Notifications
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…

MAPENZI NA NGONO (3)

Mwandishi: Pablo

SEHEMU YA TATU
ILIPOISHIA...
"hmmm pablo unanichekesha sana jamani sasa hivyo mkarimu sijui mstaarabu umevijuaje wakati haunijui kiundani??"
"Aaa yani siku ya kwanza tu nilipokuona niliviona katika ndani ya moyo wangu kupitia macho makali yenye kuchuja kizuri na kibaya hebu nakuomba nijibu unanipenda au unipendi zureiya au nikupe muda??"

TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE

SASA ENDELEA...
"muda unataka unipe muda muda gani sasa wakati muda wenyewe ndio huu.sikiliza pablo mimi sikupendi na wala hunivutii hata kidogo yani siwezi kutembea na mwanaume kama wewe nashangaa mtoto wa kiume unavyojisumbua kunitumia messeji zako yani unanikera ndio maana nikamwambia halima akuite ili nikupe vidonge vyako yanii nakuchukia SIKUPENDIIIIIIII."Maneno yale yaliingia moja kwa moja katika moyo wangu na kunifanya niachie tabasamu lenye machungu huku machozi yakianza kunilenga lengaa........

Moyo wangu haukusita kuniuma kutokana na maneno yale ya zureiya huku nikijitahidi kuyazuia machozi yaliokua yanachuruzika katika mashavu yangu jambo ambalo sikutaka kabisa kutokea lakini nilishindwa kuyazuia machozi hayo.nilimuangalia zureiya kwa macho ya huruma na kusababisha yeye angalie pembeni baada ya mimi kuwa namuangalia.licha ya kukataliwa lilikuwa si jambo geni kwangu lakini kukataliwa na zureiya kuliniumiza sana moyo huku rekodi yangu ya kukataliwa ikifikia kumi na moja ya kwamba nishatongoza wasichana kumi na moja lakini wote waliishia kunipa majibu yale yale.

"Hivi kwa nini mimi kila siku nakataliwa??,au mbaya daa nyota yangu chafu eee??Why me kila siku nakataliwa na wasichana tofauti tofauti au kwa sababu sio sharobaro nini?? wasichana kumi na moja kumi na moja daa hata mmoja licha ya kujiamini sana au sina swagga nzuri??basi bana sitaki kupenda hovyo hovyo sitatongoza tena msichana mmh ila nitaweza kweli?? yah nitaweza kiubishi ubishi"Kichwa changu kiliendelea kujiuliza maswali kimoyomoyo maswali ambayo hayakuwa na majibu kisha nikakata ushauri wa kutotongoza msichana mwingine.baada ya maneno ya zureiya yale sikutaka kutia hata neno nikanyanyuka na mdogomdogo nikaanza kuondoka bila ya kuongea chochote jambo ambalo hata halikumshtua zureiya aliyekuwa anaangalia pembeni na kuondoka kwangu alikuwa hajaniona.nilimaliza kichochoro kile na kumuona halima akiwa amekaa katika kibaraza kilichokuwa kinaangaliana na kichochoro kile.nilimuangalia halima nakuhakikisha ajaniona kisha nikaondoka kwa haraka ya ajabu ili asinione kutokana angeniuliza matokea ya majibu baina ya mimi na zureiya.

Nikafika stendi na kukuta basi jeupe bila ya kupoteza muda nikapanda na kukua siti ya mwisho kabisa.nikiwa ndani ya basi kila nilipokuwa nakumbuka maneno ya zureiya niliishia kudondosha machozi yalionifanya macho yangu kuwa mekundu.hakika sikuwai kujua kuwa mapenzi yanauma hasa ukikataliwa na msichana ambaye unampenda kupita maelezo.nikiwa ndani ya gari simu mfululizo zikaanza kuingia na nilipokuwa naangalia zilikuwa ni za halima na zureiya siku na hamu tena ya kupokea simu yoyote zote nikaziacha mpaka zikakatika zenyewe kisha nikazima simu yangu kutokana na kuhofia kuipokea kutokana na kumpenda sana zureiya.sikutaka tena kuisikia sauti yake hata papo hapo namba yake ya simu nikaifuta huku nikiwa najisahaulisha kuikumbuka.nilifika nyumbani na kumkuta mama yangu akiwa nje barazani akiwa anapunga upepo nikamsalimia kisha nikataka kuingia ndani lakini baada ya kuniona tu aliniita baada ya kugundua sio sawa.

"Pablo mwanangu unaonekana una tatizo vp kwema huko utokako."
"ndio mama mbona sina tatizo."
"Mmmh hamna nambie kama unatatizo usipo nambia mimi utamwambia nani."
"yeah ni kweli nimemkumbuka sana baba leo ni miaka miwili sasa inakaribia tangia atutoke na siku ya leo nimejikuta nikimkumbuka sana" hakika niliamua kubadilisha mada kwa kumchomekea mama ambaye baada ya kugusia kukumbuka kifo cha baba yangu aliyekufa kwa ajali ya gari mada ambayo mama hakutaka kuchangia kitu akaniruhusu mimi kuingia ndani na mimi kuingia ndani ambapo moja kwa moja nikaenda mpaka chumbani kwangu nakujibwaga kitandani huku nikiamua kupoteza mawazo kwa kuimba nyimbo za michael jackson ambazo nilihisi kama zitakuwa msaada kwangu kwa kupotezea kumbukumbu ya kukataliwa kwangu.

Hakika siku zilisonga kwa ilivyo mipango niliyoweka kwamba tangia kukutaliwa na zureiya matumizi ya simu nilipunguza huku mwanamke niliyekuwa naongea naye alikuwa ni halima tu na mara moja moja sana na tangia siku zile hakuniuliza chochote tuliishia kupiga story za kawaida tu hasa kutokana kipindi hicho kilikuwa likizo muda mwingine tulikuwa tukishauriana mambo ya masomo tu huku kila mtu akichangia lake.sikutaka kupokea namba yoyote ngeni kwa kuhofia labda zureiya anaweza kupiga na kusababisha mimi kuongea naye tena sikutaka jambo hilo litokee.siku moja jumapili siku ambayo jumatatu yake ilikuwa siku ya kufunguliwa kwa shule karibia zote baada ya likizo fupi ya mwezi wa sita.licha ya mimi kujiandaa karibia ni vitu vyote nilijikuta nikisahau baadhi ya vitabu ambavyo nilikuwa navihitaji na kujikuta naenda kariakoo bila kupenda.

Nilifika kariakoo na kufanikia mapema kabisa na kupata vitabu nilivyokuaa navihitaji.nikiwa katika harakati za kutafuta usafiri wa kurudi ghafla nikiwa stendi nikazibwa macho kwa nyuma baada ya mtu huyo kupitisha mikono kwa nyuma na kuniziba macho yangu.hali ile ilinishangaza na kunifanya kwa taratibu nikaanza kuitaka kuitoa mikono hiyo ambayo baada ya kuishika mwili wangu ukaanza kusisimika kutokana na mikono nyororo ya mikono hiyo iliyonisisimua zaidi.kwa polepole nikaitoa nikiwa nageuka na kuangalia ni nani aliyekuwa ameniziba Mungu wangu nilikutana na aliyekuwa akitabasamu jambo lililonifanya nishangaee...

Macho yangu yakatua katika tabasamu pana lenye vidimpoz katika mashavu mazuri yalioambatana na lipsi nzuri za kudenda akiwa kavaa baibui na kuficha nywele zake kwa mtandio alikuwa si mwengine bali zureiya.moyo wangu ukaanza kudunda kwa kasi na kujikuta natoa tabasamu hafifu huku uzuri wake uliokuwa umeongezeka kwa nilivyomuoana ulizidi kuwa maradufu.nilikuwa kama zuzu kwa kubaki kumuangalia mrembo huyo ambaye alizidi kuonyesha nyuso za furaha baada ya kuniona hali iliyofanya nishindwe kabisa kunyanyua mdomo wangu na kuongea

"Pablo mzima dear?"Alivyoniita dear ndio alizidi kunichanganya huku mwanaume nikionekana nauma meno kama mwanamke ambaye ndiye mara ya kwanza anatongozwa.
"P..ooa zureiy.a mzima wewe?"
"mimi sio mzima wangu naumwa"
"mmh unaumwa nini sasa mbona unazunguka huku kariakoo"
"Naumwa ugonjwa wa kukimiss wewe halafu nikiwa sielewei kwanini unijibu messeji zangu na haupokei simu yangu najua makosa yangu ni kukwambia vile na yale kweli yalikuwa maneno ya karaha but nisamehe siku zile sikuwa fresh please naomba unisamehe kwa kauli yangu niliyokutamkia" hakika niliisi kama ni ndoto kutokana na jinsi zureiya alivyokuwa ananiomba msamaha huku akionyesha uso wa huzuni.nilidhania kama nipo ndotoni lakini kila nilivyozidi kuvuta hisia ndiyo nilivyozidi kuamini huku nikishangaa msichana mzuri mwenye asili ya kiarabu leo alikuwa ananiomba mimi msamaha daa kweli ilikua ni zari tena la mentali.

"Mmh msamaha wa nini wakati kawaida tu zu.."
"Hapana mimi naumia mtu anayenipenda namkwaza jamani please sema umenisamehe au haujanisamehe"
"Nisakusamehe mbona"
"oooh jamani waooo"zureiya alisema hivyo na kuja kunikombatia bila ya kuona haya yoyote ya watu waliokuwepo kituoni wakisubiria magari.hakika kwa mara ya kwanza tangia nizaliwe nikajikuta nikisisimka baada ya kupata kumbatio zito kutoka kwa mrembo zureiya baada ya kugusanisha matiti yake yalikuwa makubwa kiasi yenye kuvutia na kugusisha katika kifua changu na kunifanya nisisimke kuliko siku zote huku karoti yangu ikichukua nafasi yake ya kusimama na kunifanya nifumbe macho kwa muda nikiwa katika kombatio hilo.

"Ouk mpenzi jamani nimefurahije kukuona pablo yani sasa chukua namba yangu hii mpya hebu lete simu yako." nikiwa katika furaha ya hali ya juu nikampa simu yangu zureiya nakuiandika namba yake katika simu yangu kisha akajipigia.
"Ni save nani mpenzi au honey au baby lipi zuri."
"duu zureiya bana save hata laazizi" alimaliza kusave kisha kwa furaha kubwa iliyoniingia ni baada ya zureiya kuniaga kwa sababu yeye alikuwa bado hajamaliza shopping kisha nakunipiga busu zito lililoniacha mdomo wazi.kisha akaondoka.
"Watoto wa siku hizi bana hawana hata aibu yani mbele ya umati tena mtoto wa kike anambusu kijana wa watu.eeew" nilimsikia mmama mmoja anasema hivyo lakini mimi nikampotezea kutokana na furaha iliyokuwa na mshangao ndani yake.

Nilisubiria basi kwa udi na uvumba baada ya kupata nikaanza kumtext zureiya ambaye hakuchelewa kurudisha kisha wote tukajikuta katika chatting nzito.nilirudi nyumbani nikiwa na furaha ya hali ya juu huku nikiwa siamini kabisa yaliotokea nilihisi labda ni ndoto lakini picha halisi ilikuja kweli.nakumbuka siku hilo sikulala licha ya kesho yake ilikuwa shule lakini mimi na zureiya tukaongea usiku mzima huku kwa maneno yake matamu akaniambia kwamba ananipenda kuliko mwanaume yoyote yule duniani na kuniahidi kuwa hatanisaliti kwa namna moja au nyingi na kunifanya nijisikie furaha iliyopita kifani.siku zikasonga huku mawasiliano mimi na zureiya yakizidi kukomaa huku wote kwa pamoja tukizingatia sana masomo na kuweka muda maalumu wa sisi kuongea ambapo ilikuwa ni kuanzia ijumaa mpaka jumapili.siku moja alhamisi nikiwa katika harakati za kujisomea kwenye mida ya kama saa nne usiku ghafla messeji ikaingia messeji ambayo iliniacha hoi kidogo.

"Baby jumamosi hamna hata watu nyumbani wote wanaondoka kuanzia mfanyakazi na kuniacha mimi nyumbani sasa kusema ukweli mimi mwenzio yani nawashwa kweli yani baby please nakuomba baby jumamosi njoo nyumbani hatutoweza kuwasiliana kesho ijumaa kutokana na ndugu zetu wote wanakuja na wengine wanalala na mimi so mpenzi njoo mimi mwenzio nawashwa sina wakunikuna zaidi ya wewe bye bye mwaah i love you." hakika nikajikuta nikishusha pumzi nzito na kukumbwa na mawazo kidogo.hakika sikuwai kufanya mapenzi hata siku moja ni picha tu za ngono ndio nilikuwaga naangaliaga kipindi cha nyuma lakini niliachaga kitambo kuangalia.da kilichonizidi kuniogopesha ni mimi kuingia kwao katika jumba lao la kifahari duu nilikuwa katika mtihani mzito na hakika sikutaka kabisa kumuangusha zureiya katika suala lolote kutokana nampenda sana....................

Mawazo na tumbo joto lilizidi kuniunguruma baada ya kufikia ijumaa ambapo ilibaki siku moja tu kwenda kwa kina zureiya.siku hiyo hata masomo darasani hayakuniingia kutokana na presha iliyozidi kunitawala katika kichwa changu.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU

Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho


26 Mapenzi na Ngono Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni