SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Kwa mbali sana Ramsey alianza kusikia kama kuna mtu ana gonga mlango ila alipuuzia mlango ule
una endelea kugongwa na kumfanya Ramsey asitishe zoezi lile.
KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII
SASA ENDELEA...
"Nini tena Ram?,Mbona una penda kuninyima raha?" Alilalamika Doreen
"Kuna mtu ana gonga mlango"
"Mtu gani Ram hakuna mtu atakae kuja sasa hivi"
Sauti ya mlango ili sikika tena na kumfanya Doreen akae kimnya aki subiri tena akidhani labda ame sikia vibaya mlango ule ulizidi kugongwa tena.
Jasho jembamba alihisi lina mtoka na kuanza kuhisi tumbo la kuhara bila kujua tumbo lile limeanza saa ngapi wakati alitoka kwake ubungo akiwa mzima wa afya.
alifunga vifungo vya shati na kubaki kutumbua mimacho aki muangalia Doreen
"Sasa ina kua kuaje? huyo ata kua nani?"
"Ata kua mume wangu"
Ramsey ali siikia maneno yale kutoka kwa Doreen na kumfanya azidi kupagawa sana huku akiwa kama haamini kile alicho kisikia..
"wewe nani?"
Aliuliza Doreen huku akisikilizia atakae jibu kila mtu alikaa kimnya hususasi Ramsey .
" Mimi Bertha embu fungua shosti"
Ramsey alishusha pumzi ndefu sana iliyocha nganyika na kutoka kwa uwoga .
Doreen aliuwendea mlango baada ya kusikia sauti ya rafiki yake huyo.
" shoga angu vipi tena usiku usiku kuna nini ?"
"Hakuna kitu mamiii nime ona tu nipite mara moja nilikua naenda kwenye shughuli. vipi mzee yupo?"
"Hayupo yupo mzee mdogo yule nilie kuadithiaga yule basi leo ndo nipo nae"
Bertha ilimlazimu aingize kichwa ndani ili amuone Ramsey maana Doreen humuadithiaga kuwa ana shughuli pevu.
"mmmh ndo yule?"
"sasa je ...yaani yuko vizuri we muone vile ila ana balaa si la kitoto. embu shoga nenda kwanza tutaongea kesho naona una nichelewesha"
"we nawe... sawa mi naenda nakutakia kazi njema ya usiku"
Doreen alimfuata Ramsey pale kwenye kiti na kumpa mkono waongozane kweli waliongozana na mwisho wao kuishia chumbani ambapo ile kufika tu Doreen alianza kumlamba mdomo Ramsey huku akiifungua zipu ya Ramsey na kumtoa abdalla kichwa wazi nje na kuanza kumshika shika ambapo wakati huo alikua tayari yupo wima aliendelea kumshika na kupiga magoti huku akimchukua abdala kichwa wazi na kumuweka mdomoni vizuri akimnyonya mithili ya pipi kijiti na kumfanya Ramsey afumbe macho.
"griii griiii.. griiii griii"
Simu ya Ramsey iliyokua kwenye muito bubu ilianza kuvi-brate ikiwa mfukoni.
ila aliipuzia iliita tena na kukata mtu aliye kua anapiga hakuonekana kuchoka kupiga simu iyo
baadae ana itoa kwa nia ya kuizima ila anashindwa baada ya kugundua ni Josephine anapiga simu
."baby subiri nipokee simu "
"aaah baby mi sitaki achana nayo"
Aliongea Doreen kwa sauti ya puani
"siwezi ni ya sister ! sister Loyda. naomba usiongee kitu chochote kile"
Ramsey aliipokea simu iyo na kuiweka sikioni.
"Ramsey upo wapi?"
"Nipo home sasa hivi"
"njoo kwangu basi"
"sasa hivi?"
"ndio sasa hivi"
"kwa kweli sito weza usiku huu usafiri ni wa tabu sana"
"nakuja kuku fata nime kumiss"
"acha nisi kusumbue tutaonana tu kesho mimi nipo"
"Najua upo. any way kesho nita kuona. nakupenda Ramsey"
"Namimi pia"
"Namimi pia ndo nini?! niambie una nipenda"
Ramsey kusikia ivyo alimuangalia Doreen ambaye alikua sana makini kuwasikiliza huku akiwa ame kaa juu ya kitanda na kanga ambayo ilionyesha paja lake lote .
"nakupenda pia"
Badaa ya maongezi hayo Ramsey alikata simu na kuizima.
"Uyo dada yako kweli?"
"Ndio Doreen. kwani we humjui Loydah?"
"ndo muambiane nakupenda "
"ndio si ni dada yangu sisi tuna ishi kizungu"
" hata kama nina wivu mie"
Ramsey alimfuata Doreen kitandani na kuanza kumlamba mdomo huku wakipigana madenda huku na kule ndani ya dakika kadhaa tayari
walikua kama walivyo zaliwa huku muda huo Doreen akicheza na bastola ya Ramsey ikiwa mdomoni mwake bila kuhofia risasi zita kazo toka muda wowote.
Ramsey alivyo taka kuinuka Doreen
alimsumiza arudi alipo toka na kumkumbuka Mama khadija siku chache zilizo pita alivyo kua ana mfanyia huo mchezo.
"Doreen Waz..un..gu wa.nakuja"
Doreen alisikia ila hakujibu chochote kile alizidi kuikoki bastola Ya Ramsey bila kujali risasi zita kazo toka .
aliendelea kuishika shika huku mara kwa mara akiiweka mdomoni na kumfanya Ramsey azidi kusikia raha kuliko maelezo risasi za Ramsey zili kua zipo tayari kufyatuka na kumfanya aweweseke na kuzidi kumshika Doreen kichwani akimsaidia kuweka bastola hiyo mdomoni .
Doreen alili tambua hilo na kuzidi kuikoki bastola ambapo risasi zile zilianza kuruka zingine ziki penya mdomoni huku nyingine akikinga maziwa yake zika mfikia juu ya maziwa.
"nime ambiwa niki nywa izi nanenepa"
Aliongea Doreen kwa macho malegevu.
"mhh imani tu izo"
Ramsey aliinuka na kuingia bafuni kuji mwagia maji ivyo ivyo na Doreen pia kuoga baada ya kuruda patashika lile lilizidi kuendelea ambapo kila mtu alita ka kumuonesha mwenzake anaya weza .
saa ya ukutani ilionesha ni saa tisa za usiku baada ya wote kuoneshana makasheshe
"Ramsey baby wangu nime tembea na wanaume wengi tofauti ila sija wahi kuwa na mwana ume wa aina yako ambae una weza kuumiliki mchezo kiasi hiki. nani kakufundisha au ume rithi?"
Aliongea Doreen akiwa juu ya mgongo wa Ramsey ambae alikua amelala kifudi fudi huku wakiwa wame jifunika na shuka.
"una lolote najua una nisifia kisa tu nipo nawewe"
"Niamini Ramsey nipo siriaz natamani hata nimuache mume wangu kisa penzi lako"
"Usije uka fanya ivyo uta nitafutia matatizo"
"aya baby tulale"
kutokana na uchovu wa mchezo huo wa kitandani kuchezwa siku nzima wali jikuta wote wakilala usingizi mzito.
*********
"Esta alikuja hapa kama mara nne hivi. mara aingie chumba cha kubadili nguo . namwambia huja fika haamini ana sema hupa tikani kwenye simu yako. yaani sasa hivi navyoongea nawewe yupo njiani anaenda kwako"
" aaah achana nae nita ongea nae...Jana nilikua kwa Doreen mshkaji wangu. sooo kweli yaani. yule mtoto kanipa vitu sumu. sijui alipania maana duu sio mchezo"
"enhee ili kuaje"?
"we acha tu embu shika twenti hili . kanitoa fifte mwanangu. we mwanangu na mimi nakutoa"
Aliongea Ramsey huku akimkabidhi Prosper noti mbili za elfu kumi.
.Muda mfupi Ramsey alipokea simu kutoka kwa josephine akitaka waende kuku tana mitaa ya BIG BORN kweli Ramsey alimuaga Prosper
nayeye kuelekea Big bon baada ya kufika eneo hilo aliona gari aina LAND CRUISER vx lime paki karibu na sheli na kujua ni moja kwa moja ata kua ni josephine sababu muda mfupi alimuelekeza kwamba atakua ndani ya gari hilo.
Baada ya kuingia Josephine ana washa gari na kuanza kuondoka .
"Tunaenda wapi?"
alivunja ukimya Ramsey.
"We twende"
Josephine alijibu kiufupi huku akiwa makini juu ya usukani na kumfanya Ramsey aanze kuingiwa na wasi wasi mwingi sana maana hakuwahi kumuona Josephine akiwa katika hali hiyo.
moja kwa moja gari hilo liliishia ndani ya show room ya magari yanapouzwa maeneo ya fire na kumuomba Ramsey ashuke.
"Ramsey mpenzi wangu chagua gari unalo lipenda"
Maneno yale yali mfanya Ramsey adhani kuwa anaota na muda mfupi anaenda kushtuka ila alitamani isiwe ndoto.
alibaki akimwangalia Josephine machoni na kuji piga kibao shavuni.
"Hauoti Ramsey this is fact chagua gari unalo lipenda "
Aliongea Josephinea akimfuata Ramsey.
"Nakupenda Ramsey"
"Ramsey nime amua kufanya ivi sababu jana ili niuma sana pale nilipo kuhitaji ukaniambia usafiri ni wa tabu"
"josephine"
"Ngoja nima lize kuongea sasa, mbili sitaki uteseke pia nataka niki kuhitaji uje kwa muda muafaka.
chagua gari unalo lipenda"
Ramsey aliangalia magari yale ambayo yali kua yame jipanga uwanjani huku akizunguka na muuza magari mwisho wake ukaishia kwenye gari aina ya vits na kumwambia Josephine kuwa amelipenda.
"Hapana Ram chagua gari lingine hilo gari la bei rahisi sana sio hadhi yako"
"nime lipenda Josephine usijali"
"Mimi sija lipenda sasa chagua lingine. mimi ndo ninae toa pesa"
Ili mbidi Ramsey aanze upya kuchagua magari yaliyo kuwepo hapo show room na kulipenda gari lingine aina ya rav4
"nime ipenda hiyo gari nyeusi hapo sijui ndo Rav4"
"Atlist .....kaka iyo gari shilingi ngapi?"
"Miliioni kumi na nne Mama angu"
"ahaa well nakupa millioni kumi na tatu cash alafu nyingine naenda kudraw pale ATM nakuletea"
Kweli Josephine alivyoongea yale alimaanisha sababu alienda ndani ya gari na kurudi na baasha ya kaki na kumkabidhi muuza magari ambapo baadae alienda ATM iliyo kua karibu na hapo na kutoa pesa na kumalizia deni lile.
Muda wote Ramsey alikua ana furaha sana kupita maelezo.
"Ramsey sitaki nimuone msichana yoyote ndani ya hili gari. na kama una mahusiano na msichana yoyote yule naomba usitishe mahusiano hayo"
"Josephine mimi sina mpenzi"
"sija kwambia kwamba unae ila nakupa tu onyo sitaki na sipendi. mimi ni mtu mmoja mba-ya sana"
Ramsey alikabidhiwa funguo za gari na kulipiga moto gari akiliwasha.
***
baada ya siku mbili taratibu za usajili wa gari hilo uli fanyika na sasa hivi Ramsey alikua akipeta tu mitaaani na gari aki sahau usafiri wa bajaji na dala dala.
************
"Mmh Ramsey mdogo wangu gari ume toa wapi jamani?"
Aliongea Loydah akiwa kwake na Ramsey
ambapo Ramsey alienda kumsalimia nyumbani kwake Mbezi.
"Mishe tu sister Loydah. alafu kabla sija sahau pesa yako hii hapa"
Ramsey alitoa laki saba na kumkabidhi dada yake walivyo kua seblen.
"Vipi shemeji ajambo?,"
"ajambo nimuite umsalimie yupo ndani ame pumzika"
"Mwache tu nisi msumbue maana nataka kuondoka"
Ghafla alitokea binti wa makamo ambae alionekana alikua ndani mwa Loydah kitambo.
"Ramsey huyu anaitwa Fatma au Fetty ni rafiki yangu sana ame kuja kunisalimia leo,Fetty huyu dogo langu anaitwa Ramsey"
Loydah alitoa uta mbulisho ule baada ya Fatuma kuingia seblen akitokea jikoni
"Aa sister Loydah mbona huja mwambia nickname yaangu RAAAMSSSOOO sema Ramsooo"
Ramsey aliongea akifanya utani akicheka na kuwa fanya wote wacheke
"hahahaha Ramsey hujaacha vituko tu mdogo wangu. hukui tu?"
"Sasa si uta mbulisho maana ume niambia ana itwa Fatma au Fetty namimi naitwa Ramsey au Rararaamsooo"
Wote walicheka na baada ya hapo Loydah
aliwa karibisha chakula na wote kuanza kula.
baada ya hapo Ramsey alishukuru na kuondoka ila akiwa ndani ya gari baada ya kuliwasha
anamuona Fetty ana kuja mbio mbio na kusimama dirishani huku akigonga kioo cha gari la Ramsey na kuteremsha kioo cha gari
.
"Ramsoo samahani. unaelekea wapi kwani?"
"Mi naingia Town"
"Aafadhali. nisubiri unipe lift maana naelekea huko huko pia. nisubiri nikachukue mkoba wangu"
Fetty alisema huku akiiingia ndani kwa haraka na kumfanya Ramsey amsimdikize kwa macho ya matamanio.
kweli baada ya sekunde chache ana muona Fetty akija akiwa ameshika mkoba wake na kuingia ndani ya Gari na Ramsey kuanza kutembeza gari akielekea Mjini dukani kwake.
USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK