WEKA YOTE (25)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
ILIPOISHIA...
"Ahaaa, sawa"aliongea huku akinirembua macho yake yaliokaa kkmahaba mahaba, yani kiukweli Neema alikuwa ni mrembo sanakuanzia umbo lake mpaka aura alivutia michoni sasa kasoro yake ni hizo tabia alizojivika mithiri ya kinyeramumo yani hakuna kuvua imefungwa kila mshali naweza sema Neema yupo hivyo ila sina uhakika.TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
Naw alipereka begi lake na kurudi kunifata pale akijua atanikuta peke yangu kumbe wakati huo alipoingia ndani wakina careen walitoka ni kawa nimekaa nao pale sasa yeye alitoka chumbani kuja pale ila kitendo cha kuniona na kina careen tumekaa pale alichofanya aligeuza ndani mana alichodhamilia hakikuwezekana.
tuliendelea na story pale masaa yakikatika mpaka shangazi anarudi tunakula na kulala, tayari kuitafuta siku ijayo.
********
Baada ya mwendo kutokea nyumbani nikielekea shule,nilifanikiwa kufika japo namba sikupata ila nilifurahi kufika shule muda hu,nikaanza kuelekea maeneo ya usafi nilianza kufagia pale kama siku zote nilikua na wanafunzi wengine ambao sikuzoeana nao hivyo sijapata kupoteza muda kwa story ambazo ningepiga.
hivulyo dakika kadhaa nilisha fagia na kurudi darasani kukaa, kwakuwa nilikuwa mwanafunzi wa arts hivyo sikuwa na mtihani tena nilisha maliza mitihani hivyo sijasumnuka kufungua daftali zangu kusoma.
Niliamua nikae tu bila kufanya chochote mpaka kengere inagongwa nikajiunga na wenzangu kwenda paredi tjlipewa matangazo kadhaa kama asemacyo mwalimunwa zamu.
"wanafunzi hamruhusiwi kuzurira nje hasa nyie msio na mitihani leo,kaeni darasani msome sawa ole wako uonekane nje sheria itafata."mwalimu wa zamu alisema.
Tukaruhusiwa tuingie darasani hapo ndio nikamwona kipenzi changu Grace nilifurahi nilipomuona na furaha kunikaa vyema.
Sikumsumbua tukaingia darasani kil mtu akakaa sehemu yake tukisubiria kinachoendelea yalipita masaa kadhaa au lisaa limoja na nusu, Grace hakuweza kukaa mbali nami hivyo akatoka alipokaa na kunijia nilipo kaa mimi,tulisalimiana na story za hapa na pale kutawala.
"Baby nimemis mwenzio"alisema kwa sauti ya chini asisikiwe na watu wengine.
"umemisi nkni mpenzi?"
"penzi lako mume wangu."alinishangaza kusema penzi ikiwa jana yake tu ndio tumefanya.
"mmh, jaman sijana tu,"
"baby nilivyokumis tu na ham zikanijia nataka mpenzi wangu."Grace alizidi kunishangaza sana kwa maneno yake.
"sasa tunafanyaje mke wangu."nikauliza.
"hamna twende my ninaham sana*alisema kwa sauti ya chini ninayosikia mimi tu niliekaribu, kisha ananivuta mkono, nkliamua niamke nifate anachotaka nisijue twaenda fanyia wapi tukatoka mpaka nje akiniongoza njia tulipite darasa ila kabla hatujakata kona tuliitwa na sauti ya kiume.
"wewee grace na gao mnaenda wapi njooni hapa."ilikuwa sauti kali ya lusinde..............
Tulishitka mimi na Grace tukiwa tumechoka kabisa kumsikia lusinde anatuita ilitubidi tusimame tu yeye akiwa juu kibalazani sisi tushashuka chini tayari kuondoka..
"namiita njoo hapa mwaenda wapi"alizidi kuchochea tumfate alipo nasi tukamfata bila kumpinga ila muda mwingi alikuwa akimtizama Grace aliekuwa akiona aibu sana kiasi kwamba hata akawa anaangalia chini.
"Mlikuwa mnaenda wapi.?"aliuliza.
"hapana mwalimu sisi tupo"
"mpo mnaongozana kwenda wapi.?, kule wenzenu wapo darasani."lusinde alitia swali tena.
"tulikuwa twaenda kukaa pale kwenye mawe."niliongea kwa wasi wasi.
"nyie sio bure nifateni ofiaini sawa."alisema hapo tukaanza kumfata tusijue anatupeleka wapi mimi na Grace, tukakaa nyuma tukimfata mpaka akafika ofisini kwake n kutuambia tuingie sisi tukaingia grace akionekana mwingi wa wasiwasi.
"Nitamicharaza viboko kisha muende darasani ole wenu nimikute nje ashabu itaongezeka,haya mmoja mmoj aje hapa nimchape anza gao"alisema, sikuleta ubishi kuficha aibu mbele ya Grace, nikajilaza kwa kusimama na mikono lusinde akaanza yake alinitandika viboko vizito, mbele ya Grace sijakuna hata kimoja nilitulia kama gogo linalo subiri kupelekwa na maji,Alinipiga viboko visivyo pungua saba.
"haya nenda darasani nikukute nje tena adhabu inaongezeka ondoka haraka"alinidukuza kabisa na mimi nikaonsoka nisijue kilinachoendelea nyuma nilielekea darasani huku muda mwingi nikitizana kupitia dirishani kama Grace atatoka wapi nilisubiri muda mrefu hakutoka mpaka wivu ukaniingia sasa.
"oya gao vipi mboma husomeki jamaa amekupa chai nini."jamaa yangu frank aliniambia, hapo nikawa hata simuelewi
"Hamna bhana kawaida jamaa yangu"nikamjibu tu, huku bado nikitizama pale mlangoni kuangalia kama Grace wangu atatoka aah wapi sijamuona niliumia zaidi mpaka nikatoka njee kitendo cha kutoka madam nae akiwa kasimama pale juu kwenye kibalaza cha ofisini.
"gao njoo mara moja nikutume"madam jack aliniita nami sikuwa na sababu ya kukataa nilimfata kinyonge sana mawazo yangu yote kwa grace
"Naam madam, nakuja"nilimwitika na kumfata alipo, hatua kadhaa zipatazo kumi au kumi na moja nilimfikia madam nikiwa tayari kumsikiliza asemacho.
"ninashida na mihogo kaninunulie kule chini kwa bibi"madam aliniagiza nilichukizwa sana, ila sikutaka kumuoneshea wazi wazi kama nimekasirika, nililiacha libaki moyoni mwangu tu.
"sawa madamu ya shilingi ngapi."
"shika hii ya elfu moja inatosha"
"sawa madamu."nilimkunalia na kuondoka haraka niwahi kununua mihogo ,mpaka nafika ndio nilimfikia mama muuza mihogo.
"Umekuja mwanangu, mkeo yupo wapi."alitania bibi yule hapo akasababisha tucheke kwa pamoja.
"teh,teh,teh,teh, bibi wewe unamambo"nilimjibu huku tukienselea kucheka yani alizoea sana yule bibi muiza mihogo na kila kitafunwa has chapati, mandazi, mihogo na vyengine.
"nimezoea kumiona wote kama pete na kidole leo umekuja peke yako, ndio nashangaa sasa."
"mmmh, bibi kumbe umetukalili tayari."
"ndio si mtu na mke wake."
"mmh, bibi kwanza nipe mihogo ."
"ya shilingi ngapi mkwe."akaniuliza na kuniita mkwe wake.
"Nipe ya ekfu moja tu ya kushiba."
"sawa shika hii tayari nimeweka na ya mke wako kaleni sawa,"
"asante bibi, sawa naenda"nilimuaga na kuondoka kidogo bibi alinifanya nicheka ila kaniumiza kunitajia my Grace,niliondoka pale moja kwa moja nikaelekea mpaka ofisini kumtafuta madam nimpe mihogo yake, nilipomkosa,pale nilipomuacha akinisubiri ilinibidi nikagonge mlango wa ofisi yake nilifika na kugonga.
"Madam, madam, madam upo wapi"niliita mpaka na jina lake ndio sauti teke ikitokea ndani ambayo naitambua ikaniita.
"ingia gao nipo."aliponiambia nikafungua mlango na kuingia yani chumba kile mlango wake ulikuwa wa kujifunga yani ukiiusukuma unajibana wenyewe.
"madam hii hapa"nilisema nikimkabidhi mihogo ile ambayo nilipewa ikiwa kwenye sahani mbili zilizoifunika mihogo ile.
"kaa tule wote nimenunua nile na wewe."
"madam asante mimi nishakula tayati usinipe kula tu wewe.
"hapana bwana ni kwa ajili yetu kula"alinikandamuza nile mpaka nikala ndio akaridhika na moyo wake.
"Nimemiss penzi lako gao "alisema madam bila haya wala soni nilimshangaa nisijue mtu wa aina gani mwenye tamaa hivyo.
"madam mumeo si yupo mpaka mimi aah naogopa."
"waogopa nini wewe sio mtoto gao"aliniambia.
"Tena sitaki niache"nilisema nikiwa nimekasirika nikaondoka kabisa niliufungua mlango, wakati huo madam akiniangalia tu, yote ni kumkumbuka Grace wangu wivu ulinijaa sana juu ya grace hivyo nikitafuta mahali nikimsubiri lakini wapi, sasa sikuwa na jibu sahihibl kama bado yupi ndani au kesha toka nje, sikupata jibu nikaamua niwe na subira.
Masaa yalikatika bila kumuona grace mpaka unafika muda wa kwenda nyumbani, amani ikitoeka kwangu kabisa wivu kwa mpenzi wangu grace uliniandama, hali iliyipekekea mpaka, tunaruhusiwq sina raha njiani nilitembea sitaki nataka mpaka nafika nyumvani na kuingia ndani.
"Gao unaunwa mbona mnyonge"alikuwa ni ESTER sikumjali nikaingia chumbani kwangu nikisubiri usiku uingie niende kwa kina Grace,niliusubiri sana mpaka unafika sina hata hamu ila kwakuwa nilikuwa nausubiri hivyo ilinibidi nitoke tu. shangazi hakufika bado nyumbani, nilitoka na pamba zangu kuelekea kwa kina grace mita kadhaa nilifika mpaka nje kwai pale kwa siku ile nilikuwa nikila chapo kumtafuta grace sikufanikiwa nilifadhaika sana mpaka pale alipotoka mtu mwenye mavazi ya kike ilinibidi niite .
"Wewe mbona umeniweka sana, au kisa sijakuambia kama nakuja."nilitamka maneno bila kumjua yule alietoka kumwaga maji bila kutegemea alikuwa ni mama yake grace......
Sikumjua kabisa kama ni mama yake Grace.
"wewe kijana ni nani njoo hapa"aliniambia yule mama ambaye nilikuwa namuona ona na kujua mi mama wa Grace ila sijawahi kutana nae na wala kuongea nae nakumbuka nilimuonaga mara ya kwanza alipomreta Grace shule kureport.
"Wewe kijana si nina kuita njoo hapa unaenda wapi."alizidi niita hapo nana hata hamu niliondoka eti nani abaki,niliondoka huku nikijiziba uso asinione, nilikimbia kabisa pale nikiwa njiani kurudi nyumbani nilifika mtaani nikitembea mwendo wa kobe yani kidogo kidogo nikiwa nimejawa na hasira ya kumkosa Grace yani wivu uliniandama kwa jinsi navyo mpenda grace yani alochukua nusu ya moyo wangu nilimpenda sana,ila aikuwa na jinsi nilibaki na sononeko tu moyoni ambalo lilikuwa likiniumiza peke yangu.
Kwa wakati ule niliamua nisiende nyumbani moja kwa moja hivyo nilielekea vibandani angalau nikajichanganye na marafiki.
Nilianza kutembea hatua kadhaa nikielekea kijiweni kwaa jamaa zangu dakikaa zisizo zidi tano nilishafika pale walipo na kujichanganya niliwapa salamu kama kawaida ilikuwa 'mambo' 'poa'salamuza kihuni kisha story zikaendelea yote ni kupoteza mawazo juu ya Grace wangu,.
"oya gao bora umekuja mana jamaa mbishi kweli daah"
"kwanini tena mbishi?"
"Yani huyu jmpendeleamaa kazidi kubishana eti wewe kwa uonavyo wewe kati ya wema sepetu na zari nani mkali."aliniamvia jamaa yangu yule wakati huo wengine wapi kimya wakisikiliza tu.
"mwanangu hapo mmh wote wakali mwana mcheki wema chombo kile toto la kitanzania huku ulimcheki zari na chombo cheupe kile ni mkubwa lakini kama binti hivyo wote waukwe."nilihitimisha hivyo sikumpendelea yoyote kati yao japo zari ni mzuri ila wema nae anauzuri wake.
"Gao umeaema kweli kabisa wote wakali.kil mmoja anauzuri wake tu pale ka nionavyo mimi"jamaa mwengine alisema, hapo mada hiyo ikakatiswa ziliendelea story nyengine za hapa na pale huku masaa yakisogea tu, sikujali niliendelea na story tu zikininogea mpaka jamaa zangu walipokuwa wakiaga kwenda kula ndio nikakumbuka kuwa kuna kula hivyo nilichoamua nikajisogeza kibanda kimoja wapo cha chips na kununua kisha nilipozipewa nilianza kuzifakamia mafumba fumba nikiiwa nimejibanza sehemu ya kujificha ili wenzangu wasinione kabisa mana nilijua fika watanza vya kuniomba,nikikuwa nimewaacha pale baadhi waamekaa nikaenda mpaka dukani huku chips zangu nimeficha baada ya kufika nikanunua kinywaji kilikuw ni soda ya twist take away niliondoka nayo mpaka kifichoni pale pale na kuanza kuzila haraka haraka.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni