MUUZA UBUYU (6)
JINA: MUUZA UBUYU Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Niliumia roho ila nitafanyaje yeyw ndo kaamua aliondoka na kuniasha nimejilaza kweny sofa haikuchukua dakika kumi na tano nilisikia sauti ya bajaj njr nikajua sam karudi may be alikuwa ananienjoy kuchungulia dirishani nikamuona elly moyo ulishtuka "kheee my Godness angemkuta sam ingekuwaje?" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Safari hii alibeba funguo za nyumba na kwasababu alijua nitakuwa nimelala akutaka kunisumbua kilichomshangaza alinikuta mezani nasoma. " eheee bae kweli upo serias na shule" "Haya ndo maisha bae hata ukinioa hata kesho sitaacha kusoma kwasababu una kila kitu bae" "Nashukuru kusikia hivyo basi nipo chumbani ukimaliza utakuja" Nilitabasamu niliposikia mlango wa chumbani unafungwa niliongea kwa sauti ya chini "angejua hata sikuwa nasoma ni kuzuga tu ila leo ndo ningeashika live" niliamka na kwenda chumbani" ********…