani nilivurugwa na kuvaa roo ya ushetanai kabisa.Niliongea uwongo bila aibu yoyote.

Mama alinyanyuka na kuelekea chumbani kwake.Baba naye kahisi labda mkwe anaweza kujidhuru kwa hicho kilichotokea ikabidi amfuate huko chumbani. Yaani ubaya wa huyu mama akikasirika kidogo tayari anaumwa.Na kweli baada ya dakika mbili mzee alitoka huku akiwa amembeba mkewe na kutoka naye nje.

Tayari presha yake ilikuwa juu sana.Alimwigiza kwenye gari na mojakwa moja kwa kushirikiana na Athuman walimkimbiza hospitalini. Nikabaki mimi hapo nisijue nini cha uanya.Roho iliniuma sana kwa uowngo nilousema.Nikawaza kama habari hiz zimemshtua mama je si anagewza hata kufa ningemwambai kuwa mimba hiyo ni yam me wake.

Niliingia ndani nikaweza mizigo yangu na kujimwaga hapo kitandani.Nilipanga kusimama na msimamo wangu huo kuwa mimba ni ya Athumani lakini pia nilipanga nikipaa nafasi ya kuongea na yule mzee anayenisababishia yote hayo nimweleze ukweli tu kuwa hiyo mimba ni yake.

Mzee huyu ndio chanzo cha yote haya nilijikuta nikimtupia lawama na kuona kwa yeye ndio shetani alieingailia na kuharibu mustakabali wa maisha yangu.

Nilifikiria pia kuitoa hiyo mimba ili wanaitafutie shule ingine lakini sidhani kama mpango wangu huo wangeusapoti.Nilijilaza hapo kitandani huku nikiwaza hali nakuwazue lile. Niliwaza sana nikaona kuwa kwa sasa sina thamani ya kuishi tena duniani ni bora nimfuate mama yangu.

Nilitengeza kitanzi kizuri tayari kwa kujiunga.Nikaanza kusali sala zangu za mwisho huku nikuomba Mungu anisamehe kwa dhambi zote nilizotenda na pia hasinihukumu kwa dhambii hiyo ya kujikatisha uhai. Wakati nikimaliza sasa natoka nje ili niangalie sehemu ya kujitundika nilikutana na baba mlangoni.Alikuwa pekee yake na sijui kwa nni alirudi mwenyewe na kwa haraka.

Akaniulza hicho kitenge cha nini na mbona kama nimetengeza kitanzi. “Umeniharabia maisha yangu sitaki tena kukuona sitaki tena kuishi bora nife nasema bora nife tu sina sababu ya kuendelea kuishi.Nililia na kueleza wazi bila kificho kuwa nilikuwa nataka kujitoa uhai.

“Kwa hiyo unataka kujiua?”. “Unadhani ukijua ndio mwisho wa matatizo?”. “Ngoja nikwambie mwanagu dunia hii ina mengi sana ya maana na yasiyo n amaana. Kwa hiyo kujiua si suluhisho bali ni kujiongezea dhambi.

“Nataka kujua jambo moja kuwa una huakika hiyo mimba ni ya Athumani?”. “Hii mimba si ya Athumani hii mimba ni ya kwako na ilinasa siku ile uliyoniingilia bila idhini yangu.Sasa kama ni hivyo kwa nini ulipofukuzwa shule usinipige simu unieleze ili haya matatizo tuyamalize bila wewe kufika huku bila mke wangu kujua”.

“Kumbe unamuogopa mke wako na sasa kama ulijua una mke nini kilikufanya unibake tena bila kutumia kinga?”. “Mimba si ugonjwa, mimba si mwisho wa safari ya maisha.Mimba si kikwazo , mimba ndiyo imekuleta wewe duniani. Ebu acha ujinga wa kutaka kujiua.

Mimi nitakuwa tayari kukusaidia na utarudi shuleni hata kama si pale. Aliongea bila nukta mzee huyu lakini maneno yake yalinifariji kidogo na kuwaza kuwa kumbe bado yupo upande wangu.Akaivuta ile kitenge kilichoandaliwa tayari kwa kujitoa uhai kisha akanambia hali ya mama siyoo nzuri sana hata hivyo ametoroka tu mara baada ya kuhisi kuwa naweza kujidhuru.

Akanambia nimuandalie chakula mgonjwa maana presh yake ikipanda inakuwa ni shida sana anaweza akalazwa mpaka kesho.Kisha mzee huyo akarudi kwenye gari na kuondoka zake.Alikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa na hiyo ilionesha kuwa alikuwa akimpenda sana mkewe.

Basi nilirudi ndani na kubadilisha zile nguo nilizokuwa nimevaa na nilichukua ndizi na kuanza kumenya.Nililiangalia kwenye friji nikaona kuwa kulikuwa na nyama hivyo nikaona kitu cha kuiga wakati huo ni mtori kidogo kwa ajli ya mgonjwa na ndizi nyama kwa ajili ya wote.

Nlipomaliza tu kupika nilichukua simu na kumpigia baba kumwambia kuwa chakula kilikuwa tayari.Basi baba akanambia kuwa nisubiri ngoja wapate uhakika kuwa atalala au ataruhusiwa.Basi mimi kwa kuwa nilikuwa na njaa nikaona haina haja ya kuwasubiri nikajipakulia ndizi nakula.

Yaani mwenzenu katika vitu ambavyo huwa siwezi kuvikosa hata niwe na matatizo kiasi gani ni pamoja na chakula.Yaani mimi hata unikere vipi ikifika mda wa kula huwa najisaulisha yote na kupiga vyombo.

Nilikula haraka haraka ili nisije nikafumwa nikaonekana kumbe nilikuwa sina hudhuni yeyote zaidi ni furaha tu juu ya yote yaliyotokea.Ile namaliza tu kula nilisikia mlio wa gari na kwa haraka haraka nilitoka ili kuangalia kama walirudi wote au la.Hawakuwa wote bali mze mwenyewe na alioneka akuchanganyikiw sana.

“Yaani hali ya mama ni mbaya sana na sijui hata kama ataweza kula maana sasa hivi amewekewa mipira ya kumsaidia kupumua”.Taarifa hiyo hata mimi iliniogopesha na kuwaza safari ya mwisho ya mama imefika nini.Yaani kama hili litatokea basi dhambi hii kumbwa itakuwa juu ya mmewe maana yeye ndo ameyataka yote hayo.

Safari hii tuliondoka wote mimi na mzee kuelekea huko hospitalini.Tukiwa njiani tulishangaa kumuona Athumani akiwa ju ya bodaboda akirudi nyumabni.Mzee alijaribu kumpigia honi lakini hakusimama nani kama alimpa ishara bodaboda aongeze mwendo jambo lilotuweka njia panda. “Au mama ameshafaraiki niliwaza huku mzee naye akigeuza gari na kurudi nyubani”.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU

25 Bambucha Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni