MAHABA NIUE (6)

0
Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA SITA
ILIPOISHIA...
"Kumbe baby ukivaa ivyo una pendeza eeeh?"
"Duuu kweli leo nime pendeza"
Alichukua moka na kuivaa mguuni. bila kusahau marashi aliji pulizia na kujiweka tena sawa.
"Funguo uta weka pale kwa siku zote"

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII

SASA ENDELEA...
"Poa..sasa unywi chai?"
"nita chelewa nita kunywa huko napoenda"

Alitoka nje na kuangaliana na Mama khadija
"umependeza sana wapi iyo?"
"Naenda Mwenge mara moja"

Ramsey alijibu huku akiendelea kuondoka alipo fika mbele kidogo alitoa wallet yake na kuonekana kama aki tafuta kitu baada ya kukiona alitoa. ilikua ni business kadi iliyo abdikwa NISSAN SALES AND BUYING.

aliyo pewa na Mama yule siku ile pale baa DDC
.
aliangalia vizuri namba zile na kuziingiza kwenye simu ali hakikisha vizuri kama ndo zenyewe na kuzipiga.

"Halloo naongea na meneja wa kampuni ya NISSAN?"
Aliongea Ramsey huku akiwa hana uhakika
"Yes ndio mimi sijui niku saidie nini?"
Ili kua ni sauti ya Mwanamke ambayo kweli alitambua niyule yule mwana mke aliye kutana nae. uzuri wa Mama yule na mguu wa bia vili mjia kichwani .
Ramsey ali kaa kitambo huku aki suuza koo.
"Mimi nai..."

Simu ya Ramsey ilikata pale pale alivyo angalia vocha alijikuta hana salio. na kuanza kuta futa duka ila kabla haja fika dukani simu iliita tena na kuona ile ile namba aliyo ipigia.

"samahani naona sijui mtandao una sumbua"

Alizuga Ramsey il hali alijua kuwa hana salio.
"ANY WAY usijali ulikua una semaje?"
"Mimi niyule kijana tuliye kutana DDC pale jana, nili kua na biashara nili kwambia."
"kijana yupi. ? nina kutana na watu chungu mzima. una biashara gani kwani?"
"nina uza dhahabu kwaio nina weza nika kuona tuka ongea vizuri"
"NO PROBLEM. you can come(hakuna tatizo,unaweza ukaja)"
"wapi sasa nita kupata?"
"njoo posta mpya sawa. ukivuka yale mataa pale kona mkono wako wa kulia uta ona jengo lime andikwa NISSAN uki fika hapo just call me"

Maagizo hayo Ramsey yali muingia vizuri na kuta futa bajaji.

ali mtafuta Kway na kutaka kujua mambo yalivyo enda hospitali.
"Ana endelea fresh, sema ameshonwa nyuzi saba kaka kichwani"

uliongea upande wa pili wa simu.
"Kway pole sana ndugu yangu nisa mee mimi"
"naelewa usijali mambo kama yale hutokea ila siku nyingine niki kuita usiliniletee mademu waswaili swaili"
"Mi nita kuja hapo hospitali baadae"
"Haina noma Ramsey"

Ramsey ali kata simu huku akiwaza jinsi gani ya kwenda kumuingia mama huyo wakati hata dhahabu zenyewe hana.

Bajaji ilizidi kukata upepo na tayari kufika kwenye mataa ali simama na kumpa pesa dereva huyo huku akilitazama jengo lile lili andikwa NISSAN,

alivuka bara bara na kutoa simu yake aki mtafuta Mwanamke yule.
akimwambia kuwa yupo nje baada ya sekunde chache Mama yule alifika

alianza kumtathmini weupe wa Mama yule huku akiiangalia miguu yake na paja lake jeupe sana ambalo alivalia kimini na kumeza mate.

"aaaah nisha kukumbuka karibu sana"
Mama yule aliongea na kumkaribisha ofisini kwake ambapo wali pita mpka kwenye chumba kidogo ofisini.

Na mwana mke yule kumkaribisha kiti.
ila kabla hajaanza kuongea kitu Simu ya mezani iliita na Mwanamke yule kuweka mkonga Sikioni.

"Sema Moses., nini una sema? siwezi kupokea iyo millioni mbili yako yaani nakudai milioni kumi na saba una nipa millioni mbili.ARE YOU NORMAL ?. Nime sema sitaki i cant, Kama huwezi rudisha gari hiyo, ndo nime shasema usilete mazoea yako, rudisha ndio kama huwezi .. ndio haita wezekana atleast million nane labda."

Mwana mke huyo aliweka mkonga wa simu na kushusha pumzi kabla haja kaa sawa simu yake ya mkononi iliita na kuitoa ili kua ni GALAXY s5 simu ya kisasa na ya gharama sana.

"sema Blandina, nitakupigia baadae sasa hivi nina mgeni, Nitumie kwenye account yangu eeeh ndio million tisa okay hakuna tabu"

Ramsey ali baki bado kumshangaa Mwanamke huyo aki mtathimini na kufikiria amuanze vipi.
"Samahani kaka, kwa kuku weka"

Aliongea Mama huyo huku akimwangalia Ramsey.
"bila samahani najua ni mambo ya kiofisi naitwa Ramsey"
"oooh niite Josephine"

Josephine aliongea huku akibonyeza bonyeza lap top yake.

aliendelea kubonyeza laptop ile huku akionekana kuwa makini sana.

"mmmh ina bidi kwanza nikale"
aliongea josephine huku akimtazama Ramsey.

"sawa hakuna tabu tuna onana siku ingine"
"hapana tuongozane tu cause hatu jamaliza vizuri"
Aliongea Josephine huku akionekana

kuweka weka vitu sawa ofisini kwake na kubeba funguo za gari zenye rimoti.
"twende"
Josephine alita ngulia mbele huku Ramsey akifuata nyuma akizidi kumthaminisha mwisho wali toka nje kwenye maegesho ya magari na josephine kubonyeza ambapo gari aina ya RANGE SPORT VOGUE kupiga kelele. kuashiria kuwa tayari milango ime funguka.

Ramsey aliingia upande wa kushoto huku Josephine akiingia ndani na kuwasha gari ile.

simu ya Josephine iliita tena na kuonekana kama ana sua sua kuipokea.

"Nani Ramsey"
"Naam"
"una weza kunisaidia kudrive?"
"eeeeeh unasema?"
"Njoo udrive nataka kupokea simu hii ya muhimu sana then icant drive"
"sawa hakuna tabu"

Ramsey hakuamini kitendo kile cha kuombwa aendeshe gari ile ya gharama ambayo hakuwahi hata kuota kama ata kuja kuendesha achilia mbali kununua.

Wali badilishana upande

na Ramsey kukaa upande wa usukani ambapo ali anza kuangalia gia ile ya kisasa na kushindwa aanzie wapi.

ila kwa ujanja ujanja alibaatisha gia na kuanza taratibu kuendesha gari ile ya kisasa

"gari ime kupendeza sana kama yako"
"vya watu vina sitiri"
"hahahahaha una vituko, alfu sija kusifia leo upo smat napenda mtu smati na mtanashati"
"Asante sana..tunaelekea wapi?"
"kili manjaro hotel kula lunch"

Ramsey kupiga hesabu mfukoni kwake alikua na shilingi elf thelathini peke yake ivyo alivyo sikia kilimanjaro hotel moyo ulianza kumuenda mbio akijua huko anaenda kuumbuka
.
Ndani ya dakika chache tayari VOGUE iyo iliegeshwa ndani ya hoteli hiyo ya kifahari ambayo ina gharama sana.

Ramsey alishuka kwa mbwembwe alimfungulia mlango Josephine upande wa pili kama wanavyo fanya wazungu wakiwa na wapenzi wao
.
"Wooow upo gentle. i like it"

Josephine alimsifia na wote kuongozana mpaka ndani ya hoteli hiyo.

alikuja muhudumu na wote kuagiza chakula na kuanza kula.

"sasa izo mali nita
zipata vipi?"
"zile dhahabu?"
"izo izo"
"una taka gram ngap?"
"Kama gram sabini ivii"
"gram moja nauza Laki na arobaini"
"aahaaa nita zipata lini?"
"mmmh tuwa siliane sasa"

Ramsey aliongea mengi siku iyo na josephine nia yake kuwa moja tu kumvua chupi na kumla uroda mwana mke huyo mzuri na wa kuvutia.

baada ya hapo Waliagana na Ramsey kuondoka kwa kuwa ili kua wik endi siku ya jumamosi Ramsey aliamua kurudi nyumbani kwake ubungo ili akapumzike.

************

"unaanza kunichokoza baba khadija alafu unashindwa kutuliza majini yangu"

ilikua ni sauti ya Mama Khadija akilalamika akiwa chumbani na mume wake huyo ambae mara nyingi humuishia njiani bila kumfikisha kileleni.
"Leo usijali"

Baba Khadija alijibu huku akiendelea kushika ikulu ya Mama Khadija.
kabla hata haja mshika vizuri na kumuandaa vizuri alianza kuingiza mashine ndani ya Ikulu kitendo kile kina mkera Mama khadija lakini hakua na jinsi.

"aaah Ram aaah Ram subi....."
"Ram?? Ram ndo nini?"

Mama khadija alikosea jina na kujikuta ana mtaja Ramsey bila kutegemea.

."Jina lako la zamani Ramadhani"

Baba khadija aliridhika na kuendelea na mashambulizi ambapo baada ya sekunde tatu alikua kasha maliza mechi na kumuacha Mama khadija njiani bila kumfikisha kileleni.

"Una ona sasa yaani unapenda kuji furahisha mwenyewe tu baba khadija,Mimi bado nina hamu"
"aaah nime choka sasa hivi "

Baba khadija alijibu na kuge ukia upande wa pili.

kitendo kile kili mkera sana Mama khadija na kuanza mwenyewe kujiingiza vidole ndani ya ikulu yake huku akivuta picha ya Ramsey katika matukio mbali mbali kuanzia kule chumbani hadi bafuni .

alikazana kujishika na maziwa yake mpka alipotoa vitu vyeupe.

**************

"hoodiii hodiii jamani hooodiii"

ilikua ni sauti ya kike iki bisha hodi usiku wa saa tatu.

Ramsey akiwa amelala kitandani alifumbua

macho na kusikiliza vizuri na kutokua na uhakika kama ni kweli ndo mlango wake ulio kua unagongwa.

alisikiliza kwa makini sana na kukaa kitandani ili avute kumbukumbu ni sauti ya nani ila haiku mjia akilini.

sauti ile ya kike ilizidi kupiga hodi tena kwa fujo.
" wewe nani?"

Ramsey aliuliza huku akivaa taulo na kuuendea mlango taratibu.

"jamani nifungulieni humu ndani"
"mhhhh"
Ramsey kuona hali ile alichukua panga uvunguni mwa kitanda ili ajihami na chochote kitakacho tokea.

alizungusha ufunguo na kunyonga kitasa kile.

baada ya kufungua dada yule aliingia huku akimpiga kikumbo Ramsey na kuanza kuufunga mlango ule kana kwamba ana kimbizwa na watu.
"we vipi?"
"Panya Road"
"ndo nani?"
"Panya road wana kuja kaka funga mlango"
"Hao panya . panya gani?"
"wame nipora simu yangu wapo mtaa wa chini kule, walikua wana mpiga mkaka wa watu wapanga"

Hapo hapo walianza kusikia kelele za kundi la watu lina pita nje. wakiwa wana piga watu nje.

haraka haraka Ramsey alifunga mlango wake na kutulia na panga kitandani.

"we binti usije uka niletea balaa humu ndani"
"hapana siwezi kufanya ivyo tukae kimnya tu."
"usijali kuwa na amani. una itwa nani?"
"nani mimi? mimi naitwa Dorice"
"sasa ume tokea wapi?"
"Yaani kaka naomba niache tu. una simu hapo unisaidie"?

Ramsey alitoa simu na kumkabidhi dada yule na kuwa pigia ndugu zake kuwa hato rudi siku iyo.

"kaka naomba nilale hapa kwako"
"sasa mimi nina mke hapa"
"hapana nitalala hata chini. naogopa hapa sitoki hata kwa bastola niue humu ndani"
"sasa hutoki vipi?, nimekwambia nina mke. we vipi?"
"nitaongea nae huyo mke wako na usi kute panya rod wame mkamata"

Ramsey alimuangalia Dorice kiumakini na kumtathmini vizuri macho yake yalivyo kua makubwa na mazuri.

"sawa uta lala kesho asubuhi uondoke"

Dorice alifurahi sana huku akifungua mkoba wake na kutoa kanga ambapo alijifunga kwa juu na kuvuta suruali yake chini ili Ramsey asimchungulie.

kweli alifanikiwa na kupanda kitandani pembeni ya Ramsey na kulala .

baada ya nusu saa mvua kali ilianza kunyesha na kusababisha baridi la ghafla.

Dorice taratibu alianza kuvuta shuka alilo jifunika Ramsey na wote kutumia shuka moja.

Ramsey aligeuka na kuupandisha mguu mmoja juu ya mgongo wa Dorice akiji fanya

yupo usingizini baadae alichukua mkono na kuanza kumkombatia wakati huo wote Dorice alikua kimnya na taratibu kuhisi joto.

Ramsey alipenyeza Mkono wake ndani ya ikulu ya Dorice na kumfanya Dorice apanue miguu kutokana na alianza kusikia raha.

'sasa kama ume kutana na panya rod mimi ndo paka rod'

Ramsey aliongea kimoyo moyo huku akiendelea kupekecha mkono wake ndani ya ikulu ya Dorice.

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)