SEHEMU YA TATU
ILIPOISHIA...
Nilitayari kidogo ila nikaona wacha nitafute jina lingine wa mama wa namna ile wanataka waitwe ma baby”
“Ok ..baby si rudi tena” Nilimjibu huku nikimtaza kinamna fulani niliona akitabasamu huku vishimo vyake viliongeza tabasamu zaidi ya Mama yule.
TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
“Ni hivi kuna unakumbuka jana mida ile ulivyokuja kunigongea mara ya kwanza si ulinikuta na mdada, sijui vipi ananisumbua sana wakati tulishamalizana?’ Nilizuga pale ili Mama ananione mtulivu tofauti anavyonisikia habari zangu.
“Sasa wewe umeamua kufanya nini?” Mama aliniuliza.
“Alikuwa ananitafuta nikazima simu ndio aliamua kunifata nyumbani”
“Mmh”, Mama aliguna kidogo alafu aliendelea. “Unajua nini? Fundi we ni mtamu ndio maana wanawake wanakupenda vitu vyako vina hatari, hata mimi haki sikuachi na wiki hii nzima tutakuwa tunalala wote. Siunajua mume wangu hayupo” Mama aliendelea kuongea huku akiniangalia.
Fundi mie nikaona huu sasa utakuwa msala sasa. “Hivi Baba akijua itakuwaje nyumba zenyewe za kupanga hazina siri hata kidogo wapangaji wakijua kama natoka na Mama mwenye nyumba si ndio chanzo cha Mumewe kujua nikaikimbia kodi yangu” Niliteta na roho yangu.
Nikaona hapa cha kufanya nikucheza na akili yake, nilishajuwa kuwa huyu nikimwambia chochote kama siwezi kukubaliana na mawazo yake nitakuwa nacheza. Hapa nikufanya mgomo balidi , ndio itakuwa dawa yake. Maana licha ya uzuri wa Mama yule na mautamu yake ila nilikubali tu utamu ukate niliogopa isije ikawa tatizo . Za mwizi arobaini isije ikanifikia bure nikaujua ule usemi wa mke wa mtu sumu. Baada ya katendeka kwenye mwili wangu, hivyo nilikubali kinamna.
Muda ulienda mule chumbani nikiwa na Mama mwenye nyumba mpaka mida fulani hivi ambayo mara nyingi huwa hakunaga pilika pilika kwenye nyumba ile. Nikaona itakuwa ndio muda muafaka wa kumtoa Mama ndani mwangu ilinijue na mimi mambo yangu ya naendaje baada ya hapo.
Kweli mama alikubali ila kwa sharti moja tu usiku atarudi nikaona isiwe tabu wacha tu ni mkubalie ila baadae kitaeleweka.
Mama alitoka, nilishusha pumzi kidogo nikarudi kukaa kwenye sopha langu nikitafakari hali ilivyokuwa. Ilikuwa hatari lakini salama nilikili kabla ya kuamua kutoa mashuka yangu kwenye kitanda changu nikatandika mengine.
Nikajilaza kidogo ila dakika chache usingizi ulinipitia nilikuja kushituka kuangalia saa yangu saa kumi karibia na nusu. Hata kula nilikuwa sijala ,nikaona wacha nitoke chumbani mule niangalie nafanyaje.
Haraka haraka nilichukua maji na kwenda kujimwagia. Kwa bahati mzuri siku hiyo wapangaji wengi walikuwa viumbani mwao. Uzuri chumba changu kilikuwa karibu na mlango wakutokea nje hivyo ilikuwa ngumu kuweza kubaini nyendo zangu.
Nilioga haraka haraka huku njaa ikiwa inasumbua tumbo langu, mawazo nayo yote yalikuwa chakula tu ndio ilitawala kichwani mwangu.
Wakati natoka ile naingia chumbani kwangu nilisikia nikiitwa.
“Kaka!.. kaka !Fundi”
Ilinibidi nigeuke niangalie nani, kumbe Mwaju!.
“Vipi dada”
“Safi tu”
“Niambie”
“Kuna mzigo wako nimeachiwa hapa na dada mmoja”
“Oky.. wacha nivae nitakuja kuuchukua”
“Sawa ila mimi natoka kidogo naenda kuchota maji”
“Ok usijali Mwaju nitanipa tu mimi si nipo”
“Nilimwambia huku nikiingia ndani”
Nilibadilisha nguo mara moja harafu nikawasha yangu simu nikatoka ilinikatafute msosi kitaani pale.
Sms ziliingia nyingi ila sikuzijali njaa ilinipoteza hamu hata ya kuangalia nini kinachoendelea ndani ya simu yangu.
Dakika kadha nilifika kwa bonge moja ya sehemu maarufu pale kitaani kwa kuuza chipsi njaa ilivyokuwa inauma nikaagiza chipsi yai sahani mbili nikalala haraka haraka.
Nikasepa kurudi nyumbani ilinianze kudili na sms moja baada ya nyingine, mdogo mdogo nyumbani. Nikiwa njiani nilihisi kama mtu ananikimbilia nyuma yangu ila sikujali sana. Ghafla nikasikia naiitwa sauti ya kike kabisa inapenya masikioni mwangu yani balaa niliona sasa.
Dakika kadha nilifika kwa bonge moja ya sehemu maarufu pale kitaani kwa kuuza chipsi njaa ilivyokuwa inauma nikaagiza chipsi yai sahani mbili nikalala haraka haraka.
Nikasepa kurudi nyumbani ilinianze kudili na sms moja baada ya nyingine, mdogo mdogo nyumbani. Nikiwa njiani nilihisi kama mtu ananikimbilia nyuma yangu ila sikujali sana. Ghafla nikasikia naiitwa sauti ya kike kabisa inapenya masikioni mwangu yani balaa niliona sasa.
Sauti ambayo ilinifanya nipunguze mwendo kidogo hapo nilishaijua vizuri. alikuwa Aziza kipotabo mtoto bomba, anaumbo fulani hivi lenye kuita akikuangalia kisura chake hivi lazima ukubali mwanaume haswa. Nilijuana nae wiki mbili zilizopita tu aliponikuta kwa bonge,
Bonge huyu muuza chipsi maarufu kitaani hapa japo alikuwa vizuri ila sikuwa na shobo nae ila yeye alikuwa akiniona shobo kibao mara aniombe nininulie soda. Nikiwaga nazo siku moja moja huwa na mtoa muda ,mwingine na mwambia sina.
Hivyo sasa kelele zote nikajua hapa leo atakuwa kaja kunipiga mzinga. Kuzoeana na vidada vya mtaani napo si vizuri. Nilimsubiri hatimaye alinifika karibu yangu.
“Vipi Aziza mbona hivyo mtu wangu”
“Yaani Fundi ulikuwa unisikii au vipi?”
“Ahaa …Aziza nilikuwa na wahi nyumbani, ninashughuli nyingi, hivyo mawazo yangu yalikuwa mbali”.
“Sawa kaka Fundi ila nilikumis tu nikaona isiwe tabu nikusalimie, juzi na jana sijakuona kabisa kwa Bonge. Nikajua labda unaumwa au umepataa jiko nini kaka?”
“Hamna.. Aziza mambo tu wewe unadhani, kila siku utakula chipsi tu. Si utakosa nguvu wakati mtoto wa kiume lazima uwe na nguvu si unajua kazi zetu” Aziza aliniangalia kwa muda kidogo huku nikiendelea kuongea.
“Sawa kaka ila mimi nataka nipafahamu kwako watu tu nakaa mtaa moja atujuani sio vizuri kaka”
“Usijal Aziza utapajua tu kwangu siku moja” Nilimjibu huku tukiwa bado tupo njiani mule Nilivyoona ananing'ang'ania, ilinibidi ni muelekeze. Nikaona haitoshi nikamuachia namba yangu, nikaachana nae Aziza huku nikiona kama amefurahi. Hata sikujua nini shida yake nilijisemea tu moyoni mwangu “visichana vingi shida tu zimewajaa”
Sekunde kadha nilishafika chumbani kwangu nikatulia kwenye sopha langu kucheki text zilizoingia kwenye simu yangu wakati nilipoizima kukwepa kelo za Sophi.
Nilikutana text nyingi za kazi pamoja za Sophi,nikaona isiwe tabu wacha nimpigie.
Nikabonyeza kitufe cha kupigia simu nikisikilizia upande wa pili, ilinijue anajipya gani japo nilishajua shida yake. Simu yake iliita mara kadha baada ya muda mfupi Sophi alipokea
Fundi nilisikia vizuri sauti ya Sophi.
“Yah.. niambie Sophi”
“Ulikuwa wapi?, nimekuja hadi nyumbani kwako alafu simu ulizima ndio nini?” nilikumbana na maswali mfululizo. Haraka nilijitetea.
“Hapana Sophi simu yangu ilikata chaji. Ila jana hatukubaliana kama utakuja”
“Mimi si nilikwambia ok achana na hayo.. baby kuna mzigo nimekuachia kwa mdada wa humo humo nyumbani kwenu”
“Sawa Sophi ila mimi ndio nimerudi sasa nadhani ataniletea tu”
“Poa Fundi ila mimi kesho mume wangu ana safari ya kikazi nitakuja huko huko nimezimisi sana raha zako”
“Usijali” nilimjibu Sophi, niliona kukataa itakuwa sawa na kumuuzi mchinja mbwa ilinibidi nikubali yote maana nilishakubali liwalo na liwe kwa huyo mke wa mtu. Kazimika mwenyewe kwa mziki wa muhuni lazima aisome namba. Dakika kadha nilimaliza kuongea nae nikashughulikia text zingine nilizoona muhimu alafu nikatulia.
Nika fungulia tv yangu nakuanza kucheki mambo ya dunia muda ulishaaenda na kijua nacho ndio kilikuwa kinamalizikia kuzama.
Nilitazama tv nikitegemea Mwaju atakuja kuniletea mzigo wangu nilioletewa na Sophi ila muda ulizidi kwenda sikumuona. Nikajua labda itakuwa katoka maana Mwaju anakaa peke yake kama mimi yeye ajaolewa tu mtu wa mishe mishe.
Niliendelea kuangalia tv hatimaye taarifa ya habari nayo ikaisha muda nao ulikuwa unakimbia sana vile mpaka saa nne niliona kushaanza kuwa kimya mule ndani tofauti na kawaida ni kawa tu najiuliza sijui yupo wapi au kaenda kwa bwana yake nini? Hamu yakutaka kufahamu mzigo nililetewa na Sophi ilinitwala.
Ila nikaona hamna shida kama wangu wangu tu haina tatizo nikaamua nijipumzishe kidogo. ila nilisindika tu mlango wangu kwa muda ule nilijua nitatoka tena nje mida fulani nikaoge maana joto la Dar nalo halina adabu hata kidogo.
Nikajikuta napitiwa na usingizi, tatizo usingizi haunaga heshima hata kidogo nilishapanga nitoke baadae nje nioge nipunguze joto. Wakati ule mwili ulikuwa ukishemka kama upo jikoni hivi nilijua nikioga mapema nitakuwa sawa nacheza tu hivyo nilisubiri muda uende kidogo.
Kati kati ya usingizi nilianza kuhisi kama kuna kitu kina nipapasa mwili mwangu juu chini juu chini. Taratibu nilijikuta napoteza usingizi kuangalia hivi ni Mama mwenye nyumba. “Hey baby vipi?’ Nilianza kumuuliza, kwahali niliyomkuta nayo Mama yule ilikuwa haitaji jibu kabisa kufahamu kilichokuwa kinaendelea. “Mama” niliita… “Ahaaa! mbona hivyo umenitisha kweli mwenzako nilikuwa mbali, kwanza saa ngapi?. Ilinibidi nimulize Mama kwa hali ya kivivu vivu si unajua usingizi nao haunaga adabu hata kidogo, unaweza kukuzalilisha kabisa kama unajambo lako la maana haufai hata kidogo unaweza ukahalibu kazi kabisa.
Mama alinijibu itakuwa saa saba nilishangaa kumbe muda umeenda kiasi kile nilitegemea nipumzike kidogo ilinioge alafu ndio nilale nikwamwambia Mama wacha nioge kwanza. Lengo kubwa nikuhakisha napanga kikosi cha maangamizi kwa usiku ule ilinizidi kumpoteza mpinzani wangu kwa wakati ule nilishaijua udhaifu wa Mama yule. Hivyo ni kazi jepesi tu kwangu haikutaji kufikiria sana ningie na formation gani.
Kwasababu ule mchezo wangu wakujaza viungo wengi wa pembeni ndio nilikuwa nikiutumia kumpoteza Mama mwenye nyumba. Hakika lazima tu atamani kulala na mimi wiki nzima ambazo mumewe yuko safarini. Na hapa Mama alishasahau pesa yake ya umeme aliyokuwa akinidai utamu wote ule hakutamani ukate hata mara moja.
Basi niliamua kwanza niende nikaoge Mama alinikubalia kutokana tv yangu ilikuwa sijaizima chumba changu kilikuwa kinamwanga tosha tu kuweza kuonana vizuri kati yangu na Mama mwenye nyumba. Namna alivyokuja ni noma kufuri lake lilikuwa likiongeza nakshi za uwanja kabla hata ya mpambano kuanza nilikuwa nikusubiriwa mimi tu niingize timu uwanjani.
Nilitoka ndani na kidoo changu cha maji kuelekea chooni sekunde kadhaa nilioga kwakipindi hicho nyumba ilikuwa kimya sana Sikutumia dakika nyingi nilimaliza kuoga mwanaume nipo na kitaulo changu fasta kurudi ndani nikamalize kazi sasa wakati na rudi huku nipo na kitaulo changu ambacho kilikuwa kimetunisha sehemu ya kati ya mwili wangu kwa mbele
Mara nilionana na Mwaju uso kwa uso, Mwaju alizubaa kidogo akinishaanga sikuelewa anashangaa nini sikutaka kulemba nilichojua nikuulizia mzigo wangu.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho