MAPENZI NA NGONO (15)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA KUMI NA TANO
ILIPOISHIA...
Niliangalia salio langu na kukuta lipo na bila ya kuremba nikachukua namba ya yule dada wa selena hoteli na kumpigia.
"Haloow nani mwenzangu"
"Pablo hapa nambie"
"Mmmh pablo yupi"
TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
"Uliyegongana naye selena hoteli na kukusaidia kuokota vitu vyako ulivyodondosha na uliyekutana naye kwenye gari ukataka kutoboa siri mbele ya mama yake"
"Ooooh jamani am sorry baby wangu sikujua my love mahabuba wangu"
"Hahahaha nishakuwa my love tena??"
"Aiaaa jamani tangia siku ya kwanza nilipokuona sio siri nilivutiwa sana na wewe moyo wangu ukikuona ulikuwa una dunda wee uoni kirahisi tu mtoto wa kike nishatoa Namba yangu"
"Hahaha naelewa ni kweli lakini acha me nilale tutaongea vizuri usiku mwema nimechoka."
"Haya usiku mwema i love you"
Nilikata simu huku nikiwa nastaajabu kubwa kutokana bado nilikuwa siamini Amini kwa jinsi nyota yangu kwa wasichana ilikuwa inang'aaa hakika pepo la umalaya lilikuwa lishanivaa.Nikiwa tena katika mawazo mazito simu yangu ikaita na nilipoangalia tena jina Alikuwa ni msichana ambaye ndiye niliyekuwa nampenda sana zureiya msichana ambaye siku kadhaa za nyuma niligombana naye.
"Hivi kwanini unanifanyia hivi pablo,Nakupigia simu simu haipatikani,Nakutumia sms haujibu jamani au bado haujanisamehe mpenzi wangu naomba unisamehe unaniweka roho juujuu mpaka chakula nakiona kichungu kigumu hata sikitamani,honey nambie basi pablo wangu" Yalikuwa ni maneno ya zureiya akinilalamikia mimi na kuanza kunichoma moyo wangu na kujikuta nikianza kumuonea huruma zureiya msichana ambaye sio siri alikuwa yupo moyoni mwangu.
"Haina haja mtoto mzuri kama wewe kunung'unika kwa sababu yangu wewe ni mrembo mzuri kuwahi kutokea mimi mbona Nilishakusemehe Sema hapa siku mbili hizi nilikuwa busy tu so kama nimekukwanza hapo nisamehe"
"Usijali Mpenzi wangu nimekumiss sana,na nilikuwa nakuomba najua mitihani yako inakaribia lakini nilikuwa naomba tuonane"
"Sawa honey sasa tutaonana wapi zureiya"
"Kama kawaida wee njoo nyumbani jumamosi ya wiki hii inayoanza jumatatu kesho baby jumamosi baba mama na makaka zetu wanaenda zanzibar nitakuwepo mimi na Dada rukaiya"
"Mhhh haya mpenzi usiku mwema nitakuja usijali"
"Haya love you"
Nilishusha pumzi ndefu sana kutokana na mtihani mgumu unaofuata wa kwenda nyumbani kwa akina zureiya huku dada yake nilifanya naye mapenzi pia akiwepo huku onyo lake la kutaka niachane kabisa na Mdogo wake na kuwa na yeye kunirudia rudia katika kichwa changu.Nikiwa bado nafikiria nini tena cha kufanya mlio wa kuingia messeji ukasikika
na Nilipoangalia messeji ile ilionesha jina la rukaiya nikajikuta nikishtuka na Moyo kuanza kunienda mbio na Haraka haraka nikaifungua.
"Nakusikia sana unavyoongea na Mdogo wangu wakati nilishakukataza Sasa basi hiyo jumamosi nataka uwe ujikaze kulekule serena hoteli na usije huku nyumbani umenisikia Hilo sio Ombi hiyo ni Amri na leo iwe mwanzo na Mwisho kuongea na mdogo wangu la sivyo utaangukia Pabaya"........
Siku zilianza kuyoyoma kidogo kidogo na Mwanaume kama kawaida nikaendelea na shule ambayo muda ulikuwa ushaisha na mtihani wa mwisho wa kidato cha nne ndio ulikuwa unakaribia kulindima na wiki hiyo ndio ilikuwa ya mwisho kujisomea huku jumamosi nikiwa na miadi na zureiya ambaye dada yake aliingilia kati na Jumanne itakayofuatia ndio mtihani kutokana na jumatatu kuwa na sikukuu.Mawazo yaliendelea kuniandama hasahasa na muda mwingine kutamani kabisa kughairi kwenda kukutana hata na mmoja wapo kati ya rukaiya na zureiya lakini nilijikuta nikijishangaa mwenyewe na kushindana na nguvu mbili tofauti ambayo moja ilinishauri nisiende ili nibaki nyumbani kujisome kujiandaa na Mtihani lakini nguvu nyingine iliniambia niende kutimiza wajibu wangu wa kwenda kuwashughulikia mmoja kati ya wale wasichana Ambao sio siri walinisababishia niwe na Pepo kubwa la Kufanya umalaya ambao ulikuwa ukinipotezea tu muda bila ya kuniingizia kitu chenye faida.
Hakika hata simu yangu niliona chungu Kuanzia jumatatu nilikuja kushika simu jumatano na kukutana na Messeji nyingine za vitisho kutoka kwa dada wa kazi wa akina rebecca tuse ambaye alikuwa akinilalamikia nimedanganya na kwanini nilikuwa nakaa kimya na akipiga simu yangu ilikuwa haipatikani huku akinisisitizia na Kuniambia kwamba atavunja ahadi yetu kwa kunisemea kwa Mama yake rebecca kitendo tulichokifanya mimi na rebecca jambo ambalo sikujua ujasiri niliutolea wapi niliipotezea bila ya kuwa na uoga wowote na kuizima tena simu yangu na kupotezea messeji zingine za Rukaiya,zureiya na yule mdada anayefanya kazi selena hoteli aitwaye Angel.
Mungu si Athumani Ijumaa ikafika na ilikuwa ni siku ya mwisho kujisomea shuleni kutokana na wiki iliyofuatia ni ilikuwa ya Mitihani nakumbuka siku hiyo ilikuwa ni siku ambayo Ndio tulibandikia namba zetu za mitihani katika vyumba vyetu vya mitihani na ilikuwa ni siku ambayo watu wengi walikuwa wakibadilishana Namba za simu kwa lengo la kuwasiliana na kupeana habari kama labda kutakuwa na Mitihani iliyovuja wapeana taharifa kutokana na shule yetu kuwa ya ghorofa mbili walimu walitupa vyumba vya kujisomea siku hiyo ya mwisho vyumba vya ghorofa ya juu ambavyo vilikuwa havitumiki kwa mitihani.
Mimi siku hiyo nilikuwa na rafiki yangu samson huko huko juu ya ghorofa katika moja ya vyumba ambapo tulikuwa wawili tu mimi na yeye tukijisomea.Ghafla halima msichana ambaye alikuwa rafiki yangu kipenzi ambaye pia ndio alinitengenezea Mazingira mazuri ya kumpata zureiya na mimi kufanikiwa kuwa demu wangu akaingia ndani ya Darasa letu lile akiwa na shauku kubwa.
"Pablo eeee nakuomba mara moja" yalikuwa maneno ya Halima ambaye uzuri wake ulimsumbua sana rafiki yangu niliyekuwepo naye pale samson ambaye nilijaribu kumtengenezea nafasi lakini nilishindwa.
"Poaa"
"Njoo huku nje basi"Halima aliongezea nakutoka tena nje nakuniacha mimi nikijiandaa kwenda kumsikiliza jambo ambalo lilionekana Kumpa shauku kubwa rafiki yangu samson.
"Oya pablo basi mgusie tena Au ushatengeza ile inshu imetiki niambie basi"
Samson aliniambia vile huku akiwa na shauku nakusababisha niachie tabasamu na kucheka kidogo kisha haraka haraka nikatoka nje kwenda kumsikiliza Halima ambaye baada ya kuniona hakuniambia chochote zaidi ya kuniambia nimfuate sikuwa na sababu yoyoye ya kukataa kwa sababu halima ni mshikaji wangu na Moja kwa moja tukaanza kuongozana huku nikiwa sielewi tunaenda wapi.Safari yetu ikagota katika vyoo ambavyo vilikuwa havijamaliziwa kujengwa na katika hali ya mshangao halima akaingia na Niliposita kuingia bila ya kutegemea Halima akanivuta mkono wote tukazama wote ndani na Halima akafunga Mlango.
"Mmmh halima vep....." kabla hata sijamaliza kuongea halima akanivamia na kunishika kichwa changu kwa nguvu na moja kwa moja akapeleka mdomo wake katika papi za mdomo wangu nakuanza kuninyonya denda ambalo licha ya kutaka kujitahidi kujizuia utamu ukazidi nguvu nakujikuta na Mimi nampa ushirikiano wa nguvu wa kunyonyana denda na kujikuta nikivuka mpaka kwa kumshika kiuno chake na kumbinua na kusababisha halima atoe miguno ya mahaba iliyonichanganya.
Tulinyonyana denda kwa muda na bila ya aibu halima akaanza kunipapasa kifuani kwangu na kuthubutu kabisa kuanza kunifungua vifungo vya shati yangu ya shule niliyovaa kisha akashuka mpaka katika koki yangu nakuanza kunipapasa papasa na kuibua misisimko mikali sana hapo ndipo alipopandisha mizuka yangu nakujikuta haraka haraka nikimfungua vifungo vya shati yake nakukutana sidiria iliyobeba manido mazuri makubwa makubwa ambayo yalinitamanisha na kunipa hamasa ambayo ilinipelekea nishushe sidiria ile nakuanza kuyanyonya taratibu huku nikibinya binya chuchu zake kubwa kubwa zilizomfanya halima aanze kujinyonga nyonga na yeye halima akafungua zipu ya suruali yangu nakutoa karoti yangu bila kutegemea nakuanza kuichua chua na kujikuta na Mimi nikianza kutoa miguno hafifu ya kupata mzuka wa raha.
"Weeeeeee Acha utafumwaaa utafumwa acha acha!!"Nikiwa katika hali ya kutaka kuingia katika sayari nyingine ghafla nikasikia sauti ambayo niliisikia kwa mbali ikipita katika masikio yangu nakujikuta nikipata nguvu za ghafla nakumsikimiza halima ambaye alishaanza kulegea huku akiwa anarembua rembua Macho kama mtu mwenye usingizi mzito.
"Aiii jamani pablo vipi"
"Hapana sitaki"Nilimjibu halima huku nikifunga vifungo vya shati yangu na kumalizia na kuirudisha koki yangu na kufunga vipu huku nikimuangalia halima kwa kumkazia macho.
"Pablo jamani tufanye kidogo me nakupenda"
"Heee halima vipi umechanganyikiwa wewe zureiya si rafiki yako na si ndio wewe umenionganishia sasa iweje uwe tena unanipenda"
"Hamna zureiya Ni malaya sasa nimekuonea huruma halafu ukizingatia mimi nakupenda jamani pablo"
Nilichoka kabisa baada ya kuyasikia maneno ya Malalamiko kutoka kwa Mwanafunzi mwenzangu halima ambaye kwa muda wa miaka mitatu na kuingia minne alikuwa ni rafiki yangu ambaye kwa kipindi chote hakuonyesha hali yoyote ya Mapenzi kwangu.Niliendelea kumuangalia kwa makini huku nikiwa siamini amini kwamba ndio yeye ndiye aliyefanya vile tena chooni na bila ya kutegemea nikamuona anaanza kudondosha michirizi ya machozi katika mashavu yake jambo ambalo sikupendelea kutokea Hasa kwake msichana ambaye hapo awali aliniambia kuwa yeye apendi masuala ya mapenzi.Nilimsogelea na kumkombatia kisha nikamsika mabega yake na kumfuta na machozi yake yaliyokuwa yanatiririka.
"Sikia halima Mimi siwezi kuwa na wewe mimi na wewe ni marafiki na wewe ndio ulinionganishia kwa Rafiki yako rukaiya jamani Mwanaume anayekufaa ni Samson mimi Malaya tu"
"haaa mi sitaki nakupenda jamani naomba unikubalie pablo"
"Haya Usijali hata mimi nakupenda sana Muda umekwisha tuondoke tutaongea vizuri kwenye simu wangu" Nilimjibu halima huku nikiwa nimemdanganya kuwa nampenda kumbe nilikuwa simuhitaji nilimjibu ili tusikae sana chooni tusije tukafumwa tena chooni na Kuwa na Msala mkubwa na pia ili Nisimpe mawazo kwa sababu atakuja kufanya mitihani yake vibaya kwa sababu yangu.
Baada ya kumaliza kuvaa na yeye nikamshika mkono na kutoka naye nje. Haaaamadi ile natoka tu nikakutana uso kwa uso na Rafiki yangu samson ambaye alikuwa katika sura ya hasira kali akiwa ananiangalia mimi kwa shauku nakujikuta nikisita kunyanyua mguu na kubaki nikiganda bado tena nikiwa nimemshika mkono halima ambaye naye kumuona samson kwake kulimfanya naye ashtuke flani na hata kusita kutembea naye akaganda kumuangalia samson.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni