Notifications
  • MY DIARY (3)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na…
  • MY DIARY (2)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA PILITULIPOISHIA...Kwa ufupi japo sitaki kueleza historia yake ila kwa sasa ni shoga na teja. Baba yetu alitupenda sana na alihakikisha tunapata elimu nzuri na bora. Mimi na kaka yangu wote tulisoma International school ya hapo Moshi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baadaye kaka yangu alianza kuvuta bangi kitu ambacho kilimtia hofu baba yangu na kuamua kumpeleka kusoma nje ya nchi.Alikosea sana…
  • MY DIARY (1)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KWANZANilikuwa juu ya jukwaaa nikifanya vitu vyangu ili hali nikijua kabisa watu wote waliokuwa wakinitizama walikuwa wanaumia roho kutokana na mvuto wa umbo langu niliokuwa nao. Nilisikia mijibaba miwili ikiulizana hivi lile wowoo ni la kwake au ni la mchina? Mmoja wao akaropoka “wee kitu original hicho,kwani umemsaahau huyu binti tulishakutana nae kule Arusha mpaka tukambatiza jina la soda kubwa tena ya fanta yaani BAMBUCHA.?” Yeah nimekumbuka alidakia…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (18)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...“Mamaaaaaaaa!” Anna akapiga kelele na kutereza vibaya, miguu yake ikaliacha daraja, Seidon akawahi kukaza mikono na kumzuia, lakini miguu yake tayari ilikuwa imeacha daraja na sasa ikining’inia chini ya daraja. Anna akalia kwa uchungu sana, akijua kuwa mwisho wake sasa umefika.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“Jipe moyo Anna, tumefika mwisho sasa,” Seidon…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (17)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Amatagaimba kabla ya kuondoka akachukua maji kutoka kwa Seidon na kumpa Anna, akayanywa kwa fujo na kuyamaliza. Nguvu zikamrejea. Anna akapanda juu ya farasi na Amatagaimba akatua nyuma yake, safari ikaanza.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Seidon akapiga mbio kwa ustadi akipita vijilima vilivyo ndani yake, “Amatagaimba, Sherhazad na Wafuasi wake…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (16)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Seidon alikuwa katika hali mbaya sana, kama ni kupambana basi alikuwa kapambana na jitu la kutisha linalowaka moto kila upande. Ilikuwa ni wakati wa kumaliza kazi aliyotumwa, akasikia radi zikipiga huku na huko, yule malaika wa moto akashtuka na akajua kwa vyovyote mvua itapiga hapo muda si mrefu, na kweli alipogeuka ulikotokea mlio ule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (15)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Amatagaimba akarudisha upanga wake na kumpa mkono, akamwinua.“Wewe ni nani?” Amatagaimba akauliza.“Anna, naitwa Anna, Anna Davis,” akajitambulisha kwa sauti ya kukwamakwama.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“We umeingiaje huku?” Amatagaimba akauliza tena mara hii kwa mshangao zaidi.“Nilikuwa na wenzangu, tulikuja ah, sijui hata kufanya nini, mimi nika,…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (14)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Seidon alisimama kwa taabu, akaliendea fuvu lile lililokuwa chini katika mchanga, lakini kabla hajaliokota alibaki kinya wazi, pale lilipoangukia mchanga wote uliondoka na kufanya duara, kisha lile fuvu likaonekana likiwa juu ya kitu kama jiwe jeupe safi ambalo halikuwa na hata chembe ya vumbi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Seidon aliinama na kuokota…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (13)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...“Nimeiona shida yako, nimesikia kilio chako lakini jambo moja ninaloweza kukwambia ni kwamba, nguvu zetu na nguvu za huku ni kinzani sana, nikikuahidi kukuvusha katika daraja la pepo nitakuwa mkaidi mbele ya watu wangu, kwa kukusaidia ewe shujaa wetu, nitakuonesha njia ya kuzunguka ambayo itakufikisha katika lango la Hamunaptra,IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (12)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...“Seidon na Amatagaimba, nilikuwa nikiwasubiri kwa hamu kubwa mfike hapa, niliwaona tangu mbali na nia yenu njema, nifuateni,” Yule mzee akawaambia, Amatagaimba na Seidon wakatazamana kisha wakapeana ishara ya kumfuata wakaenda pamoja naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Mbele kidogo wakaingia kwenye piramidi moja dogo lakini lililoonekana kumegekamegeka…

MAHABA NIUE (16)

Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA KUMI NA SITA
ILIPOISHIA...
Tayari Esta, Doreen, JOsephine, Monalisa pia Fetty walikua tayari kwenye benchi la hospitali wamekaa bila kuonana sababu kila mtu alikua na mambo yake,
kwa mbali sana Prosper akiwa na Evelyn ambae alikua ana muadithia kilicho tokea aliweza kuwaona mademu hao wote wa Ramsey ila alijifanya kama hajawaona.

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII

SASA ENDELEA...
"Kwa io ndo ivyo, alimpiga na chuma kizito kichwani, ndo akadondoka"
"sasa huyo bwana ako tuta mpata vipi? maana lazima tumuweke polisi,"
"hapa tikani kwenye simu namba zake zote"

"sasa mna weza kumuona mgonjwa wenu"

alikua ni muuguzi wa kike aliye washtua Prosper pamoja na Evelyn waliingia ndani ya chumba hiko na kumkuta Ramsey amelala huku akiwa ame fumbua macho .

"oyaa vipi hali yako mtu wangu sasa hivi una jisikiaje"?
alihoji prosper
"daa sasa hivi afadhali ila kwa mbali kichwa kina niuma"
"pole sana Ramsey najua yote mimi ndo nime sababisha. pole sana"

Evelyn alimsogelea na kumshika kichwa Ramsey huku akimwangalia machoni
"nishapoa."

Prosper alimsogelea Ramsey masikioni na kumnong"oneza kuwa mademu zake wote wapo nje ya benchi ivyo asipo angalia ata sababisha balaa jingine hospitali hapo.
"ESta nae yupo"?
alihoji Ramsey
"yupo ndio"
"mmmh mambo yataharibika sasa hivi"

baada ya kuongea vile ghafla mlango una funguliwa na Josephine kuingia ila Ramsey ana zuga na kuya fumba macho yake. Josephine aliwasalimia Prosper na Eve na kumfuata Ramsey pale juu ya kitanda na kumbusu mdomoni
"tangu muda ule hajaamka tu?"
"bado haja aamka "

aijibu prosper. na kumfanya Josephine akae juu ya kiti.
"hii hospitali huduma zake sija zipenda naweza nika muhamisha hospitali?"
"kwa kweli sijui labda ung......"
" jamani Ram wangu uwiiiii"

Esta alipaza sauti baada ya kuingia ndani tena bila kusalimia alimuendea Ram na kukaa juu ya kitanda huku akimuita,
kila kilicho kua kina ongelewa Ramsey alisikia kila kitu tena bila chenga yoyote ile, ila aliji fanya amelala ili kuepusha balaa ambalo linge tokea muda mfupi baadae,

Josephine alimuangalia Esta kana kwamba ana taka kumwambia kitu ila ana onesha kusita sita kidogo.
"Dada basi unge muacha mgonjwa kidogo apate angalau hewa."
"uwiii jamani daktari yuko wapi Prosper?. Ram wangu ime kuaje kuaje nani alimpiga na chuma?"

alihoji Esta huku akimwangalia Prosper
"Dada ni boy frend wangu"
"na ili kua kuaje?"
"Ramsey alikua ana ni gombelezea ugomvi ndo aka pigwa na chuma kichwani"
"huyo boyfrend wako anaishi wapi?"

alidakia Josephine huku akimwangalia Evelyn machoni na kutoa simu mfukoni.

"yupo kimara, kimara stop over"
"nyumba namba ngapi?"

Evelyn alijikuta ana jibu kila kitu na JOsephine kutoa simu yake na kuonekana akibonyeza bonyeza namba za simu huku akiiweka simu sikioni.
"eeeh afande Mosha . nenda kimara stop over nyumba namba 46 kuna KIjana ana itwa Mickdadi naomba uchukue Deffender umtie ndani, fanya ivyo sasa hivi, ndio akae maabusu, sasa hivi ndio, nita kwambia kwanini"

Josephine baada ya hapo aliweka simu ndani ya mkoba wake na kumuona Evelyn ana taka kulia kusikia kuwa mIckdad anaenda kunyea debe, kweli baadae alipigiwa simu na afande huyo na kuambiwa kuwa Mickdadi tayari kesha kamatwa tayari na yupo kituo cha polisi.

bado Esta alikua na maswali mengi juu ya mwanamke yule ni nani yake Ramsey sababu alionekana kuguswa sana na tukio llilo mpata Ramsey.
baada ya sekunde kadhaa ana ingia Monalisa na Fetty na macho kwa macho wana kutana na Esta.

"nakumbuka tusha onana sehemu, sijui naku fananisha?"
alihoji ESta huku akimkagua Monalisa.

'Leo kazi ipo humu ndani hapa sifumbui macho ng"oo'
alijisemea kimoyo moyo Ramsey huku akiwa ana sikia kila kitu.

"hapana sidhani,"
alijibu Monalisa kifupi na kuwasilimia alio wakuta tena pale pale Doreen aliingia na kuwa kuta mademu wale akiwemo Josephine.

"shoga vipi tena?"
alihoji Doreen na kushangazwa sana na uwepo wa Josephine pale hospitali.
"safi tu leo nina uguza"

" jamani naomba tufahamiane kwanza mimi naitwa Esta, nyie ni akina nani maana sija wahi hata kuwa ona mahali popote pal,..."

kabla ya kumalizia kuongea ghafla aliingia Loyda dada yake na Ramsey na moja kwa moja kuanza kulia huku akimuendea Ramsey kitandani,

ki ukweli alimpenda sana mdogo wake haku taka hata siku moja apate shida wala kuumwa.
"Ramsey mdogo wangu, nini tena baba, embu amka ?"
Ramsey alitamani amwambie dada yake nyamaza ila alishindwa kutokana na kujua kuwa ata unguza picha .

baada ya siku mbili hali ya Ramsey ili endelea kuwa nzuri na kuru husiwa ambapo Josephinea ali mfuata na kumrudisha mpaka ana poishi baada ya kufika tuu anaanza uchokozi na kuanza kumshika Ramsey masikio na mkono mwingine kuupeleka ndani ya mashine ya Ramsey.

"josephine bado naumwa subiri nipone"
"aaah mi nina hamu nawewe siku nyingi huja nipa, kwani ukiumwa hiyo nayo ina umwa?"
"sio ivyo, niache kwanza nipone mamii"
"hapana baby kidogo tu"
"Josephine nielewe basi"

kweli Ramsey aliweka msimamo wake kuwa ana umwa na kuka taa kata kata mechi hiyo.JOsephinea aliingia jikoni kumpikia chakula na wote kuanza kula. baadae Josephine ana muaga akimwambia kuwa mume wake yupo njiani ana rudi ivyo anaenda kumpokea.

***********

Leo hii Ramsey tayari alikua ndani ya Ofisi ya NISSAN ambapo josephine aliamua kumuajiri kama mkaguzi kwa nia moja tu awe karibu nae,
kweli Josephine akiwa ndani ya ofisi yake ya kiioo aliweza kumuona Ramsey ofisi inayo fuata na kila kitu anacho fanya .

Ramsey akiwa makini sana juu ya computa huku akiwa amevalia suti nyeusi na kunyonga tai ili yomka vizuri kooni na kufanya azidi kuwa mtanashati na kuwa maridadi.

simu ya mezani ya Ramsey iliita na kuweka mkonga wa simu iyo masikioni.
"yes unaongea na mkaguzi Ramsey kutoka kampuni ya NISSAN nikusaidie nini?"
"hahaha baby, nakupenda sana mimi Josephine huwa muda wote sichoki kukuangalia upo smat sana"

Ramsey kusikia sauti ile ya jOsephine aliangalia upande wa pili na kumuona jOsephine akiwa ameshika mkonga wa simu na kumpiga busu la mbali.
"muda wa kazi huu mke wangu"
"haihusu, naongea na mpenzi wangu"
"aya bosi"
"alafu nime kwambia usiniitte bosi Ramsey mpenzi wangu"
"aya josephine Darling, switii,laaziz"
"hayo ndo maneno endelea na kazi ila ni muda wa lunch huu"

Ramsey aliweka mkonga wa simu ule na kuendelea kuangalia mauzo ya kampuni hiyo.
baadae muda wa Lunch una fika na kuzima computa ila kabla aja simama vizuria anaona sura ya DAvid Mwasha mume wa Josephine na kumwambia kuwa amfuate.
"Lakini naenda Lunch"
"twende utakula huko huko"

moyo wa Ramsey ulizidi kwenda mbio hasa alivyoona David Mwasha aoneshi sura ya mzaha hata kidogo,
waliingia ndani ya gari aina ya jAGUAR la Mr. David Mwasha na gari hilo kuondoka na kumfanya Ramsey aanze kuogopa huku mapigo yake ya moyo yakizidi kwenda mbio sana, sababu haikuwa kawaida ya mr.David mwasha kuondoka nae katika sura isiyo kua na mzaha.
"kijana Ramsey"
alivunja ukimya Mr,Mwasha
"Naam mzee"
"usha wahi kuona maiti ya mtu?, akiwa ame uliwa?"
Ramsey ilibidi ageuze shingo na kumuangalia mzee huyo ambae alikua akiongea huku akiwa makini na usukani.
"naam sija kuelewa"
"hujaelewa nini hujui maana ya maiti? alafu mbona una jifanya mtoto wa mjini sana kijana"

Mr,Mwasha aliongea huku akishika kiuno na kutoa bastola na kuiweka pembeni ya gia.

Hapo ndipo Ramsey aliona kweli kihama kina kuja na tumbo la ghafla kuanza kumuuma huku mkojo kwa mbali akianza kuusikia, kwa upande mwingine ki ukweli Ramsey aliogopa sana mguu wa kuku(bastola)
taratibu alianza kupitisha mkono wake ili afungue mlango wa gari ashuke na kukimbia mbio za ajabu.

ila ana shangaa kusikia mlango ule ume jipiga LOCK kivyovyote vile alijua mzee huyo ndo alifunga LOCK iyo sababu hukaa katika mlango wa dereva

'eeeh Mungu naomba nisa mehe dhambi zangu zote nilizo zifanya naomba ipokee roho yangu uiweke mahali pema peponi amina'

Ramsey aliji kuta ana sali kimoyo moyo huku jasho jingi likiwa lina mtoka kwa wingi na hofu kubwa kumtanda....


"hii sehemu ni hatari sana ndo maana nime lock milango. juzi kuna rafiki yangu alitolewa ndani ya gari kisa haku funga milango na kuibiwa gari yake"

Mzee mwasha aliongea na kuzidi kukanyaga mafuta na mwendo kasi wa gari hilo kuongezeka na kuzidi kumfanya Ramsey azidi kuchanganyikiwa.
"nataka ukashuhudie kitu huku twende kijana"
"ni ni ni ni wapi"?
"usiwe na papara wewe twende uta jionea"

gari hilo aina ya Jaguar ili paki maeneo ya bandari na Mr.Mwasha kushuka akimuomba Ramsey amfuate,
Ramsey aliangalia kila sehemu na kutafuta njia ya kukimbia endapo mambo yangeenda sivyo, waliingia ndani ya bandari na kumshudia kijana mmoja anavuja damu nyingi sana.

"Bosi huyu ndo tuliye mkamata ana taka kuiba ule mzigo wako"
"kijana kwanini una iba?"
aliuliza mr, Mwasha akimuangalia mwizi huyo ambaye tayari alikuwa amelowa damu baada ya kupigwa sana.
"nisamee mzee wan...gu"
"nime kuuliza swali. kwanini unaiba"?
"njaa... tuu mzee, nisa mehe"

Mr,Mwasha alitoa bastola kiunoni na kmvyatua mwizi yule mguuni.
Ramsey aliye kua pembeni alibaki kumshangaa mzee huyo na kutengeneza picha siku moja nayeye ata pigwa risasi endapo mzee yule ata jua ana tembea na mke wake Josephine,

"mnaweza kuendelea vijana, Twende kwenye gari, nili taka nikuoneshe mfano tu, jinsi mimi nilivyokua sina mzaha hata kidogo, hata nawewe siku ukiibia nita kufyatua"
"hata mimi mzee?"
"ndio hata wewe, sipendi ushenzi ushenzi, alafu kitu kingine nacho kuomba punguza mazoea na mke wangu kijana."
Ramsey alijiuliza maswali na kujijibu mwenyewe kuhusu Mr, Mwasha kujua kuwa ana tembea na mke wake
'mmh ita kua hajui kitu huyu mzee,lakini kwanini kanileta huku?'

baada ya hapo
Ramsey anaingia ndani ya gari na kwenda kula chakula cha mchana na mzee huyo.

***********

"Ram vipi hali yako?"
ulikua ni upande wa simu kutoka kwa Evelyn jioni hiyo baada ya Ramsey kurudi kazini akiwa juu ya sofa
"sasa hivi niko poa tu"
"samahani sana jamani kaka angu, sasa kuhusu gari yako nili kua nisha pata pesa ya kukulipa wewe upo wapi nije nikupe ufanye matengenezo?"
"nipo home"
"sasa nita kupataje"?
"njoo mikocheni"
"Mikocheni ipi mimi pia nipo mikocheni vile vile"
"njoo kwa Warioba uki fika nipigie simu"

baada ya maongezi hayo Ramsey alikata simu na kuendelea kuangalia t,v..Baada ya dakika kumi kweli simu yake iliita na kuona ni Evelyn alipokea simu na kumuelekeza ambapo baada ya muda mfupi tayari alikua amefika nyumbani kwa Ramsey.
"karibu hapa ndo home"
"asante umejitahidi sana ni pazuri"
"kinywaji gani nikupe"?
"nipe tu maji ya baridi"
"aaah wapi hapa hakuna maji kuna vileo tu"
"mmmh jamani Ramsey, aya niletee RED wyn"

Ramsey alisimama na kuchukua glass iliyokuwa ndani ya kabati na kuliendea friji ambapo alitoa chupa ya wyn na kuimimina ndani ya glass n ayeye kujimiminia.

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA
40 Mahaba Niue Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni