WEKA YOTE (23)
Zephiline F Ezekiel
5 min read
SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
ILIPOISHIA...
Yani vhupi inaondoka mbele yangu niliumia sana nilihisi hiyo ni laana kabisa na dharau kuondokewa na chupi katika himaya yangu, sikuwa na la kufanya mana kama ni Grace kaondoka ikabidi na mimi niondoke tu.
Nilitembea kinyonge njianu na maham yanhu kama fisibalieporwa mzoga na chui kisha kutupwa mbali.
TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
"Daah, yani mtoto nusu nimgonge kaitwa aisee, anabahatuli ningemuonesha kuwa mimi ndio gao au gaucho wa ukweli."nilimuwa njkiongea peke yangu njiani muda huo hata saa mbili haikufika mimi niliamua niwahi nyumbani ili nisicherewe shangazi akanivaa.
Nilitembea haye haye eti nawahi nyumbani njiani sasa kasheshe macho hayakuacha kunitoka pale nilipomuona mwanamke aliejazia makalio akipita mbele ya duka ambapo kunataa, nilishindwa kujizuia kwa ukubwa wa makalio yale huwezi tofautisha na gari kubwa za mizigo hasa scania, hivyo akili zangu za kijinga nikasema mpaka nikatabaruku kulitomasa, nikamkimbilia mpaka kwenye kiza alipo ingia hapo sasa nikakaa nyuma yako nkkiwa kama mtango au majuto wakiimbaga inye, inye inye plus bwedebwede, sikuwa na tofauti nao mana nilimsogelea karibu zaidi huku makalio yake yakitutumuka nilijua tu fika ni kama maneno ya ney kuwa dada zetu wa mjini siku hizi hawavai chupi, ni kweli baadhi yao sasa dada yule alikuwa akiyatingisha japo ni usiku ila kulikuwa na mbalamwezi iliyoangaza hivyo nilikuwa nikiyaona kwa taswira, nkliamua nisiwe muongeaji sana nikafika karibu na kufanya vitendo nikalishika moja kama nabinya embe dodo kuangalia kuwa limeiva alistuka.
"haaah, wewe vipi nini sasa tunastuana,umenishikia nini"alisema baada ya kustuka hapo sina cha kuongea kabisa.
"wewe hukielewi eeeh, unanishika unanijua au unauwezo wa kuninunua kwa utamu, usishike biashara za watu chizi wewe, nyooooh"aliongea kwa dharau kisha akanisonya.
"si ukashike la mama yako,malaya wewe."alinikasirisha kumtukana mama yangu hali iliyopelekea mkono wangu wa kulia uchukue maamuzi nilimtwanga kibao cha haja kilichotua shavuni kwake.
"unaamua kumtukana mama yangu unamjua wewe malaya nakwambia."niliongea kibabe sana, hapi nimesahau kuwa mimi ndio nimemchokoza.
"Unanipigia nini sasa,wakati wewe ndio mchokozi"
"nyamaza kahaba wewe."nilimtusi bila kujali, hapo kainama anaugulia,nilijitia mbabe sana, yeye alikuwa akiongea kwa kulia kabisa.
"uachage upumbavu wa kutukana mama za watu kahaba wewe."nilimpiga onyo kali sana, kisa uchungu wa mama,alafu nikaondoka kimwamba.
"mwiziii mwiziiii mwiziiii"aliniitia mwizi nilishangaa sana na vile sauti ya kike inavyofatilizwa sana, nilianza kusikia vishindo vya watu wakija eneo hilo tena anafanya kuwanyoshea kidole nilipo nilianza kukumbia hapo nao ndio wakaniona walianza kuniungia nyuma kundi lile la watu na mimi nikajifanya hodari kukimbia kundi lile lili kuwa kubwa nilipanga niwapoteze wasinione, ila niliharibu pale nilipoangalia nyuma kama wanakuja nikajikuta navamia ukuta na kuanguka......
Kitendo cha kuvamia ukuta na kuanguka,kilinipa hofu nikijua sina maisha tena, ila mungu mkubwa niliamka haraka haraka kukwepa adha ile ya waale watu wasije nitia nguvuni mana sijaiba nibumbea wangu wa kujifanya mbabe sana.
"yuko wapi huyo, yuko huyooo, kamata mwiziiii, kamataaaaa."ilikuwa ni mizozo iliyokuwa nyuma mita kadhaa, ilibidi nitumie nguvu hasa mana nilikuwa kama nimejiwekea kitanzi shingoni alafu kiti nilichosimamia nakitingisha na miguu.
Kwa akili za haraka nikatumia akili za kuzaliwa sababu za shule nimezitupa na sijui nilipozitupia hivyo nilitumia akili za kuzaliwa niliona bora nijibanze pahala ili,nilifanikiwa kuona kificho hapo na mimi nikatulia kama maji ya mtungini nikisubiria wapite dakika kadhaa zisizo dhidi kumi nao wakapita kumbe walikuwa karibu yangu.
nilitulia pale mpaka wakapita ndipo nikatoka huku nikihema mana kisanga cha kupigwa kwa kisingizio cha mwizi, ni kizito sana unaweza kuvunjwa mbavu.
Baada ya kuwapoteza ndio nikapita mjia nyengine kurudi nyumbani huku nikijikung'uta kung'uta vumbi, hali ya kwamba najiona kumbe ni kiza tu hata sioni nilipochafuka.
Mwendo wangu uligota kwenye njia ya kuelekea nyumbani ambayo niliikariri vilivyo kiasi kwamba siwezi kuisahau yani kama kipofu kusahau mdomo,hiyo haiwezekani.
Nilitembea hima hima nikiwahi nyumbani baada ya kukaribia kabisa kisha nikaingia kwenye geti na kufika uwani,mpaka nikaufikia mlango wa ndani na kuingia.
"Mambo gao mis you"ni sauti ya Neema alieitoa kwa kuibana vilivyo ikawa kama wale bongo fleva wabana pua.
"poa vipi"nilimwitika.
"safi my nimekumisije wangu"
"mmmh kweli,!"
"kweli tena my."
"haya asante."nilimjibu kifupi kabisa huku nikihema hema kwa mbali.
"njoo tukae basi jaman tupo wenyewe mama katoka na wakina Esta."alisema sikumjali nikaingia chumbani kwangu tu kutuliza kichwa mana nilikuwa nafikilia kama ningedakwa pale si nisingepona kabisa.
Muda huo ulikuwa ukigonga kwenda saa tatu niliona kupitia saa iliyokuwa ukutani mwangu.
niliamua nijilaze nikijua wataniamsha wakirudi ile kulala usingizi ukanoga nikapitiwa mpaka kuamka kesho yake du, nilijiandaa tu niende shule mana sina jinsi kweli nikajianda zipatazo dakika ishirini kama sikosei,nikaelekea shule nikitembea haraka haraka mpaka nikafika shule.
Nilicherewa mpaka namba, sikujali kucherewa nikaingia darasani kwangu na kutulia siku hiyo sikuwa nikijisikia hata kwenda kufanya usafi, hivyo nikapozi darasani tu nikiangalia wanafunzi wenzangu wanavyo pishana pishana,nilijiweka busy na mawazo niliyokuwa mikiwaza kwanzia kuukosa utamu wa Grace mpaka kumchezea dada wa watu aliejazia pia pamoja na kuitiwa mwizi.
"Mmmh, jana wangenidaka wale sijui ingekuwaje."nilijisemea mwenyewe,nikiwa nimekaa na mawazo yangu yale nilijikuta nikistuliwa na kiboko cha begani.
"aaah, nani wewe."niliongea kwa jazba,ile kutoa mikono usoni niliyokuwa nimeiweka nilishanga kumbe alikuwa mwalimu.
"unasemaje wewe,wanifokea mimi."
"hapana mwalimu, sijajua kama ni wewe."nilisema kihofu kumbe alienipiga mwalimu tulimwita sa chejo.
"Kwanini,umekaa hapa na wenzio wana fanya usafi kule."aliniuliza swali.
"aaah, najisikia vibaya kidogo."nilijitetea.
"acha uhuni,hilo nikosa na unahitajika adhabu lala chini."aliniambia daah sijategemea fimbo za asubuhi asubuhi na bado za jana hazikupoa.
"nisamehe mwalimu, najisikia vibaya."
"unajisikia vibaya si ungeenda hospitali au usingekuja shule lala chini usilete ubishani sawa nitakupeleka kwa lusinde"alinitishia kunipereka kwa lusinde hapo ikanibidi nilale tu mana lusinde hana mzaha.
Nilishikisha mikono yangu chini kupokea kichapo cha sir chejo alivuta mkono na kunishushia viboko vilivyotua matakoni mwangu na kutonesa vya jana, japo ilikuwa inauma ila nilijikaza kiume tu kuyavumilia maumivu yale.
Mpaka anakamilisha idadi yake viboko vinne ndio nikaamka na kukung'uta vumbi mikono yangu.
"nenda eneo la usafi, nikikukuta tena hapa nakucharaza viboko sawa"aliniamba hapo kwa kuvimba nikawanatoka nje huku nikiona aibu kuyafikicha matako yangu yaliokuwa yakiuma na kuwasha kwa fimbo zile,.
Sir chejo akaondoka eneo lile akiwa mkononi kashikilia kiboko chake alikuwa akielekea maeneo ya chooni.
Nami nikafatana na baadhi ya wanafunzi waliokuwa wakielekea eneo lile ninalofanyia usafi hivyo nikaongozana nao mpaka tukafika kule japo sikuwa nikiongea nao wakati wa kitembea ila niliwafata nyuma nyuma,tulipo fika pale wao wakapita mimi jikasemama kutokana na kufika nilipo dhamilia, kwa muda huo hakukuwa na wafagiaji pengine walipomaliza wakatawanyika kwenye vijiwe vyao kupiga story,hivyo nilisimama hadi kengere kugogwa ya paredi,, mitihani ilikuwa ikiendelea haikuisha sisi tunaosoma arts tulibakisha mtihani mmoja tu baada ya kumaliza mitihani sita ukiwepo Hisabati,kiswahili,english,geografy,civics na history, kwa idadi hiyo tulibakisha mtihani wa Biology peke yake ambao ni wa asubuhi mchana chemisty hiyo haituhusu ni kwa wale wa science.
Paredi hatukuwekwa sana hivyo tuliruhusiwa kuingia darasani kwa ajili ya kuendelea na mitihani.
Wanafunzi walikuwa makini kupitia daftali zao wakijiandaa na mtihani huo,mimi nilikuwa nikiangaa angaa kumtafuta Grace wangu, niliangalia kila mahali nikimtafuta sijamuona mpaka mtiami kuanza nilikuja kumuona mtihani ulipoisha tukakutana nje.
"mambo my, gao."alinisalimu.
"Poa vip upo."
"nipo za tangu jana."tulikuwa tukiongea huku tukielekea sehemu ya peke yetu tukakae.
"safi my, ila jana ulinifanya nipoteze usingizi."
"kwanini my.?"aliuliza wakati huo tushafika na tunakaa kitako, eneo lenye mti uliolala na kuweka kama bechi la kukalia.
"Jana umenirambisha tu, mpaka usiku nilikosa usingizi nikikufikilia tu."
"usijali mpenzi wangu nipo kwa ajiri yako nitakupa mwili wangu uufanye unavyotaka kwa sababu nakupenda."maneno yalimtoka, maneno hayo yakanipa tabasamu nililolitegemea, mana mtoto mzuri kama Grace alikamilika kila mahali akuambie vile kukukabidhi mwili unaweza kujikuta unajichekea chekea kwa furaha.
Tuliendelea kupiga story nabkuongea kuhusu mapenzi kisha kwa pamoja tukaelekea vibanda vya chai tulipofika tukaagiza na kunywa tena bila aibu tunalishana kisha yupo mama muuza tu, hatukumuonea aibu mpaka tukadiliki kulishana keki mdomo kwa mdomo.
"mmh, wanangu"kitendo kile kikamfanya mama yule agune kidogo mana tulipokuwa tunaendelea ilikuwa ni jambo jengine mana nilishaanza kupapasa mapaja yake.
Kitendo kilichopelekea mama muuza agune,tuliachiana na kuondoka pale na vile hatuna mtihani mchana.
"Baby twende nyumbani, tukafanye yetu nina hamu kweli."alisema Grace akionekana mzoefu wa mapenzi,manemo yake yale yalinitabasamisha na kukikuta niking'ata lips zangu.
"unasema kweli Grace,?"
"Yah.twende"alisema huku akinivuta mkono kumfata,yule mama aliishia kututizama na kutingisha kichwa japo hakujua tulichoongea nilifanikiwa kuona kiwizi wizi akituangalia.
"sasa tunaenda wapi Grace"niliuliza.
"We nawe hujui pa kwenda twende gest"alisema bila woga.
"haaah, wewe gest."
"ndio gest, sasa twende wapi"alisema, hapo hakujofii gest na kupaona kama ni geto kwa shoga yake.
"gest hapana, nifate twende kwa jamaa yangu."nilimeambia nae akakubali hapo safari ya kwenda kwa jamaa yangu aneitwa mkali, tulipofika njiani nilishangaa pale Grace alipova shati ya shule na kuvaa flana yake nyeusi iliandika Hadithiapp iliompendeza mwilini mwake.
Nilishindwa hata kuuliza alikuwa nayo ya nini, nikajifanya kama sina habari yote nikifikilia tu tendo tulilodhamilia kufanya.
mwendo ule na story za njiani zilitufikisha hadi geto kwa jamaa, tulipomkuta nikaongea nae kisha akakubali na kuondoka huku akituachia uwanja bila kupoteza muda nikaufunga mlango
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni