UTAMU WA FUNDI (12)
Zephiline F Ezekiel
7 min read
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
ILIPOISHIA...
Na hapa alikiri wazi kuwa nilikuwa na utamu wa kipekee sana ukilinganisha na wanaume wote ambao aliwahi kuwakabidhi mwili wake. Na si hivyo tu aliwatoa thamani wote huku akiniweka katika sehemu ya juu mno, na hata kuniahidi ya kuwa kila siku atafanya awezavyo ili awe karibu na kupata huduma zangu ambazo sikuhitaji kuzilipia kutoka kwa mwanamke huyo.TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
“Hakika wewe ni fundi, sijui kwanini nilichelewa kukufahamu?” aliniambia hivyo , huku akichezea kifua changu.
“Hamna … kawaida tu!”
“Kawaida wapi?, mimi nilivyokuona kwa mara ya kwanza nilijua tu damu yako itakuwa inachemka haswa”.
“Mmh!”
“Unaguna nini bhana, umetisha wangu, umenipeleka mbali sana leo, nilihisi niko firidausi! Loo! Firidausi tena, aah...umenipagawisha Fundi wangu!”
Maneno yalimtoka sana, alinisifia vilivyo wakati huo akachulewa kunikumbusha, kile kitendo cha kuniletea nambari ya simu kupitia kikaratasi alichompatia mtoto wake. Alinipa lawama kwanini sikuwa nimemtafuta hapo ikabidi nijifanye kama nilikuwa nimesahau. Nikihidi kumtafuta mapema tu, na kumpatia nambari yangu. Lakini mwanamke hakutaka kuondoka hivi, alifanya visa na hatimaye alifanikiwa kuondoka nambari yangu, huo ukawa mwanzo mwingine ambao pia uliendelea kuzua kizaazaa!
_____________
WIKI MBILI MBELENI
Hali ya hewa ya mkoa Morogoro ilikuwa kwenye ubaridi wa aina yake sana, Mvua kubwa iliyopiga siku mbili mfululizo iliendelea kuupoza mkoa huo, na vingi vilivyomo ndani yake, nikiwa nimejichimbia kwenye bar moja maarufu kwenye jioni ya siku hiyo, nikipata kinywaji kama kawaida yangu. Na hii ilikuwa tabia mpya kabisa niliyokuwa nimeipata punde nilipokuwa ndani ya mahali hapo. Tabia ikajenga mazoea kichwani mwangu, na hapo nilikuwa nikijipongeza baada ya kufanikisha zoezi la kumuweka sawa mke wa rafiki yangu Kahawa na hatimaye akawa amerejea kwa mumewe.
Na halikuwa zoezi dogo, mwanamke hakuwa ametulia kabisa na hata kitendo cha kuona naye mara kadhaa jicho lake kwangu lilikuwa likitafsiri vingi. Kwanza alionekana kuwa alikuwa akiyapenda sana maneno yangu na hata ule muuonekano wangu. Lakini kwa upande wangu sikuwa nikivutiwa naye licha ya kuwa alikuwa na uzuri wastani, uzuri ambao kamwe hakuna mwanaume ambaye angetoka kirahisi mbele ya mitego ya mwanamke huyo. Alikuwa tayari mama wa mtoto mmoja lakini ni vigumu sana kuamini moja kwa moja kuwa alikuwa amezaa na sasa, yu kwenye ubora wa kusumbua maungo ya mwanaume yoyote ambaye ni rijali
Hivyo baada ya kufanikisha zoezi hilo, Kahawa alinimwagia pesa kadhaa ambazo ziliendelea kunipa jeuri kwa nyakati hizo, ni nyakati ambazo nilikuwa nimeweka miadi ya kuonana na G baada ya kipindi kirefu cha mawasiliano yetu, kisha kuibuka penzi pasipo kuonana.
Kigiza cha usiku taratibu, kilianza kushidana na nuru kidogo iliyokuwa imepata hifadhi kwenye macho ya viumbe vingi. Hatimaye ilikuwa imefanikisha nayo kupata utawala wake, na kuleta burudani kwa viumbe ambao kwao ilikuwa ni habari nzuri na haswa kwenye kazi zao tofauti na wale ambao walikuwa makazini wakipigana kwenye madaladala ilikuwahi kurejea nyumbani kuipumzisha miiili yao. Ni nyakati hizo nilikuwa nikaendelea kushanga vile vilivyokuwa vikipita karibu na macho yangu, nikivuta subira ya kumsubiri G.
Nusu saa ilikatika mbele hatimaye, pua yangu ikawa inapambana na marashi mazuri yalianza kuleta burudani zaidi kwenye ubongo wangu, kabla ya macho pia kufarijika zaidi baada ya kupambana na taswira ya binti mrembo wa sura na hata wa mavazi. Alivalia nguo zile zilizohamsha hisia kama kawaida yake, hilo halikuwa geni sana, geni nilile nilikuwa naliona kwenye mkono wake. Ulikuwa ufunguo ambao hakunihitaji kujiuliza mara mbili kubaini ulikuwa ufunguo wa gari.
“Karibu G” Ilinipaswa kuvunja ukimya, wakati huo G alikenua meno yake, na kuniachia tabasamu mwanana na kunijibu kiupole zaidi.
“Ooh ahsante, pia nikupe pole huenda nimekuweka hapa kwa muda mrefu sana”.
“Hapana G, sio sana, na hata kama ingelikuwa hivyo bado isingelikuwa tatizo kwakuwa nilikuwa nikimsubiri malaika wangu!” nilichombeza kidogo, G akacheka, kinamna.
Wakati huo, akiagiza kinywaji kutoka kwa muhudumu aliyekuwa akienda sambamba na ujuio wake. Kuagiza kinywaji na kuondoka kwa muhudumu kulifanya kuendeleza maongezi.
“Habari za siku mpenzi, Fundi yaani umekuwa adimu sana!” G alinisalimu huku akiweka msisitizo.
“Kazi mama ndiyo tatizo, pia pesa, kuona na binti kama wewe sehemu kama hizi lazima uwe na kitu mfukoni, si unajua mpaka tuzichange wangu.”
“Mmh haya bhana!”
Tulizungumza kwa kirefu na G, tukipata vinywaji vilivyokuwa vikisindikiza maongezi yetu, mazungumzo na binti huyo safari hii ikiwa mara ya pili kuona naye ana kwa ana ukijumlisha na ile ya kwanza tulipoona pale club, niliweza kung’amua machache yalikuwa yakimuhusua haswa ile tabia yake ya uchechi na namna alivyokuwa fundi wa kuyatawala mazungumzo yasiyolichosha sikio la msikilizaji, na laziada ni ile sauti yake iliyokuwa na ladha masikioni zaidi ya asali iwepo mdomoni. Soga zilipokuwa nyingi, kwa mara ya kwanza nikajikuta nafanya kosa, nadhani sijui ile hali ya kichwa changu kuwa kwenye ulevi. Nikiwa pale taratibu nilitafuta upenyo wakupenyeza mdomo wangu liliposikio la G.
“G ni kuambie kitu mpenzi?”
“Niambie tu chochote mpenzi nipo kwajili yako!” kitendo cha kuniruhusu kuwa nimuambie chochote, nilivuta kiti na kusogea karibu na alipokuwepo.
“Sikia G, mpenzi hapa nilipo mwenzio sina, hali hata kidogo, nina nyege mbaya, ikiwa vyema tuondoke eneo hili tukapeane raha”. Nilimwambia G kwa sauti ya chini, sana nikiwa nimeliuuma sikio lake.
G alinitazama kisha akafanya kitendo kilicholeta hali ya sintofahamu kwa upande wangu!
Mdomo mlaini sana, ulikuwa ukigusa papi za mdomo wangu, mgusano ule, ulileta hali ya balaa sana kwa upande wangu, kwenye kadamnasi ile ya watu. G binti mdogo ambaye aibu kwake ilikuwa imeenda likizo kabisa, ijapokuwa nilikuwa nimeshikwa na hamu katika namna ya hali ya juu lakini kitendo chake kile kilinichosha kabisa.
“ G acha bhana kipenzi huoni watu?”
“Watu namna gani Fu..undi?, wewe si umeniambia una nyege!”
“Ndiyo lakini!”
“Lakini nini? Nyanyuka tuondoke mpenzi tukapeana raha!” aliniambia hivyo wakati huo alikamatia kiuno changu, na kuanza kukutana tukitoka kwenye bar hiyo, huku tukiacha sintofahamu kwenye macho ya wanadamu wengi walikuwa wamekuja sehemu hiyo.
Taratibu huku tukiwa tunakokotana, hatimaye tulikuwa kwenye sehemu ya kuegesha magari. G akiwa mbele nami nikiwa nyuma kwa wakatihuo nikiongoza kule alipokuwa akienda. Nutka kadhaa, macho yangu yakakutana na ajabu lingine kwenye maisha yangu. Ilikuwa gari aina ya range rover, ya kisasa zaidi. Hakika lilikuwa jambo jipya ambalo sikuwa nimelitegemea japo nilifahamau masaa kadhaa G alikuwa amekuja na gari kwa mahali pale, lakini sikuwa nikihisi moja kwa moja kama angekuja na gari la aina ile. Maswali mengi yalijengeka kichwani mwangu lakini hayakuwa na majibu ya kwa wakati huo, nilijipa subira ya kuyapata majibu punde tu nitakapokuwa nikiyahitaji kukamilisha lile duku duku liloanza kuninyemerea. Na kwa vile hapo, akili yangu ilikuwa ikiwaza utamu tu wa yule binti, ikiwa kwa mara ya kwanza.
G alitoa gari kwa nguvu, kuelekea mahali ambapo kwa wakati huo, nilkuwa si pahafahamu na hapo sikutaka kuhoji sana. Hazikuwa dakika nyingi hatimaye gari lilikuwa likipaki kwenye jengo moja kubwa la gorofa ambalo, tulivyoshuka tu, kibao kikubwa kilitupokea kiasi cha kwamba nilikuwa nimeshaelewa mahali pale kuwa ilikuwa ni moja kati ya hoteli nzuri na zenye hadhi, ndani ya mkoa wa Morogoro.
Tulipofika hapo, muhudumu alitupokea vizuri, huku akionekana kufahamiana vyema na G, nikiwa kimya, kazi yangu ilikuwa kushangaa yale mageni kwangu, huku nikiona G anachelewesha muda wa kwenda kuonja ladha yake. maongezi ya dakika chache na muhudumu, hatimaye G aliniongoza kwenda kwenye chumba moja wapo ndani ya hoteli hiyo. Hazikuwa dakika nyingi, miili yetu kuwa ndani ya chumba ambacho kilikuwa na kila kitu ndani, na kilivutia sana na kuonesha uzuri wa jengo hilo. Na hapa iliongeza nakshi ya mchezo, taa ya rangi ya blue, ukiacha ile nyeupe ilifanya kukipa chumba mvuto wa namna ya kipekee kabisa.
“Karibu kipenzi!” G alinikaribisha pindi nilipoingia ndani ya chumba hicho, akili yangu ikiwa imechanganyikiwa na ulevi, na hapo hata nilipotaka kuanza kumvamia ilikula mautamu yake.
“Ooh…. no Fundi embu tuoge kwanza mpenzi!” G aliniomba tufanye zoezi hilo kabla ya kwenda kwenye mtanange katika sauti ambayo iliyokuwa ikiongeza balaa kwa upande wangu.
“Sawa G mpenzi!” nilimjibu wakati huo nikimuachia mwili wake ambao tayari ulikuwa ndani ya himaya yangu.
Tukafanya zoezi la kuoga, zoezi lilochanganyika na maandalizi ya mchezo katika hali ya juu sana, masikio, kiuno, na vyote vya G vilikuwa mali yangu..
kwa wakati huo, na uzuri alikuwa na kimwili cha wastani, hivyo nilikuwa nikicheza nao vilivyo. Bafuni kukazuka varangati la namna yake, na hata tulipokuwa tunahamia kitandani mambo yalizidi kumuendea vibaya binti huyo huku akinikumbusha, namna nilivyokuwa nikimsugua Sophi mmoja kati ya wanawake walionifanya nilikimbie jiji la Dar huku nikiwa bado nalipenda. Ijapokuwa G alikuwa na mashine iliyokuwa bora na kuonekana kuwa hakuwa imetumika kwa muda mrefu toka ilipotoka kiwandani, na hata hii ndiyo ilinifanya kupiga goli zaidi ya saba, nikiwa juu ya mwili wake pasipo kushuka, mpaka pale aliponiomba apumzike. Wakati huo usiku ulikuwa ukilekea kukucha na hata kile kitendo cha kuweka mwili wangu, na kuja kukurupuka nikiwa pekee yangu juu ya kitanda. Kitendo ambacho kilinifanya kujenga shaka naye.
Wakati jua likimulika vyema nilipokuwa juu ya kitanda cha hoteli hiyo, macho yangu yalikuwa yakiangaza huku na huku kumtafuta G, na hata nilipojitoa kitandani na kumwangali bafuni sikuwa nimemuona G, ilinipa shaka mwanzoni, ikanipaswa kusubiri kwa muda. Nikidhani huenda alikuwa ameelekea nje, kuagiza kifungua kinywa. Nilisubiri kwa nusu saa mbele, kisha nikaona nivunje ukimya na kumpigia kwenye simu yake. Simu iliita kwa dakika kadhaa halafu ikapokelewa.
“G uko wapi mpenzi?” nilianza na swali, wakati huo nilikuwa nimependwa na hasira kidogo, lakini niliweza kuizua.
“Samahani mpenzi wangu, nimepigiwa simu na baba, kuwa anashida nami haraka sana, hivyo nikamua kuondoka haraka kuwahi nyumbani, na niliogopa kukuhamsha kwa maana ningekulikuwa nakusumbua mpenzi!” aliongea G katika sauti ya kitetemeshi na madeko kwangu, kiasi cha kwamba nilijikuta nikilainika na hata kushindwa kuendelea kuhoji zaidi.
“Sawa mpenzi wangu!” ilinipaswa kumjibu, tukionekana kukamaliza maongezi lakini, kitendo kile G akanieleza kitu kingine, kilichonitia faraja, aliniambia ya kuwa kulikuwa na kiasi kidogo cha pesa ambacho ameniachia hivyo, ningeweza kukitumia panga pale tutakapoona. Hivyo kumaliza kuonge na G mikono na macho yangu yalikuwa yakigombana na droo ndogo ambayo ilikuwa kwenye meza iliyokuwa kwenye chumba kile.
Zilikuwa pesa nyingi sana, zilikuwa zimefungwa kwenye bahasha ya kaki, pesa ambayo ilinihitaji kufanya kazi kwa miezi sita mfululizo ndipo ningeliweza kuipata na kwa wakati, huo mshahara wote huo, nisingeutumia hata kidogo ndipo ningeweza kumiliki kiasi kile chote cha pesa. Milioni tatu na nusu ilikuwa kwenye mkono wangu. Pesa ambayo kadri nilivyokuwa nikiziona ndivyo maswali mengi yalivyokuwa yakijengeka dhidi ya binti huyo. Ijapokuwa hapo awali nilishawahi kuohongwa na wanawake tofauti tofauti lakini G, katika siku ya kwanza tu alioenesha upekee dhidi ya wanawake wote.
Hakika G alikuwa habari nyingine!
Asubuhi ya siku hiyo ilikuwa ya furaha sana kwa upande wangu, na hata nilipojitoa eneo hilo na kupitia kazini, sikukaa sana niliomba ruhusa na kurejea nyumbani, ambapo nilikutana na mjomba, naye siku hiyo alikuwa yu nyumbani. Maswali machache mjomba alinisawili nayo nami nilimueka sawa hivyo udadisi wake ukakosa majibu yenye tija kwa upande wangu, juu ya ujio wangu ulikuwa ukionesha furaha wazi wazi. Kuanzia nilivyokuwa naingia hadi kwa nyakati hiyo.
Baada ya kuwepo nyumbani kwa siku hiyo, nikiwa sambamba na mjomba ambaye muda wote, alikuwa akinipatia mbinu mbali mbali za maisha,na haswa akinihusia namna ya kuishi kwa kujitegemea na baadaye kufanikiwa kuanzisha familiya yako. Mambo yale yalikuwa muhimu sana, lakini hali ya hewa ilikuja kuchafuka katika jioni ya siku ile, nikiwa sambamba na mjomba, masikio yetu yakaanza kupenywa na sauti ya varangati kutokea pale tulipo, varangati ambalo lilikuwa likinihusu!
MWISHO
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni