SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA...
Na kama wapangaji wengine wakijua si balaha kwangu ama kweli nyumba nitayona chungu siku sijingi nilijisemea wakati narudi kwenye kitanda changu.
Japo kuwa nilikuwa nimechoka kutokana na ule mtanange baina yangu na Mama mwenye nyumba ila nilishindwa kabisa kupata usingizi ilinijipumzishe akili yangu yote lilikuwa likifikiria lile tukio lilitokea muda mfupi.
TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
Ama kweli dunia haina siri watu walisema hivyo hawakukosea hata kidogo na vipi wanakosea? Wakati leo kila kitu kipo wazi kama ilikuwa yetu sasa na Mwaju anahusika na kama Mwaju anahusika sijui anawaza nini kichwani mwake hilo nalo tatizo.
Nilifikiria sana sikupata hata jibu sikijua nianzie wapi niishie wapi nilitamani kumpa lawama Mama lakini na mpaje lawama wakati Mama mwenyewe ameshaenda kwenye chake chumba. Hata hivyo yeye hakuwa na hofu zaidi ya kutoa mfunyo tu sasa sikuelewa Mwaju alipokea aje nakama kaupokea vibaya si mwanzo wakuuza gazeti.
Sikupata jibu kwenye changu kitandaa muda ulishaenda sana karibia kumi na nusu. Usingizi haukuja kabisa, utakujaje? mawazo kibao yanagonga kwenye kichwa changu. Habari za sumu ya wake za watu ilinitawala na vipi kuhusu chumba changu sitakimbia nyumba nakuacha vitu vyangu nalo lilikuwa swali lingine lilokosa jibu la wazi.
Niliona wacha tu niende kuoga niwahi kwenye kazi zangu, huku liwalo na liwe liniongoza. Nilichukua changu kidoo cha maji moja kwa moja chooni nilioga vizuri kuhakisha uchafu wote unatoka na kiarufu cha Mama mwenye nyumba kinatoka mwilini kwangu. Nilitumia kama dakika kumi mpaka nilipojilidhisha kuwa nitakua poa nikatoka chooni mule.
Wakati natoka sura yangu ilionana na Mwaju tena. Nbilijiuliza mwenyewe leo kuna nini na huyu mwanamke nikawaza haraka. Nikijua hatakuwa alisikia mlango wangu kama natoka nje wakati naenda kuoga.
“Vipi dada” kiaibu aibu nilijikaza nikamsemesha.
“Usijali kaka Fundi, naona kama haupo sawa?”
“Hapana Mwaju ni..ko..sawa” nilijibu kwa kitemeshi Mwaju aligundua hali ile.
“Najua haupo sawa ila usinifikirie hivyo mimi sio kama wengine nimeona natamezea…
Kaka Fundi…”
“Ok Mwaju nitashukuru kama itakuwa kweli” Nilimjibu kabla ya kunyamaza na kuendelea kuongea tena.”Ndio kiasi fulani nilikuwa naogopa siunajua wake za watu Mwaju?”
“Najua kaka ila we huna tatizo shida ni Mama mwenyewe anajifanya mstarabu ila anapenda dogo dogo najaua habari zake sikunyingi”
“Nimekuelewa dada yangu acha ningie ndani kwangu siunajua mida hii watu wesije wakanikuta kwenye hali hii” nilimjibu huku nikitaka kuingia ndani lakini sauti yake ilinikatika safari ya kuingia chumbani kwangu.
“Sawa kaka ila samahani naomba namba yako kama siku nyingine wageni wako wamekuja kukitafuta nikustue. Siunajua wageni wengine hawanaga simu” Mwaju aliongea hayo huku akijichekelesha.
Nikaona isiwe tabu nikampatia na kuingia zangu ndani.
Uwi nilishusha pumzi kidogo nilitulia nikijuau Mwaju anaweza akaminya na kama akiminya itakuwa vizuri kwa hali ile iliyonikuta ni noma. Noma kweli mwanaume ila kitendo cha kuchukua namba nilianza kuhisi kitu tu ila nikajisimea. “Hapa huo ni mwenzi wa mwisho acha niondoke usumbufu huu unaweza siku nikagonganisha magari ikawa balaha mtaani”
Nilivaa nguo zangu mapema sana kuelekea kwenye kazi jana tu sikutokea si ndio kuharibu kazi kwa sababu ya mapenzi nitakula wapi mimi mtoto wa kiume pesa za kuongwa tu zinaweza kunitokea puuni kabisa mfano mdogo leo tu kwa namna ilivyokuwa je angekuwa Mama Asha ndio ameona mchongo ule ingekuwaje na anavyosifika kwa umbea wake kila mpangaji anamjua sindio kukimbia nyumba huku. Nilijisemea kabla ya kuanza,kukata mtaa na kigiza kile mbaka kwenye stendi ya daladala nikakwea gari muda mchache tu kama si mwingi nilifika kazini nilikutana na watu wachache tu niliwahi sana haki kukuta watu namna ile.
Wakati nafika tu simu yangu iliita kuangalia namba ngeni nilipokea kusikiliza ninani,
Sauti ya upande wapili ilitosha kujua ni Mwaju.
“Vipi Mwaju”
“Kaka fundi hiyo ni namba yangu”
“Nilimjibu poa nitaisave now nishaingia job baadae harafu nikakata simu”
Haikuchukua muda maneja aliingia kuanza kutupangia taratibu za kazi kama kawaida yake
Kila moja alipangiwa kazi za kufanya hivyo kila mtu alifanya kazi yake.
Nilifanya kazi sana mpaka mida ya kurudi nyumbani ilifika nilikuwa nimechoka mbaya ila mwanaume kazi nilijikaza . Na nilishakubali kila mbuzi atakula. Ulefu wakamba yake hivyo nilikuwa si rembi nikipewa kazi kitendo ambacho kilikuwa kimenijengea jina sana kwa meneja mwajili hatakama sijafika huwa anashida hata kidogo
Nilitoka majob nikiwa nimechafuka sana kwa siku hiyo nilikuwa na kazi nyingi tofauti na sikunyingine
Hivyo kuchafuka nikawaida siunajua kazi zetu hizi ngumu kitu kama hicho ni kawaida
Nilitumia muda mchache tu kufika nyumbani baada ya kutoka kazini nilifikia kuoga kwanza
Nilioga alafu nikarudi zangu ndani kubadili kwa wakati huo simu yangu iliita .Nilipotezea kidogo ila nilivyoona makele yana zidi niliamua kuipoke hakuwa mwingine ni Sophi
Hello niambie sophi
Safi tu usharudi nyumbani
Ndio nimesharudi nilimjibu
Poa. Mimi nipo karibu na kitaa chenu na kuja
Mmh nikaona hii hatari Sophi kuja wakati jana tu Mama mwenye nyumba alisha nipa onyo nisilete videmu vingine ndani kwangu
Niliguna kidogo alafu nikamwambia Sophi kwa nini tusitafute gesti hapa waandishi wa habari wengi baby siunajua kuwa wewe ni mke wa mtu
Najua ila wacha waseme kwanini wanajua nakaa wapi hao
Sophi usifanye hivyo nilimsihi Sophi ila nikaona bado anakazania kuja nikwamwambia sawa ila ukiribia unistue lengo nikutaka Mama mwenye nyumba kama yupo nje nijue nafanyanye iliasimuone Sophi hakuona shida akaniitikia poa nikifika nitakucheki
Nilivaa fasta fasta lengo nikuangalia nje kama Mama mwenye nyumba yupo au hayupo sikutaka kupoteza muda hata mafuta niliona jau kupaka .chwa nikafungua mlango huku simu yangu ikiita tena nilishajua hatakuwa amefika sikuamini ile chwa macho yangu yaligongana na macho ya Mama mwenye nyumba huku akichia tabasamu nzito.
Niliona aibu kinamna fulani baadhi ya wapangaji wenzangu nao walikuwepo, huku nafunga wangu mlango simu bado ikiwa inahita. Nilisita kuipokea ikanibidi nitoe salamu kwanza haikuwa shida sana wote walikuwepo pale walipokea salamu yangu .Huku nikiwa naongonza kanjia cha kutokea nyumbani pale hatua mbili niliamua kuipokea.
“Hello Sophi umefika wapi?” ilinibidi nianze kumuliza.
“Nipo katika huu wanja karibu na nyumba wenu.”
“Ok nisubiri hapo hapo nakuja sasa hivi.”
“Sawa ila usichelewe.”
“Usijali mimi niko nakata kocholo cha kwanza cha pili nitakuwa hapo”
“Haya fanya haraka basi upande wapili alisikika Sophi”
Nilibonyenza sehemu yakukatia simu yangu mara moja nikaongeza hatua kidogo hakukuwa mbali sekunde kadhaa nilifika kutokana siku hiyo kulikuwa na mechi kati ya timu ya mtaani pale hivyo uwanjani hakuwa na watu kutokana mechi yenyewe ilikuwa haifanyikii pale
Nilimchukua moja kwa moja Sophi nikatafuta chocho moja iliniweze kumwambia kwasababu gani nimwambia asifike pale nyumba siunajua Mama mwenye nyumba nilimuahidi sitoweza kuleta videmu ndani kwangu na kibaya zaidi yupo itakuwa noma kwa vyovyote vile
Chocho la kwanza la pili nikaona chocho hilo linafaa kuzungumza yetu na kuyamaliza
Haya niambie Sophi kwanza nashukuru mzigo wako nimeupata pili naomba unisamehe kwa kukuambia usifike pale nyumbani ila ni kwa usalama wako na ndoa yako tatu mimi mwenyewe naogopa nisije nikafumuliwa maneno ya starehe yote ya katolewa nilichombeza kidogo ili mtoto apate kunielewa Sophi alinitazama kwa muda huku akiwa kimya akinisikiliza tu ninachoongea
Sawa nimekuelewa Fundi hii yote sababu nakupenda lazima nikubali yote ila leo nimekuja tulale wote usiku kucha ni enjoy maraha yako sio kila siku naishia kunipa nusu nusu leo sitaki ukate kabisa utamu yaani mbaka mwisho baby wangu Sophi aliongea huku akinilegezea jicho mtoto wakiume
Kitaiti alichovaa na kitop kilimuunesha vyema mautamu mtoto alikuwa ameumbika si masihara .Chuchu zimesimama vyema na kama si mnazi basi utakuwa mchongoma kiukweli Sophi ameumbwa ameumbika hakika hakukosewa kabisa na anahaki ya kuolewa siunajua bwana vizuri vinajiuza vibaya vya jitembeza
Nilisikiliza kwa makini maneno yale nikatafakari kwa kina mwanaume nikaona sawa nitafanyanye sasa mtoto akililia wembe mwache. umkate na ukisha mkata hataona madhara yake
Usijali Sophi nilimjibu ila naomba unisikilize pale homu ninoma na kama noma tutafute logde yoyote mpenzi tukapumzike au unasemaje
Usiwaze kwa hilo tu kwa raha zako unazonipa nipo tiyari kazi kwako mpenzi
Nilishajua tu hakuna jibu lingine zaidi ya hilo hivyo akili yangu ilishasoma kama computer sehemu gani ya kumchinjia Sophi Nikakumbuka sehemu moja tu Azimio logde panaweza faa kabisa naikumbuka logde ile vizuri kipindi ambacho nililipataga Mama moja la kibosile nililipa. Mautamu mama yule hawezi kunisahau hata sahau vipi wakati alikuwa akinene hadi kwa lugha mama watu japo kuwa lilikuwa na mwili ila shughuli aliipata
Kipindi hicho nilikuwa naela hata kazi nilikuwa sifanyi mama ananipa kila kitu Tatizo sasa sijui mumewe alishajua mchezo ameondoka nalo south na laiti angekuwepo kina Sophi ningepiga chini wote
Hivyo nilimwambia Sophi anifate kwasababu Azimio hakuwa mbali sana na mtaa ule ilikuwa rahisi tu vichoro kadha tulishaifikia logde hiyo
Tuliandikisha majina yetu na kwabahati sikumkuta yule Mhudumu niliye mzoea ila Mhudumu huyu alimwangalia sana Sophi wakati tunaandikisha mbaka nikahisi kutakuwa kuna kitu nini ila sikutaka kuchunguza sana wala nini kila mtu anazake Mhudumu alitupa funguo na vitu vingine muhimu kwa jili ya kupumzika ndani ya lodge ile na kutuelekeza chumba
Kilikuwa chumba kizuri chenye kila kitu ndani na kizuri zaidi ilikuwa ina choo bafu ndani . Tv. Full kiyoyozi kama tupo Arusha jiji lenye baridi we utamu wa ndani mule hatari hakuna unaweza ukahisi dunia yote ya kwako
Kutokana na njaa niliyokuwa nayo ilibidi nimwambie Sophi kwamba nina njaa inabidi niagize chakula Mtoto hakuwa na hiyana yeye aliniambia kula tu baby ilamimi niagizie caste laiti baridi kama tatu hivi
Ok baby nilimwambia alafu nikanyanyua simu ya mezani kama sekunde kadha ilipokelewa nikaagiza kila kitu
Wakati huo Sophi aliingia bafuni kuoga mimi nikiwa nasubilia msosi uje nigonge nipate kanguvu ya kucheza mechi kwa ufasaha zaidi bila ya kumpa nafasi mpinzani wangu
Dakika kadha sophi alitoka bafuni na kitaulo tu chepesi wakati huo nilishaletewa vitu vyote Niliagiza chipsi kama sahani mbili na kuku mzima pamoja na pombe kali ilimradi niongeze mzuka wakucheza gemu na mtoto Sophi. Nilianza kukamua msosi huku nikishushia taratibu na dompo nimoja ya kinywaji nilichokuwa nakikubali .jimama ndio lilinifundishaga habari zile ila leo nilikuwa na kumbushia tu
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho