MAHABA NIUE (5) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Esta haku ridhika aliona chupa ya bia na kuishika ambapo aliirusha kwa nguvu usawa wa Monalisa kwa bahati nzuri Mona lisa aliiona na kuinama kidogo ambapo ilipita na moja kwa moja na kutua kichwani kwa JOYLAH demu wake kway na kumpasukia kichwani. Joylah alidondoka chini pale pale na damu kuanza kuruka. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Kitendo cha Kway kugeuka nyuma hakuamini baada ya kumuona demu wake yupo chini anavuja damu kichwani. Esta alichukua chupa nyingine na kuirusha tena na kugonga ukutani. "baby.. Love..we mwanamke una ona ulicho kifanya"? Kway aliongea akiwa chini huku akimgeukia Esta na kumshika Joylah na kuzuia damu isitoke kichwani kwa Joylah. kweli furaha yote ilianza kutoweka hakuna mtu aliye msikiliza mwenzake tena wakati huo "nawewe usinizingue hapa msen**** nini wewe?" Esta alimjibu kway na kumtukana huku akiendelea na timbwili lile bila kujali kilicho to…