Notifications
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…

UTAMU WA FUNDI (11)

Mwandishi: Yona Fundi

SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Chumba kilikuwa kikubwa kwa wakati, huo, kitanda kikawa kinanibembeleza kutokana na ule ulevi ulikuwa umekichukua kichwa changu, kabla ya kupitiwa na usingizi, usingizi ulikuwa umenitoa pale na kunipeleka sehemu nyingine, ikienda sawa na ulevi wangu.

TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE

SASA ENDELEA...
“Naitwa G kama nilivyokuambia, lakini nisingependa nikujue sana, maana nikujua naweza kukusababishia raha zenye kila kero ndani yake.’’ Aliniambia huku akinikodole macho yake yalikuwa yamenakishiwa urembo wa kope ambazo ziliendelea kunipa burudani kila nilipokuwa nikiziangalia, na hapa ambapo zilinifanya kugundua jambo la ziada alikuwa nalo G. Hakika alikuwa mrembo na mwenye mvuto uliofanya muda wote maungo yangu ya uzazi kusisimuka vilivyo.

“La kwa nini unasema hivyo mrembo kwani ubaya mimi nikakufahamu zaidi?” nilimtupia swali wakati akiendelea kujishebedua, mara ashike miwani yake mara abofye simu, kiabu aibu.
“Hamna niko hivyo, napenda vitu vya kwangu viwe vyangu tu, sina kawaida ya kuchangia vitu na waswahili haswa hawa binadamu”.
“Mmh inamaana wewe ni mchoyo sana, mbona kama mbinafsi, halafu ufananini kuwa hivyo!” nilichombeza huku nikieelewa kuwa ni mtu ambaye kama anapata kitu matharani mpenzi basi asingependa achanganye na mtu mwingine. Lakini moyoni niliona ni tabia tu za wanawake kama kawaida yao ya kile ambacho wenyewe wanakuambia hawezi kushaire.

“Mimi sio mchoyo ndiyo nilivyo nadhani tukijuana zaidi utanielewa kuwa ni poje!”
“Haya sawa” Nilimuitikia, kisha kikawa kimya kati yetu, wakati huo nilikuwa kipambana na kinywaji nilichokuwa na kipenda sana, macho yangu yakiwa bize kutalii kwenye kile kinguo kifupi ambacho alikuwa amevalia G, na kiasi cha kwamba kilifanya sehemu kubwa ya mwili wake, kuwa wazi kwenye macho yangu, na hata wale walikuwa wakipita pita eneo lile walikuwa wakisawili ule umalaika wa binti huyo.

Tulipata kinywaji wa muda mrefu kidogo, wakati huo akili zetu zilianza kubadilisha na unywaji ule, na hata pale ilipofika kipindi, G aliponiaga kuwa anaelekea msalani, kisha tungelitoka eneo hilo, mimi sikuwa na jipya kabisa kichwani mwangu. Na hata pale aliporejea na kisha kuchukuzana, na kuelekea nyumba moja ambayo baada ya muda nilifahamu kuwa ilikuwa nyumba ya wageni.
“Lakini mbona hii ilikuwa na utofauti?” nilijiuliza jibu sikulipata na hata nilipopiga hatua mbili mbele niliweza kubaini, kweli ilikuwa ni tofauti sana, ilikuwa ni nyumba iliyotisha machoni mwangu, punde mwili wangu ulipokuwa mule ndani.

Mengi niliyokuwa nayaona ndani mule yaliogopesha sana, na hata ule ulevi ulianza kuniisha kwenye kichwa changu sasa nikabaki na tazama maajabu yaliyokuwa yanaonekana mbele yangu. Walikuwa wanawake, na wanaume wakiwa uchi kama vile walivyokuwa wamezaliwa, wakionekana kufatisha mlindimo wa ngoma, ambayo nayo ilianza kupenya kwenye masikio yangu, wakati huo, mbele yake walioneka mwanamke na mwanaume wa makamo hawa, walikuwa ni kama wafaulme ama watu wenye kuheshimiwa ndani ya mahali hapo. Wakati nikishangaa miili ya wale watu, na mimi mwili wangu ulikuwa uchi, na hata nilipogeuka pembeni, mahali ambapo alikuwa G, Sikumuona bali niliona kitu kilichonitisha na kunifanya nikurupuke na kuanza kutoka mbio nikitokea mahali pale.

Ghafla katika hali ya kuhema kwa nguvu sana, mwili wangu ukitetwa na jacho, macho yangu yakipambana na giza kali. La kumbe mwili wangu ulikuwa upo juu ya kitanda ambako baada ya muda mfupi, na kutokwa na wenge lile, nilifahamu nilikuwa nimepitiwa na ndoto mbaya sana pale tu nilipopitiwa na usingizi ambao, ulinipeleka kwenye usiku wa siku hiyo. Ikiwa ni mapema sana, maana chumba changu kilipopata nuru punde nilipoiwasha taa nilifahamu ya kuwa muda ule, ndiyo kwanza ilikuwa inatimu saa moja na dakika arobaini na tano.

Nilijitoa juu ya kitanda nikitafakari ile ndoto kwa muda, lakini kwa vile nilikuwa si muumini sana wa ndoto, na ule ulevi ulikuwa unaendelea kunitafuna basi niliamua kuipotezea na hapo, nikajikongoja na kuelekea bafuni kuumwagia mwili wangu. Kujitoa nje nikakutana na kifoleni cha maji na hata bafuni, kwa vile nilikuwa si mzungumzaji sana, nilirejea chumbani, ilipita nusu saa ndipo nilipokamilisha zoezi la kuoga.

Usiku wa siku hiyo, mjomba hakuwa amerejea nyumbani, hakunitia hofu kutokana na kazi yake. Hofu niliipata ilipokuwa imetimu majira ya kama ya saa sita, mlango wangu ulimpokea mgeni ambaye haukuwa na taarifa naye rasmi, ni huyu mgeni aliyekuja kukipa mdhahiko chumba changu kwa mara nyingi, nadhani sasa ule mchezo ulikuwa umemkolea mama Husna.

Nikiwa kwenye kitanda nikijimbembeleza kuutafuta usingizi ambao ulikuwa umenikimbia kutokana na kuwa nilitumia muda mwingi kulala muda wa jioni ya siku hiyo, hivyo jambo lile nilikuwa nimelitegemea. Runinga ndogo uliyokuwa kwenye chumba changu ndio ilikuwa ikinifariji na kunifanya nisione utafauti wowote kwenye nyakati hizo.

Sauti ya ugonjwaji wa chumba changu, kwa taadhari ilianza kusikika kwa muda kidogo, na hata ule msukumo wa mlango, ulinifanya kuhisi ya kuwa nilikuwa nimepata mgeni kwenye usiku huo. Nilitafakari kwa dakika kadhaa lakini kiutu uzima nikiwa nimeelea ule mchezo, hivyo nilijitoa kwenda kumpokea mgeni huyo. Hakuwa mwingine alikuwa ni mama Husna, ambaye mchana nilikuwa nimepata kuonja utamu wake nami alipata kuonja utamu wangu.

“Fundi nimeshindwa kuvumilia, nimekuja kuufata utamu wako, ninavyokuambia hapa afe kipa afe beki lazima unipatie tu!” Yalikuwa maneno yalioanza kunistajabisha yakitoka kwenye kinywa kikavu cha mama huyo, huku akileta mdekezo wa haja, na kwa vile sauti ya runinga ilikuwa kwenye uwastani wa usikivu, iliweza vyema kuzuia ile yake sauti, na mimi nikibaki nidauwa kutokana na jambo lile geni machoni mwangu. Na hata hapa mama Husna alikuwa amevalia nguo nyepesi ya kulalia iliyokuwa ikionesha vyema lile kufulia lake, ambalo nalo lilinifanya nipingwe na butwaa. Ilikuwa ni bikini Loo! Mama Husna alikuwa akienda na wakati kweli kweli na hata alikuwa akiasisimua maungo yangu, na kuitoa ile hatari iliyokuwepo mbele yangu, na kutaka kujilia tunda lile, lilokuwa kwenye mti ambao haukuwa mali yangu.

“Mama kulikoni sahizi?” nilijishebedua tu kwa kiswali kama hicho huku nikiwa na furaha moyoni mwangu, mzigo ule kuwa mahali pale kwenye nyakati sahihi na adimu kama ile.
“Wewe nani mama yako! Ishii hapo hapo, usichoelewa nini wewe mtoto mdogo.”
“Ha… hamna… ila hatari unaniletea”.
“Hatari wapi, mimi nimebanwa bhana, unafikiri ile burudani uliyonipa ni ndogo”
“Burudani gani tena? Ile ilikuwa bahati mbaya tu”.
“Hakuna cha bahati mbaya U mchezo ndio ushauanza hauwezi kuisha kirahisi kwa namna hiyo!” alizungumza kwa kubana sauti, huku akisogea karibu nilipokuwa, nyakati hizo mkono wake ulikuwa tayari umefunga mlango wangu, na sasa akawa ananisogelea.

Ulianza ule ule, ulaini nilikuwa nikiupata kwenye ile mechi ya awali, hakika alikuwa na mkono ambao ulikuwa na utamu wa namna yake pindi tu utakapokuatana na kiungo adhimu cha mwili wako. Aliupapasa vizuri mwili wangu, wakati huo upande wangu, nilikuwa nikimjibuwa kwa miguno ambayo ilikuwa ikionesha kufarahia lile jambo, na hichi kilikuwa kitu ambacho wanaume wengi hawana, na hilo nilifahamu siku moja nikiwa na mama mwenye nyumba kule Dar, aliniambia kuhusu habari zile wakati nikiendelea kumshughulikia huku nikiwa nimekunja kama samaki kwenye mtungo.

Nilijua wazi jambo lile lilikuwa likiendelea kumpagawisha, huku nikijipanga kufanya mashumbulizi ambayo ningeweza kumaliza mchezo kabla ya filimbi ya mwisho ya refa. Aliendelea kufanya vile vile kwa muda mrefu kidogo akitoa mpira sehemu moja na kwenda sehemu nyingine, kiufundi na ubunifu wa hali ya juu, kiasi cha kwamba kama nisingekuwa imara na kuanza kujibu mapigo basi angeliweza kunifunga mapema zaidi na ingenifanya nitumie muda mwingi kurudi mchezoni na kusawazisha na hatimaye kuibuka na ushindi.

Nilipoona sasa, inafaa kuanza kutoa mashumbulizi, mapema kabisa nilikuwa sehemu ambayo nilifahamu kuwa alikuwa mdhaifu, hivyo nilimtekenya kimna namna na hatimaye nikaanza kupokea mapokeo ya hali ya juu. Sijui walikuwa washangiliaji wa namna gani waliokuwa wanashangilia kinazi sana lile ajabu langu nilikuwa nikiendelea kulifanya. Mdomo hakuwa mdomo, maneno yalikuwa yakikatika hewani kama vile simu ilikuwa inamatatizo ya kimtandao husika. Nilibinya binya machuchu yake, ambayo yalikuwa kwenye ubora wa hali ya juu kuliko hata unavyodhani, na hata ingelikuwa wewe ungelikiri kuwa, hakuwa mama kama wa mama wengine waliokuwa tayari wamewakabidhi machuchu yao kwa watoto wahalibifu haswa wale wapenda kunyonya nyakati zote, hata ikiwa ndani ya daladala.

Chuchu za mama Husna zilikuwa zimesimama wima mithiri ya embe sindano, kwa kulijua hilo, nami nilijua jinsi ya kucheza nazo na kuongeza ladha ya mchezo wenyewe. Wakati huo, damu ilionekana kunichemka kweli, na nilikuwa nikipandwa na mzuka ajabu kila nilipokuwa nikiendelea kufanya zoezi hilo. Na hata nilipohamia upande mwingine, upande ambao nilikaribisha na kitu, kilichokuwa kimevimba mithiri ya unga wa ngano ambao ulikuwa umewekewa amila. Sehemu hiyo kulikuwa na joto la ajabu sana, joto lilikuwa likiashiria jambo fulani lilikuwa likitendeka mahali huko, pasipo kuleta taarifa kwa muhusika.

Hamadi! Machine yangu ikaanza kupoteza dira!
Na kuanza kuelekea mahali hapo pasipo kuipa ruhusa maalumu, sasa nilikuwa nimekabwa na ugwadu wa hali ya juu, ambao ulionekana kuanza kuchoshwa na maandalizi yale ya muda mrefu, wakati mpinzani alionekana kuhitaji huduma ile kwa hali na mali. Hivyo kitendo kile hakikuwa kama cha bahati mbaya, la kilianza kutupa raha ya ajabu kwa upande wetu pasipo mategemeo yangu kwa wakati ule.

Eneo lile pia lilikuwa na vimaji maji ambavyo vilikuwa vikirahisisha zoezi lile na hata hapa nilianza kusugua taratibu nikielekea kudhuru eneo hilo, mama Husna hakutaka kuwa nyuma naye akaamua kuzungusha kiuno chake, nadhani kitendo chake hiki ndicho kilianza kumletea balaa, maana kadri alivyokuwa akikizungusha kiuno chake, mkuu wa kaya wangu alikuwa akipata wasaa mzuri wa kukagua eneo hilo.

Nilipiga tik tak kama timu ya Barca ya jijini Hispania, na hapa ulikuwa wakati wangu muafaka wa kumuonesha mama Husna ‘utamu wa kaka fundi’, nilimpiga bao zaidi ya tano ndani ya usiku huo, huku nikimuacha na sintofahamu ya ule uwezo wangu wa kukaba na kushambulia katika namna iliyokuwa imala kwenye wakati wote wa mchezo.

Na hapa alikiri wazi kuwa nilikuwa na utamu wa kipekee sana ukilinganisha na wanaume wote ambao aliwahi kuwakabidhi mwili wake. Na si hivyo tu aliwatoa thamani wote huku akiniweka katika sehemu ya juu mno, na hata kuniahidi ya kuwa kila siku atafanya awezavyo ili awe karibu na kupata huduma zangu ambazo sikuhitaji kuzilipia kutoka kwa mwanamke huyo.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU

Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho


26 Simulizi Utamu wa Fundi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni