MAHABA NIUE (13)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (13)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... Msimamo wa JOSEPHINE juu ya kuhama kwa Ramsey bado ana ukazia na kweli kutaka aame maeneo yale ambapo alimwambia tayari kesha mtafutia nyumba MIKOCHENI. "unajua Ramsey nakupenda sana ndo maaana nafanya ivi" KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Aliongea Josephine wakiwa ndani ya gari aina ya rexus ambapo Ramsey ndie aliye kua akiendesha gari hiyo ambapo nyuma yake kulikua na canter ambalo lina wafuaata nyuma kwa ajili ya kuhamisha mizigo ya RAmsey "hata mimi mbona nakupenda josephine wangu" "sijui kwanini nakupenda hivi nipo radhi hata nimuuwe mume wangu wa ndoa ili mradi nisi kukose Ramsey" "mimi wako peke yako JOSEPHINE usijali" tayari Ramsey aliegesha gari maeneo ya ubungo maziwa na wote kushuka na kutedmbea kwa dakika kadhaa ambapo walifika tayari anapoishi Ramsey "baby yaani wewe ndo unaishi ndani ya hiki kibanda?!" aliuliza Josephine na …