MAHABA NIUE (16)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (16)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA KUMI NA SITA ILIPOISHIA... Tayari Esta, Doreen, JOsephine, Monalisa pia Fetty walikua tayari kwenye benchi la hospitali wamekaa bila kuonana sababu kila mtu alikua na mambo yake, kwa mbali sana Prosper akiwa na Evelyn ambae alikua ana muadithia kilicho tokea aliweza kuwaona mademu hao wote wa Ramsey ila alijifanya kama hajawaona. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Kwa io ndo ivyo, alimpiga na chuma kizito kichwani, ndo akadondoka" "sasa huyo bwana ako tuta mpata vipi? maana lazima tumuweke polisi," "hapa tikani kwenye simu namba zake zote" "sasa mna weza kumuona mgonjwa wenu" alikua ni muuguzi wa kike aliye washtua Prosper pamoja na Evelyn waliingia ndani ya chumba hiko na kumkuta Ramsey amelala huku akiwa ame fumbua macho . "oyaa vipi hali yako mtu wangu sasa hivi una jisikiaje"? alihoji prosper "daa sasa hivi afadhali ila kwa mbali kichwa kina niuma" "…