SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
ILIPOISHIA...
"Gao, ally ni mpenzi wangu tena yupo kidato cha nne ally nilimpenda na yeye akanambia anamipenda sikujua kama ananidanganya, niliendelea kumpenda huku kila siku tukiongozana kuja shule na pia mara moja moja kutoka, ally alichonifanyia sikuamini ila nampenda sana na nitazidi kuumpenda,"TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
Grace akanyamaza kidogo na kuanza kulia nikamfuta machozi, akatulia,na kuendelea kusimulia.
"gao huwezi amini jana pale ally nilimkuta na msichana wanakuja shule huku wameshikana viuno tena namuuliza alishia kunifokea na kunikana kisha kunipiga.."alinyamaza na kulia kilio cha sasa kilikuwa kikubwa nilifanya kazi ya kumnyamazisha mpaka akatulia, nikamwambia anyamaze hapo sasa akaanza kuongea tena.
"gao naomba nikwambie nakupenda.....
"nakupenda mwenzio, na sijui kwanini sijakuwa na wewe maapema, japi ally nampenda ila hana nafasi tena moyoni mwangu tafadhali gao najua unanipenda, leo nimeamua kukukabidhi moyo wangu wewe."maneno yalimtoka Grace bila kituo.
"haaah, Grace kweli."niliongea kwa kuhamaki, niaiamini kama mtoto mrembo kaingia laini sasa alichokosea ni kucherewa kuwa nami gao wa kipindi kile namtongoza sio huyu wa sasa,hivyo hana bahati,ila nilimpena sana kupita maelezo, sasa swali ni je? gao ataachana na wanawake zake kubaki na Grace au ndio atazidi kuwa nao. tusonge mbele ili tujue zaidi.
"Gao nakupenda kweli, naomba unipokee pia unisamehe sana kwa kukukataa kipindi kile blnilivyokuwa na ally sasa kwanzia sasa ally hana nafasi kwangu,nafasi ipo kwa ajiri yako."alizidi kuongea na mimi sikuwa na sababu ya kukataa mana nikifikilia kuvua chupi ndio kabisa mwili hunisisimka hasa nikiutazama mwili wa Grace ulivyomkaa kirembo zaidi hakuwa na tofauti ya rapa wa kike nick minaj.
"Sawa Grace usijali karibu ndani ya moyo wangu sasa wewe ndio mmiliki wa moyo wangu."nilimhadaa na maneno matamu akipata bichwa, kisha tulikumbatiana pale pale na mabusu kumwagika mfurulizo, tulifika mbali pale nilipomshika vizuri na pale kwenye mawe palivyo na kificho wakati tumekumbatiana nikambana vizuri tayari kumyinyabnsimi,ila kabla sijafanikisha adhma yangu kengere ikagongwa nilikasirika sana nikaishia kumwachia mana aling'ang'ania tuachiane ili twende darasani kwa mitihani.
"Daaah, hii kengere bhana "nilisema kwa jazba,hapo Grace akitabasam.
"umefurahi, eeh, sawa bhana, pita njia hiyo hapo tusiongozane."nilimwambia apite tofauti na mimi ili tusigundulike kama tulikuwa pamoja hivyo akafanya kama nilivyomwambia nikapita kushoto yeye akapita kulia.
Wakati nipo njiani nilikuwa mwingi wa furaha nikimsindikiza Grace kwa macho nikitizama maungo yake yakirindima nyuma, hapo nikaacha kutembea nikimtazama kisha baad ya kupotea machoni mwangu nikaondoka haraka kuwahi darasani, kwa mwendo niliokuwa nikitembea nilifika mapema na kujumika na wenzangu kuingia darasani , tukaingia na kutulia baada ya msimamizi kuingia na yeye,aliandika ubaoni mtihani wa muda huo ambao ulikuwa ni kingereza somo lililo nikaa kichwani vyema, japo sio kama napata mia laahasha.
alitugawia karatasi wote na baada ya kila mmoja wetu kupata karatasi zote ya kujibia na ya maswali, tulipopata tukaamlishwa tuuaze mtihani.
Nilianza kupitia maswali kwa makini mana kingereza nakielewa sana, hivyo haikunipa tabu ya kuyaelewa nilianza kwa kasi ya ajabubnikionekana mchanagamfu manna baadhi ya maswali nilikuwa nikiyajua, katika upitiaji nilipata mshangao pale nilipokutana na aina ya swali kama aliloniuliza Careen usiku wa siku hiyo hivyo lilinishinda kabisa hata ubunifu wa kulijibu sikuwa nao kabisa ikabidi tu nilipite mana hakuna jinsi wakati nikiendelea kuyapitia na kujibu sijui nilirogwa na nini nikangalia mbele hapo nikakutana na macho ya mvuto yalioambatana na dimpoz zilizorembesha mashavu yake.
Nilipotazamana nae tazamana nae hapo akili yangu aliibeba kabisa na kukaa nayo mana baada niendelee kufanya mtihani,nilikuwa nikimtazama tu yeye akinichekea chekea nilikuwa kama zoba mana Grace anafanya mtihani na kuniangalia na kunichekia huku mimi nikimtazama tu hata material kichwani yalichuja, pale niliposema nifanye mtihani sikuwa na cha kujaza, kila nikifikilia majibu hayaji nilizidi kufikiria ila wapi.
"Muda wetu umebakia dakika 25 tu."alisema msimamizi hapo ikawa kanichanganya, kusema vile nilianza kuvuta shingo kuibia ili kuogopa aibu ya kufeli mtihani huyo nilianza kumpiga chabo jirani yangu, kimbe naye alikuwa mbumbu jamaa flani hivi yani namuangalia eti kwenye kujibu vitabu ametumia kitabu cha This time tomorrow amechanganya dhamira zake kwenye The Black Hermit tena ile dhamira ya Demolishment of slums eti kaitumia kwenye The Black Hermit, hapo ndio nikajua mbumbu kweli nikaachana nae nikiwa na harakati za kutafuta mwengine wa kumuibia iligua vigumu kila naye mchungulia kkaficha hata sioni, kitendo kile kilifanya miboreke mpaka tunaambiwa mtihani umeisha sijamaliza maswali daah, nilifadhaika kweli nikatoka kinyonge nje nikimtafuta Grace ila kabla sikamuona nilishituliwa na kiboko cha mgongo ikanibidi nigeuke haraka, hapo nikakutana na uso ulionuna nakujenga makuyanzi.
"Gao wewe mjanja sana eeh, nifate ofisini."alisema kwa mkazo.
"hapana sir sio mjanja mbona umenichapa"nilisema nilijishika bega lililokuwa na maumivu.
"si nimekuambia unifate bas twende tanguliaaa"alinisongelea akinilazimisha niende ofisini wakati huu alikuwa akinigonga fimbo za begani na mkongoni, niliona kama aibu ile hivyo ikanibidi niende tu mwenyewe nayeye akinifata nyuma, mpaka tunafika ofisini alinilaza chini kwa fimbo kuanza kuniporomoshea viboko bila hata kuuliza.
"Wewe mjeuri sana umezidi, leo nakukomesha na ukifuta naanza."alisema mimi nikiwa nimetulia najikaza japo vinauma, yali kwa hesabh ya haraka mpaka pale alipo nambia kuwa nisimame nadhani karibia viboko wiki mbili vilifika, yani nasimama huku nikiwa na maumivu, alianza kujitamva mimi nikimchora tu nabkupanga siku yake ya kumsurubu.
"Sasa nimekusamehe leo sikupi adhabu fimbo zinakutosha hivyo nenda,"alisena hapo namuangalia tu.
"mbona unanitizama tu, uataka kunipiga"alisema kiwoga woga, siku leta makuu nikaondoka zangu nikiohopa hata kujishika mana nahisi nilikuwa na manundu kwa fimbo, nilipofika siku kaa nilichoamuaa ni kuchukua vitu vyangu na kuondoka bila kumuaga mtu yoyote, niliondoka haraka haraka nikiugulia matakani, mpaka natoka nje ya shule.
"gaoo, beibiiii gaooo"iliitasauti ya kike ambayo ni faraja kwangu, alikuwa ni Grace nilisimama nikamngoja akanifikia.
"Mh,jaman ukitembea huangalii nyuma"alisema.
"hamna my kawaida "
"uaenda wapi hata hujaniambia kama unaondoka"aliniambia.
"samahani my, nimevulugwa na lusinde kanichapa daah,ngoja tu niende."
"mh, jaman pole gao wangu leo siutakuja eeh."
Aliongea na kunishika bega, tuliongea ongea pale niksmuaga na busu, kisha nikaondoka njiani nilikuwa nikimuwaza tu Grace njia nzima, hadi nafika nyumbani nikabadili nguo haraka mikala moja kwa moja hadi kiza kinaingia nikafata miadi ya Grace nilifata mpaka maeneo ya kwao nilikuwa nikipafaham alishawahi nambia nilikaa muda mrefu akinichomesha maindi tu, kitendo kile sikukipenda kuniweka vile mana muda wote uliisha na mimi nikikuwa nyuma kwao.
nilipokosa matumaini nataka kuondoka ndio akaniita na mimi kwakuwa nampenda nikamfata ile kufika nimshangaa sana kutokana na kuvaa khanga tu, tena moja...
Nilikuwa kama nisie amini kumuona GRACE vile, tena yeye bila wasiwasi wala aibu akanifata pale nilipomfikia na moja kwa moja mwili wangu ukawa halali, yake alinikumbata vyema kifuani kwake na vazi lile alilovaa nikahisi kama yupo mtupu kabisa.
"woooh, gao wangu,nilikumis mpenzi wangu acha nikukumbate"maneno yalimtoka baada ya kunikumbatia, hapo sina cha kuongea kwa aibu niliyokuwa nayo wakati ilinibidi nimwangalie tu.
"mbona kimya mpenzi wangu au umenuna nini baby tabasam bas"aliniambia hapo ikawa kama kanistua usingizini na maji ya baridi.
"Aaah, amna baby nambie."nilimchangamkia hapo kanishika kiunoni na mikono yake kuunganika nyuma ya kiuno changu.
"naona kimya mpenzi wangu"
"hapana wangu, nambie upo so sex upo cute"nilimhadaa na maneno ya kumsifia yenye utamu hapo akaonesha tabasamu nililolishuhudia kwa mwanga hafifu.
"nambie mpenzi wangu nipo kwa ajili yako leo, "alinichanganya kusema vile.
"kweli mpenzi,"
"yah, ni wewe tu"
Maneno yake yalinipa picha kua Grace ni mzoefu na hayo mambo mana ukimuangalia kama humjui utamuona mpole mstaarabu kama yeye hakuna, kumbe wale waliosena kuwa BINADAMU NI KAMA KITABU UKITAKA KUMJUA NI MPAKA UMFUNGUE NDANI UMSONE'maneno hayo yana maana sana, ndio leo najua kumbe Grace hana aibu mpaka kunitokea na khanga tu tena nyepesi ikionesha ndani anachupi tu.
Ila wenyewe wanaojua hawanaga mengi hao wanasema tu 'MTOTO AKILILIA WEMBE MPE UJUE KASHAKUA HUYO.'Ndio nilivyomtafsiri Grace ilinibidi nivae sasa sura ya uchu na tamaa iliyotamauka kabisa nilimshikilia kama alivyonishikilia yeye.
"mmmh, baby."aliguna nilipomshikilia kiuno chake kiteke kilichokaa kama cha dondora nilikishikilia na mikono yangu iliyojawa na pupa ya kutomasa mwili tukiwe tumeshikana huku tukiangaliana nikifikilia mimuanzaje cha kushangaza aliuleta mdomo wake mwenyewe nami sikuwa na sababu ya kuukata yani ni sawa unaokota embe dodo chini ya mbuyu alafu unalitupa kwa hofu huku ukiwa na njaa.
Niliupokea mdomo wake na kuanza kuparangana na wangu hakuacha kupumua kwa kasi mana kama tabia yangu iliyokuwa kama agenda yangu ya siku nilikuwa nikitalii mwilini mwake kama kawaida yangu hasa kwenye milima yake iliyojazika kama kitonga.
"aaah, baby aacha kuyashikaa aaah,aliongea kwa kudeka,ple nilipokuwa nikiyatomasa makalio yake yaliojazika vilivyo ambayo niliishia kuyaona tu kipindi kile nikiyatamani tu, ila leo yamejireta sasa ya nini nijibane.
Nulikuwa sijaamini kama nimekabidhiwa mwili na Grace niliamua kuacha kudendeka na kuuchukua mguu wake mmoja niliouzungusha kiunoni mwangu kama mkanda hivyo nikawa katikati huku nimeshikilia guu lake la bia hapo sasa nikiwa tayari kuzihusudu dodo zake kifuani pake.
ila kabla sijafanya hivyo ikasikika sauti ya kiume tokea ndani ikiita jina la Grace, hapi grace alijiachirisha haraka kwangu nusura adondoke.
"Haaah, gao baba huyo mama sijui nitamjibu nini."alisema Grace hapo nilikasirishwa sana, hata chakuingea sina aliniacha kwa denda akaondoka huku nikibaki na miuchu yangu, yani vhupi inaondoka mbele yangu niliumia sana nilihisi hiyo ni laana kabisa na dharau kuondokewa na chupi katika himaya yangu, sikuwa na la kufanya mana kama ni Grace kaondoka ikabidi na mimi niondoke tu.
Nilitembea kinyonge njianu na maham yanhu kama fisibalieporwa mzoga na chui kisha kutupwa mbali.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho