MAHABA NIUE (4) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... "namuona" "Mi namfuata" "hahahaha Ramsey kausha bana humuwezi" "embu niangalie mimi. najiamini tulia hapa nisubiri potelea mbali hata niki sikia sauti yake nita furahi" KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Ramsey aliinuka kweny kiti kile na kuanza kumfuata mama yule aliye kua ameshuka kweny gari la kifahari. kitu kingine ambacho kilicho kua kina mfanya apate mademu ni ujasiri aliokua nao hakua na kitu kuogopa mtoto wa kike katika maisha yake. "Anti anti. ndio wewe samahani kidogo" Ramsey aliita huku akizidi kumsogelea Mama yule "sijui naku fananisha au?" "inawezekana YOU NEVER KNOW" ""tusha wahi kuonana mahali kuna biashara tusha wahi kufanya" "mmmh mi ni mfanya biashara ndio inawezekana cause huwa nina meet na watu wengi ndani na nje ya nchi" "ofisi yako iko wapi?" "posta" "enheeeee basi…