MAPENZI NA NGONO (14)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA KUMI NA NNE
ILIPOISHIA...
Mimi na dada wa kazi tuse akashangaa sana na kubaki akiduwaa na kutuangalia kwa muda huku akiwa bado anadondosha matone ya machozi na kusababisha niendelee kupata hofu na kuanza kujiuliza maswali ambayo hayakuwa na majibu. Tuse naye aliganda aibu ilimshika nakujikuta naye akitulia na kuangalia chini na kukwepesha macho pale alipoangaliwa na rebecca ambaye alikuwa akihema kwa kasi tena juu juu kama mtu aliyekuwa anakimbizwa.TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
Alituangalia kwa muda kisha akageuka na kuondoka haraka na mimi sikuwa na haja ya kubaki tena nikamuacha tuse nakumkimbiza rebecca ambaye baada ya kumuita alikuwa akizidisha mwendo wa kutembea.Nilimkimbiza na kufanikiwa kumkamata kabla hata ajaingia katika chumba chake na kuanza purukushani huku mimi nikitumia nguvu asiingie ndani na yeye akitumia nguvu kuingia ndani.
"Nakuambiaa sitakii!!,Niaache pabloo nakuambia sitaki" katika hali ya kutotegemea wote tukajikuta tukingia katika chumba cha rebecca na mimi kwa kutumia mguu wangu nikausimiza mlango wa kile chumba cha rebecca na kujifunga.Nikamsogelea rebecca aliyekuwa ameshatoka mikononi mwangu na kurudi nyuma huku akiniangalia kwa macho makali ya hasira ambayo safari hii wala hayanitisha na mimi kwa kujiamini nikaanza kumsogelea rebecca ambaye baada ya kuniona namsogelea akaninyooshea kidole.
"Ishiiiaaa hapo hapo pabloo kwanza nakuombaa utoke katika chumba changu kabla sijapiga kelele unanibaka" maneno yale ya rebecca hakika hayakunitisha mwanaume taratibu nikamsogelea rebecca na nilipotaka kumkaribia rebecca akaanza kunirushia makonde mazito ambayo mengine niliyakinga kwa mikono yangu huku mingine yakinipata katika kifua changu lakini yote hayo wala hayakuniingia.Kwa kutumia uanaume nikajikuta nikifanikiwa kumtuliza rebecca ambaye baada ya kumtuliza akaakimya na kuangalia chini.kwa kutumia mkono wangu nikamshika kidevu chake na kumuinua.
"Pabloo jamani sitaki naomba uniache na utoke chumbani kwangu" kwa sauti ya chini chini mrembo rebecca akaniambia sauti ambayo ghafla ikanitetemesha na kupita kimsisimko flani uliosababisha taratibu niaanze kupeleka mdomo wangu katika mdomo wa rebecca nikiwa na lengo la kupata shurubati la mdomo lakini nilipokaribia rebecca akanishika kifua akiwa na lengo la kunizuia lakini nilijikuta nikitumia nguvu na moja kwa moja nikaanza peleka mdomo wangu kwake na yeye rebecca bila hiyana akaupokea na kujikuta tukianza kunyonyana denda taratibu.Tulinyonyana denda kwa muda kidogo na nilipoona rebecca anaanza kuishiwa nguvu taratibu nikamtoa na kumsukumiza kidogo kwa nyuma na kusababisha rebecca alalamike baada ya mimi kumtoa.
"Rebecca una matatizo gani unajua mimi sipendi unavyofanya"
"Hamna pablo ni hasira kwa sababu dada wa kazi kashatufumania na lazima amwambie Mama"
"usijali nitamlazimisha nifanikiwe kumshawishi Asimwambie na hata wewe jaribu hivyo wala usimuogope Rebecca"
"Mmmh haya jamani lakini nikuambie kitu"
"Nambie wangu rebecca"
"Mimi nakupenda sana Pablo nakuomba uwe wangu na usinisaliti"
"Yaah sitakusaliti na nakupenda" nilifanikiwa kumtuliza rebecca na nikijikuta nikimpa ahadi ambazo hazikuwa za kweli ahadi ambayo ilikuwa ni ya uongo kutokana na kutoweza kuwa naye kwa sababu nilishakuwa na wasichana wawili ambao ni mtu na dada yake na dada mtu alikuwa ananilazimisha kilazima.
Tuliongeaa mengi kisha tukatoka na kwenda sebuleni na kuanza kuangalia television na kilichonishangaza ni kwamba kwa muda huo rebecca alikuwa akiniangalia kwa wizi wizi na nilipokuwa najitahidi mimi kumuangalia yeye alikuwa akikwepesha Macho yake kwa aibu.Hakuchukua Hata masaa mawili Mama na Mama rebecca wakarudi na kuibua tena hofu ambayo mimi nilijitahidi kujipa imani kwamba dada wa kazi tuse hatosema na wala hatukakaa sana Mama akaanza kuomba ruhusa ya kutaka kuondoka na mimi bila ya kuchelewa nikajifanya naaga na kwenda chooni kumbe nilikuwa na lengo la kwenda jikoni kwa mfanyakazi ambaye kwa muda huo alikuwa anapika na kuwaacha rebecca, Mama rebecca na Mama yangu wakiwa wapo sebuleni.
Nilifika jikoni haraka kutokana na mwendo kasi wangu wa kutembea nakumkuta dada wa kazi tuse akiwa anaosha vyombo katika sinki na mimi nikaingia bila ya kumshtua tuse ambaye alikuwa yupo bize na kazi yake.Nilimsogelea taratibu na kumshika kiuno chake hali iliyosababisha ajibinue kidogo na kutoa mguno wa raha na mimi kwa kutaka sifa nikapeleka mdomo wangu nakuanza kumnyonya shingoni na kusababisha kuleta usumbufu mkubwa kwa dada tuse.
"Tusee"
"Abeeee paplo"
"Hahaha sio paplo ni pablo"
"Aiii jamani jina lako gumu mmh niambie"
"Pouwa nakuomba usiseme kwa Mama rebecca kwa kile kitendo kilichotokea leo kwa sababu ni bahati mbaya naomba unielewe."
"Mmmmh sawaa lakini sitosema kwa masharti ambayo naomba uyatekeleze"
"Duuu masharti gani tena tuse"
"Naomba Siku nikipata nafasi tukutane unipe utamu uliotaka kunipa"
"Hahahahhhaaa usijali Basi nipe simu yako nikuandikie namba yangu halafu Nitakutafuta"
Kwa mapozi dada tuse akanikabidhi simu yake ya mchina na mimi nikumuandikia namba yangu kisha kabla hata sijasave akaniambia nijisevu kwa jina la mpenzi wangu na mimi bila ya kusita huku nikiwa nacheka nikasave vile vile anavyotaka.Baada ya kumaliza huku nikiwa nimeshusha pumzi zito nikatoka kule jikoni haraka na kujumuika sebuleni na akina mama ambapo mama yangu kwa kutumia busara akaaga na Hatakuwa na budi ya kutoka nje na kusindikizwa na Mama rebecca na rebecca mwenyewe mpaka stedi ya Mabasi na kutuacha baada ya sisi kupata gari ambalo baada ya kuingia sisi tukapata siti na kukaa.Mawazo ndani ya gari ndio yalichukua nafasi yake huku nikiwa najilaumu kwa umalaya ambao nilikuwa nimeuanza ghafla na hata sikuwai kutegemea kama ningekuwa hivyo.
"Heeeeeeeeeeeeee weeee mkakaaaaa Mambo hata siamini" Nikiwa katika hali ya mawazo ghafla nikaja kushtuliwa na Maneno ambayo yalimshtua na Mama pia niliyekaa naye kwenye siti moja maneno ya msichana mrembo ambaye nilipomuangalia usoni sikujua mara ya kwanza alikuwa ni nani.kwa hali ya kupenya penya kutokana kulikuwa na watu wengi kwenye gari na wengine waliokuwa wamesimama huku wameshika machuma yakisimamia katika gari yule mwanamke akasogelea karibu kabisa katika siti yetu tuliyokaa mimi na Mama.
"Emheee mambo jamani"yule mwanamke tena akanisalimia na kusababisha mama anigeukie na kuniangalia kwa Macho makali macho kutokana na yeye kunisihi na kutopenda mimi nijihusishe na Mambo ya kimapenzi wakati bado nasoma hali iliyosababisha moyo wangu uanze kudunda kwa uoga
"Ee...maa...ambo poa tu na..n..i mwenzangu"
"jamani wewe kweli msahaulifu mimi yule tuliyegongana pale selena hoteli na nikakupa na Namba yangu" hakika macho yangu hayakutaka kuamini ni kweli alikuwa ni yeye kabisa ni yule mdada aliyetupeleka katika chumba tulioipiwa mimi na rukaiya kwenda kufanya mapenzi.hakika nikiduwaa kabisa huku macho yakinitoka kama panya aliyebanwa na Mlango hali iliyomshangaza sana Mama aliyebaki naye anaishangaa hali ile............
Pia ilishangazwa na Abiria wengine ambao walikuwa wamesimama wengine waliokuwa wamekaa wote wakageuka na kutuangalia jambo ambalo lilizidi kunichanganya na kunigawisha.
"Mimi sikujui dada mbona uelewi??"
"Mmmhhh jamani wewe jana umesahau ulikuja pale selena hoteli ukiwa na yule msichana wa kiarabu mkaagiza chumba na Mimi ndiye niliyewapeleka ukatoka Saa mbili pale usiku tukagongana ukanisaidia kuokota Vitu nilivyodondosha nikakupa na Namba yangu simu jana tu leo hii ushasahau"
Hakika yule mwanamke alizidi kupasua jipu ambalo kwa hakika sikulitegemea kwa wakati kama ule ambao mama alikuwa kwanza hasira zimeshampanda pili alikuwa tayari kashaanza kuhema juujuu huku akinitizama kwa Macho makali ambayo yalinitisha hata kutothubutu kumuangalia.Kurudi kwangu usiku na kumdanganya Mama uongo na yale Maneno aliyokuwa Ameyasema yule dada kama yalionekana kama kumuingia Mama na kuamini kama yule dada anasema ukweli na kuzidi kunitia wasiwasi ambao Mwanaume nilijikakamua kujitetea.
"Weee dada Naona una matatizo ya Akili wewe mimi jana selena hoteli kwanza hoteli yenyewe sijuii na Kama umeniona Pale reception nilikuwa nimeandika jina gani eee"
"Yule mwenzako yule mwanamke anaitwa rukaiya" hali yangu ikaanza kubadilika ghafla baada ya kutaja jina la rukaiya Nikajikuta nikisema Mungu wangu kimoyomoyo nikiwa siamini kabisa kwamba siri yangu ilikuwa ikienda kuvurugika na kujulikana.
"wewe vipi huyo rukaiya ndio nani halafu nyamaza huoni Aibu unaongea wewe tu kwenye gar........."
"Nyamaazaaaaaaaa wewe Dada endeleeaa"katika hali ya kushangaza na Mama akaingilia kumtetea yule dada aendelee kuongea kidume nikanywea kwa utulivu na kunyamaza huku nikimuangalia yule dada kwa ishara ya kumkazia Macho kisha nikamkonyeza na kusababisha yeye pia kunisoma Aina flani hivi.
"Aaaaaaa ila kweli kama nimekufananisha vile maana hapa nakuangalia vizuri ndio nakuja kugundua" Maneno mapya aliyoyaongea yule dada ndani ya mulemule kwenye gari yalisababisha watu wengi waanze kucheka sasa huku mama naye akisikitika flani kutokana na jinsi alivyokuwa anaongea huku akiwa na umakini.Hawakujua kuwa Mwanaume nilikuwa nishampa Alama ya kumkonyeza iliyosababisha Anyamaze.Mwendo kasi wa gari lile likatufikisha Mahala usiku ambapo tulitakiwa tushuke ili tupande lingine lakini tukiwa katika purukushani za kushuka shuka na kutokana na Msangamano wa watu nikafanikiwa kukutani na yule dada naye akigombania kushuka na Aliponiona mimi pia nashuka huku Nikimtanguliza Mama mbele haraka haraka akiingiza mkono wake kwenye pochi na kutoa kikaratasi na kunipa bila ya watu wengine ndani ya gari kuona na Mwanaume nikakipokea na nilipoangalia ilikuwa ni Namba yake ya simu.
"Usijali nitakupiga" Nilimwambia nitampigia kabla hata yeye ajaniambia chochote na Nikapotezana naye baada ya Mimi kushuka na Mama kwenye gari na kupanda gari lingine haraka la kuelekea nyumbani.Hatukaa sana kwenye gari kutokana na kutokuwa na umbali mrefu tukafika nyumbani Jioni jioni na nilipoingia tu Mwanaume moja kwa moja nikakimbilia chumbani kwangu na kwenda Mpaka katika simu yangu niliyoizimia na kuiacha chaji na kwenda kuichukua kisha nikajibwaga kitandani na kuiwasha simu hiyo.Baada ta kuiwasha tu Nilikaribishwa na Messeji kibao ambazo kwa taratibu nikaanza kuzisoma kwa utulivu.Messeji zilikuwa nyingi zilizotumwa na rukaiya na zureiya huku kila mtu akiwa analalamika yake na pia ilitumwa nyingine ya yule dada wa akina rebecca tuse ambayo pia ilikuwa ni ya kimapenzi niliyoipotezea.
Niliangalia salio langu na kukuta lipo na bila ya kuremba nikachukua namba ya yule dada wa selena hoteli na kumpigia.
"Haloow nani mwenzangu"
"Pablo hapa nambie"
"Mmmh pablo yupi"
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni