Notifications
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…
  • MY DIARY (4)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media…
  • MY DIARY (3)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na…
  • MY DIARY (2)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA PILITULIPOISHIA...Kwa ufupi japo sitaki kueleza historia yake ila kwa sasa ni shoga na teja. Baba yetu alitupenda sana na alihakikisha tunapata elimu nzuri na bora. Mimi na kaka yangu wote tulisoma International school ya hapo Moshi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baadaye kaka yangu alianza kuvuta bangi kitu ambacho kilimtia hofu baba yangu na kuamua kumpeleka kusoma nje ya nchi.Alikosea sana…
  • MY DIARY (1)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KWANZANilikuwa juu ya jukwaaa nikifanya vitu vyangu ili hali nikijua kabisa watu wote waliokuwa wakinitizama walikuwa wanaumia roho kutokana na mvuto wa umbo langu niliokuwa nao. Nilisikia mijibaba miwili ikiulizana hivi lile wowoo ni la kwake au ni la mchina? Mmoja wao akaropoka “wee kitu original hicho,kwani umemsaahau huyu binti tulishakutana nae kule Arusha mpaka tukambatiza jina la soda kubwa tena ya fanta yaani BAMBUCHA.?” Yeah nimekumbuka alidakia…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (18)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...“Mamaaaaaaaa!” Anna akapiga kelele na kutereza vibaya, miguu yake ikaliacha daraja, Seidon akawahi kukaza mikono na kumzuia, lakini miguu yake tayari ilikuwa imeacha daraja na sasa ikining’inia chini ya daraja. Anna akalia kwa uchungu sana, akijua kuwa mwisho wake sasa umefika.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“Jipe moyo Anna, tumefika mwisho sasa,” Seidon…

MAHABA NIUE (15)

Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA KUMI NA TANO
ILIPOISHIA...
Alifika mikocheni na kushuka na kuli fungua geti kubwa huku akiingiza gari ndani, baada ya kuli paki vizuri alishuka na kuingia ndani , alipita moja kwa moja chumbani kwake na kuingia bafuni kuji mwagia maji ambapo alivaa taulo na kupita moja kwa moja sebleni na kuwasha tv ambapo aliji tupa juu ya sofa.

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII

SASA ENDELEA...
Kweli Ramsey maisha yake yalianza kubadilika sana wengi walijiuliza ni wapi katoa pesa izo lakini jibu lake lili kua moja tu, mishe mishe mjini.

"RAM HATA SALAMU, ? SIO VIZURI MPENZI WANGU, UKO WAPI SASA HIVI?"
ulikua ni ujumbe mfupi kutoka kwa Monalisa ambae hakuwahi kuwa siliana nae tangu kipindi kile wali kutana na Kway na kufanyiwa fujo na Esta, leo hii anashangaaa kupokea ujumbe huo mfupi kutoka kwa demmu huyo alimjua sababu anamba ile aliikariri mwisho
.
"HAPANA SIO IVYO BABY, NIPO TU TYT NILI SAFIRI NDO NIMEINGIA SASA HIVI"
"ULI KUA UMEENDA WAPI?"
"DUBAI, ALAFU NAMBA YANGU HII MPYA NANI KAKUPA?"
Ramsey alijikweza ili azidi kumrudisha mtoto huyo mzuri sana mwenye mapozi ambae Ramsey humpenda kwenye kitu kimoja tu kupangilia mavazi na mapozi .

"HEE DUBAI BABY!, ULIENDA KUFANYA NINI? ALAFU NAMBA YAKO NILI PEWA NA PROSPER PALE DUKANI"
"KUNA INSHU NILI ENDA KUFUATA DUBAI, ILA NIME SHARUDI, UPO WAPI NW"?
"NIPO KURASINI,"
"NJOO KITAA BASI BBY"
"MMMH NOW"?
"NDIO, ILA SIKU IZI NAISHI MIKOCHENI, UTA KUJA AU?"
"MMIKOCHENI TENA?.YAH NIELEKEZE NIJE"
"SASA TAFUTA BAJAJI IKU LETE KWA WARIOBA UKI FIKA HAPO NICHEQ BABE"
"POA RAMSEY MUME WANGU NAKUPENDA SANA"
"MIMI ZAIDI YAKO"

Ramsey alimaliza kuchat na kutupa simu pembeni ya kochi huku akiendelea kuangalia movie aliyo kua ameiweka, tena simu yake ina ita na kukuta ni namba ngeni sababu haiku seviwa, aliichukua na kuiweka sikioni.
"kaka ina kuaje"?
ili sikika sauti ya kiume upande wa pili na Ramsey kutulia kwa kitambo huku akiangalia saa yake ya uku tani ambayo ilikua ime gonga saa tano usiku na kufanya ajiulize maswali mengi mwana ume mwenzake yule anataka nini usiku huo kwanini asinge mpigia mchana.
"nani anaongea"?
"naitwa Micky, Mickdad"
"una mtaka nani?"
" leo kuna dada mmoja ali gonga gari yako uka chukua kadi yake ya gari,sasa mimi ni mchumba ake, sasa nili kua nataka tuonane kesho tuongee vizuri kuhusu malipo hayo ya gari"
"haina noma kaka, ila kiufupi hendi keta yangu ime pasuka na bampa lime pinda kabisa,"
"nime kwambia kesho tuta ongea vizuri nita kupigia simu ili tujue tuna fanya nini, kwanza samahani huyu mwana mke kwanza alitoroka na gari bila kuniaga"
"pole sana kesho tuta ongea usijali broo ngoja nisave namba yako"
"poa usiku mwema samahani kwa usumbufu"

Ramsey alikata simu ile na kuiweka kwenye chaji. baada ya nusu saa simu yake ile iliita na kuipokea ambapo aliye kua akipiga alikua ni Monalisa akimwambia kuwa tayari kesha fika kwa warioba, na kumuelekeza mpaka kwake ambapo
kulikua

na geti jekundu kweli baada ya dakika kumi geti la Ramsey lilianza kugongwa na alipoenda kufungua ali mkuta Monalisa kapendeza sana hasa alivyoo vaa high west ambayo alichomekea vizuri na shati la draft huku juu akiwa amezibana nywele zake vizuri sana na kumfanya azidi kuwa maridadi.
"mtoto una waka kama malaika, ume pendeza sio siri"
"asante Ramsey"

aliongea vile huku wakiwa wame kombatiana kwa sekunde kadhaa na wote kuanza kuingia ndani ya nyumba ambapo muda wote Monalisa alionekana kushangaa sana madhari hayo ya kisasa.
"baby hapa pazuri, ni kwako"?
"hapana nime panga mke wangu"
"mmh iyo pesa yake sio mchezo"
"kawaida sana bana"

Waliingia ndani wote na Ramsey kufunga mlango wake .

"Ramsey naomba nikaoge kwanza maana nina sweti sana, joto kweli"
"okay poa nifuate"

Ramsey akiwa nyuma yake huku akiwa ameshika kiuno kwa nyuma walitembea mpaka kufika chumbani kwake na Monalisa kuvua nguo zote na wote kuingia bafuni, Ramsey alikua kesha oga tayari ila alitaka ampige mechi mtoto

huyo monalisa, kwa kua Ramsey alikua na taulo peke yake alili fungua na wote kuingia bafuni na kufungua bomba la mvua na maji kuanza kuwa mwagikia huku wakiwa wana pigana denda,

Ramsey alianza kuyabana maziwa ya Monalisa na kuanza kuya nyonya huku akishika ikulu ya mtoto huyo na kusababisha miguno.

pata shika ilianza pale huku Ramsey kuanza kumpima oil taratibu bila papara huku maji yakizidi kumwa gika, waliacha kuoga kuanza kufanya michezo hiyo ya kikubwa ambayo hupendwa na watu wote duniani.

pata shika lili endelea huku Monalisa akiwa ameshika AK 47 ya Ramsey na kuichua kifundi na kufanya kasi ya masha mbulizi iweze kwenda kwa kasi,

na kuanza kumshika kila mahali na mwishowe kupiga magoti na kuunyanyua mguu wa Monalisa kwa ju na kuanza kudeki bahari na kuanza kunyonya kitu kama kiarage na kumfanya Monalisa aanze kushika shika mansiki ya maji huku akihisi raha ya ajabu sana.

"R,,,,,,aaaaaam aaaaah mmmhhh aaaaaahh assshhhhh:"

Monalisa alizidi kutoa miguno ile huku mkono wake mmoja akiwa ana jishika shika maziwa yake sehemu ya chuchu zake,
Ramsey alivyoisi kuna utelezi alijua tayari muda wa kuchimba madini ume fika ali mbinua na kumwambia ashike sink la kuna wia mikono na kushika kiuno ambapo shughuli hiyo pevu ya kuchimba madini kuanza taratibu sana tena bila fujo yoyote sababu alijua ndege ni wake,

alimnyanyua Monalisa mguu mmoja na kasi kuendelea kuha kikisha ana pata madini haraka sana ndani ya mgodi huo alikua akichimba chimba kila pembe, alimchukua na kumbebeba huku miguu ya mrembo huyo akiwa maeizungusha kwenye kiuno cha Ramsey ambapo kama kwa mtu yoyote asiye kua na nguvu asingeweza kufanya ivyo,

ila kwa Ramsey aliweza kutokana na kuwa na nguvu za misuli, aliendelea kumrusha rusha mrembo yule huku akimla mate, patashika lile lilianza na baada ya dakika chache mgodi wa Monalisa ulianza kutoa madini ya almasi ambapo ndio yalikua mahesabu yake Ramsey,

alimshusha na kumuweka mkao mzuri Monalisa na kuanza tena mechi ambapo alijua tayari kesha mridhisha mrembo huyo nayeye ili kua zamu yake,, pata shika lile lliliendelea na mwishowe Ramsey kumwaga oil ambapo alimkombatia Monalisa.

"BABY sio siri wewe ni mtamu sana"
aliongea Ramsey akiwa bado kamkombatia mrembo huyo
"hata wewe ni mtamu, una ujulia mwili wangu sio siri Ramsey sija wahi kufanywa kama unavyo nifanyaga wewe, ile siku tuligombana kweny ile baar nili tembea na mwana ume mwingine ili kuku sahau matokeo yake, huniishia njiani, ila wewe Ram una hakikisha una kata kiu yangu, nakupenda sana, naomba yale ya siku ile yasijitokeze tena mpenzi wangu, sija wahi kupenda kama ivi Ram wangu"

aliongea MOnalisa kwa sauti ya upole na mapozi mengi sana huku akiwa ameegemea bega la Ramsey.
"hata mimi sija wahi ona msichana msafi na mtundu kama wewe, hata ustaarabu pia nakupenda sana MONALISA, sana tu, nakupenda wewe tu"
"alafu na hii tatoo ya simba ina maana gani baby"?

aliuliza Monalisa huku akishika mgongo wa Ramsey ambapo tatoo ile ili kua mgongoni kubwa kiasi ya mnyama simba akiwa ametoa meno nje.
"haina maana yoyote basi tu nampenda sana simba"
"ni nzuri, nataka namimi nichore yangu niandike jina lako"

maji yale yaliendelea kuwa mwa gikia huku Monalisa akiwa na kazi ya kumsugua Ramsey mgongo wake na kumuogesha,

baada ya hapo waliingia chumbani, Monalisa alienda jikoni kupika na baada ya chakula kuiva wote walirudi kulala,

****************

"hii taa ume ona imevunjika hapa, hapa pame pinda una ona na hapa hii rangi ime chubuka pia, alini chomekea mbele yangu"

alikua ni Ramsey akiongea na Mickdad katika moja ya garage ili yo kua jangwani huku Evelyn akiwa pembeni yake akiwa sikiliza pembeni ali simama fundi makenika ambaye alionekana kusubiri apewe maelekezo kuhusu matengenezo ya gari la Ramsey.
"huyu demu yaani ana nitia hasara alafu siio mara ya kwanza kugonga , ana nikera"
"lakini baby si nime kwambia bahati mba..."
alidakia Eve
"kelele funga bakuli lako"
"unaninyanyasa bana kisa gari lako au?"
"una semaje yaani ume gonga gari yangu alafu"

Mickdad hasira zili mpanda na kumfata Evelyn na kumpiga kofi lili lomfanya adondoke chini kitendo kile kina muuma sana Ramsey kuona msichana ana pigwa sio siri katika maisha yake haku penda kuona msichana akipigwa mbele yake,

alicho fanya Ramsey alimfuata EVELYN liye kua chini amejaa vumbi na kumuinua ila MIckdad ali mfata na kumzaba kofi lingine lililo mfanya Evelyn aanze kulia,
"Mick una nidhalilisha mbele za wa,, tu kweli?"

Mick ali mfuata tena ila alivyo taka kumpiga Ramsey alimshika mkono wake,
"kaka tulia , "
aliongea Ramsey ila alisukumwa pembeni na kushuhudia tena Eve akipigwa tena. aliinuka haraka haraka na kumvaa Mick kwa hasira na kumtoa pembeni huku akimshika kwa kutumia nguvu akimzuia asiende kumpiga Eve.
"wewe mbona una kua kama fala, uta mpigaje mwana mke ,haya ni mambo ya kuongea . mwana mke apigwi kaka "?
"nawewe haya kuhusu kaa chonjo bwege nini"
"sikia sasa nikwa mbie hapa apigwi mtu labda uka mpigie kwako."
"wewe kama nani yake"?
"kama bina damu mwenzagu. "

Ramsey na Mick waliendelea kurushiana maneno na kufanya watu waanze kujaa,
kwa hofu Evelyn alienda na kusimama nyuma ya Ramsey na kutegemea kuwa yeye ndo atakua msaada wake pekee dhidi ya Mick ambae mpaka wakati huo alikua na hasira.

"kaka naomba uni saidie"

aliongea Evelyn huku akiwa nyuma ya Ramsey....

Ramsey aligeuka ili amsikilize Evelyn ana sema nini, ila kabla haja geuka vizuri ana jikuta ana sukumizwa na Mackdad na Evelyn kupigwa tena makofi tena safari hii alikua amekunjwa shati,

japokua ugomvi ule ulikua haumuhusu Ramsey alimfuata Mick na kumtwanga ngumi ya nguvu ilio mpata vizuri usoni bila kupoteza muda alimfuata tena na kumpiga ngumi nyingine ya pua, na kumfanya Mick adondokee mapiki piki mabovu yaliyokua pembeni yake.

ugomvi ule uliendelea na Mickdad kuokota chuma kizito baada ya kuona ana shindwa nguvu. alimpiga nacho Ramsey kichwani kwa nguvu sana na kumfanya Ramsey adondoke na kupoteza fahamu pale pale sababu alimpiga sehemu mbaya sana,

Mickdad kuona hali isha kua vile ali washa gari na kuondoka zake huku akimuacha Evelyn analia asijue la kufanya,
alianza kupiga kelele za msaada . na kweli mtu mmoja aliji tolea gari ili Ramsey awaishwe hospitali.

"nani ooh my God! yupo Hospitali gani, Mungu wangu ,, hali yake vipi? anaendeleaje jamani, mimi
ni girlfriend wake"

sauti kutoka kwa Monalisa ilisikika baada ya kupokea simu kutoka kwa Daktari sababu namba yake ya mwisho ndiyo iliyo onekana kwenye simu ikiwa ime pigwa

Tayari Esta, Doreen, JOsephine, Monalisa pia Fetty walikua tayari kwenye benchi la hospitali wamekaa bila kuonana sababu kila mtu alikua na mambo yake,
kwa mbali sana Prosper akiwa na Evelyn ambae alikua ana muadithia kilicho tokea aliweza kuwaona mademu hao wote wa Ramsey ila alijifanya kama hajawaona.

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA
40 Mahaba Niue Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni