Notifications
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…

BAMBUCHA (11)


JINA: BAMBUCHA
Mwandishi: Eliado Tarimo

SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA...

Safari hii tuliondoka wote mimi na mzee kuelekea huko hospitalini.Tukiwa njiani tulishangaa kumuona Athumani akiwa ju ya bodaboda akirudi nyumabni.Mzee alijaribu kumpigia honi lakini hakusimama nani kama alimpa ishara bodaboda aongeze mwendo jambo lilotuweka njia panda. “Au mama ameshafaraiki niliwaza huku mzee naye akigeuza gari na kurudi nyubani”.

TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE

SASA ENDELEA...
Tulifika nyumbani lakini hatukumkuta Athuman hiyo ina maanisha kuwa alipitiliza hakuingia nyumbani.Mzee sasa akashindwa kuelewa mtu huyo alikuwa akienda wapi. Basi Mzee aliwasha gari na tukaelekea hospitali. Haraka haraka tuliingia kwenye wodi ambayo mama alikuwa amelazwa.

Hofu kuu ilikuwa huenda labda mama amepoteza maisha.Lakini hikuwa hivyo tulimkuta mama yupo vizuri na amepata afueni. Basi tuliongea naye pale na baba alimfariji kuwa hasipaniki maana hayo hutokea miongoni mwa jamii. Kwa kuwa hali yake ilirudi vizuri hivyo tuliruhusiwa kuondoka naye.

Hata kile chakula hakula.Tuliondoka naye na kurudi nyumbani.Bado Athuman hatukumkuta jambo lilomfanya mama kumuulizia.Ilibidi baba adanganye kwa kumwambia kuwa alikuwa amemtuma. Basi mama alaijitahidi kula kidogo kisha aliingia chumbani kwake.

Baba naye aliamua kumfuata na kubaki mimi tu nikiwa hapo sebeuleni.Baadaye na mimi niliamua kiingia zangu chumbani.Nilipofika chumbani nilikuta simu yangu ikiita. Niliangalia na kugundua kuwa aliyekuwa akipiga ni Athuman.Simu iliita lakini mimi nilisita kidogo kuipokea.

Nilihisi labda Athuman alitaka kuniambia majanga mengine tena.Kutokupokea simu hakukufanya Athuman akate tamaa kupiga tena.Simu ikaita kwa mara ya pili hivyo niliamua kuipokea. Athuman aliongea kwa upole sana kinyume na mimi nilivyotarajia.

Maana nilijua kwa jinsi nilivyosema kuwa mimba ile ni yake lazima atakuwaa amechanaganyikiwa. Alinambia kwa sasa ameamua kuondoka nyumbani na kwenda mbali kuanza maisha yake. Akasema tangia amefukuzwa shule amekuwa akipata manyanyaso sana.

Anaeleza kuwa amekosa raha hana amani na amekuwa mtu wa kulaumiwa saana. Akaenda sasa kwenye kile kipengele ambacho nilikuwa nakisubiri kwa hamu na jamu.Kipengele cha juu ya mimba niliyokuwa nimeibeba. Alinambia kuwa anajua kabisa hiyo mimba si yake na anajua kabisa kuwa anaweza kufukuzwa hapo nyumbani kwa maana hata dada yake aliwahi kufukuzwa kisa alifumwa na mwanaume.

Akanambia ni vizuri nikaweka ukweli na kueleza kuwa hiyo mimba ni ya nani.Kisha akanambia ananitakia maisha mema na kukata simu.Nilishangaa sana siku hiyo Athumani hakunipa hata nafasi ya kusema neno lolote. Roho iliniuma sana maana sasa niliona kuwa familia inaanza kubomoka kisa ujauzito wangu.

Swali la msingi nilojiuliza ni kuwa kama Athuman amefukuzwa shule na tangia harudi hakuna juhudi zozote za kumtafutia shule ingine vipi mimi mtoto wa kufikia.Hili nilijua kuwa nilidanganywa tu na mzee huyo.Nilijibwaga pale kitandani nikavuta blanketi na kuanza kuutafuta usingizi ambao kwa siku hiyo ulikuwa ni wa tabu sana.

Asubuhi ilifika na nilijitahidi kuamka asubuhi na mapema ili kufanya kazi za hapo nyumbani. Nilifanya kazi zote kama ilivyo kawaida yangu na nilipomaliza nilikunywa chai na kupumzika.Sikujua mama alikuwa akiendeleaje na niliona aibu kwenda kumgongea na kumuulizia hali yake.

Nilikuwa chumbani kwangu nikiendelea kutafakari mustakabali wa maisha yangu.Nikaaanza kufikiria mpango wa yule mzee kuwa hii mimba tutaitoa na yeye atanitafutia shule ingine ya private. Hapo nikakumbuka wosia wa mama yangu kuwa kamwe nisikubali kutoa mimba kwa sababu hata mimi alinizaa kweye mazingira magumu na hakukubali kuitoa kwa kwa sababu ya shida.

Mama yangu alishaniambia juu ya madhara ya kutoa mimba na akanitolea mifano hai ya rafiki zake ambao walitoa mimba na kupata madhara makubwa sana ikiwa ni pamoja kuwa wagumba wa kudumu na kushindwa kuzaa kabisa. Nakumbuka kabisa hata baadhi yao walikuwa wakija kumsalimia mama wanamsifia na kumwambia kitu pekee ambacho wanatamani ni kuwa na mtoto mara baada ya wao kuchezea sana ujana na kutoa mimba nyingi ambazo baadaye ndo hizo zimegeuka na kuwaletea majanga.

Huo ulikuwa upande mmoja wa mawazo yangu na upande mwingine ulikuwa ni ule wa juuu ya ushauri wa rafiki zangu wa kike ambao walinizidi kidato.Wao walinambai nisikubali kuzaa nikiwa na umri mdogo kwa sababu pia kuna madhara wanakambia pia kuna njia nyingi za kutoa mimba ikiwa changa.

Nakumbuka walinambia eti nichemshe chai yenye majani mengi sana na ninywe hiyo itaharibu mimba.Wengine walinambia hata njia za asili kama kunywa mkojo wa punda. Nikawa najiulza huo mkojo wa punda nitaupata wapi sasa. Sikuwa na jibu lolote kwa wakati huo na nilichoamua kuwa nitafuata ushauri wa mzee maana yeye alionekana kuwa yupo upande wangu na alikuwa tayari kunipigania.

Baadaye nilisikia mzee huyo akiniita huko sebuleni.Nilinyanyuka haraka haraka na kutii sauti hiyo. “Ebu jiandae mara moja kuna mahali tunaenda”, mzee huyo alisema huku akionesha kuwa alikuwa na haraka.. Sikutaka kubishana naye niliingia chumbani kwangu na kutafuta nguo.

Niliingia bafuni haraka haraka na kuoga. Nilijiandaa na nilipokuwa tayari nilitoka na kumkuta mzee huyo akiwa yupo hapo sebuleni akinisubiri.Tukatoka nje na kuingia kwenye gari tayari kwa kwenda huko alipokusudia.Ilibidi nimuulize ni wapi tulikuwa tukienda na mbona mama tumemuacha mwenyewe.

Akanambia nisewe na hofu kwa hilo kwa sababu mama anaendelea vizuri.Tulienda moja kwa moja mpaka kwenye nyumba ya rafiki yake mmoja ambaye alikuwa ni dakatari.Akiwa hapo nje alimpigia simu na kumueleza kuwa tayari alikuwepo hapo. Dokta huyo akamjibu kuwa yeye ameshaondoka yupo hospitali na hivyo tuende tu maana ameshaanda mazingara huko huko hospitali kwa ajli ya shughuli hiyo.

Nilisikia haya mazungmzo na sasa nikiwa na hofu kuwa ni shughuli gani hiyo ambayo ilitakiwa ifanyike.Mawazo ya kuwa alikuwa akitaka kunitoa mimba hiyo yakaanza kunijia.Lakini nilishindwa kumuuliza moja kwa moja hivyo nikawa nasubiri tu tufike.

Ilibidi nimuulize kuhusu mustakabali wa maisha yangu.Alinijibu kwa kifupi kuwa mustakabali wa maisha yangu utajulikana baada ya kutoa hiyo mimba ambayo ni kikwazo.Hapo sasa nikaaanza kupata picha kuwa tulikuwa tunaenda kutoa hiyo mimba. Tulifika hospitali na akampigia tena simu huyo daktari na alielekezwa sehemu ambayo tulitakiwa kwenda.

Tuliingia kwenye chumba ambacho kilikuwa na kitanda ambacho kilikuwa kimenyanyuka vizuri. Daktari akanambia nipande hapo na nisiwe na hofu kwa sababu zoezi lenyewe halitachukua mda mrefu.Hapo sasa mapigo ya moy yakaaongezeka mwili ukaanz akutetemeka na nilihsi joto kupanda.

Mlango ulifungwa tukabaki na dakatari tu na alianmabi nisiwe muoga hata haimi.Akaanza kuvaa gloves zake huku akweka weka mikasi vyema kwenye kishani.Pia nilona akichukau sindano na kuweka dawa.Sikuju ahata ilikuwa ni nini maana alinambai anataoka akirudi anaikute nishavua nguo za ndani maana nilikuwa nimevaa kufuli na taiti juu.

Hapo sasa nikaanz akusali na kumuomba Mungu anaipe uvumilivu kwenye swala hilo.Wakati nafunga macho taswira ya mama yangu ilinijia na kama ilikuwa ikinisihi kamwe nisitoe hiyo mimba.Mara ulifunguliw ana dakatari aliingia akaniuta hata sijafanya kile alichonambai.

Hapo akanambai niijpananue miguu tayari kwa shughuli hiyo.Aakona haina haja ya kupoteza mda hivyo akatak aeti anavue mwenyewe. Mimi nilifunga macho sikutaka kuangalia kile ambacho kilikuwa kinataka kutokea. Ile anaendelea nilisikia paaa paaa kama amepigwa makofi mawili na hapo alishika shavu lake kuonesha kuwa alisikia uchungu.

Akawa kama amechangayikiwa kaangalia huku na huku hasione aliyempiga haoa makofi. Mara ukavuma kama upepo pale chumbani na vile vifaa vilivyoandaliwa vyote vikadonda chini. Ilikuwa ni kama mazingaumbwe au miujiza maana ilimlazimu yule dokta kutoka na kukimbia.

Na mimi nikasikia tena kama sauti ya marehemu mama yangu ikinambia nitoke kwenye chumba. Hapo sikutaka kusubiri nilitoka kama nimechanganyikiwa na kukimbia..

Kwa bahati nzuri baba naye alikuwepo nje akinisubiri hapo nje.Na yeye alishangaa maana hiyo spidi niliyotoka nayo haikuwa ya kawaida kabisa. Nilienda moja kwa moja mpaka kwenye sehemu ambayo gari ilikuwa imepakiwa.Nilikuwa nahema utazani nimekutana na jini kumbe ni mzuka wa mama yangu tu.

Hapo sasa nikajisemea bora tu mimba hiyo niilelelee.Mzee naye kaja na hakutaka kujaza watu alifungua mlango akaingai na mimi nikaingia. Akaniuliza nini kimetokea lakini bado sikuweza kumjibu nilikuwa nahema tu. Hapa nikakumbuka maneno ya baadhi ya majirani kuwa mzee huyo alikuwa ni mshirikina wa chini kwa chini na pia kulikuwa na tetesi ambazo mimi uwa nazpuuza kuwa eti hata mama yangu alitolewa msukule na mzee huyo.

Haya maneno yalianza kuniingia kwa sababu ni nadra sana kama marehemu alikufa kihalaili awe anakutokea. Lakini haya mawazo huwa siyapi nafasi kwa sababu mama yangu alishanambia kwa kinywa chake kuwa yeye alikwa ni muathirika wa ugonjwa wa ukimwi.

Mzee alivyoona kuwa simpi jibu la kueleweka akaamaua kumpigia dokta kwa maelezo zaidi.Waliongea na nilimuona yule daktari akija hapo na kumkabidhi baba vidonge. Baba naye aliingiza mkono mfukoni akatoa pesa na kumkabidhi. Nilisikia dokta akimweleza kuwa zoezi la kutoa mimba kwa njia ya mikasi imeshindikana ila hata hiyo ya vidonge inaweza kufanya kazi tu.

Baba akamshukuru kisha akawasha gari na kuondoka.Mimi niliamua kuwa bubu kwa maana sikuamini kuwa hata hivyo vidonge nitaweza kuvinywa.Tulifika nyumbani na cha ajabu baba alinishushia nje na kuniambia nijifanye kama hatukuwa pamoja ili mama hasije akahisi vibaya.

Kweli mimi nilishuka na kuzuga zuga nyuma na nyumba hiyo na baba aliingia ndani.Baada kama ya dakika kadhaa nilijisogeza taratibu na kuingia chumbani kwangu.Niliviangalia vile vidonge ambavyo nilitakiwa kuvimeza nikazidi kuogopa.Nikakaa hapo chumbani huku nikiwa na mawazo yaliyonizidi uwezo.

Baadaye nilitoka na kwenda sebuleni nia ni kujibaraguza baraguza ili nionane na mama nijue atanambia nini. Kweli mama altioka na baada ya salamu akaniuliza swali kuwa Athuman yuko wapi.Mimi nikamjibu tu sijui amendoka bila kuaga. Huyu mama katika watoto ambao alikuwa akiwapenda sana ni pamoja na huyu Athumani.

Sijui ni kwa sababu alikuwa ndio kitinda mimba wake ila alikuwa akimpenda sana. Basi tulikaa hapo sebuleni huku mama akiendelea kuniuliza maswali ya hapa na pale. Ila swali gumu lilonishinda ni pale aliponiuliza kuwa kuna vitu viwili ambavyo natakiwa nivichague moja ni kutoa mimba na kuendelea na masomo au nilee tu na kuwa mama.

Nilikaa kimya na kushindwa kumpa jibu.Baada ya kunisihi nimjibu swali hilo niliamua kujibu kama ninavyojisikia. “Mama mimi naogopa sana kutoa mimba kwa sababu nasikia kuna madhara makumbwa sana ya kufanya hivyo. Mama akatabasamu kidogo na kuniambia ingawa jambo niliolifnya ni baya machoni mwa jamii na machoni mwa mungu lakini kamwe nisijaribu kutoa mimba.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU

25 Bambucha Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni