SEHEMU YA KUMI NA TISA
ILIPOISHIA...
Maji yalichemka kisha Alice aliingia bafuni na kuoga. Wakati Alice ameingia bafuni kuoga Gaston alianza kuwaza ujinga. “Hivi patakucha kweli au ndio kama siku ile mambo ya Mwajabu. Alafu mimi ninakuwaga na bahati ya mtende yaaini mipira ya kona nishindwe tu kumalizia alijisemea Gaston huku akoiongeza maji jikoni ili na yeye akaoge pindi tu Alice atakapotoka bafuni.SASA ENDELEA...
Haikuchuka mda mtoto mzuri Alice alitoka bafuni na kumpa nafasi Gaston aingie kuoga.Gastona naye aliingia kuoga na kumpa nafasi ya Alice na yeye kumuwaza kidogo “Huyu mwanaume ni mkarimu sana na siku zote amekuwa akinipigania kwenye shida zangu lakini sasa kwa nini amemfanya vile rafiki yangu Jesca na kuamua kumsaliti kisa girlfriend wake wa kwanza.Ila jamani yule Beatrice naye ni mrembo mwanaume yeyeote ni ngumu sana kuruka mtego wa ulimbo wake alijiuliza na kujijibu mwenyewe”.
Lakini Gastona alinambia ana utetezi ebu ngoja akitoka bafuni nisikilize utetezi wake. Gaston alirudui kutoka bafuni na akashangaa kumkuta Alice yupo kwenye sofa na amewasha Tv na kuweka moviee amabyo walishawahi kuiangali kipidi kile walipokuja na rafiki yake Stela. Ngoja nikuwekee season two hii si ulishaiangalia alisema Gaston mara baada ya kuona Alice anarudia kitu ambacho alishawahi kukiangalia.
“Nitafurahi pia shemu wangu” alisema Alice huku akinyanyuka na kwenda kwenye friji kaungalia kama angeweza kupata kitu cha kunywa. Alifanikiwa kupata kinywaji ambacho kilikuwa na kilevi na hakuuliza kuwa kilikuwa ni kinywaji gani yeye alichukau glass na kujimiminia.
Lengo lake kubwa lilikuwa ni kupunguza stress. Gaston naye akamimina kinywaji na kuendelea kumpa kampani shemeji wake huyo ambaye alionekana kabisa kuwa alikuwa hana mpangao wa kulala. Kwa kuwa Alice alikuwa amejilaza kwenye sofa na Gaston naye aliamua kujilaza kwenyekitanda wakawa wanapiga stori za hapa na pale. “Haya niambie siku ile ilikuwaje tena mpaka ukaamua kumsaliti rafiki yangu Jesca?” aliuliza Alice.
Tena nafuu umeniuliza alidakia Gaston kwa kujiamini. Ujue rafiki yako alipaniki tu bilakujua nini kilikuwa kinaendeea baina yangu mimi na yule binti.
Yule binti kweli alikuwa ni ex girlfrend wangu.Lakini tulishaachana ila kipidi tunaachana na yule binti kuna kitu kilikuwa kinanitatiza maana alikuwa ni majamzito na alisisiza kuwa ile mimba ilikuwa ni yangu jambo ambalo mimi sikuliamini. Baadaye tulipoteza mawasilano na kila mtu akaendeleana maisha yake lakini baadaye nilikuja kusikia alijifungua kabla ya kwenda chuoni.
Kila mtu alaiyefanikiwa kumuona mtoto huyo alisema lazima mimi nitakuwa ni baba wa mtoo huyo kwa jinsi nilivyofafnana naye. Kwa hiyo Beatrice hakunitafuta ili turudainae la hasha bali tukapineDNA kwa sababu hata yeye hakuwa nauhakika kuwa yule mtoto alikuwa niwa nani kwa sababu alizini na wanaume wawili ndani ya wiki moja alijaribu kudanganya Gston uwongo uliofanana na ukweli. Alice ilibidi acheke kidogo na kusema kweli huyo ni kiboko kama hajui hata mimba ni ya nani basi ni shida shidani.
Ukweli ndo huo ambao Jesca hakunipa nafasi ya kuueleza ila ni kweli nilienda Arusha ila si kwa ajili ya kumsaliti ila ni kwa ajli ya kuthibitisha kama kweli ile ni damu yangu. Kwa hiyo matokeo yalikuwaje aliuliza Alice kwa shaukuu. Shemu naye una haraka majibu yakitoka nitakwambia alijibu Gaston.
“Kwa hiyo baada ya kupima ndo mkaamua kwenda hotelini kukumbushia enzi zenu?”aliuliza Alice huku akicheka. Wala hata pale nilimsindikiza tu na mimi nilienda kulala sehemu ingine na asubuhi tukakutana stend na yeye alikuwa anakuja Moshi alizidi kujitetea Gaston kwa uwongo uliofanana na ukweli. “Sasa mbona pale stendi Moshi alikuita babee na pia alikuaga kwa kukukumbatia jambo lilomuumiza sana Jesca?. Alihoji Alice.
“Aaaaaah hiyo kawaida sana kwa Beatrice kwani ana mambo ya kizuungu.Kwani kuitwa babeee ni kosa jamani si ana kumbushia enzo tu, alafu pale alikuwa anamrusha roho Jesca maana nlishamuonesha picha zake na kumuambia huyo ndo my everything” alijibu Gaston. “Sasa shemu lakini kwa nini ulikuwa hupokei simu kama hayo unayoyasema yana ukweli?” aliendelea kuulza maswali Alice kuonesha badoo alkuwa na mashaka.“Yaani siku ile nilikuwa nimevurugwa sana hasa mara baada ya Jesca kunitumia meseji na kunieeza kuwa ameniona Arusha.Nikaamua kutokupokea simu ya mtu wowote na kwa kuwa nilikuwa sijafanya makosa niliamini siku nikitoa utetezi wangu Jesca anatanielewa” alisema Gaston.
“Ujue tukio langu halitofautiani sana na la kwako siku ile tulioenda club mara baaada ya rafiki yenu kushinda taji la miss University aliendelea kujitetea Gaston. Ila kweli kinachotuponza watu tuliopendana ni wivu ulipitiliza”. “Yaani mtu unaweza hata kujinyonga kwa sababu ya mapenzi kumbe hata sio ishu kubwa kihivyo” alisapoti Alice. Lakini majanga yenu sio makubwa sana mnaweza kuyamaliza na kurudiana alisema Alice tofauti na ya kwetu. “Yaani mimi na Dulaha siwezi kurudiana naye kwa namna yeyoeta ile kutokana na ukatili alionitendea. Yaani kweli amediriki kuniita mwizi na kuwaonga hela mapolisi nilale ndani. Unafikiri kama sio wewew kuja na wakili maarufu mimi si ningelala ndani leo?” aliendelea kuhoji Alice.
Wakati wakipiga stori Alice alikuwa pia akichati na rafiki yake Sstella na kumueleza kuwa Gaston amekuja kumtoa na kwa sasa yupo kwake anaangalia muendelezo wa ile moviee ya siku ile. Stela akamwambia huyo ndo mwanaume na kama vipi ajiweke tu maana rafiki yake Jesca ndo kashajitoa tu. “Yaani hapo usijivunge best wewe mpagawishe usiku wa leo na hiyo ndo zawadi ya ukarimu wake kwako alisistiza Stela kwenye maeseji.
Mesji hizo za Stella zilimfanya Alice acheke kwa nguvu jambo lilimfanya Gaston kumuuliza alikuwa akicheka nini? “Si ni hawa marafiki zangu nimewaambia umekuja kunitoa kituoni na nipo kwao hawaamini. Eti mwingine ananambia nimpindue Jesca alisema Alice na kumshirikisha burudani Gaston aliyokuwa akiipata kwenye mesji. Ingawa walichukulia kama utani lakini wa namna moja au nyingine maneno hayo yalimwingia sana Alice na kutamani kama ingekuwa kweli.
Alice aliendeleakuangalia movie lakini Gaston alipandisha miguuu yake vzuri kitandani kuashiria kuwa usingizi ulikuwa umemzidia. Akiwa kwenye hali hiyo alijkaza na kushusha neti.Alice yeye akaamua kukomaa pale pale kwenye sofa huku akiomba kurushiwa shuka ili ajifunike miguu ambayo ilikuwa imeanza kusumbuliwa na mbu. Dakika 5 baadaye Gaston alianza kukoroma kuashria kuwa usingizi ulimkolea napia alikuwa amechoka sana.
Baadaye Alice naye alipitiwa na usingizi pale pale kwenye sofa. Baadaye simu ya Gaston iliita mlio wa alamu ambayo ulikuwa umetegwa.
Ilikuwa ni kawaida kwa Gaston kila ifikapo saa 9 usiku anaamka na kusoma au kama sio kusoma basi atatumia hata dakika kumi kutafakari maisha yake. Na hiyo ni kutokana na ushauri aliopewa na marehamu baba yake kuwa siku zote akilala asilale kama mwanamke, bali yeye alalapo ahakikishe kuwa usiku wa manane anashtuka na kutafakari mustakabali wa maisha yake.
Kwa mujibu wa baba yake ni kwamba kama mtu ataweza kuamka usiku kuna uwezekano mkubwa wa yeye kupata majibu ya maswali magumu ya kimaisha kama ni kwa jinsi gani anawea kuwa tajiri au kupata njia itakayomuwezesha kufanikiwakwa jambo lolote analotaka kulifanya.
Alamu hiyo haikumshitua tu Gaston bali hata Alice ambaye mbu wapenda damu walishamtafuna kwa mda mrefu. Gaston aliizima ile simu kabisa kisha akaamka na kwenda chooni. Alipotoka alizima Tv akamnyanyua Alice na kumpeleka kitandani.Kisha akamfunika shuka vizuri.Alice alijkausha kama vile alikuwa kwenye usingizi mzito na nia yake alitaka kujua Gaston anataka kufanya nini.
Gaston alizima taa kisha akapanda kitandani.Kila mtu alikuwa akihema kwa nguvu hasijue nini kingetokea mda mfupi baadaye. Kwa upande wa Gaston usingizi ulikata kabisa akiwaza itawezekanaje kulaal na binti marembo kama Alice mpaka asubuh bila kusababisha madhara. Lakini ngoja leo nioneshe ujasiri kama ni bahati yangu basi nitamla siku nyingine aliwaza Gaston.
Yaani hapa akinichokoza tu nampa potelea mbali alijsemea Alice ambaye na yeye usingizi ulimkata.
Gaston alijitahidi kuondoa mawazo ya ngono jambo lilomfanya apate usingizi na hii ni kutokana na usingizi wa uchovu aliokuwa nao siku hiyo. Kwa upande wa Alice na yeye alipata usingizi na hii ni kutokana na uchovu aliokuwa nao kutokana na mikimkiki aliyokutana nayo mchana wa siku hiyo. Alihisi raha ya usingizi maana mwanzo hakufaidi usingizi kutokana na tabu ya mbu wasumbufu waliokuwa wakimsumbua pale kwenye sofa.Alipitiwa na usingizi akaota ndoto nzuri ya mapenzi, mapenzi ambayo alikuwa akipewa na shemeji yake huyo.
Ndoto ilikuwa tamu mpaka akawa anatoa sauti za miguno ya kimahaba ambazo zilimfanya Gaston ashituke kutoka usingizi.Iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisssssssssssssssssss,, mmmmmmmmmmmmmmmmmmmh,, sheeeeeeeeeeem sheeeeeeeeeeeeem waaaaanguu aaaaaasanteeeeeeeee,, asanteeeeeeeee Gaston.
Gastonn alishangaa sana na kwa mara ya kwanza maishani mwake alishuhudia mtu akiweweseka kwa mahaba ya ndotoni.
Alishindwa kueleawa nini kinaendeea na alitamani ampe dawa. Aliamka na kwenda haja ndogo huku akimwacha Alice akijibiringita biringita hapo kitandani huku miguu ikicheza cheza kama mwanamke aliyekuwa akipewa huduma ya mautamu. Gaston mtarimbo wake ulisimama na akaona njia sahihi ni kukimbilia kwanza chooni. Tayari palikuwa pamekucha na kwa kuwa waliambiwa warudi polisi saa mbili asubuhi Gaston aliamua kufungua maji na kuoga. Ndoto ya Alice iliendeleea huku akitoa maneno ya shukuranai, asaaaanteeee, aaasanteeeeeeeeeeee my shemu kweli wayajua mapenzi.
Baaada ya maneno hayo Alice naye alishituka kutoka usingizni na kujikuta yupo peke yake kitandani. Hakutaka kuamini kama kweli ile ni ndoto, akaamua kupitisha mikono yake sehemu zake za siri na kujikagua.Akakuta kuna unyevunyevu wa ute ute ishara kuwa huenda kuna mvua ya manyunyu ilinyesha mda mfupi uliopita. Akajipapasa papasa pia matiti yake akayakuta yamesimama vizuri utafikiri ametoka kufanya mapenzi. “Mmmmmh usikute Gaston ameshafanya yake ndo maana amekimbilia bafuni aliendelea kuwaza Alice huku akivuta taswaira ya raha alizozipata kutokana na ndoto hiyo. “Daaah ndoto zingine bhana yaaani full mautamu alisema Alice na kuvuta shuka na kujifunika vizuri”.
Alice alijitumainisha kuwa ni ndoto kwa sababu alikuw ana nguo alizovaa tena zennye ulinzi mkali kuanzia getini mpaka ndani. Aliendelea kukumbatia mto kwa nguvu akitamani usiku uanze upya ili yeye aendelee kulala. Gaston alitoka bafuni akampashia maji huku yeye akiendelea kujiandaa kwa kunyoosha nguo ambazo alitarajia kuzivaa siku hiyo. Maji yalichemka na Gaston alimwamsha Alice ili aaende kuoga. Alice naye kwa kutambua saa mbili waliyoambiwa aliamka na kwenda kuoga.
Alioga fasta fasta akatoka akaajiandaa na kurudia kuvaa nguo zake zile zile kitu ambaccho ni nadra sana kwa Alice kurudia nguo. “Itabidi tupitie chuoni ili nikabadilishe hizi nguo” alisema Alice alipokuwa akivaa suruali yake. Waliondoka na kupitia chuo ambapo Alice aliingia hostel na kubadilisha nguo huku Gaston akimsubiri hapo nje. “Mbona hatokei tena yaani wanawake bhana siku zote hawajui kuzingatia mda ona sasa saa mbili inatukutia hapa aliendelea kulalamika Gaston.Alice ikabidi awasubiri na marafiki zake wajiandae ili waondoke wote.
Alice ikabidi ampigie simu tu Gaston na kumwambia aingie tu ndani.Gastona aliingia lakini tayari alishapandwa na hasira. “Kwa hiyo mnajipara kwani mnaenda kwenye harusi” alipiga madongo Gaston mara baada ya kuona Easther yupo kwenye dresing table akijiremba.“Eeeeeeh babu weweeee sisi ni watoto wa kike hati, na mwanamke urembo babuuu” alijibu Easther kwa shombo shombo ya maneno.Mara Stela akaingia ndo kwanza alikuwa ametoka bafuni huku akitetemeka kutokana na ubaridii wa maji aliyoga. “Yaani maji ni ya baridi haraka haraka hizi zinatuletea” majanga alisema Stela ambaye alikuwa ndani ya khanga moja huku mkononi akiwa ameshika kufuli lake ishara kuwa alilifua mara baada ya kuoga.
Bila aibu akitundika nguo hiyo ya ndani kwa juu sehemu maalumu iliyoandaliwa kwa ajlii hiyo.Shemu tuvumiliane mimi nabadilisha nguo hapa hapa alisema Stela huku akivaa nguo alizokuwa ameziandaaa . “Mmmmmh sia haba anakijungu” alijsemea Gaston mara baada ya kubahatika kuona baadhi ya maungo ya binti huyo. Ndo maisha ya chuo kama ni mgeni unaweza kushangaa na kufikiri labda hawanazo. Baadaye waliondoka huku wakiwa nyuma ya mda.Wakiwa njiani Gaston alipokea simu kutoka kwa yule wakili ambaye walikuwa naye jana. “Vipi mbona hamjafika mpaka sa hivi aliuliza wakili huyo”. “Tusameehe tu kiongozi tupo njiani tunakuja siunajua tena mambo ya watoto wa kike” alijittetea Gaston. Vipi ni yule wakili aliuliza Alice mara baada ya simu kukatika. “Yap” alijibu Gaston kwa kifupi.***
Kwa upande wa Dulah na marafiki zake wao waliondoka pale kituoni mapema mara baada ya kuhakikisha kuwa Alice atatala polisi mpaka asubuhi.Kuondoka kwao haikumaanisha kuwa walienda kulala la hasha walienda mahali na kutafuta msaada wa kisheria wa jambo hilo ili kesho wanapokuja wajue kama wafute kesi au waipeleke mahakamani. Dulah alifanikiwa kwenda kwa mwanasheria mmoja ambaye pia ni Lecture na wakili wa kujitegemea anayefundisha kwenye moja ya vyuo vilivyopo Moshi.
Mwanasheria huyo ambaye ni rafiki mkubwa wa baba yake mdogo na Dulah aliwashuri wafute tu kesi hiyo na kuomba binti huyo arudishe vitu vilivyochukuliwa. Aliwashauri hivyo kutona na ukweli kwamba sheria siku hizi inawalinda sana watoto wa kike na kwa kuwa walishakaa wote zaidi ya mwaka mmoja hivyo basi uwezekano kuwa mahakama ingeamuru vitu hivyo vigawane sawa kwa sawa ulikuwa ni mkubwa.
KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA