BABU G (1)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA KWANZA
Dunia simama nishuke, niyaonayo karibu yatanitoboa macho. Sitaki kuamini kuwa kwa wengine haramu kwa wengine halali. Wapo wanaokula visivyoliwa. Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni. Dunia ina mambo makumbwa sio madogo. Babu G ndilo jina lake maarufu lisilosadifu umri wake pengine na matendo yake pia. Matendo yake kwa maana anayoyafanya yanachekesha na kufedheesha machoni mwa jamii. Yaani kweli mzee huyu ni wa kutembea na mabinti wadogo wanaopaswa kumwita babu. Eti na wao wanafurahiswa na kumsifia kila kona Babu G, Babu G eti anayajua mapenzi na ana utamu unaozidi asali. Dunia ebu zunguka kwenye muhimili wako kaaaah…!!! Haya mambo nilijua ni mjini tu kumbe mpaka huku kijijini kwetu yapo.NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU
Nilikuwa nikisimuliwa tu habari zake na kunifanya nigugumie kwa kicheko kutokana na umri wake nilijua kabisa kuwa hawezi kufanya hayo wanayoyasema zaidi watakuwa wanamsingizia tu. Kweli tembea uyaone sio maghorofa ni mambo makumbwa yanayostaajabisha. Nipo likizo mwenzenu nimekuja huku kijijini kwetu kuwasalimu wazee. Nijifunze mambo ya mila na kila lilojema kutoka kwa wazee wetu. Ya kale ni dhahabu, wazee ni hazina waswahili walishanena. “Babu G” kwanza jina lake linanipa raha. Hii G sijui ina maana gani lakini ngoja niwaelezee kutokana na ninavyo msikia na ninayoyaona kwa macho yangu haya. Babu G si haba kwenye maswala ya kipato mola alimjalia, mema alimshushia mali akajilimbikizia tangu akiwa kijana. Ujana wake hakuutumia vyema kweye maswala ya mapenzi ni mtu aliyejielekeza kutafuta maisha. Huenda hii ndio sababu ya ufirauni anaoufanya kwa sasa kulingana na anachokiamini ila kimantiki la hasha hii ni sababu isiyotija
Naam kamera yangu ya uandishi yenye lensi mbinuo na mbinuko inayoniwezesha kumulika na kuandika yasiyomulikika na kuandikika iliniwezesha kuona ya dunia huku kijijini kwetu. Babu G jina maarufu na gumzo hapa kijijini. Hakika babu G ni fundi fundi haswaa. Anapenda kula vinono vyenye mafuta na steki. Babu G sio wa vipapatio, yeye ni wa mapaja ya kuku wa kisasa. Eeeh sio nyama tu anakula mpaka mayai ambayo wenye kuku huwa wanayatunza na kuyaheshimu. Nilikuwa nipo bustanini kwetu nilipoenda kula mapera na maparachichi bila kusahau zambarau na matunda mengine ambayo huwa yananipa raha na kufurahia kuja kumsalimia babu. Baada ya kula na kushiba niliamua kurudi zangu nyumbani. Nilipokuwa narudi zangu nyumbani ndipo hapo nilipoanza kusikia milio ya ajabu ajabu. Niliamua kujisogeza ili nione nini kilikuwa kikiendelea.
Ilinilazimu kupiga magoti kwa maana hata mimi mizuka ilinipanda.. “ooooooooh,, mmmmmhh, iiiissssssssssssh marashiiiiiiiiiiiiiii…. hapoooo hapoooooooo…yeeeesss babuu G ongeza spidi nasikia rahaaaaaaa” sauti za mlimbwende zilisikika kutoka kichakani. Nilipagawa hata mimi kwa kweli maana ilikuwa sauti laini ya kike iliyojawa na upagavu wa huba. “Khaaaah!!!!! nilistaajabu iweje mambo hayo hadimu na ya sirini yafanyike vichakani. Macho yalinitoka utimamu ukapungua na kujisogeza zaidi ili kuona yanayojiri vichakani. Niliona mubashara pasi mawingu wala ukakasi binti aliyekuwa akiimba nyimbo za chiriku akiwa amekunjwa akakunjika. Ashakumu si matusi, mwang’anyaaa bayana isiyo kificho yaani ushindwe wewe maembe dodo yalikuwa yakicheza kwenda mbele na kurudi nyuma. Ule utamu wa dhambarau na mapera niliokula uliniishia baaada ya kuona maembe dodo ya binti huyo.
Sio vya mbele tu ndo alijaliwa la hasha hata nyuma si haba kibaba kilijijaza. Kinyonga si kinyonga, sokoro kwinyo kwinyooo mtoto wa kike alijinyonga. Bingili mbingili pingili pingili alifuatisha mapigo ya Babu G. Kweli babu G alifaidi vitamu vya hamu. Babu G jamani alikuwa nyuma ya binti aliyesimama kuchuma t
Si peke binti mdogo alieshikishwa gogo ndiye aliyekuwa anafurahia mchezo huo la hasha bali pia kibabu chenye ladha ya ajabu kilifurahia kuokota dhahabu kwenye mgodi wa Mwajabu. Ndio usishange jina la binti huyo ni Mwajabu hasiye na aibu wala adabu ya kushiriki na kibabu. Kweli haramu vitamu babu alishika kisogo. Si mikono yote la mmoja tu na mwingine ulikuwa mbele ukifaidi kupapasa papasa maembe dodo ya mti huo uliojaliwa.
Kushoto kulia, kushoto kulia kiuno cha Babu G kiliendelea kujizungusha kwenye mzinga wa asali kisha kutulia. Mviringo gongongoo duara dunia Mwajabu alijiumbia babu G akamkatikia.Sauti zisizo haja sifa zisizo tija zikazidi kumtoka binti huyo “jamaaani Babu G niiipeeee nipeeeeeee yote,”Mwajabu aligugumia. Filamu ya burebure mwenzenu najifaidia. Lakini muda ulivyokuwa unaenda uvumilivu ukazidi kunishinda nikaanza na mimi kuamia kwenye dunia waliyokuwa. Nilitamani kujisogeza na kuwarukia lakini usalama wangu nilihofia.Kweli sikuamini nikaendelea kujifikiria na kufaidi yasiyo mema matunda yalo laana.Yaani binti saizi yangu ambaye ndo kwanza pambazuko la ujana wake lilianza kweli yupo na kibabu?. Duuuuh!!!!!! ajabuuu isiyo sababu. Uzuri kuntu, mwili wa kibantu amekosa nini mpaka ampe kibabu? Nilijiumiza kwa maswali yasiyokuwa na majibu. Mwang’anya mwang’aa mapaja panu panu kayapanua na Babu G anajifaidia.
“Niwaharibie?”….niliwaza huku na mimi nikiwa hoi vinavyotuna vilishatuna. Ndio sinema ya vichakani ilinifanya suruali yangu kukosa adabu na kutuna kwa mbele. Kumbe si mjini tu kuna mambo hata huku niliwaza. Kweli hii likizo ya kuja kwa babu imekuja na mengi. Sasambua sambu aliendelea kunyumbulika binti yule wa ajabu niliyemtunuku jina la Mwajabu.
“Babu G”
“Yes mpenzi”
“Na mimi nataka kupanda”
“Panda tu mpaka uridhike”
Nilisikia wakijibizana.Eeeeeh nilijitega vizuri ili kuona ni mazao gani binti huyo alitaka kupanda huko vichakani. Mungu wangu kumbe alikuw akaitaka kupanda mti. Babu G sasa akakaa chini huku mche wake unaotaka kupandwa ukiwa wima tayari kutumbukizwa kwenye shimo hilo lilowekwa mbolea inayoleta hamu. Kweli kata mti panda mti tutunze mazingira. Bila aibu Mwajabu akamkalia babu na kuanza kula mbakishie baba kweli hata kama ni haba cha muhimu ni kushiba. Mwendo wa kobe si kinyonga binti alinyonga na kukoboka kama nyoka. Kila mtu akazungusha mkono kwenye mgongo wa mwenzake. Eeeeh mapigo yakaongezeka binti akazidi kunyonga nyonga jongea nikijikuta nasogea. Mara “kwaaaakwakwaaaaa” sauti za kanga pori kama sikware wakware ziliharibu mpango wangu. Dili likageuka dirisha wahusika wakagutuka, kwatu kwatu wakatimuka. Hao nguo mkononi wakatokomea.
Je, Babu G ni nani haswaa, Na huyo binti hasiye haya mwanahizaya ni nani?.Wamekimbilia wapi na kwa nini michezo hiyo vichakani…
Basi nilipata shauku kumbwa sana ya kutaka kujua Babu G ni nani hasa. Niliondoka na kurudi nyumbani ambapo nilimkuta babu akiwa akichonga vinyago vyake. Nilifurahi kumkuta maana nilitaka kumuuliza habari za baba G. Babu alishangaa kwa nini nilitaka kujua habari za mzee huyo. Nilimwambia kuwa nimekutana naye maeneo ya bustanini. Babu alishangaa na kuniambia labda nimemfananisha kwa sababu muda wa mchana huwa haonekani mara kwa mara mara nyingi huwa amejilaza kwake na kupumzika kwake na hiyo ni kwa sababu usiku huwa anakesha na kufanya kazi ya ulinzi kwenye shule ya sekondari ya wasichana. Hapo nikaendelea kudadisi na kusisitiza kuwa ni kweli nimemuona.
Babu alinieleza kwa kifupi kuwa Babu G ni mzee wa makamo ambaye alishawahi kuwa mwanajeshi. Babu G kutokana kuwa na nguvu licha ya umri wake kuwa mkumbwa aliaminika na kuendelea kupewa majukumu mbalimbali ya kujenga taifa na kujipatia kipato.Uwezo wake na ukakamavu ulifanya aendelee kupata kazi hata baada ya kustaafu.Aliajiriwa kama mlinzi katika shule ya sekondari ya wasichana. Huko alijijengea heshima kumbwa sana na alipata umaarufu kutokana na utendaji kazi mzuri. Alipendwa pia kwa kujituma kwake na kuweka ulinzi stahiki kwenye shule hiyo. Sio shuleni tu hata kijijini alikuwa akiheshimika. Ucheshi wake na ujuzi wa kusimulia hadithi na kuchambua mambo mbalimbali ya kidunia ndo unamfanya mzee huyu kuwa maarufu hapa kijijini. Babu G ni mzee ambaye laiti kama ukimpa nafasi ya kumsikiliza basi lazima utaacha mambo yako yote.
Babu alimsimulia kwa mapana na marefu lakini hakueleza mapungufu ya mzee huyo. Nilitamani kujua zaidi kama babu huyo alikuwa ana familia. Babu alinieleza kuwa Babu G alikuwa na mke ambaye walizaa naye watoto wawili tu na kwa bahati mbaya mke wake alifariki. Akaeleza kuwa kwa sasa watoto wake mmoja yupo chuoni na mwingine yupo jeshini. Kwa stori hiyo niligundua kuwa babu G alikuwa akiishi hapo kijijini mwenyewe bila familia
“Sasa anaishiji mwenyewe? niliamua kuuliza swali hilo”. “Anaishi tu mjukuu wangu siunaua alishakuwa mwanajeshi hivyo sio kwamba anashindwa kujihudumia”.
“Kwani nini hakutaka kuoa tena” niliuliza swali la uzushi.
“Hapa sizani kama ilikuwa sahihi kwa yeye kufanya hivyo kwa sababu umri wake ulikuwa umeenda sana. Ni sawa na mimi mjukuu wangu kuoa katika umri huu”.
Baada ya mazungumzo hayo niliingia ndani huku nikiwa bado sijapata kile nilichokuwa nakitamani kusikia hasa kwenye mambo hayo ya utaalamu wake wa mapenzi. Kauli kuwa hawezi kuwa bustanini mchana huo ilikataaa kabisa kungia akilini mwangu.Nilijibwaga kitandani huku nikiendelea kutafakari. Kweli huenda nitakuwa nimemfananisha niliwaza huku nikiwa bado na taswira ya tukio lile. Nilitamani sana kukutana na mzee huyo na niliona kama nikikutana naye basi itakuwa ni fursa nzuri sana ya kujua kwa nini alikuwa akifanya michezo hiyo na wanafunzi hasa ukizingataia umri wake ni mkumbwa na yeye ameaminiwa sana na kupewa dhamana ya kuwalinda.
Baada ya fikra hizo niliamua kujirizisha kwa kuwasha kamera yangu ya digitali ambayo nilirekodi lile tukio. Lengo lilikuwa ni kuangalia ile sura kwa umakini. Niliangalia lile tukio nikajikuta nazidi kujiumiza maana mzee alifaidi sana. Nilijikuta uchu wa ngono ukinipanda ghafla. Kwa kuwa nilikuwa na uhakika kuwa mzee huyo ni Babu G niliamua kuanza kumfuatilia nyendo zake na nilipanga kuunda urafiki naye ili nijue huo ujasiri na ujuzi wa kutembea na wasichana wadogo saizi yangu ameupata wapi. Nilitafuta mbinu ambazo zitanifanya niwe karibu naye. Siku iliyofuata nilienda mpka pale shuleni kwa minajili ya kuonana na mwalimu mkuu. Ni ailikuw ani kuomba kuwasaidia kuwafundisha wanafunzi wa hapo. Kwa kuwa mimi nilikuwa chuo na nilijua kabisa walimu wa sayansi ni shida kwenye shule nyingi hivyo niliamua kutumia mbinu hiyo ili na mimi niweze kuwa karibu na Babu G.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI
KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
Email: ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni