MAHABA NIUE (15)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (15)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA KUMI NA TANO ILIPOISHIA... Alifika mikocheni na kushuka na kuli fungua geti kubwa huku akiingiza gari ndani, baada ya kuli paki vizuri alishuka na kuingia ndani , alipita moja kwa moja chumbani kwake na kuingia bafuni kuji mwagia maji ambapo alivaa taulo na kupita moja kwa moja sebleni na kuwasha tv ambapo aliji tupa juu ya sofa. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Kweli Ramsey maisha yake yalianza kubadilika sana wengi walijiuliza ni wapi katoa pesa izo lakini jibu lake lili kua moja tu, mishe mishe mjini. "RAM HATA SALAMU, ? SIO VIZURI MPENZI WANGU, UKO WAPI SASA HIVI?" ulikua ni ujumbe mfupi kutoka kwa Monalisa ambae hakuwahi kuwa siliana nae tangu kipindi kile wali kutana na Kway na kufanyiwa fujo na Esta, leo hii anashangaaa kupokea ujumbe huo mfupi kutoka kwa demmu huyo alimjua sababu anamba ile aliikariri mwisho . "HAPANA SIO IVYO BABY, NIPO TU TYT NILI SAFIRI NDO NIMEINGIA SASA HIVI" &qu…