MAPENZI NA NGONO (18)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA KUMI NA NANE
ILIPOISHIA...
‘’PAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!????’’……
‘’Maaaaamaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!’’ ukulele wa nguvu ukasikika pale barabarani yakiambatana na mlio mkubwa wa gari ambayo iliyokuwa imefunga breki.
TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
Macho yangu yakanitoka roho ikaanza kudunda hakika macho yangu hayakutaka kabisa kushuhudia kile nilichokiona.maneno ya malalamika yakamtoka Halima baada ya kugongwa na gari ambalo baada ya kumgonga halikuondoka lakini kugongwa huko kulisababisha Halima arushwe mbali sana na alipotua alibaki kimya palepale damu zikaanza kusambaa barabarani.akili ikaniruka haraka na mimi bila ya kuchelewa nikajikuta nikikimbilia na mimi barabarani pale alipogongwa Halima ambapo na watu nao walikuwa tayari washajikusanya wakimsaidia Halima ambaye alikuwa hajitambua damu zikiendelea kumvuja kichwani.kelele zikaanza kushamiri na kila mtu akaanza kuongea lake.‘’Nani anayemjuaa huyuuu??’’ mara nikasikia sauti ya mmoja akisema vile na bila ya kuchelewa nikaitikia na kupenya kwa watu ambao walinipisha baada ya kunisikia mimi namjua.
‘’weee nani yake.’’
‘’eeeeee mimi ni mwanafunzi wenzake’’
‘’anhaaa basi panda gari twende hospitali haraka halafu tutajua cha kufanya.’’ilikuwa ni sauti ya dereva ambaye alikuwa na wasiwasi huku naye akiwa analowa jasho akiwa na wasiwasi wa kuua.haraka haraka katika lile lile gari tukapanda mimi na mwananchi mmoja ambaye alikuwa kipaumbele kumpakiza Halima katika lile gari haraka haraka tukapanda lile gari na kukaa siti ya nyuma tukiwa tumempakata Halima aliyekuwa hajitambui.
Mwanaume nikajikuta nikianza kutoa machozi huku nikiwa nimemshikilia Halima maeneno ya miguuni na mwingine akimshika maeneo ya maeneo ya kichwani ambapo alikuwa anavuja damu nyingi zilizokuwa zinaendelea kumtoka na kuchuruzika ndani ya mule mule katika gari.haikuchukua hata muda mwini tukafika hospitali na kupokelewa na madaktari ambapo walimchukua Halima haraka haraka na kuingia naye katika chumba maalumu na kutuacha tukiwa bado tupo nje ya chumba alichoingizwa Halima.ghafla tukiwa bado katika kusuburia nikajikuta nikitumbua macho yangu baada ya kushuhudia ugeni mkubwa ukiiingia hapo ugeni uliokusanya mama yake Halima akiwepo rukaiya,zureiya ambao wote walikuwepo na kusababisha mwanaume niinamie chini huku wasiwasi ukiniingia sana na hadi kujikuta nikitetemeka kama mtu aliyemwagia na maji ya baridi huku akiwa amevaa nguo tena ikiwa asubuhi.
‘’Uwiiiiiiii jamani mwanangu yupo wapiiiiii amekufaaa au yupo wapiiii uwiiii mwanangu wa pekeee mimiii’’maneno yakamtoka mama Halima baada ya kufika pale tulipokuwepo na kusababisha madaktari waanze kumtuliza na kumuambia atulie kwa kumbembeleza kwa maneno ya kutulia yaliyosababisha nay eye kutulia huku akiendelea kulia chini chini.macho ya zureiya na rukaiya yalikuwa yananitazama huku kila mmoja akiwa ananiangalia mimi kwa kuibia ibia na hata mimi nilikuwa nawaangalia kwa macho ya kuibia na kuwapotexea kiaina kama siwajui vile.tukiwa wote tumetulia ghafla madaktari waliokuwepo katika chumba alichoingizwa Halima wakatoka ghafla na kusababisha sisi wote kunyanyuka na kuwavaa.
‘’Jamani mwanangu anaendeleaje’’mama Halima huku akiwa na jazba nzito akauliza huku machozi yakiendelea kumtiririka na kuzidisha huzuni itawale kwa kila mmoja aliyekuwepo pale.
‘’mama binti yako amepoteza damu nyingi sanaa kichwani kwa hiyo tumemuwekea damu safi na mpaka sasa hali yake ni mbaya na mpaka dakika hii wala hajarudiwa na fahamu zake kilichobakia ni kumuomba mungu na kusali ili Mwenyezimungu aweze kumsaidia ninachopenda kuwambia tu wengine mnaweza mkarudi nyumbani wabaki wana ndugu tu na Yule aliyemgonga abakie hapa’’maneno ya daktari yalisikika vizuri tu katika masikio ya kila mmoja aliyekuwepo pale.sikuwa na budi la kukaa tena taratibu nikanyanyuka zangu nakuanza kutoka na hakuna hata aliyeshangazwa na hali ile.
‘’Paablo nisubiri’’sauti nyororo ya zureiya mwaname niliyekuwa nampenda kweli ikasikika vizri katika masikio yangu sikuwa na budi la kusimama niliendelea kutembea sikutaka kusimama niliona majanga onyo kutoka kwa dada yake lilinipitia kichwani mwangu na hata vitendo alivyonifanyia rukaiya na kupelekea mpaka Halima kugongwa na gari viliendelea kunitesa katika kichwa changu.zureiya akanikaribia na kunisamamisha kwa kunishika macho yake maregevu aliyokuwa ananiangalia macho yaliyokuwa na machozi yal;itosha kabisa kuniregeza huruma ukaniingia nilipomuangalia zureiya na taratibu nikajikuta nikinyanyua mikonono yangu nakuanza kumfuta machozi yaliyokuwa yakimtiririka.
‘’Pabloo umekuaje siku hizi simu zangu haupokei,messeji zangu hauzijibu,tulipanga tuonane lakini nilipokuwa nakupigia simu ulikuwa unakata Pablo nimefanyaje tatizo liko wapi niambie nambie sasa bado haujanisamehe lile kosa nililokufanyia please naomba unisamehe unautesa moyo wangu Pablo.kumbuka nilishakupa penzi langu nakukukabidhi moyo wangu kwanini sasa umeamua kunitesa namna hiii??’’maneno yakamtoka zureiya huku akiwa analia na kuzidi kunitia simanzi ya moyo wangu na kubaki nikimuangalia kwa macho ya huruma sana.
‘’Zureiya sio mahala pake kuzungumza mambo kama haya unajua kabisa umekuja kumuangalia rafiki yako Halima please tutaongea kwenye simu’’
‘’jamani kwenye simu nikikupigia haupokei unakata tutaongea saa ngapi kwa nini unanitesa’’
‘’sikia nisikilize leo nitakupigia tuongee umwenisikia hapa nilipo akili yangu imechoka niache nikapumzike’’
‘’poaa bana Pablo ila naomba unibusu unikumbushie zamani najua kuna watu lakini busu lako litathibitisha kwamba unanipenda please naomba unibusu’’
Nikamsika vizuri uso wake zureiya ambaye baada ya kumsika vile na kusababisha zureiya afumbe macho tayari kabisa nimbus taratibu nikataka nipeleke mdomo wangu kumbusu nikajikuta nikisita na kujikuta nikigeuka nyuma baada ya kuhisi kitu.macho yangu yakagongana na rukaiya dada yake halali wa tumbo moja zureiya ambaye baada ya kukutana naye macho kwa macho akaninyooshea kidole cha onyo kilichopelekea nimuachie zureiya bila ya kumbusu na nilipomuachia rukaiya haraka akaondoka pale na kurudi alipotokea kisha na mimi nikaanza kuondoka na kuendeleaa na safari yangu na kumuacha zureiya katika hali ya mshangao huku akiwa analia baada ya kuona mimi nikimfanyia vile jambo ambalo kwake niliona kabisa lilikuwa linamuuma kutokana na kutotegemea mimi kumfanyia vile.mwanaume nikatoka hospitali huku nikiwa na mawazo mengi kichwani yaliyokuwa yakinisumbua kichwa cha nguvu na kwenda kupanda gari la kuelekea nyumbani ambapo kwa bahati nzuri nikapata gari papohapo ambalo kutokana na kutokuwa na foleni haraka likanifikisha mahala nilipokuwa napataka na haraka nikashuka nakuelekea nyumbani huku nikiwa bado na mawazo ambayo yalisababisha hadi kichwa kizidi kuniuma.
Nikafika nyumbani na kuingia kwa kufungua mlango wa kuingia ndani lakini ghafla bila ya kutegemea ghafla nikakumbatiwa na msichana ambaye sikumjua mpaka nilipomsukumiza na kusababisha nishushe pumzi na kujitahidi kutabasamu baada ya macho yangu kukutana na mwanamke ambaye nilishawai kufanya naye mapenzi kwao na tukafumwa na dada yao wa kazi ambaye naye alikuwa anataka naye penzi alikua si mwingine bali ni Rebecca.
‘’rebecca vipi mambo??”
‘’Poa tu mzima mpenzi nimekuja baby kuja kukuona pia nije nikuambie pia nina mimba yako.’’
‘’heeeeeee mimba???”………
Nikajikuta nikitumbua macho kwa mshangao na hofu kubwa baada ya kusikia maneno ya Rebecca akisema eti ana mimba yangu.majasho yakaanza kunichuruzika taratibu nikajisogeza mpaka katika kochi na kukaa chini na kutulia kidogo.
‘’rebecca sijakuelewa unasema una nini??’’
‘’jamani Pablo hujanielewa nimekuambia nina mimba yako’’
‘’wewe unaumwa nini hiyo mimba yangu yako.??’’
‘’heee jamani Pablo si wewe ndio umenipa kwa leo hii ushasahau kama mimi na wewe tulifanya mapenzi nyumbani kwetu??’’
‘’sasa ndio mara moja tu uwe na mimba hii mimba sio yangu kwanza mimi bado sina uwezo wa kukupa mimba mimi bado mtoto’’
Nikajikuta nikisema vile na kusababisha kuzidi kumshangaza Rebecca ambaye akanisogelea karibu lakini aliponifikia mimi nikahamia pembeni kwa hasira ya hali ya juu.
‘’pablo jamani hii mimba ni yako baby.’’
‘’sasa utapataje mimba na sisi tulifanya mapenzi kwa siku moja tu yaani na hata hatukumaliza raundi nyie wanawake wahuni saana mimi naona hiyo mimba sio yangu’’nikajikuta nikilalama na kusababisha Rebecca aanze kulia baada ya mimi kumuambia maneno yale.
‘’sasa Pablo hii mimba mimi nikaitoe.’’rebecca akaniambia huku mikono yake akishika tumbo yake na kuniangalia mimi huku akidondosha machozi yalionisababisha nianze kumuone huruma.
Nikajikuta nikinyanyuka na kumsogelea karibu kisha nikamfuta yale machozi yake yaliyokuwa yakimbubujika kwa wingi.
‘’sikia Rebecca nikuambie usiitoe mimba ni dhambi kwa mungu ujue.’’nilimuambia Rebecca kwa unyonge lakini nikashangaa kumuona ana tabasamu kwa furaha jambo ambalo lilianza kunishangaza na kubaki nikimuangalia.
‘’hahahhaa kumbe unanipenda eeee sina mimba bana baby’’nikajikuta nikishusha pumzi baada ya kusikia rebbeca akaniambia kuwa hana mimba nikajikuta na mimi nikicheka na kumuangalia Rebecca ambaye naye alikuwa kashabadilisha macho sasa alikuwa akiniangalia kwa macho ya kimahaba akiniangalia kwa macho ya mtu anayehitaji kitu Fulani.
‘’baby mama yangu na mama yako wametoka nilikuja hapa na mama wameenda kwenye biashara zao baby naomba tuitumie hii nafasi adimu ya kipekee mimi na wewe tufanye yetu.’’kabla hata sijaanza kutaka kumjibu Rebecca akanivamia kwa pupa na mdomo wake akapeleka katika papi za mdomo wangu na mimi sikuwa na budi ya kuukataa nikaupokea taratibu nakuanza kunyonyana naye denda haraka haraka huku mikono yangu ikaanza kumpapasa papasa sehemu nyeti tofauti zilizoanza kumpagawisha taratibu Rebecca ambaye naye akaanza kuhema kwa kasi ya ajabu.
Kama kawaida yake presha ilipoongezeka akanivua t-shirt yangu niliyovaa kimahaba huku mimi nikiwa nampapasa katika mapaja yake meupe yasiyokuwa hata na mchubuko huku mkono wangu mwingine ukiwa unatalii katika kifua chake kilichobeba nido nzuri sana za kuvutia na kusababisha nizide kupagawa na kumpagawisha Rebecca ambaye tayari alionekana kulainika na mimi nilishaanza kukolea.
Ghafla tukiwa katika presha milio ya hatua za viatu vikasikika haraka haraka nikajikuta nikimsukumiza Rebecca na mimi nikachukua shati yangu haraka na kuvaa ile namaliza kuvaa tu macho yangu yakatua kwa mama Rebecca na mama yangu ambao wote walishangazwa kidogo na jinsi hali ilivyokuwa na kuwa na shauku ya kutaka kujua kumetokea nini.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni