BABU G (2)

0

JINA: BABU G
Mwandishi: Eliado Tarimo

SEHEMU YA PILI
ILIPOISHIA...
Siku iliyofuata nilienda mpka pale shuleni kwa minajili ya kuonana na mwalimu mkuu. Ni ailikuw ani kuomba kuwasaidia kuwafundisha wanafunzi wa hapo. Kwa kuwa mimi nilikuwa chuo na nilijua kabisa walimu wa sayansi ni shida kwenye shule nyingi hivyo niliamua kutumia mbinu hiyo ili na mimi niweze kuwa karibu na Babu G.

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

SASA ENDELEA...
Kwa jinsi babu G alivyonishangaza nilikuwa nipo tayari hata kufundisha bure mradi tu awe rafiki yangu.

Basi nilijieleza pale mbele ya mwalimu mkuu na mwAlimu wa taalumu na nlijgamba kuwa mimi nimebobea kwenye masomo ya sayansi hivyo naweza kutoa msaada. Kwa kuwa ilikuwa ni shule ya private hivyo ilinilazimu niende kwanzA nyumbani maana ni kweli walihitaji mwalimu lakIni pia lazima Wakae waone jinsi gani watanipa chochote kitu hata pesa ya maji. Niliondoka nikiwa na matumaini mengi kuwa bahati yangu ipo na lazima wataniita. Kweli bwana baada ya siku tatu nilipigiwa simu nikielezwa kuwa niende kuanza kazi huku wakisema kuwa watanilipa posho kila siku. Posho haikuwa lengo langu sana nia nilikuwa nataka kupata marafiki wapya na kujauna na Babu G. Babu yangu alaipinga sana mimi kufay akazi hapo akaisema kuwa wanakijiji wa hapo wataona wivu hivyo wanaweza hata kuniloga. Babu alaikuwa hapendi hata mimi kutembeatebea lakni nilijaribu kumwelewesha umuhimu wa mimi kufanya hivyo kuwa itanisaidia niweze kupata uzoefu utakaosaidia siku za baadaye.

Nilianza kazi hiyo ya kufundisha huku na mimi nikipesapeaspesa macho na kuangalia wasichana warembo ambao walikuwa wakipatikana kwenye shule hiyo. Kweli ujana kazi na mimi nilikuwa na matamanio ambayo nilijitahidi sana kuyaficha. Siku zikazidi kwenda huku na mimi nikinogewa kuwafundisha wanafunzi hao. Kwa kuwa nilikuwa najituma sana na ufundishaji wangu ulikuwa tofauti na walimu waliowaozea. Jina langu likawa gumzo na nikatokea kupendwa sana. Wasichana wengi walikuwa wakijipendekeza wenyewe lakni kidogo niliheshimu kazi na sikutaka kuwapapatikia.
Taratibu nikaanza kuzoeana na babu G na alianza kuwa rafiki yangu. Siku nikiwa free nilikuwa naenda kwake tunaongea na kupiga stori. Babu G kweli nilimkubali sana kwa sababu alikuwa ni mtu wa kupiga stori. Nilikuwa nikisubiri subiri ili siku ikifika nianze kumuuliza maswali mengi hasa kwenye Nyanja ya mapenzi. Siku moja nikiwa darasani machale yalinicheza mara baada ya kuoana kulikuwa kuna binti ambaye alikuwa ni mzuri kuliko wote hakuwepo. Binti huyu kwa jina Boke ni binti ambaye alijaliw

Shida kumbwa ilikuwa ni mazingira hivyo hata akikubali huwezi mpeleka sehemu yoyote zaidi utaishia kula kwa macho. Hapo sasa ndo niliona umuhimu wa kuzidi kuwa karibu na babau G. Nilifundisha huku nikijaribu kuwaza binti huyo atakuwa ameenda wapi. Kipindi kilipoisha niliamua kwenda ofisini na nilipitia daftari la ruhusa. Hata huko sikuona jina lake. Nilijiuliza maswali mengi baadaye hisia zangu zilinituma kuwa huenda babu G anafanya yake. Haraka haraka nilipata wazo la kwenda huko kwa babu G. Babu G alikuw akiishi mita chache kutoka ulipoishia uzio wa fensi ya shule hiyo. Huyo taratiibu nilipita njia ya mkato na kuelekea huko.

Akili zangu zilikuwa zikiniambia kuwa binti huyo anaweza kuwa huko kwa mzee huyo. Nilipiga hatua za haraka haraka mpaka nikafika kwenye nyumba yake. Kimya kilikuwa kimetawala na siku hiyo sikutaka kubisha hodi kama ilivyo kawaida. Niliuendea mlango na kujaribu kuusukuma. Mlango ulikwa umefungwa kwa nje. Palikuwa kimya lakini bado hisia zangu zilinituma kuwa huenda kuna mahali babau G yupo. Wazo likanijia haraka haraka kuwa niende kule kwenye bustani ya shule ambapo mida hiyo hakuna anayeendaa huko. Nilijitoa ufahamu na kuanza kwenda huko. Nilifika mpaka kwenye kichaka kimoja ambapo ndipo ufirauni wa babu G huwa unafanyikaga. Nilianza kukaribishwa na migumo ya ajabu ajabu.. “Oooooooh mmmmmmmmhhh iiiiishhhhhhhhh”. Niliamua kunyata kabla ya …

Niliamua kunyata kabla ya kupiga magoti na kutoa simu ili niweze kurekodi nilichokuwa nakisikia na pia ikibidi nichukue na picha. Mpaka wakati huo nilikuwa sijajua kama sauti hizo zilimuhusu Babu G moja kwa moja au alikuwa ni mtu mwingine. Iliniwia ngumu sana kupata mwonekano wao. Nilisogea zaidi huku nikiwa makini ili wasinione. Sauti za migugumio zilizidi kuongezeka. Nilipata shauku kumbwa sana ya kuwaona wahusika lakini ilkuwa ni ngumu. Hicho kichaka safari hii kilizimbwa vizuri. Mawazo yalinijia sijui nirushe jiwe nione nini kitatokea lakini nikaogopa maana ningeweza kuwakurupusha na kusababisha madhara kwao. Niliendelea kusubiri na kwa sauti hizo zilivyokuwa zikitoka nikaamini kweli aliyekuwa kongoza mchezo huo alikuwa fundi sana.

Nilitamani kucheka maana binti alikuwa akilalama. Kwa sauti hizo za upagavu wa aha ilikuwa ni ngumu sana kwangu kutambua kama aliyekuwa akipewa dozi ni Boke au msichana mwingine. Niliendelea kuwa mpole huku nikiishiwa pozi na kukosa la kufanya. Nilitega sikio langu kwa umakini mkumbwa sana huku nikisikilizia mapigo. Mara nilibahatika kusikia kitu kilichonipa uthibitisho.. “Ooooooohhh mmmmh asanteee Babu G……”. Nilitabasamu maana hiyo ilionesha aliyekuwa akitoa dozi hiyo ni Babu G. Baada ya muda kimya kilitawala na sasa nilijisogeza pembeni na kujibanza ili nione ni nani atakayetokea. Nilisubiri hapo kwa dakika kadhaa lakini hakuna aliyetokea. Nilishangaa kwa nini mtu huyo alikuwa akichelewa kutoka.Muda ulienda sana na kimya kilitawala nikajikuta naamua kusogea tena lile eneo. Nilisogea karibu lakini kimya kilikuwa kimetawala. Hapakuoesha kama kulikuwa na dalili ya uwepo wa watu. Nilistaajabu na kujiuliza wamepitia wapi. Nilistaajabu kwa sababu haiwezanai mimi nimekaa hapo muda wote nisiwaone. Nilihisi nipo ndotoni.

Mara niliona simu yangu ikiwa inaita. Niliitoa na nilipoangalia aliyekuwa akipiga alikuwa ni babu G. Nilistaajabu na nilihisi labda alikuwa ameniona. Kabla ya kuipokea niligeuka na kaungalia kila pande ili nione kama alikuwa jirani. Sikuoa kitu wala dalili ya mtu.
Swali la kwanza aliloniuliza ni kuwa nipo wapi? Swali hili lilikuwa gumu sana kwangu na badala ya kujibu nilimuuliza yeye yupo wapi. Akaanza kuniponda na kuniambia kuwa kwa tatizo la vijana wengi hawajielewi kwa maana haiwezekani mtu akakuuliza swali na kabla hujatoa jibu ukaauliza swali. Simu hiyo ikawa imenipa nafasi ya mimi kuanza kujisogeza na kurudi shuleni. Nilikuwa mpole na kwa kuwa babu G alikuwa akilazimishia ajue nilipo nilikuwa nakwepa swala kwa kuanzisha mada ingine.Niljichekesha chekesha kabla ya kumuambia kuwa nipo shuleni. Akazidi kucheka na kuniambia niache uwongo maana ananiona. Eeeh nilichanganyikiwa na kujikuta nikigeuka huku na kule kutaka kujua nini kilikuwa kikiendelea. Sikumuona mtu yeyote na nilihisi labda mzee huyo yupo kule kule nilipotoka. Nilikata simu na kuanza kurudi kule bustanini. Nilirudi mpaka pale kwenye kile kichaka ili niweze kuangalia tena.

Niliangalia kwa umakini sana lakini sikumuona mtu. Nilijiona kama mjinga na nilianza kupatwa na hisia mbaya nilihisi labda mzee huyo ni mchawi. Nilikuwa na hofu sana hivyo niliamua kurudi zangu shuleni. Akili ilikuwa haifanyi kazi vizuri na niliamini kama mzee huyo ametoka kutembea na Boke msichana ambaye alikuwa akivutia sana na msichana ambaye alionekana kuwa alikuwa akijiheshimu sana basi atakuwa ameshatembea na wasichana wengi sana hapo shuleni. Niliingia ofisini na niligundua kuwa nina kipindi muda huo na muda ulikwa umepita. Kwa kuwa nilikuwa naipenda kazi hiyo niliamua kuingia darasani. Nilikuta wanafunzi wakiwa wanapiga tu stori. Nilikuwa nimechelewa hivyo wanafunzi walikuwa wamechoka kusubiri na walikuwa wakipiga stori.
Ilibidi niingie na kuwaambia nilikuwa na hudhuru hivyo wanaweza kuuliza maswali yoyote hasa kwa vipi

Ilibidi niingie na kuwaambia nilikuwa na hudhuru hivyo wanaweza kuuliza maswali yoyote hasa kwa vip

Nilipiga jicho huku na kule kumuangalia Boke lakini sikumwona. Nilitamani hata kumuuliza kiongozi wao lakini niliogopa maana anaweza kuhisi vibaya. Kipindi kiliisha na nilirudi zangu ofisini. Nilikaa hapo mpaka muda wa kazi uliisha. Nilirudi nyumbani na nilipanga baadaye jioni kurudi ili kuongea na babu G. Ratiba hazikuenda kama nilivyozipanga maana nilivyofika nyumbani babu alinipa majukumu mengine.

Siku zilisonga huku nikiwa napata wakati mgumu sana wa kuoanana na babu G. Ratiba zilikuwa zikipishana lakini wikiendi moja niliamua kumbana na kubaki anga zake. Niliongea naye habari nyingi sana na niliamua kumgusia habari za mapenzi. Hapo mzee alicheka sana na kusema ni ajabu kwa kijana mdogo kama mimi kumuulizia habari za mapenzi. AlinSambaia yeye kwa umri huo hana jipya zaidi ya kulea wajukuu.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)