WEKA YOTE (26)
Zephiline F Ezekiel
5 min read
SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA
ILIPOISHIA...
Nikikuwa nimewaacha pale baadhi waamekaa nikaenda mpaka dukani huku chips zangu nimeficha baada ya kufika nikanunua kinywaji kilikuw ni soda ya twist take away niliondoka nayo mpaka kifichoni pale pale na kuanza kuzila haraka haraka.TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
"Oya gao vipi mbona umejificha wafanya nini"ilitoka sauti ya jamaa yule anaejiita twite ilinibidi nifiche chips zangi na soda.
"aaah, amna bhana nakojoa."
"unakojoa huku umekaa"aliniuliza.
"hamna bhana"
"na mbona nasikia harufu ya chips unakula nini, nipe kidogo basi acha uchoyo"twite aliomba na uroho wake mana anapenda kuomba balaa.
"Hakuna kitu bwana nenda tu."nilisema kwa kumtaka aondoke.
"nipe mwana kidogo tu nimezimis na nionjeshe."alizidi kuomba,.
"sina bhana wewe nenda tu sina cjips mimi"nilizidi kumtaka aondoke pale kabisa, ila ubishi wake na kutumia nguvu alianza kunifata pale nilipokuwa nimekaa, na kuanza nivuta vuta.
"oya nini wewe mbona unatamaa fina chips ondoka si uondoke sina hujala kwenu"nilimtolea maneno ya kumkaraisha.
"wewe si unipe mbona mchoyo kiasi hicho, nipe nitabaruku tu."alizidi kulalamika mpaka ananikwapua ule mfuko wenye chips na kukimbia nao.
"Twite acha ujinga wewe mbona unatama jamaa nirudishie chips nikuoe acha ujingaa bhana "nililalamika ila jamaa wapi alitokome gizani kabisa hapo nikaamini kweli uchoyo haufai pengine ningempa asinge nikwapua pale ila miliendekeza uchoyo ndio manaa ikawa hivyo.
Aliniachia soda tu nilijisikiahata hasira kuinywa ilipelekea niitandike teke ikakitupa kichupa mbali na soda yote kumwagika hapo nilikuw na hasira mara mbili niliamua niende tu nyumbani huku nimevimba vilivyo.
"aaah, ahhhh siiiiuuuuu"nilikuwa nikionge na kusonya tu njia nzima, nikifika sehemu kutokana naa kutokuangalia chini ikapelekea nijikwae kwenye jiwe lililoko chini.
"Aah, huuu upumbavu bhana ndio nimi sasa yani kwann mimi tu"nilijisemea mwenyewe baada ya kujikwaa kwenye jiwe lile, niliamua niendelee na mwendo mpaka kufika nyumbani nikaingia moja kwa moja bila hata salamu nikielekea chumbani kwangu.
"mwanangu gao vip unanini mbona damu zinakutoka mguuni"aliniambia shangazi na kufanya nikishangae.
"shikamoo shangazi, daah nilijikwa wakati naja huku.
"unatokea wapi kwani mpaka ukajikwae."shangazi aliuliza, nikaanzaa kujiuma uma.
"ah,ahh milikuwa pale mbele na marafiki zangu twapiga story tu."
"wewe usiwe mtembezi mwanangu has a kukaa vijiweni sipendi kabisa hujui tu, wanakamata kamata police watu wanaokaa vijiweni sasa wewe shauri zako usioend kukaa sana sawa"shaangazi alinipa nasaha,nikamwitika kwa kichwa tu na kueleke chumbaninkwangu mana nilihisi kichwa kinapata moto kwa hasira niilizokuwa nazo niliinhia naa kujilaza dakika kadhaa nikitwa chakula nikaamka kisha kuelekea mezani baada ya kula nikarudj ndani na kuelekea bafuni kuoga nilipo maliza kuoga nikarudi ndani kulala.
******
Asubuhi baada ya kujiandaa, na kufika shule nilifanya kama vya sikuzotenikafanya usafi huku nikiwa hodari kupiga chabo huku na kule kumtafuta Grace wangu tu nilipoteza furaha pale milipomtafuta bila mafanikio mpaka tunaingia darasani simuoni tu, nilijifikilia mara mbili mbili kuwa lusinde kamfanya nini Grace wangu sikupata jibu, nikikosa hadi hamu ya kukaa shule nilifikilia kutoroka tu aikuwa na muda wa kukaa darasani, nikaamka na kutoka nje nikiwa nimedhamiria kutoroka tu, wakati huuo nasoma ramani, mpaka niliporidhika nikaanza kutembea kupita nyuma kule kule ila kibaya zaidi kabla sijafika mbali nilimshuhudia lusinde akizunguka kule mbele kwenye nji ya kutorokea......
Nilipomuona sikujitia kimbelembele kwenda niliamua nirudi nyuma ili nisikamatike kizembe kama samaki mtungoni, nilirudi nyuma vizuri na kujibanza pahala kwenye ukuta huku nikichungulia chungulia, lusinde nilimtamani sana hata nilikuwa na hasira juu yake kabisa japo sikujua alichomfanyia Grace wangu.
Nilijibanza kwa muda kisha nikatoka sasa pale kwenye ukuta na kukagua huku na huko sijaona mwalimu ndipo nikatumia hatua ndefu ndefu kuchepuka haraka haraka nisionwe, mwendo ulie nilitoka hadi kwenye uzio wa shule na safari ya kuelekea nyumbani ilianza, nilionekana mnyonge njia nzima kama niliepigwa kitendo cha kutokumuona grace wangu iikuwa kama nimepigwa kwa jinsi nilivyokasirishwa, moyo wangu ulikuwa hauna amani kabisa.
"Oya vipi unaumwa au.?"nilisjitukizwa sauti niliyoisikia bila kumjua muongeaji ndipo ikanibidi nigeuze shingo yangu kumtazama moja kwa moja nikakutana sura ngeni machonu kwangu kabisa sikuweza kumtambua ni nani.
"asante kawaida"nilijimjibu kifupi tu na kuruhusu aondoke pale.
Na kuniacha nikiendelea kutembea kurudi nyumnani mwendo wa mita kadhaa nilikaribia nyumbani kwetu hapo nilianza kuchapua mpaka kufika mlango wa kuingilia ndani geti, sikutumia dakika nyingi kufika ndani niliingia moja kwa moja mpaka chumbani kwangu kisha nikakaa kwa kutulia pasina kuitwa na yoyote nilikuwa nipo ndani ila sikuona raha kukaa ndani nilipata fadhaiko kiasi kwamba kila saa miogoni mwa mawazo yalio kuwa yameiteka akili yangui kuhusu Grace, niliamua nijitokee nje mchana huo angalau nikakae kwenye makochi pale hata niangalie runinga naweza kupoteza mawazo.
Nilitoka vizuri na kukaa sofani nikitizama runinga wakati huo ilikuwa ni kipindi cha uswazi ilikuwa ni ijumaa hivyo East africa television kunakuwa na uswazi.
Nilitizama huku nikifurahi kutokana na kipindi kile mpaka kinaisha ndio nikamuona Ester akitokea nje huku mkononi kashikilia mfuko.
"Mambo Gao umerudi."Ester alinisalimia.
"poa."nilijibu kifupi tu sikutaka maneno mengi.
"mh, mbona umenuna kulikoni."
"bhana sitaki maswali ondoka."nilimfukuza, nae alinitazama tazama na kuondoka kishingo upande.
"umekuwaje wewe mh haya bhana"aliongea kinyonge wakati akiondoka, na mimi sikuendelea kukaa niliamua nitoke nje tu nikazunguke mitaani.
Niliamka na safari ya nje kuanza nikawa nafungua mlango nitoke.
"wewe gao unaenda wapi?"Ester aliuliza hapo alinikasirisha mana sipendi kuchungwa.
"bwana kwani wewe unataka niende wapi si uniache kipi kinakuhusu."nilimtolea maneno hayo akanywea kabisa, baada ya kumwambia vile nikafungua mlango na kutoka zangu nje nilijihisi nimevulugwa akili mana
njia njia nzima nilikuwa nikitembea huku nikiita "Grace, grace ,grace."nilitembe mwendo huo wa kuimba jina la Grace mpaka nafika mtaani kwenye mikusanyiko ya watu niliacha kuimba na kuanza kufata njia hata niendako sijafikilia nilikuwa nikijiendea endea kama mlevi aliesahau kwake.
Nikiwa njiani natembea huku naangalia mbele niliweza kumuona mtu ambaye sijategemea kama nitamuona hivyobili kujiaminisha niliamua kumkimbilia kama ni yeye kweli.
"Mamaa imma, mamaa imma."nilimwita mtu yule nikiamini ni mama imma, nae akageuka kuniangalia pale nilipo mkaribia kweli alikuwa mama imma.
"Gaoo, mambo"alinisaimu kwa kunichangamkia.
"poa mama imma mzma wewe , za siku"
"safi tu za kunisusa jamani hata kuja kunitembelea mmh vibaya hivyo"mama imma alilalamika.
"hamna mpendwa si unajua shule wanabana sana."
"mpaka weekend waenda shule"alinichapa swali, nikakosa hata jibu nikibaki kimya tu.
"mh,any way mzma wewe."aliendelea kuongea huku akikatisha ile mada.
"mimi mzma hofu kwako mama imma."
"mimi pia nimekumis tu"
"kwel.!"
"ndio nimekumisije we acha tu."
"asante mimi pia nimekumis"tuliendelea kuongea huku tumesima karibu na mti uliokuwa pembeni kidogo na barabara.
"alafu mwenzio nina....."alikatisha maneno hapo nikamalizia.
"nyege"nilitamkwa kwa pupa.
"mmmh, wewe acha utani wako"aliongea kwa kucheka na sauti yake ile ya kibinti japo ni mama.
"nije lini tufanye yetu sasa."nilimpachika swali.
"usijali wewe panga tu siku yako uje hata leo."
"kweli, sawa bas usijali ila utajuaje kama nimefika."
"hilo usijali utanigongea dirisha."
"sawa mama imma"Nilihitimisha hivyo tukaongea machache kisha nikamsindikiza kwa macho huku nikiwa makini kutazama vikalio vyake vidogo vikipishana ndani ya gauni lake lile la kuteleza, japo yalikuwa madogo ila si hapa yae kaa vizuri sana tena yamewamba kiasi kwamba ukiyashika hutatamani kuyaachia.
Baada ya muagano ule niliendelea na matembezi yangu yasio kuwa na maana wala sehemu maalum ya kwenda, nilipotafakali kwavmuda nikaamua niende kumsalimia mama baada ya kujua juma yupo kazini nilitembea haraka haraka ili nimuwahi mama imma tuongozane ila sikumuona kabisa ilikuwa ola kila nikiangalia simuoni ikanibidi niende mwenyewe mpaka nikafika na kugonga mlango uliokuwa umerudishiwa.
"Hodii, hodiii, mamaa mamaa."nilipiga hodi na kuita.
"karibu mwanangu."ni sauti ya mama ilinikaribisha na mimi nikaingia ndani.
"Shikamoo mama za hapa."
"salama mwanangu za huko utokapo."
"salama mama za siku."
"za siku salama kama unionavyo, umetususa kweli mwanangu tangia siku ile sijakutia machoni."
"hapana mama, shule wanabana kwel muda yani hatuna muda kabisa."
"sawa baba yako alikuwepo mida hii hii katoka kuswali."
Alinikasirisha mama japo sikuonesha wazi kama nimekasirika pale aliponitajia juma ila nilitulia tu akaniandalia chai nilipokunywa tukaongea machache na kuaga kuondoka mama alinihimiza nilale ila sijakubaliana nae kabisa niliaga na kuondoka, moja kwa moja nilielekea nyumbani mida hiyo nilipoungia niliwakuta wote wapo hadi shangazi tulisalimiana kisha nikaelekea ndani kuchukua hela zangu nillipozichukua nikazichimbia mfukoni na kutoka nje nikiandaa kutoka safari ya kwa kina Grace wakati huo imeshafika saaa moja nilimuaga shangazi kuwa naenda kukaa na jamaa zangu akaniruhusu kisha moja ka moja nikalekea kwa kina Grace, nikitemvea haraka mpaka kituoni nikachukua boda boda niwahi kufika japo sio mbali ila ni jeuri ya pesa nilipopanda ilinifikisha nitakako ikaondoka nikabaki na kazi ya kumtoa Grace nje nilihangaika kumsubiri ila wapi ila kama bahati nilimuona mtu akija maeneo yale akitokea kwenye njia,Nilijituliza nikisubiria huyo anekuja nani, alipodika karibu nilimshuhudia ni Grace.
Nikajitoa nilipojificha na kumuwahi asije ingia ndani.
"Grace, jamanii"nilita kwa kusikitika nilipomuona grace nae aliponiona alinirukia, kiduani.
"Gao wangu,"
"Daaah, grace mbona unaniweka roho juu mwenzako."
"hapana mpenzi wangu, lusinde sio mtu mzuri baby alichonifanya siamini."aliongea huku akionekana anataka kulia.
"Kakufanya niniii.?"niliuliza kwa jazba, wakati huo Grace akilia.
"Please baby naomba nisikuambie hii kitu kaniambia asijue mtu yoyote tuiache please"alinichanganya aliponiambia tuiache nilikuwa na jazba mpaka akahisi tutasikiwa hivyo tulianza kusogea alikuwa akinivuta. kusema ukweli hasira zilinipanda mithili ya mbuni aliebebewa yai lake.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni