SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
ILIPOISHIA...
Rukaiya akajibu na kusababisha Yule mzee atoe macho na sii yeye peke hata Yule mama naye alitoa macho kwa mshangao zureiya aliyekuwa amelala kwenye kochi huku machozi yakimtoka akanyanyuka haraka na kutoa macho alionekana kuto amini nakubaki akishangaa na kuniangalia mimi ambaye sikuwa na la kuongea niliinamia chini.TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
‘’Baaaaaa,maaaa nisamehenii zuu mdogo wangu nisamehe pia pabloo hana makosa kwa sababu mimi ndio nilimlazimisha afanye hivyo kwa kumtisha kwamba nitamsemeaa kwa baba kama anatembea na zureiya baaa naomba msamaha wako kwa sababu sikujua nilitendalo na hata huyu Pablo ni Malaya kwa sababu ndio amesababisha nipigane kwa kumgombania yeye na mwanamke mwingine ambaye alikuwa ana mahusiano naye na…..’’
Kabla hata hajamaliza kuongea zureiya akanyanyuka na kumvaa rukaiya nakuanza kumshishia makonde mazito hali ambayo sikuitegemea.purukushani zikaanza baba na mama wa akina zureiya na rukaiya wote wakajikuta wakiingia kugombelezea ambapo baada ya Yule mzee kumtoa zureiya akamkandamiza ngumi kali ya shingo zureiya na kusababisha zureiya azimie hapo hapo.
‘’Baabaaaaa zuuu umeua umeuaaa mwanangu zuuuu amkaaa mamaaa yangu amka.’’mama zureiya akanyanyuka baada ya kumuona zureiya amezima na kuanza kumtingisha akifuatiwa na rukaiya ambaye naye akaanza kumtingisha zureiya ambaye alikuwa kimya macho kayafumba.mwanaume kila nilipotaka na mimi kuamka miguu yote iliisha ganzi nikabaki nikiangalia tu huku machozi yakiendelea kushamiri.
‘’Mdogo wanguuu amkaaaaa’’
Rukaiya naye aliendelea kumtingisha rukaiya kwa nguvu lakini wapi. Ghafla milio miwili ya mkia wa taa ikasikika na kutua katika migongo ya rukaiya na mama yake ambao kila mtu akaruka pembeni na kuanza kuugulia maumivu kwa kutoa mayowe kama wamefiwa vile.
‘’Rasheed hebu muangalie huyu mzima au kashakufa’’
Yule mzee akamwambia rasheed ambaye yeye alikuwa akisubiri oda tu kutoka kwa mzee Yule ndio afanye akamsogelea karibu zureiya kisha akainama chini na kupeleka masikio yake katika mapigo ya moyo ya zureiya.
‘’mzee mzima sema mapigo yake ya moyo yapo mbali sana anatakiwa apate hewa.’’
‘’safii msogeze pale kisha muashie feni atazinduka tu.’’yule mzee akamwambia rasheed ambaye haraka akatii akambeba zureiya aliyekuwa ajitambui nakumpeleka sehemu aliyomuambia kisha akawasha feni na kurudi palepale alipokuwa mwanzo.
‘’Hayaa nyie nendeni vyumbani kwenu haraka.’’yule mzee akawambia rukaiya na Yule mama ambao hawakuwa na la kutia neno wote wakatoka pale kwa kukimbia lakini akawiita tena na haraka wakarudi.
‘’hebu mchukueni zureiya mkampepe muakikishe anapata upepo washeni feni na fungueni madirisha huku mkimpepea.’’mzee akawaambia rukaiya na mama yake ambao haraka wakamsogelea zureiya na kumbeba kisha wakaondoka naye hapo sebuleni na kutuacha mimi.yule mzee ambaye ndio baba halali wa rukaiya na zureiya na rasheed ambaye alinikamata mkono palmbeach huku akiniangalia kwa macho makali.
‘’Pabloooo,pabloooo,pabloooo eti pablooo hahahahaa una jina zuri sana mrembo na leo umeingia ndani ya nyumba safi nitakupa mahaba kama ulivyowapa wanangu na kuwatia mimba basi na mimi nitahakikisha na wewe nakupa mimba nikishirikiana na rasheed hapa hebu ngojea.’’mzee Yule akaniambia vile kisha akazama mfukoni na kutoa simu ambayo akabonyeza namba Fulani kwa tabasamu.
‘’Haloooo…….kijana wangu hebu njoo hapa na wale wenzako wawili ndani ya dakika muwe mshafika.’’niliyasikia maneno ya Yule mzee kisha akaomba aletewe maji ya baridi na rasheed ambaye haraka akaenda mpaka kwenye fridje na kurudi na maji ya baridi ambayo alipompa Yule mzee aliyashindilia kama mtu anayegombana.baada ya kumaliza kunywa akanisogelea karibu kabisa.
‘’nambie mrembo eee umeumbika wewe mashaallah.’’
Nikajikuta nikiongeza kilio cha kulia baada ya Yule mzee kunitusi hakika nilikuwa nasikiaga tu kwamba kuna baadhi ya waarabu wanatabia mbaya nilijua uongo lakini hali aliyokuwa akinionyesha ilinitisha kwa sababu alikuwa ananishika shika usoni na kwenye mashavu yangu na kudirika kabisa kushuka kwenye kifua changu nakuanza kunishika eti kwenye vimaziwa vyangu vidogo nakusababisha nizidishe kabisa kuangua kilio.
‘’Wee shoga unalia nini kwa nini unalia kumbe unijui subiri nikuonyeshe.’’yule mzee akaniambia vile na bila ya kutegemea akaanza kunishambulia kwa kunipa ngumi mfululizo za pua za kichwa na kusababisha nianze kuugulia kwa kupiga makelele.
‘’rasheed njoo umkamate mikono huyu bwege.’’ yule mzee akamwambia rasheed ambaye haraka akanisogelea nakunishika mikono yangu vizuri na kumuacha Yule mzee akinishindilia mangumi yasiyokuwa na idadi na akaona haitoshi akachukua na kile kisu nakuanza kunichoma choma visu vya mgongo na baada ya kuridhika akachukua bunduki na kunipiga na kitako cha bunduki hadi nikazimia.
Nikaja kushtuka nikiwa{uchi]mtupu kabisa kama mnyama nikiwa nimefungwa kama yesu vile lakini katika mtindo tofauti nilikuwa nimeguzwa nyuma huku mikono yangu ikiwa imefungwa katika mabomba flani ya chuma ambacho bomba la kulia ulifungwa mkono wa kulia na bomba la kushoto ulifungwa mkono wa kushoto.nilikuwa nimefungwa ndani ya chumba ambacho kilikuwa hakina kitu chochote zaidi ya mimi na yale mabomba.
Ni mwanga wa taa tu ndio uliniwezesha kufahamu nilipo na kuanza kuangaza macho katika chumba hicho ambacho kwa wakati huo sikuwa najua nimefikaje fikaje nikabaki naangaza angaza macho tu lakini nilipoangalia chini nikaona damu nyingi zimetapakaa hadi kunifikia miguuni mwangu.ghafla nikiwa nashangaa kumbukumbu zikarudi na kukumbuka kuwa mara mwisho nilipigwa na kitako cha bunduki na baba yake rukaiya na zureiya.
Lakini kukumbuka huku kulianza kunipa tabu nyingine nikajikuta nikianza kusikia maumivu makali sana katika makalio yangu na hata nilipoangalia vizuri kutokana na kuwa mtupu pale niliona damu zilikuwa zikitoka huko nyuma na kusababisha nianze kupiga kelele kubwa baada ya kugundua kuwa baba yake rukaiya labda na wenzake walikuwa wameniingilia kinyume na maumbile.
Nikajikuta nikiangusha kilio cha nguvu baada ya kugundua hilo na hata damu hazikutoka nyuma hata usoni zilikuwa zikimiminika kutokana na kupigwa mangumi na baba yake rukaiya na hata nilihisi maumivu makali mgongoni hii ilitokana na kuchomwa visu na mzee Yule Yule.
‘’mpooooooo wapiiiii nyieeeeee mnasubiri niniiiiiiiiii niuweni tu.’’
Nilijikuta nikilalamika kwa kilio cha nguvu,huku nikiwa natetemeka kwa hasira kali.nilimkumbuka mama yangu hapo na hata sikujua ilikuwa ni saa ngapi muda huo kwa sababu nilitoka nyumbani Asubuhi na kumuaga nitarudi mapema hapo ndipo nilipokumbuka wosia wake kuwa Pablo wasichana wapo usikimbilie utafika muda muafaka.niliendelea kuyakumbuka maneno mengi ya mama ambaye sikujua kwa muda huo alikuwa na hali gani kwa kutoonekana kwangu.nikiwa katika kulia huku nikipiga makelele ghafla lango kubwa likafunguliwa na nikajikuta nikigeuza shingo kuangalia ni nani aliyefungua mlango nikaona sura ngeni kabisa ambaye naye alikuwa ni muarabu pia.baada ya kufungua mlango akaanza kuniangalia kwa kusikitika na kujikuta akidondosha chozi ambalo kwangu mimi lilinitia hasira.
‘’Niuuuuuuue sasa niuee unasubiri nini.’’nilijikuta niking’aka kwa kukata tamaa huku nikipiga kelele nyingi na kufanya mishipa yangu kuonekana Yule jamaa muarabu akanisogelea.
‘’kijaana hauna sababu yakukata tamaa kwa sababu nipo kwa ajili ya kukusaidia wewe kurudi nyumbani ambapo unatakiwa uondoke kabisas usionekane’’yule jamaa akaniambia vile kisha akazama mfukoni nakutoka na kisu kisha akasogea upande wa kulia niliofungwa nakukata kisha akahamia upande mwingine wa kushoto na kukataa na kusababisha nidondoke.
Hakika sikuweza kunyanyuka na kutembea miguu ilikataa kutokana na maumivu ya sehemu ya nyuma katika makalio.kwa huruma ya Yule jamaa akanisaidia na kwa huruma yake akanibeba na kutoka na mimi nje huku akikwepa kiufundi kabisa walinzi wengine waliokuwa wakinilinda nisitoroke au labda nisitoroshwe na mtu yoyote.baada ya kufanikiwa kutoka katika kile chumba na lile jumba ambalo nilikuwa nimepelekwa tukafikia katika gari ambalo mimi nilikuwa bado nipo vile mtupu na mida hiyo ilikuwa ni usiku mnene Yule jamaa akaniingiza katika gari kisha akaanza kuliendesha kwa kasi ya ajabu.
‘’Kijana nimekusaidia kwa sababu unahitaji msaada.msaada wangu huu najua utanigharimu maisha yangu lakini sitojali nimeamua kukusaidia wewe kwa sababu unaonekana bado kijana mdogo walichokufanyia wale ni mazito kwa sababu wamekuingia kinyume na maumbile na tena walikuwa wanataka wakirudi wakukate na sehemu ya siri kisha wakuue mimi nakusaidia kwa sababu sina muda mrefu wa kuishi wazazi wangu wote wamekufa kama ukimwi na hata mimi nakufa kwa ugonjwa huo.’’yalikuwa ni maneno ya Yule jamaa akaniambia huku akilia na kuniangalia mimi kiuruma lakini maneno mengine sikuyasikia baada ya usingizi mzito kutandaa
BAADA YA MWAKA KUPITA
Milio ya sauti za ndege warukao kwenye miti na upepo mwanana uliokuwa ukivuma nakusababisha mtikisiko wa majani vilitosha kabisa kunipa nguvu kubwa ya kuendelea kulima na kutojali majasho mengi yaliokuwa yakinitoka kutokana na kulima kwa umbali mrefu.yalikuwa ni maisha yangu mapya ambayo Mungu alinipangia tena kuishi na nilikuwa nikiishi na babu yangu mzaa mama yangu ambaye naye alitangulia mbele za haki na kumfuata baba ambaye alianza yeye kutangulia awali.
Kifo cha mama kilikuwa kimesababisha na mimi licha ya muumba kupanga kwa sababu kifo chake kilisababisha na kupatwa na mshtuko baada ya kunikuta hospitali nikiwa hoi na mimi kumwambia mkasa mzima hadi kuingiliwa kinyume cha maumbile ndio kulisababisha na kuzua mshtuko mkubwa kwa mama ambaye alikufa hapohapo.nilichukulia na babu na hata nilipotafuta matokeo yangu ya kidato cha nne nilifeli hii ilitokana na mimi kujiingiza na Maswala ya wasichana kipindi cha mwisho kabisa nilipoingia tu kidato cha nne.
Hakika maisha yangu yalikuwa ni ya upweke licha ya kuwa na babu ambaye alikuwa akinipa faraja sana.hakika mkasa ulionipata sitaweza kusahau na mengine nilibaki na vitendawili tu kichwani kwangu kwamba je rukaiya na zuraiya ambao wote ni mtu na dada yake je walijifungua au walitoaa mimba nilizowapa.hakika maisha ni kama kitendawili kwa sababu yanabadilika wakati wowote.
MWISHO
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho