MAHABA NIUE (12) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Kweli baada ya sekunde chache ana muona Fetty akija akiwa ameshika mkoba wake na kuingia ndani ya Gari na Ramsey kuanza kutembeza gari akielekea Mjini dukani kwake. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Town una ishu gani Fetty?" "Nina biashara zangu tu nina duka la vipodozi na saloon kule mtaa wa masasi" "Aaaah wacha we mwana mke kujiremba bwana"" "hahahahaha acha vituko Ramso. wewe je una mambo gani?" "Mimi nina duka la nguo pale mjini" "Lina itwaje hilo duka"? "HAJREYMER top classic " "Hilo duka nalijua vizuri kumbe ni lako"? "yes" "ndi.....uwiii uwiii " Fetty alianza kupiga kelele ndani ya gari na kumfanya Ramsey aanze kumshangaa. "Mdudu mdudu kaingia huku Ramsoo mtoe" Ramsey alimuangalia Fetty ambae anasema mdudu ameingia huku akimuoneshea ndani ya maziwa yake na kuzidi kupiga …